Friday, August 28, 2009

Luke 19

Luka, vile huwa chapta nineteen-Luke 19

1.Jesus entered Jericho and was passing through.
JC akadonjo Jeri na alikuwa akipitia tu.

2.A man was there by the name of Zacchaeus; he was a chief tax collector and was wealthy.
Kulikuwa na boy fulani hapo aliitagwa Zacchaeus ama Zax; na alikuwa chief sonkwo wa wasakanyaji wa munde ya tax kwa ivo ju ya hiyo stori alikuwa ameosa mbaya.

3.He wanted to see who Jesus was, but being a short man he could not, because of the crowd.
Na alitaka kucheki JC ni mse mgani, lakini ju alikuwa kapyenga hange make, ju ya rende.

4.So he ran ahead and climbed a sycamore-fig tree to see him, since Jesus was coming that way.
Kwa ivo akakimbia mbele akakwaya sycamore fig tree ili angalau amcheki, ju JC alikuwa akikam na hiyo baro.

5.When Jesus reached the spot, he looked up and said to him, "Zacchaeus, come down immediately. I must stay at your house today."
Vile time JC alifika hapo ivo, alicheki juu, akamshow,"Zax, ebu shuka down chap chap. Leo lazima tu nitulie kwa keja yako."

6.So he came down at once and welcomed him gladly.
so akashuka down mara one na kumkaribisha aki hepi.

7.All the people saw this and began to mutter, "He has gone to be the guest of a 'sinner.' "
Vile wasee walicheki hii stori wakaanza kubonga kimya kimya, "Itakuwaje! Ashaishia kukuwa mgeni wa jamaa 'sinner.' "

8.But Zacchaeus stood up and said to the Lord, "Look, Lord! Here and now I give half of my possessions to the poor, and if I have cheated anybody out of anything, I will pay back four times the amount."
Lakini Zax akasimama up na kumshow sa Bwana mdosi, "Cheki, Sonkwo! Hapa na sasa napeana half ya burungo zangu zote kwa wase poor, na kama nimegonga mse chochote, narudisha back mara four ya chenye nili take."

9.Jesus said to him, "Today salvation has come to this house, because this man, too, is a son of
Abraham.
JC akamshow,"Leo salvation imekam kwa hii mbanyu, ju huyu jamaa, pia, ni mtoi wa Abraham.

10.For the Son of Man came to seek and to save what was lost."
Ju mtoi chali wa adam alikam kusakanya na kuokoa kile kilipotezwa."

11.While they were listening to this, he went on to tell them a parable, because he was near Jerusalem and the people thought that the kingdom of God was going to appear at once.
Nyakati walikuwa wanaskiliza hii, akazidi na kuwashow parable moja hivi, ju alikuwa karibu kuingia Jerusa, na wasee walidhani ati kingdom ya sir Godi inge appear tu mara once.

12.He said: "A man of noble birth went to a distant country to have himself appointed king and then to return.
Akawashow: "Jamaa wa a noble birth aliishia to a distant country kufanywa mwenyewe akuwe king na alafu arejee.

13.So he called ten of his servants and gave them ten minas.'Put this money to work,' he said, 'until I come back.'
Kwa ivo akawaita wasee kinde ma servants wake akawagei shilingi kinde. Akawashow niaje,'Wekeni hii munde to work, hadi vile nitarudi.'

14."But his subjects hated him and sent a delegation after him to say, 'We don't want this man to be our king.'
"Lakini wale raia wake walikuwaga ma haters wake mbaya so wakatuma delegation kusema ati, 'Hatutaki huyu jamaa akuwe king wetu.'

15."He was made king, however, and returned home. Then he sent for the servants to whom he had given the money, in order to find out what they had gained with it.
Lakini akafanywa king bado, alafu akarudi home. Kisha akatumana wale mamboch wenye alikuwa amegei munde, wakam, njo a find out ni what walikuwa wame make profit nayo.

16."The first one came and said, 'Sir, your mina has earned ten more.'
"Wa kwanza akakam akasema, "sonkwo, shilingi ya yours ime make kumi zaidi.'

17." 'Well done, my good servant!' his master replied. 'Because you have been trustworthy in a very small matter, take charge of ten cities.'
Sonkwo wake akamshow,"' Ume do poa, servant wangu mzuri! Ju umeaminika kwa kitu small sana, chukua control ya cities kumi.'

18."The second came and said, 'Sir, your mina has earned five more.'
"Yule wa pili aka kam akasema, "Mdosi, shilingi yako ime make zingine tano.'

19."His master answered, 'You take charge of five cities.'
"Sonkwo wake akamshow, 'Chukua charge ya cities tano.'

20."Then another servant came and said, 'Sir, here is your mina; I have kept it laid away in a piece of cloth.
"Kisha servant mwingine akakam akasema, 'Mdosi, njo hii shilingi yako hapa; nimekuwa nikii keep away ikiwa kwa kiraka.

21.I was afraid of you, because you are a hard man. You take out what you did not put in and reap what you did not sow.'
Nilikuwa nimegwaya juu yako, because we ni mse mgumu. Unachukua out chenye haukuweka ndani na kuvuna chenye hauku plant.'

22."His master replied, 'I will judge you by your own words, you wicked servant! You knew, did you, that I am a hard man, taking out what I did not put in, and reaping what I did not sow?
"Sonkwo wake akajibu, 'Nitaku judge na maneno yako mwenyewe, we servant m wiked! Ulijua sio, ati mi nimse mgumu, na chukua out chenye sikuweka ndani, na kuvuna place sikupanda?

