Wednesday, August 5, 2009

Luke 4

Luka ya nne -Luke 4

1.Jesus, full of the Holy Spirit, returned from the Jordan and was led by the Spirit in the desert,
JC akiwa amejazwa mzeiya, amejazwa na Holy Spirit, akarejea toka Jordan na akakuwa ushered na the Spirit,hadi desert,

2.where for forty days he was tempted by the devil. He ate nothing during those days, and at the end of them he was hungry.
hapo kwa siku forty alikuwa akitemptiwa na devo. Hakudishi chochote iyo time, na baada ya them days akawa na njaa.

3.The devil said to him, "If you are the Son of God, tell this stone to become bread."
Devo akamshow niaje, "Kama wewe ni mtoi wa sir Godi, show hizi stones zikuwe dibre."

4.Jesus answered, "It is written: 'Man does not live on bread alone.'"
JC akamshow niaje, "Imeandikwa: "Man hawezi live kwa dibre pekee. ' "

5.The devil led him up to a high place and showed him in an instant all the kingdoms of the world.
Kisha devo akam lead hadi kwa place juu na akamshow in a flash kila kingdom yenye ina exist kwa earth.

6.And he said to him, "I will give you all their authority and splendor, for it has been given to me, and I can give it to anyone I want to.
Alafu akadai aje, " nitakugei kila say yao na kila glamor na mapepe zao, ju zimegeiwa kwangu,na naweza gei mse any na want.

7.So if you worship me, it will all be yours."
Kwa hivo ukiniworship, yote itakuwa yako."

8.Jesus answered, "It is written: 'Worship the Lord your God and serve him only.'"
JC akajibu, "Imechorwa: 'worship tu bwana sirGodi pekee na umserve yeye tu.'"

9.The devil led him to Jerusalem and had him stand on the highest point of the temple. "If you are the Son of God," he said, "throw yourself down from here.
Devo akam lead hadi Jerusa na akamseti asimame kwa ile highest point ya temple. Akamshow aje, kama wewe ni mtoi wa sir Godi, jiachilie u fall chini toka hapa.

10.For it is written:" 'He will command his angels concerning you to guard you carefully;
Ju isha chorwa aje:" 'Atacommand angels wake kukuhusu kukuchunga vi carefully;

11.they will lift you up in their hands, so that you will not strike your foot against a stone.'"
watakuinua ju kwa mikono yao, hadi hata hauta jigonga mguuu kwa mawe.' "

12.Jesus answered, "It says: 'Do not put the Lord your God to the test.'"
JC akajibu, "Word inasema: 'Usimpee bwana sir Godi wako exam ati kumtest.' "

13.When the devil had finished all this tempting, he left him until an opportune time.
Nyakati devo alimaliza the great temptation, alimwacha hadi time ingine smarta.

14.Jesus returned to Galilee in the power of the Spirit, and news about him spread through the whole countryside.
JC akarejea hadi hood ya Galilaya ndani ya upako wa Holy Spirit, na 411 yake ikasambazwa kwaile ocha yote surroundings.

15.He taught in their synagogues, and everyone praised him.
Akafunza kwa synagogues zao, na kila mse akamsifu.

16.He went to Nazareth, where he had been brought up, and on the Sabbath day he went into the synagogue, as was his custom. And he stood up to read.
Akaishia hadi Nazareth, place alikuwa amegrow up, na on the sabbath akaishia ndani ya synagogue, kama kawaida yake.Aka stand kusoma.

17.The scroll of the prophet Isaiah was handed to him. Unrolling it, he found the place where it is written:
Ile mbuku ya them days-scroll, ya prophet Izzo ikapeanwa kwake. Akai unroll hadi akapata place ilikuwa imeandikwa:

18."The Spirit of the Lord is on me,because he has anointed me to preach good news to the poor. He has sent me to proclaim freedom for the prisoners and recovery of sight for the blind, to release the oppressed,
"Spirit wa God ako juu yangu, ju ameni anoint kupreach good news kwa wasee poor. Amenituma ku proclaim freedom kwa wasee wako jail na kurudishiwa sight ya wasee blind, ku release wasee oppressed,

19.to proclaim the year of the Lord's favor."
kuproclaim ile mwaka ya favor ya God."

20.Then he rolled up the scroll, gave it back to the attendant and sat down. The eyes of everyone in the synagogue were fastened on him,
Kisha akaroll up scroll, akaigeiana back kwa attendant akatulia down. Macho ya wasee wote kwasynagogue ikawa imekwamilia kwake,

21.and he began by saying to them, "Today this scripture is fulfilled in your hearing."
na akabegin kwa kusema, "Leo hizi scripture zimefulfiliwa kwa maskio zenu."

22.All spoke well of him and were amazed at the gracious words that came from his lips. "Isn't this Joseph's son?" they asked.
kila mse alibonga poa wote wakiwa wamejazika kumhusu vile maneno matamu ilitoka kwa mouth yake. Waka ask, "Si huyu ni son wa Joseph?"

