Monday, August 24, 2009

Luke 15

Luka Flow ya Kumi na Tano-Luke 15

1.Now the tax collectors and "sinners" were all gathering around to hear him.
So sasa hadi wale wajamaa wa kucollect munde ya gava,tax, na "wenye dhambi' walikuwa wanajikusanya karibu kumskiza.

2.But the Pharisees and the teachers of the law muttered, "This man welcomes sinners and eats with them."
Lakini wale ma pharisayo na ma odijo wa law wakabonga kisirisiri, "Huyu mse ana karibisha wase wa gizani na pia anadishi nao."

3.Then Jesus told them this parable:
JC akawaelimisha na hii parable:

4."Suppose one of you has a hundred sheep and loses one of them. Does he not leave the ninety-nine in the open country and go after the lost sheep until he finds it?
"Tuseme pengine mmoja wenu ako na kondoo soo moja alafu alostishe mmoja. Si anaachaga wale wengine ninety nine kwa field open alafuanaishia after ile sheep yenye imelost akiisaka hadi aiget?

5.And when he finds it, he joyfully puts it on his shoulders
Na akiiget, je? Si anaisunda juu ya mabega na kuibeba.

6.and goes home. Then he calls his friends and neighbors together and says, 'Rejoice with me; I have found my lost sheep.'
Kisha anaishia kejani.Ambapo sasa anaita washikaji wake wote hadi na maneiba tugezza na kuwashow,'Celebrate na mimi; ju nimeget sheep yangu yenye ilikuwa imelost.'

7.I tell you that in the same way there will be more rejoicing in heaven over one sinner who repents than over ninety-nine righteous persons who do not need to repent.
So nawaeleza for real ivo ivo in the same way kuna kuwaga na hadi celebrations za nguvu heaven ju ya sinner mmoja akirepent kuliko hata ju ya wasee ninety nine wa holy wenye hawa need ku repent.

8."Or suppose a woman has ten silver coins and loses one. Does she not light a lamp, sweep the house and search carefully until she finds it?
"Ama imagine kuna matha mwenye ako na ma silver coins kinde na alostishe moja. Si ye ata washa taa, asweep hao yake akidunga msako meja vi carefully hadi aget hiyo coin?

9.And when she finds it, she calls her friends and neighbors together and says, 'Rejoice with me; I have found my lost coin.'
Na akisha ipata, ye huita the ladies chama washikaji wake na maneiba wote pamoja na kudai, 'Celebrate na mimi mase; nimesakanya lost coin ya mine.'
10.In the same way, I tell you, there is rejoicing in the presence of the angels of God over one sinner who repents."
Ivo ivo tu, nawaelimisha hivi, kuna paree ya strength mbele ya presence ya angels wa sir Godi ju ya sinner mmoja aki repent."

11.Jesus continued: "There was a man who had two sons.
JC akazidi na teachings akidai:"Kulikuwa na mse mmoja na watoi chali wambee.

12.The younger one said to his father, 'Father, give me my share of the estate.' So he divided his property between them.
Yule m young zaidi akashow buzzenga wa his, 'Mbuyu niaje,nigei portion yangu ya inheritance yangu.' So mbuyuz akagawa mali kati yao.'

13."Not long after that, the younger son got together all he had, set off for a distant country and there squandered his wealth in wild living.
"Sio long after hiyo njo yule mtoi son youngest akasakanya burungo zake za inheritance plus vitu zake zote, akaishia safari ya mpango hadi majuu na hapo akahepi ka kubaff akakula mali yake aki live it up na life wild.

14.After he had spent everything, there was a severe famine in that whole country, and he began to be in need.
Bahadaye when alishaparty hadi akasota, kukashuka famine ingine wiked kwa hiyo country yote, hadi akaanza kuwa na mahitaji hawezi meet.

15.So he went and hired himself out to a citizen of that country, who sent him to his fields to feed pigs.
Ju ya hiyo stress akaishia akajiuza ka kandaya moko kwa raia ya hiyo country,mwenye alimtuma kwa shakeyake kulisha pigs.

16.He longed to fill his stomach with the pods that the pigs were eating, but no one gave him anything.
Manze alikuwa na ubao massive hadi akatamani kujaza tumbo na zile maganda zenye nguruwe zilidishi, lakini hakuna jamaa alimgei any.