23.Why then didn't you put my money on deposit, so that when I came back, I could have collected it with interest?'
Mbona basi haukuweka mundee zangu on deposit, alafu at least nikirudi, ningeicollect na interest?'

24."Then he said to those standing by, 'Take his mina away from him and give it to the one who has ten minas.'
"So akashow wale walikuwa wamesimama kando, 'Chukua shilingi yake from him na uipeane kwa the one mwenye ako na shilingi kumi.'

25." 'Sir,' they said, 'he already has ten!'
Wakamshow, " 'Mdosi, tayari ana shilingi kumi!'

26."He replied, 'I tell you that to everyone who has, more will be given, but as for the one who has nothing, even what he has will be taken away.
"Kisha akajibu, 'Nawashow kuwa kila mse ako nazo, zaidi zitaongezwa, lakini yule mwenye hana any, hata zenye ako nazo zitachukuliwa.

27.But those enemies of mine who did not want me to be king over them—bring them here and kill them in front of me."
Lakini wale ma haters wangu wenye hawakutaka niwe king juu yao- walete over here na uwamade mbele zangu."

28.After Jesus had said this, he went on ahead, going up to Jerusalem.
Baada ya hapo JC akisha bonga ivo, aliishia mbele, aki go up hadi Jerusa.

29.As he approached Bethphage and Bethany at the hill called the Mount of Olives, he sent two of his disciples, saying to them,
Akikaribia Bethphage na Bethany kwa ile hill inaitwa Mount Olives, alituma wase wawili, disciples wake, akiwashow,

30."Go to the village ahead of you, and as you enter it, you will find a colt tied there, which no one has ever ridden. Untie it and bring it here.
"Ishieni hadi mfike kwa ile village mbele yenu, na mkiingia tu, mta get mtoi wa punda amefungiliwa hapo, mwenye hakuna mse ameshawai panda. Mfungulie na mumlete hapa.

31.If anyone asks you, 'Why are you untying it?' tell him, 'The Lord needs it.' "
Ka mse yeyote anawauliza, 'Mbona mnamfungulia?' Mshowini, 'Mdosi anaimhitaji.' "

32.Those who were sent ahead went and found it just as he had told them.
Wale walikuwa wametumwa mbele waliishia wakaget vile tu walishoiwa itakuwa.

33.As they were untying the colt, its owners asked them, "Why are you untying the colt?"
Sa wakati walikuwa wakifungulia ile punda, wenyewe wakauliza,"Mbona mnafungulia huyo punda?"

34.They replied, "The Lord needs it."
Wakajibu aje, "Mdosi anai need."

35.They brought it to Jesus, threw their cloaks on the colt and put Jesus on it.
Wakailetakwa JC,wakatupa koti zao juu ya mtoi wapunda na kumwekelea JC juu yake.

36.As he went along, people spread their cloaks on the road.
Vile wakiishia along, wasee waka tandaza kabuti zao kwa baro.

37.When he came near the place where the road goes down the Mount of Olives, the whole crowd of disciples began joyfully to praise God in loud voices for all the miracles they had seen:
Vile walikaribia ile place rodi ilikuwa ni kimteremko hadi Mlima Olives, rende nzima ya disciples wakaanza kujazika sana, ku praise God na voices loud ju ya zile miracles zote walicheki:

38."Blessed is the king who comes in the name of the Lord!""Peace in heaven and glory in the highest!"
"Ameblesika mfalme anayekam kwa jina la sir Godi!" "Amani iweheaven na glory ajabu in the highest!"

39.Some of the Pharisees in the crowd said to Jesus, "Teacher, rebuke your disciples!"
Wengine wa wale mafarisayo kwa rende wakamshow jC,"Mwalimu, kemea disciples wako!"

40."I tell you," he replied, "if they keep quiet, the stones will cry out."
Akawaambia, "Nawashow, kawakibaki quiet,mawe zitalia out."

41.As he approached Jerusalem and saw the city, he wept over it
Aki fikia Jerusa na kuona jiji, akaililia

42.and said, "If you,even you, had only known on this day what would bring you peace—but now it is hidden from your eyes.
akabeonga,"Kama wewe, yani wewe ungalijua ni nini hii siku ingeke bring-ia amani- lakinifor now iko hidden from your eyes.

43.The days will come upon you when your enemies will build an embankment against you and encircle you and hem you in on every side.
Masiku zinakam kwako wakati ma haters wako watajenga ukuta against you na kukuzunguka na kukufunikia kila mahali.

44.They will dash you to the ground, you and the children within your walls. They will not leave one stone on another, because you did not recognize the time of God's coming to you."
Wataku smash kwa grao, wewe na wakidi wako ndani ya kuta zako. Hawatasare hata stone moja juu ya nyingine, ju hamkunyita time yenye sir Godi alikam kwenu."
45.Then he entered the temple area and began driving out those who were selling.
Kisha akaingia kwa area ya temple na kuanza kufukuza out wale walikuwa waki do mali kwa mali business.

46."It is written," he said to them, " 'My house will be a house of prayer'; but you have made it 'a den of robbers.'"
Akawashow,"Imeandikwa, hao yangu itakuwa ni hao ya prayer'; lakini mmeifanya dwelling ya wagondi.' "

47.Every day he was teaching at the temple. But the chief priests, the teachers of the law and the leaders among the people were trying to kill him.
Kila siku alikuwa anafunza kwa temple. Lakini wale machief priest, waalimu wa law na wale leaders wao walikuwa wanatry kummada.

48.Yet they could not find any way to do it, because all the people hung on his words.
Lakini hawakufind njia any ya kudo ivo, ju wase wote walikwamilia ma words zake.

No comments:

Post a Comment