Saturday, August 1, 2009

Luke 2

Luka mbe-Luke 2

1.Now in those days a decree went out from Caesar Augustus, that a census be taken of all the inhabited earth.
Sasa hizo ma days ilipitishwa na cabinet ya Caesar Augustus kama law ati wasee wote kwa globe nzima wadungwe census.

2.This was the first census taken while Quirinius was governor of Syria.
Hii njo ilikuwa census ya fao ku do-iwa time Quirinius alikuwa njo kusema- yaani gavana wa hood ya Syria.

3.And everyone was on his way to register for the census, each to his own city.
Ju yahiyo stori kila mse akashika njia kwenda kudunga registration ya census,kila mse kwa ghetto yake.

4.Joseph also went up from Galilee, from the city of Nazareth, to Judea, to the city of David which is called Bethlehem, because he was of the house and family of David,
Jose pia ikabid ameishia tokaGalilee, from Nazareth city, akaenda Judea,Davies city called Bethlehem in a dee area,ju alikuwa wa hao na famo ya Davie.

5.in order to register along with Mary, who was engaged to him, and was with child.
njo aweze ku rejista pamoja na mary, the fiancee, mwenyetayari alikuwa na ball.

6.While they were there, the days were completed for her to give birth.
Sa katika ile hali ya kupoleaga huko, siku za mary za mtoi ku do grand appearance zikafika.

7.And she gave birth to her firstborn son; and she wrapped Him in cloths, and laid Him in a manger, because there was no room for them in the inn.
So akazaa mtoi wake wa fao, firstborn, chali; akamfunika ndani ya ma leso, akamlaza kwa baby crib ya kushikilia tu- ndani ya feeding trough ya punda, ju haukuwa na space yao ndani ya lojo.

8.In the same region there were some shepherds staying out in the fields and keeping watch over their flock by night.
Katika hiyo place bado kulikuwa na wachungaji kadhaa ma hustler mbaya, hadi waliishi kwa open, chini ya heavens, kwa viwanja wakidunga watch kwa ma kondoo zao gizani.

9.And an angel of the Lord suddenly stood before them, and the glory of the Lord shone around them; and they were terribly frightened.
sa angel wa sir Godi akatokezea tu vi-sudden akasimama mbele yao,ni ile glory ya sir Godi ikawafunika na ma glamor.

10.But the angel said to them, "Do not be afraid; for behold, I bring you good news of great joy which will be for all the people;
Laki angelakawashow,"Msigwaye;ju cheki, nawaletea habari smart za furaha kuu yenye itasambaziwa wasee wote;


11.for today in the city of David there has been born for you a Savior, who is Christ the Lord.
Ju leo ndani ya David City kumezaliwa just for you a savior, mwenye ni kristo mdosi sir Godi.

12."This will be a sign for you: you will find a baby wrapped in cloths and lying in a manger."
"Na hii njo itakuwa sign kwenu; mtaget mtoi amefunikwa na ma kladi za leso na akiwa amedoze ndani ya kitara cha dish ya ma livestock.

13.And suddenly there appeared with the angel a multitude of the heavenly host praising God and saying,
kisha hapo hapo pakatokea together na yule ange,crowd kubwa sana ya majeshi za mbinguni wakisifu sir Godi na wakisay,

14."Glory to God in the highest,
"Glory kwa sir Godi juu zaidi,
And on earth peace among men with whom He is pleased."
Na amani kwa earth kati ya wasee wenye amebambika nao."

15.When the angels had gone away from them into heaven, the shepherds began saying to one another, "Let us go straight to Bethlehem then, and see this thing that has happened which the Lord has made known to us."
Kisha wale angels qakati waliishiaback to heaven, ma shepherds wakaanza kushoiana, " Si tuishie straight hadi Bethlehem basi, angalau tucheki ni nini hii yenye ime happen yenye mdosi sir Godi ametu show sisi."

16.So they came in a hurry and found their way to Mary and Joseph, and the baby as He lay in the manger.
So wakakam na unyoya na wakasaka njia hadi wakafika kwa Mary na Josee, na yule mkidi akiwa ametuliza ndani ya trough ya ma dish za livestock.

17.When they had seen this, they made known the statement which had been told them about this Child.
Nyakati walicheki hivi, wakasema ile maneno walishoiwa ju ya huyu mkidi.

