Monday, August 24, 2009

Luke 16

Luka Flow ya Sixteen - Luke 16

1.Jesus told his disciples: "There was a rich man whose manager was accused of wasting his possessions.
JC akashow disciples wake niaje: "Kulikuwa na sonkwo mmoja mwenye manager wa ma biz
zake alipatikana na accusation za ku waste cargo za mdosi.

2.So he called him in and asked him, 'What is this I hear about you? Give an account of your management, because you cannot be manager any longer.'
Kwa ivo mdosi akamwita na akamwuliza, 'Ni stori gani hii naskia ju yako? Nipee account kwanza ya vile una manage, ju hauwezi baki manager tena any more.'

3."The manager said to himself, 'What shall I do now? My master is taking away my job. I'm not strong enough to dig, and I'm ashamed to beg—
"Yule manager akajibongesha, 'Wuui!Nitado what sasa manze? Mdosi asha ni sack akachukua job yangu away. Siko mstrong vile niseme ati nitaenda kulima shake, na mapepe zangu na status, niko ashamed ku beg-

4.I know what I'll do so that, when I lose my job here, people will welcome me into their houses.'
Najua chenye nita do njo sasa, hatatime napoteza job hapa, watu watanikaribisha kwa ma hao zao.'

5."So he called in each one of his master's debtors. He asked the first, 'How much do you owe my master?'
Kwa hivo akaita ndani kila mmoja ya wale wase walikuwa na madeni za mdosi. Akauliza wa fao, 'Dongela ngapi una owe mdosi wa mine?'

6." 'Eight hundred gallons of olive oil,' he replied."The manager told him, 'Take your bill, sit down quickly, and make it four hundred.'
Mdeni akasema," ' Galans soo nane za olive oil.' Maneja akamshow, 'Haya! Chukua bill yako, kaa down chap chap, ichange ikuwe soo nne.'

7."Then he asked the second, 'And how much do you owe?' " 'A thousand bushels of wheat,' he replied. "He told him, 'Take your bill and make it eight hundred.'
" Kisha akaulizathe second,'Na wee unatu-owe how much?' Akajibu," 'Gorogoro Tenga moja za ngano.' Akamshow, 'Chukua bill yako na uchange ikuwe soo nane.'

8."The master commended the dishonest manager because he had acted shrewdly. For the people of this world are more shrewd in dealing with their own kind than are the people of the light.
"Yukle sonkwo alibaki amemsare tu,hadi akamcongratulate maneja mkora huski, ju ali act na ujanja ya hustler.Ju wasee wa hi dunia wana ujanja ya kuhustle more wakati wana deal na wenzao hatakuliko majamaa wa nuru.

9.I tell you, use worldly wealth to gain friends for yourselves, so that when it is gone, you will be welcomed into eternal dwellings.
Nawashow, tumia mali ya dunia kuget mabeshte for yourselves, njo ikisha die, ime go, utakaribishwa kwa ma cribs zenyeni za milele.

10."Whoever can be trusted with very little can also be trusted with much, and whoever is dishonest with very little will also be dishonest with much.
"Mwenyeni mtrust worthy kwa vitu kidogo kidogo anaweza kuwa trusted na much, na mwenye ni mkoramkora haaminiki kwa vitu ndogo ndogo hawezi atakuwa mkora wa vitu mob.

11.So if you have not been trustworthy in handling worldly wealth, who will trust you with true riches?
Kwa ivo ka we haujatrustiwa ku handle mali yaworld, sa nani njo ataku trust na ile mali ya real?

12.And if you have not been trustworthy with someone else's property, who will give you property of your own?
Na kama haujaaminika na burungo ya mse mwingine, nani atajugei mali yako we mwenyewe?

13."No servant can serve two masters. Either he will hate the one and love the other, or he will be devoted to the one and despise the other. You cannot serve both God and Money."
"Hanaku servant mwenye anaweza tumikia ma sonkwo wawili.Labda ata hate mmoja na apende yule mwingine ama atajitolea zaidi kwa mse mmoja na adharau yule mwingine. Hauwezi ku serve sir Godi na Munde."

14.The Pharisees, who loved money, heard all this and were sneering at Jesus.
Wale mapharisayo, wenye walipenda pesa, wakaskia hiyo yote na wakaanza kumcheki JC na dharau.

15.He said to them, "You are the ones who justify yourselves in the eyes of men, but God knows your hearts. What is highly valued among men is detestable in God's sight.
JC akawaambia, "Nyi njo mnajipendekezaga mbele ya macho ya wasee, lakini God ashajua heart zenu.Chenye kiko na value mob kwa majamaa kiko hated mbele ya macho ya sir Godi.

