Sunday, August 23, 2009

Luke 13

Luka flow ya kinde plus three - Luke 13

1.Now there were some present at that time who told Jesus about the Galileans whose blood Pilate had mixed with their sacrifices.
Sasa kuna venye, wasee wengine walikuwaga hapo iyo time wakamshow JC kuhusu ile kisanga ya watu wa hood ya Galilee wenye walimadwa alafu damu yao ika mixiwa na sadaka za Pilate.

2.Jesus answered, "Do you think that these Galileans were worse sinners than all the other Galileans because they suffered this way?
JC akajibu, "Unadhani ati hao wasee wa Galilee njo walikuwa wale sinners wanoma sana kuliko sinners wengine galilee ju waliumia hivo?

3.I tell you, no! But unless you repent, you too will all perish.
Nawashow zii! Lakini pia nyinyi msipo repent, nyote tu mtaisha.

4.Or those eighteen who died when the tower in Siloam fell on them—do you think they were more guilty than all the others living in Jerusalem?
Ama wale mtu eighteen wali die vile ilt tower ya Siloam ilidunda juu yao- unadhani walikuwa ni wasee wengine more guilty than wenzao wenye walikuwa wakipolea Jerusa?

5.I tell you, no! But unless you repent, you too will all perish."
Nawaelimisha hapa, zi! Lakini msipo repent, jua pia nyinyi mtaisha."

6.Then he told this parable: "A man had a fig tree, planted in his vineyard, and he went to look for fruit on it, but did not find any.
Basi akawatolea ka parable kiasi: "Jamaa alikuwa na mti wa mkuyu, yaani figs, akaipanda kwa shake yake ya grapes, alafu akaishia kutafuta matundakwa hiyo mti, lakini akakosa hata kadha.

7.So he said to the man who took care of the vineyard, 'For three years now I've been coming to look for fruit on this fig tree and haven't found any. Cut it down! Why should it use up the soil?'
Kwa hivo akamshow jamaa yule alikuwaga aki take care ya shakee,'Niaje, kwa miaka tatu sasa nimekuwa nikikam hapa kutafuta fruits kwa hii mkuyu lakini si get. Do hivi, ikate down! Mbona i use mchanga poa bure?'

8." 'Sir,' the man replied, 'leave it alone for one more year, and I'll dig around it and fertilize it.
Kanda ya moko akamshow, " 'Boss, wachana nayo at least mwaka ingine moja, nitachimba around it hadi niweke mbolea, ka fertilizer.

9.If it bears fruit next year, fine! If not, then cut it down.' "
Ikitoa matunda next year, poa! Ikikwara, basi ikatwe down.' "

10.On a Sabbath Jesus was teaching in one of the synagogues,
Siku moja sabbath ivi,Jesus alikuwa akitoa somo kwa moja ya zile synagogues,

11.and a woman was there who had been crippled by a spirit for eighteen years. She was bent over and could not straighten up at all.
na matha mwingine alikuwa, manze akose achekwe,zi! Na alikuwa kiwete ju ya shaito fulani for miaka eighteen. Alikuwa amepinda down hata hangesimama straight kabisa.

12.When Jesus saw her, he called her forward and said to her, "Woman, you are set free from your infirmity."
Time JC alimcheki, akamwita mbele akamwambia, "Matha, uko free from iyo ugonjwa yako."

13.Then he put his hands on her, and immediately she straightened up and praised God.
Kisha akawekelea mikono yake juu ya matha, na maraone akastrighten up aka praise sir Godi.
14.Indignant because Jesus had healed on the Sabbath, the synagogue ruler said to the people, "There are six days for work. So come and be healed on those days, not on the Sabbath."
Jamaa sonkwo wa sunagogue alijam, ati ju JC ali heal kwa sabbath,hadi akatoa notice time ya announcements kwa wadhii ati,"Kuna siku six za janta. Kwa hivo wasee wakam kuponywa hizo ma days, siyo siku ya sabbath."

15.The Lord answered him, "You hypocrites! Doesn't each of you on the Sabbath untie his ox or donkey from the stall and lead it out to give it water?
JC akamshow niaje, "We ni mse phony sana!Si kila msee hapa siku ya sabbath unafunguliaga ndume wako ama punda from kibanda yake ju unafaa kumpatia wode?

16.Then should not this woman, a daughter of Abraham, whom Satan has kept bound for eighteen long years, be set free on the Sabbath day from what bound her?"
Basi mbona huyu matha, mtoi wa Abraham, mwenye shaito amefunga kwa miaka hizi zote eighteen, time long ivo, asifunguliwe on the sabbath from chenye kimemfunga?
17.When he said this, all his opponents were humiliated, but the people were delighted with all the wonderful things he was doing.
Aliposema hivo wasee wote walikuwa wakimpiga opposition waka aibika, lakini raia wakabambika na vitu zote wonderful alikuwa anado.

18.Then Jesus asked, "What is the kingdom of God like? What shall I compare it to?
Kisha JC akauliza, "Kingdom ya sir Godi ni like nini?Naweza i compare to what?