18.And all who heard it wondered at the things which were told them by the shepherds.
Na wote wenye waliskia izo statement waka wonder niaje, ju ya vile walishoiwa na wale shepherds.

19.But Mary treasured all these things, pondering them in her heart.
Lakini Mary akaweka hizi vitu zoteka treasure, akiziwaza tu kwa moyo wake.

20.The shepherds went back, glorifying and praising God for all that they had heard and seen, just as had been told them.
Na Shepherds wakarudi zao,waki glorify na kupraize sir Godi ju ya zile vitu zote zenye walikuwa wamecheki, exactly tu vile walishoiwa.

21.And when eight days had passed, before His circumcision, His name was then called Jesus, the name given by the angel before He was conceived in the womb.
So siku eight zikishapita ivi, kabla ya kutairi, Jina yake ikabandikwa niJesus, jina aligeiwa na angel kabla yake kushow ka mtoi kwa tumbo ya mathake.

22.And when the days for their purification according to the law of Moses were completed, they brought Him up to Jerusalem to present Him to the Lord
So wakati siku za kusafishwa kwao kulingana na law ya mosee kuisha, walim bring hadi Jerusa kmpresent mbele ya sir Godi

23.(as it is written in the Law of the Lord, "EVERY firstborn MALE THAT OPENS THE WOMB SHALL BE CALLED HOLY TO THE LORD"),
(Vile tu imechorwa ka law ya sir Godi, "Kila firstborn mkidi-chali mwenye anafungua tumbo ataitwa mholy wa kutolewa kwa sir Godi")

24.and to offer a sacrifice according to what was said in the Law of the Lord, "A PAIR OF TURTLEDOVES OR TWO YOUNG PIGEONS."
Na kutoa sadaka kulingana na chenye kilisemekana kwa sheria ya sir Godi,"Pair moja ya ndush,toka kwa choice mbili; ma turtledoves ama ma pigeons yankee."

25.And there was a man in Jerusalem whose name was Simeon; and this man was righteous and devout, looking for the consolation of Israel; and the Holy Spirit was upon him.
Nahapo kulikuwa na mse ndani ya Jerusa mwenye Jina yake ilikuwa ni Simeon; na huyu mse alikuwa m righteous na commited yake yote, alikuwa anasaka ile kubembelezwa kwa Israel yenye sir Godi angeleta; na Holy spirit alikuwa juu yake.

26.And it had been revealed to him by the Holy Spirit that he would not see death before he had seen the Lord's Christ.
Hadi alikuwa ameshoiwa na Holy Spirit hangeona death hadi kwanzaacheki Kristo mdosi sir Godi.

27.And he came in the Spirit into the temple; and when the parents brought in the child Jesus, to carry out for Him the custom of the Law,
So katika ile hali, akakam in the spirit hadi ndani ya temple; na ithaa maparo walileta baby Jesus, kutimiza for him zile customs za sheria,

28.then he took Him into his arms, and blessed God, and said,
akachukua mtoiakamshika kwa mikono, akabless God, na akasema,
29."Now Lord, You are releasing Your bond-servant to depart in peace,According to Your word;
"Sasa Sir Godi, unani release mse wako servant niishi na amani, kulingana na word yako;

30.For my eyes have seen Your salvation,
Ju macho zangu zimecheki salvation yako,

31.Which You have prepared in the presence of all peoples,
Yenye uliprepare mbele ya presence ya wasee wote,

32.A LIGHT OF REVELATION TO THE GENTILES, And the glory of Your people Israel."
MWANGAZA YA MA REVELATION KWA MATAIFA, Na glory ya wasee wako Israel."

33.And His father and mother were amazed at the things which were being said about Him.
Na mbuyu wake na matha wake wakashangaa na zile vitu zilikuwa zikibongwa ju ya JC.

34.And Simeon blessed them and said to Mary His mother, "Behold, this Child is appointed for the fall and rise of many in Israel, and for a sign to be opposed--
Na Simeon akawa bless na akashow Mary mathaake, "Ebu cheki, huyu mtoi amekuwa appointed for kuanguka na ku rise kwa wasee most Israel, na kama ishara ya kuwa opposed--
35.and a sword will pierce even your own soul--to the end that thoughts from many hearts may be revealed."
na njora itadunga hadi your own soul-- hadimwisho njo thoughts za moyo za wasee wengi zijulikane."