17."When he came to his senses, he said, 'How many of my father's hired men have food to spare, and here I am starving to death!
"Alipojirudia akaanza kuona sense, akasema,'Manze ni servants wangapi wa mbuyu wangu wenye wana hadi dishi ya kuspare,na mi niko hapa na starve hata karibu ni die!"

18.I will set out and go back to my father and say to him: Father, I have sinned against heaven and against you.
Nitapiuga safari nirudi kwa mbuyu wa mine nimshow niaje:Daddy nimemess up nikaji waste, nimesin against heaven na wewe.

19.I am no longer worthy to be called your son; make me like one of your hired men.'
Sa hii siko worth kuitwa mtoi son wako; nifanye kama mmoja wa kanda ya moko, mse unalipa kukudungia janta.'

20.So he got up and went to his father. "But while he was still a long way off, his father saw him and was filled with compassion for him; he ran to his son, threw his arms around him and kissed him.
Kwa ivo akarauka akaishia kwa mbuyu wake. "Lakini akiwa anatokezea from very far bado, buzzenga akamcheki akajazika na hureuma ju yta son wake; akakitoa unyoya hadi akamfikia mtoi wake, akamrushia mikono around akamhug na kumkiss.

21."The son said to him, 'Father, I have sinned against heaven and against you. I am no longer worthy to be called your son.'
"Yule son wake akashow mbuyuz wake,'Daddy,nimesin against heaven na against wewe. Siko worth kuitwa mtoi wako.'

22."But the father said to his servants, 'Quick! Bring the best robe and put it on him. Put a ring on his finger and sandals on his feet.
"Lakini mbuyuwake akawashow ma mboch, 'Chap chap! Leta ile Koti freshi kabisa na umvalishe. Wekelea ring kwa finger yake na sadnale kwa miguu zake.

23.Bring the fattened calf and kill it. Let's have a feast and celebrate.
Leta yule ndama mmemnonesha na umchinje. Tukuweni na paree ya maana kucelebrate.

24.For this son of mine was dead and is alive again; he was lost and is found.' So they began to celebrate.
Ju huyu mkidi wangu alikuwa amededi na ni alive tena; alikuwaga amelost lakini sa amepatikana. So wakaanza wasee kucelebrate.

25."Meanwhile, the older son was in the field. When he came near the house, he heard music and dancing.
So katika ile hali, mtoi chali older alikuwa kwa shake. Nyakati alikamu karibu na mbanyu, akaskia sauti ya lundee- mangoma na kukatika.

26.So he called one of the servants and asked him what was going on.
Ju ya hiyo stori akaita mmoja wa wale servants wao kum ask niaje, kwani ni what inaendelea.

27.'Your brother has come,' he replied, 'and your father has killed the fattened calf because he has him back safe and sound.'
Servant akamjibu,'Bro wako ame return na fathee wenu amechinja ile ndama nono ju amempata back akiwa safe and sound.'

28."The older brother became angry and refused to go in. So his father went out and pleaded with him.
"Bro mbigi akajam mbaya hadi akakwara kuingia ndani ya keja. So mbuyu wao akaishia nje at least ambembeleze.

29.But he answered his father, 'Look! All these years I've been slaving for you and never disobeyed your orders. Yet you never gave me even a young goat so I could celebrate with my friends.
Lakini akajibu mbuyuz wake, 'Cheki! Hizi miaka zoote nimekuwa na do wax ka slave wako bilahataku disobey hataorder yako moja. Lakini haukuwai nigei hata kale kambuzi kayoung njo ni paree na mabeshte zangu.

30.But when this son of yours who has squandered your property with prostitutes comes home, you kill the fattened calf for him!'
Lakini time huyumtoi son wako mwenye ameblow munde yako kwa mapoko anakam home, unamchinjia yule ndama mnono, ju yake tu!'

31." 'My son,' the father said, 'you are always with me, and everything I have is yours.
Mbuyu akamshow, " 'Son wangu we kila time uko na mimi, na kila kitu yangu ni yako.

32.But we had to celebrate and be glad, because this brother of yours was dead and is alive again; he was lost and is found.' "
Lakini ilibidi ka celebration na shukrani jo, ju huyu bro wako mdogo alikuwa maiti lakini sa hii ako alive tena; alikuwa amelost lakini sasa ako found.' "

No comments:

Post a Comment