Sunday, August 9, 2009

Luke 5

Luka chapter ya Ngovo - Luke 5

1.One day as Jesus was standing by the Lake of Gennesaret, with the people crowding around him and listening to the word of God,
Siku one vile JC alikuwa akisimama kando ya Lake Gennesaret na rende bwaku ikimsurround na wakiskiza word ya sir Godi,

2.he saw at the water's edge two boats, left there by the fishermen, who were washing their nets.
akacheki pale kando ya wode boat limbi, zimekuwa parked hapo na ma fishermen, coz walikuwa waki wash net zao.

3.He got into one of the boats, the one belonging to Simon, and asked him to put out a little from shore. Then he sat down and taught the people from the boat.
Akacheck in kwa boat moja, ile ina belong kwa Simo, akamshow niaje tusonge pale mbele kidogo toka kwa beach. Kisha akaketi down na akaanza kufunza wasee word akipoleaga kwa boat.

4.When he had finished speaking, he said to Simon, "Put out into deep water, and let down the nets for a catch."
Nyakati alimaliza kubonga, alishow Simo niaje, "Sasa songesha boat hadi kule kudeep, kwa maji,na ushukishe ma nets njo ucatch fish."

5.Simon answered, "Master, we've worked hard all night and haven't caught anything. But because you say so, I will let down the nets."
Simo akamshow,"Mdosi,tumedunga wax kwa nguvu night nzima na bado hatujaget any.Lakini ju ni wewe umesema ivo, nitashukisha down ma nets."

6.When they had done so, they caught such a large number of fish that their nets began to break.
Time wali do ivo, walishika fish mob ya ajabu hadimanets zikaanza kubreak.

7.So they signaled their partners in the other boat to come and help them, and they came and filled both boats so full that they began to sink.
Kisha wakaanza ku-signal ma partners wao kwa ile boat ingine wakam wa wahelp, na wakakam kujaza boat zote hadi zikajaa zikaanza kusink.

8.When Simon Peter saw this, he fell at Jesus' knees and said, "Go away from me, Lord; I am a sinful man!"
Nyakati Simon Peter alicheki ivo, aka fall kwa knees za JC akasema, "Ishia na uniache bwana; mi ni msee wa madhambi!"

9.For he and all his companions were astonished at the catch of fish they had taken,
Ju yeye na wasee wake wote walikuwa wameshangaa ile size ya catch ya fish walikuwa wamekwachu,

10.and so were James and John, the sons of Zebedee, Simon's partners.Then Jesus said to Simon, "Don't be afraid; from now on you will catch men."
hadi Jamo na Johnie, ma sons wa Zebedee, ma business partner wa Simo, pia walikuwa wameshtuka. Kisha JCakashow Simo, "Usiogope mtu wangu; ju toka sasa utafish na kucatch wasee."

11.So they pulled their boats up on shore, left everything and followed him.
Kwa ivo wakavuta ile boat juu kwa shore, wakaacha kila kitu na wakamfuata.

12.While Jesus was in one of the towns, a man came along who was covered with leprosy. When he saw Jesus, he fell with his face to the ground and begged him, "Lord, if you are willing, you can make me clean."
Time ile Jesus alikuwa ndani ya moja ya zile tao, mse mmoja akatokezea along mwenye alikuwa amefunikwa na leprosy.Nyakati alicheki JC, akaanguka na face yake kwa grao,akambembeleza JC, "Lord, ka uko willing, unaweza ni- make clean."

13.Jesus reached out his hand and touched the man. "I am willing," he said. "Be clean!" And immediately the leprosy left him.
JC akareach out mkono yake akatouch yule mse. Akamshow, "Niko willing,kuwa clean!" Na mara one ile leprosy ikamwachilia.

14.Then Jesus ordered him, "Don't tell anyone, but go, show yourself to the priest and offer the sacrifices that Moses commanded for your cleansing, as a testimony to them."
Kisha JC akamshow niaje, "Usimshow mse any,lakini ishia ujionyeshe kwa wale ma priest na upeane ile sadaka yenye Mose aliagiza ipeanwe njo ukuwe clean, kama testimony kwao."

15.Yet the news about him spread all the more, so that crowds of people came to hear him and to be healed of their sicknesses.
Lakini ile news kumhusu ikaspread hata zaidi, hadi ma crowds za wasee wakakam kumskiza na kuwa healed toka kwa magonjwa zao.

16.But Jesus often withdrew to lonely places and prayed.
Lakini JC mara kwa mara alijitoa kwa rende akaishia place alikuwa solo kupray.

17.One day as he was teaching, Pharisees and teachers of the law, who had come from every village of Galilee and from Judea and Jerusalem, were sitting there. And the power of the Lord was present for him to heal the sick.
Siku moja akifunza, pharisees na ma odijo wa law ya Mose, wenye walikuwa wameng'oka toka kila village ya Galilee na Judea na Jerusa, walikuwa wamepolea hapo. Na nguvu ya sir Godi ilikuwa hapo ya kuheal the sick.

18.Some men came carrying a paralytic on a mat and tried to take him into the house to lay him before Jesus.
Wasee wengine wakakam wakibeba mse paralysed kwa carpet na wakatry kumleta ndani ya keja kumwekelea mbele ya JC.