36.And there was a prophetess, Anna the daughter of Phanuel, of the tribe of Asher She was advanced in years and had lived with her husband seven years after her marriage,
Na kisha kulikuwa bado na prophetess, Anna yule dotee wa Phanuel, wa kabila ya Asher na sasa alikuwa mnyanye na alikuwa ameishi na hazii yake miaka saba baada ya wedo.


37.and then as a widow to the age of eighty-four. She never left the temple, serving night and day with fastings and prayers.
Kisha afterwards ka widow hadi age ya na huko eighty four. Hakuwahi acha temple, aki serve usiku namchana aki offer kufast na kupray.

38.At that very moment she came up and began giving thanks to God, and continued to speak of Him to all those who were looking for the redemption of Jerusalem.
Hiyo hiyo wasaa akakam juu pia na kuanza kutoa thanksgiving kwa sir Godi, na akazidi kubonga ju yake kwa wadhii wote walikuwa wakisaka ile redemption ya Jerusa.

39.When they had performed everything according to the Law of the Lord, they returned to Galilee, to their own city of Nazareth.
Kisha baada yao ku do kila requirement kulingana na sheria ya sir Godi, walirudi hood Galilaya, hadi jiji yao ya Nazareth.

40.The Child continued to grow and become strong, increasing in wisdom; and the grace of God was upon Him.
Yule mtoi akazidi ku grow na kuwa strong, akizidi na hekima; na ile grace ya God ilitulia juu yake.

41.Now His parents went to Jerusalem every year at the Feast of the Passover.
Sa wale maparo wake walikuwa wakiishiagaJerusa kila year time za paree ya passover.

42.And when He became twelve, they went up there according to the custom of the Feast;
Na ile time Jesus alifika twelve, waliishia juu kulingana na ile desturi ya bash;

43.and as they were returning, after spending the full number of days, the boy Jesus stayed behind in Jerusalem. But His parents were unaware of it,
kisha saa wakirudi, baadaya kuspend zile siku zote requirement ya bash, yule boy Jesus akastay nyuma Jerusa. Lakini maparo wake hawakujua,

44.but supposed Him to be in the caravan, and went a day's journey; and they began looking for Him among their relatives and acquaintances.
lakini walidhania ako nao kwa msafara ya caravan, kwa ivo walizi na safari ya siku moja; sa wakaanza kumtafuta kwa ma relaz na ma beshte.

45.When they did not find Him, they returned to Jerusalem looking for Him.
Vile walicheki ako mteja,hapatikani, wakarudi hadi jerusa kumsearch.

46.Then, after three days they found Him in the temple, sitting in the midst of the teachers, both listening to them and asking them questions.
Kisha, baada yasiku three wakamgetkwa temple, amepolea katikati ya ma mode, akiwaskizia na pia akiwadunga maswali.

47.And all who heard Him were amazed at His understanding and His answers.
Na wote wenye walimskiza walishanggazwa na vile alikuwa ameshika network na vile alitoa majibu.

48.When they saw Him, they were astonished; and His mother said to Him, "Son, why have You treated us this way? Behold, Your father and I have been anxiously looking for You."
Nyakati mapero wake walimcheki pale, walishtushwa; na mathaake akamshow,"Mtoi wangu, mbona umetutreat hivo jo? Cheki,mina mbuyu wako tumekuwa tukikusaka na ma anxiety zingine meja."

49.And He said to them, "Why is it that you were looking for Me? Did you not know that I had to be in My Father's house?"
Na JC akawashow,"Mbona.Kwani hamkujua lazma tu ningekuwa kwa keja ya Mbuyuz wangu?"

50.But they did not understand the statement which He had made to them.
Lakini mapero hawakuelewa iyo statement yenye aliwashow.

51.And He went down with them and came to Nazareth, and He continued in subjection to them; and His mother treasured all these things in her heart.
So akarudi down nao hadi wakafika Nazareth, na akabaki akiwatii; na mathake akaweka hizi vitu zote ndani yaheart yake.

52.And Jesus kept increasing in wisdom and stature, and in favor with God and men.
Na Jesus akazidi kukua na wisdom na quality, na pia na acceptance kwa sir Godi na wasee.

No comments:

Post a Comment