23.Jesus said to them, "Surely you will quote this proverb to me: 'Physician, heal yourself! Do here in your hometown what we have heard that you did in Capernaum.' "
JC akawashow niaje,"kwa hakika mtanisomea hii proverb: 'Daktari, jiponye msee! Fanya
hapa zile vitu tuliskia uli pull huko capernaum.' "

24."I tell you the truth," he continued, "no prophet is accepted in his hometown.
Akazidi hivi,"nawashow ukweli,hakuna prophet ako accepted ndani ya home town yake."

25.I assure you that there were many widows in Israel in Elijah's time, when the sky was shut for three and a half years and there was a severe famine throughout the land.
Nawapatia assurance kuwa walikuwa na widows wengi Israel time za Elijah,nyakati sky ilikuwa imefungwa miaka three na nusu na kulikuwa na famine meja kwa land nzima.

26.Yet Elijah was not sent to any of them, but to a widow in Zarephath in the region of Sidon.
Lakini Elijah hakutumwa kwa wowote hao, lakini alisendiwa kwa widow fulani Zarephath kwa ile area code ya sidon.

27.And there were many in Israel with leprosy in the time of Elisha the prophet, yet not one of them was cleansed—only Naaman the Syrian."
Na kulikuwa na wasee mob wenye walikuwa na leprosy Israel zile nyakati za prophet Elisha, lakini hanaku hata mmoja alioshwa clean- except Naaman mse m-Syrian."

28.All the people in the synagogue were furious when they heard this.
Wasee wote walikuwa wametokezea synagogue wakajam mbaya wakati waliskia izo allegations.

29.They got up, drove him out of the town, and took him to the brow of the hill on which the town was built, in order to throw him down the cliff.
Wakarauka, wakampeleka mbio hadi nje ya tao, wakamfikisha kwa cliff ya mlima penye tao ilikuwaimejengwa, njo wamtupe down kwa cliff.

30.But he walked right through the crowd and went on his way.
Lakini alipita katikati ya rende na akaishia zake.

31.Then he went down to Capernaum, a town in Galilee, and on the Sabbath began to teach the people.
Akaishia hadi pale capernaum, tao imesit in Galilee, na day ya sabbath akaanza kufunza wadhii.

32.They were amazed at his teaching, because his message had authority.
Si wakajazika na ile system alitumia ku teach, ju message yake ilikuwa ina say.

33.In the synagogue there was a man possessed by a demon, an evilspirit. He cried out at the top of his voice,
Na ndani ya synagogue kulikuwa na msee fulani alikuwa ameshikwa na shaitula imempossess.Akalia kwa sauti yake yote,

34."Ha! What do you want with us, Jesus of Nazareth? Have you come to destroy us? I know who you are—the Holy One of God!"
"Ha! Unawant nini na sisi, JC wa nazareth? Je umecome kutufinish? Namesea we njo nani- mse mholy wa bwana sir Godi!"

35."Be quiet!" Jesus said sternly. "Come out of him!" Then the demon threw the man down before them all and came out without injuring him.
JC akacommand shaito, "Tulia kimya! Toka ndani yake!"So devo akamtupa huyo mse down mbele ya wasee wote akamtoka bila kum hurt.

36.All the people were amazed and said to each other, "What is this teaching? With authority and power he gives orders to evil spirits and they come out!"
Kila mse akawa jazzed wakabongeshana, "Ni nini hii teaching? Akitumia say na power aanageiana ma-order kwamashaito na zinakitoa!"

37.And the news about him spread throughout the surrounding area.
Na ile 411 kumhusu ikasambazika kote vijijini, kwa ile area.

38.Jesus left the synagogue and went to the home of Simon. Now Simon's mother-in-law was suffering from a high fever, and they asked Jesus to help her.
JC akatoka kwa synagoguena akaishia kwa hao ya Simo. Sa Simo, mathake alikuwa ana go through high fever, so waka ask JC amhelp.

39.So he bent over her and rebuked the fever, and it left her. She got up at once and began to wait on them.
JC akainama akakemea fever, ikamwacha ikaishia. Akainuka mara one akaanza kufanya job ya waiter.

40.When the sun was setting, the people brought to Jesus all who had various kinds of sickness, and laying his hands on each one, he healed them.
Kisha nyakati solar ilikuwa ina set, wasee wakaleta wasee wote walikuwa na maugonjwa mob various, akawawekelea mikono akawaponya.
41.Moreover, demons came out of many people, shouting, "You are the Son of God!" But he rebuked them and would not allow them to speak, because they knew he was the Christ.
Kuzidisha, mashaito zikajichuja toka kwa wasee wengi zikishout, "We njo mtoi wa sir Godi!" lakini aliwashow ka warning wasibonge ivo, ju walijua yeye ni christ.

42.At daybreak Jesus went out to a solitary place. The people were looking for him and when they came to where he was, they tried to keep him from leaving them.
Sa at daybreak JC akaishia out kwa place solo. Wasee walikuwa wanacheck check out for him ako wapi so vile walimfikia place alikuwa, wakajaribu kumzuia from kuishia.

43.But he said, "I must preach the good news of the kingdom of God to the other towns also, because that is why I was sent."
Lakini akawashow niaje,"Lazima ni preach hizi good news ya hii kingdom ya sir Godi kwa hizi tao zingine, ju njo maana nilitumwa."

44.And he kept on preaching in the synagogues of Judea.
Na akazidi kupreach kwa zile synagogue za Judea.

No comments:

Post a Comment