19.When they could not find a way to do this because of the crowd, they went up on the roof and lowered him on his mat through the tiles into the middle of the crowd, right in front of Jesus.
Vile hawakuget njia any ya ku do ivo ju ya ile crowd,waliishia ju ya roof na wakamshukisha akiwa juu ya mat wakampitisha ndani kupitia zile tiles hadi katikati ya rende, mbele ya JC exact.

20.When Jesus saw their faith, he said, "Friend, your sins are forgiven."
Vile JC alicheki faith yao, akasema, "Beshte, dhambi zako zimesamehewa."

21.The Pharisees and the teachers of the law began thinking to themselves, "Who is this fellow who speaks blasphemy? Who can forgive sins but God alone?"
Wale pharisee na wale ma odijo washeria wakaanza kufikiria aje,"Huyu ni nani mwenye anaongea blasphemy? Nani anaweza kusamehe dhambi except sir Godi alone?"

22.Jesus knew what they were thinking and asked, "Why are you thinking these things in your hearts?
JC akamesea chenye walikuwa wakifikiria akauliza,"Mbona mnathink hizi vitu kwa heart zenu?

23.Which is easier: to say, 'Your sins are forgiven,' or to say, 'Get up and walk'?
Gani ni cheap stuff: kusema, 'Dhambi zako zimesamehewa, ama kusema inuka na utembee'?

24.But that you may know that the Son of Man has authority on earth to forgive sins...." He said to the paralyzed man, "I tell you, get up, take your mat and go home."
Lakini njo mjue son of Adam ana say on earth ya kusamehea dhambi..." Akashow yule kilema, "Nakushow, inuka, beba carpet yako na ukitoe home."

25.Immediately he stood up in front of them, took what he had been lying on and went home praising God.
Mara one akasimama mbele yao wote, akakwachu chenye alikuwaanalalia akaishia home
aki praise sir Godi.

26.Everyone was amazed and gave praise to God. They were filled with awe and said, "We have seen remarkable things today."
Kila msee akabaki amejazika akigeiana praise kwa sir Godi. Wakajazwa na mshangao wakabonga aje, "Tumecheki live live vitu za ajabu leo."

27.After this, Jesus went out and saw a tax collector by the name of Levi sitting at his tax booth. "Follow me," Jesus said to him,
After hii, JC akaishia out akacheki mse wa kucollect munde ya tax ya gava kwa Jina Levi ameketi kwa kiosk yake. JC akamshow, "Nifuate."

28.and Levi got up, left everything and followed him.
Levu akarauka, akasare kila kitu akamfuata.

29.Then Levi held a great banquet for Jesus at his house, and a large crowd of tax collectors and others were eating with them.
Kisha Levi akahold paree meja for JC kwa kejani yake, na rende bwaku ya work mates wake wasee wa kucollect munde ya tax ya gava na wengine walikuwa wakidishi nao.

30.But the Pharisees and the teachers of the law who belonged to their sect complained to his disciples, "Why do you eat and drink with tax collectors and 'sinners'?"
Lakini ma pharisees na ma odijo wa law ya Mosee wenye walikuwa wametoka kwa sect same wakazusha kwa disciples wa JC, "Mbona mna dishi na kudrink na ma tax collector mna 'wenye dhambi'?

31.Jesus answered them, "It is not the healthy who need a doctor, but the sick.
JC akajibu, "Sio wale wasee wako healthy wananeed doki, lakini wale sick.

32.I have not come to call the righteous, but sinners to repentance."
Sijakam ku call wasee wako poa na sir Godi- wako righteous, lakini wenye dhambi njo wa repent.

33.They said to him, "John's disciples often fast and pray, and so do the disciples of the Pharisees, but yours go on eating and drinking."
Wakamshow, "Ma disciple wa Johnie mara mob wako kwa prayer and fastng, hadi hata disciples wa pharisees, lakini wasee wako kila siku wanadishi na kudrink."

34.Jesus answered, "Can you make the guests of the bridegroom fast while he is with them?
JC akawajibu niaje, "Mnaweza make wageni wabwana harusi a fast nyakati ako nao?

35.But the time will come when the bridegroom will be taken from them; in those days they will fast."
Lakini maidhaa inakam, time bwana harusi atachukuliwa from them; hizo masiku wata fast."

36.He told them this parable: "No one tears a patch from a new garment and sews it on an old one. If he does, he will have torn the new garment, and the patch from the new will not match the old.
Kisha akawashow hii fumbo: "Hakuna mse hurarua kipande ya nguo toka kwa kladi mpya na kuishonelea ka kiraka ya nguo old. Ju aki do ivo, atakuwa amerarua kladi mpya, na ile kiraka haiwezi match nguo nzee.

37.And no one pours new wine into old wineskins. If he does, the new wine will burst the skins, the wine will run out and the wineskins will be ruined.
Na hakuna msee huweka wine mbichi kwa wine skins nzee. Ju aki do ivo, ile wine mbichi itaburst zile skins, wine itamwagika na wine skine zitaharibika.

38.No, new wine must be poured into new wineskins.
Zi, kila wine mpya lazima iwekwe kwa wineskin mpya.

39.And no one after drinking old wine wants the new, for he says, 'The old is better.' "
Na hakuna msee baada ya ku drink wine old anataka ile new ju atasema, 'Ile nzee njo poa zaidi.' "

No comments:

Post a Comment