16."The Law and the Prophets were proclaimed until John. Since that time, the good news of the kingdom of God is being preached, and everyone is forcing his way into it.
"Law na ma prophets walikuwa wakitangazwa hadi time ya Johnie.Toka hapo iyo time, ile good news ya kingdom ya sir Godi ina preachiwa, na kila mse anaingia kimangoto,by force.
17.It is easier for heaven and earth to disappear than for the least stroke of a pen to drop out of the Law.
Ni easy zaidi for heaven na earth ku disappear kuliko hata ile maandishi ndogo kabisa ya kalamu kuanguka toka kwa law.

18."Anyone who divorces his wife and marries another woman commits adultery, and the man who marries a divorced woman commits adultery.
"Kila mtu mwenye anadivorce waifudhes wake na kumarry manzi mwingine ana commit adultery, na yule jamaa ana marry a divorced woman pia anacommit adultery.

19."There was a rich man who was dressed in purple and fine linen and lived in luxury every day.
"Kulikuwa na mse rich alikuwa anadunga nguo za purple na linen fine na aliishi kwa raha kila daily.

20.At his gate was laid a beggar named Lazarus, covered with sores
Kwa gate yake kulikuwa na beggar fulani aliitwa lazarus, mwenye body yake ilifunikwa na vidonda.

21.and longing to eat what fell from the rich man's table. Even the dogs came and licked his sores.
Naalitamani kudishi hata tu chenye kilianguka from meza ya sonkwo. Hata dogi zilikuwa zinakam kuramba vidonda zake. Yak!

22."The time came when the beggar died and the angels carried him to Abraham's side. The rich man also died and was buried.
"Ile time ikakamu na beggar aka kick na ma angels wakamkamia wakambeba hadi kando ya Abraham. Yule jamaa richpia akadie na akazikwa.

23.In hell, where he was in torment, he looked up and saw Abraham far away, with Lazarus by his side.
Huko hell, place alikuwaga aki go through torture, akacheki juu na akaona Abraham huko mbaali, na Lazaro kando yake.

24.So he called to him, 'Father Abraham, have pity on me and send Lazarus to dip the tip of his finger in water and cool my tongue, because I am in agony in this fire.'
Kwa hivo aka call out kwake, 'Daddy Abraham, kuwana huruma kwangu jo na utume Lazaro a dip fingertip yake kwa maji akam apoeshe ulimi yangu, ju naumia sana kwa hii nare.'

25"But Abraham replied, 'Son, remember that in your lifetime you received your good things, while Lazarus received bad things, but now he is comforted here and you are in agony.
"Lakini Abraham akajibu, "Son, kumbuka tu ile wakati ya life yako ulipokea vitu freshi freshi, lakini Lazaro alikuwaga tu na vitumboff, lakini sasa ako comfortable hapa na wewe unaumia.

26And besides all this, between us and you a great chasm has been fixed, so that those who want to go from here to you cannot, nor can anyone cross over from there to us.'
Hatakama tungelenga hiyo stori, kati yetu na wewe kuna mtaro ingine ya nguvu ime fixiwa hapo, hadi hata kama wale wasee wako hapa wanataka kwenda toka hapa hadi kwako hawawezi, na wale wanataka ku cross toka kwako kukam hapa hawawezi.'

27."He answered, 'Then I beg you, father, send Lazarus to my father's house,
Akamjibu,'Basi please nakuomba, mbuyu, send Lazaro kwa hao ya mbuyu wangu,

28.for I have five brothers. Let him warn them, so that they will not also come to this place of torment.'
Ju nina mabro wa five.Wacha awashow warning, njo pia nao wasikam hapa kwa hii place ya mateso.'

29."Abraham replied, 'They have Moses and the Prophets; let them listen to them.'
Abraham akajibu, 'Wako na Mosee na ma prophets; wacha; wacha wawasikilize wao.'

30." 'No, father Abraham,' he said, 'but if someone from the dead goes to them, they will repent.'
Sonkwo akadai," ' Zi, mbuyu Abraham,lakini mse akitoka from the dead aishie kwao, wata repent.'

31."He said to him, 'If they do not listen to Moses and the Prophets, they will not be convinced even if someone rises from the dead.' "
"Akamshow niaje, 'Wasipo skiliza Mose nama prophets, hawatawai kuwaconvinced hadi hata mse akifufuka from the dead.' "

No comments:

Post a Comment