19.It is like a mustard seed, which a man took and planted in his garden. It grew and became a tree, and the birds of the air perched in its branches."
Bass! Ni kaa mbegu ya haradali, yenye jamaa alichukua akapada kwa shamba yake. Ikamea hadi ikakuwa bonge la mti, nandush wakatokezea kupoleaga kwa mabranch zake."

20.Again he asked, "What shall I compare the kingdom of God to?
Tena akauliza, "Ni nini nitacompare kingdom ya sir Godi to?

21.It is like yeast that a woman took and mixed into a large amount of flour until it worked all through the dough."
Man nika baking powder, chapa mandashi,yenye mathe alikwachu aka mix poa kwa mfuko large ya unga hadi ika work ndani ya hiyo mix ya wode na unga.

22.Then Jesus went through the towns and villages, teaching as he made his way to Jerusalem.
Kisha JC akapiga raundi akipitia zile ma vijiji na ma gherro, akitoa teachings mzito mzito akielekeaga Jerusa.

23Someone asked him, "Lord, are only a few people going to be saved?"He said to them,
Mse akamtupia JC swali,"Bwana mdosi, kwani ni wasee fewpekee njo watasevika?"Akawashow,

24."Make every effort to enter through the narrow door, because many, I tell you, will try to enter and will not be able to.
"Tia bidii, watu wangu, kazana kabisa na bidii zote, ku make sureume ingilia mlango mdogo, ju wengi, nawashow, watajaribu kupenya lakini hawata make.

25.Once the owner of the house gets up and closes the door, you will stand outside knocking and pleading, 'Sir, open the door for us.' "But he will answer, 'I don't know you or where you come from.'
Ju manze ile wakati tu sonkwo wa mbanyu amerauka up na kufunga doaa, mtasimama nje mkigonga mlango na ku plead, 'Boss tufungulie doaa.' Lakini atajibu, 'Siwamesei na simesei mnatokezea wapi.'

26."Then you will say, 'We ate and drank with you, and you taught in our streets.'
Kisha muta dai, Aaaih!'Tulidishi na wewe na kudrink na wewe, ulifunzaga kwa ma street corners zetu, mtaani.'

27."But he will reply, 'I don't know you or where you come from. Away from me, all you evildoers!'
"Lakini atawajibu, "Siwamesei wala simesei mmetoka wapi. Niondokeeni, nyi wasee wa ma wax evil!

28."There will be weeping there, and gnashing of teeth, when you see Abraham, Isaac and Jacob and all the prophets in the kingdom of God, but you yourselves thrown out.
"Manze kutakuwa kilio hapo niaje, na waseewata grind meno zao, mkicheki Abraham, Izzo na Jacob na wale prophets wote wakiwa kwa kingdom ya sir Godi, lakini nyi wenyewe mmetupwa out.

29.People will come from east and west and north and south, and will take their places at the feast in the kingdom of God.
Hadi wasee watatokezea from mashariki na magharibi hadi north na south, na wakikwachu space zao kwa ile bash ya kingdom ya sor Godi.

30.Indeed there are those who are last who will be first, and first who will be last."
For real kuna wale wako last itabaki wako fao, na wale wa fao wabaki wako last."

31.At that time some Pharisees came to Jesus and said to him, "Leave this place and go somewhere else. Herod wants to kill you."
Hiyo ma time ma farisayo fulani wakamkamia JC wakamshow,"Ng'ooka hapa na uishie place ingine.Herod amekupangia kukumada."

32.He replied, "Go tell that fox, 'I will drive out demons and heal people today and tomorrow, and on the third day I will reach my goal.'
JCakawajibu, "Endeni mshow huyo mbweha,'Nitatimua mashaito nakuponya wagonjwa leona morro, na siku ya tatu nita reach goal yangu.'

33.In any case, I must keep going today and tomorrow and the next day—for surely no prophet can die outside Jerusalem!
Kwa vyovyote vile anyway, Ni lazima ni keep nikitravel leo, morro na siku next- ju for sure hakuna prophet mwenye anaweza kick outside ya Jerusa!
34."O Jerusalem, Jerusalem, you who kill the prophets and stone those sent to you, how often I have longed to gather your children together, as a hen gathers her chicks under her wings, but you were not willing!
"Oh Jerusa, maze Jerusaa, nyi wenye mnadaga ma prophets na kuwastone wote wametumwa kwenu, kamgejua ni marangapi nimetamani tu kuwa kusanya pamoja, ka hen vile hukusanya ma ngweks wadogo chini yawings zake, lakini hamkuwa na roho!

35.Look, your house is left to you desolate. I tell you, you will not see me again until you say, 'Blessed is he who comes in the name of the Lord.'"
Cheki hao yenu imeachwa kwenu solo, desserted.Nawashow live, hamtanicheki again hadi ile time mta confess, ' Blessed ni yule mse anakam kwa Jina ya sir Godi.' "

No comments:

Post a Comment