Monday, August 31, 2009

Luke 20

Luka Chapta Mbao -Luke 20

1.One day as he was teaching the people in the temple courts and preaching the gospel, the chief priests and the teachers of the law, together with the elders, came up to him.
Siku moja vile alikuwa akifundisha wadhii ndani ya verandah za temple na ku preach gospel, priest wale chief na ma mode wa sheria, pamoja na wazae wakakam kwake.

2."Tell us by what authority you are doing these things," they said. "Who gave you this authority?"
Wakamwuliza,"Tuelezee na say ya nani una tekeleza hizi vitu, nani alikupea hii authority?"

3.He replied, "I will also ask you a question. Tell me,
Akawajibu,"Pia mi nitawauliza swali. Nishowini,

4.John's baptism—was it from heaven, or from men?"
Ubatizo ya Johnie- ilikuwa ya heaven, ama from wadhii?"

5.They discussed it among themselves and said, "If we say, 'From heaven,' he will ask, 'Why didn't you believe him?'
Wakazungumza kiasi ju ya swali, kati yao wenyewe alafu wakasema,"Tukisema, 'from heaven', atauliza, 'mbona hamkumuamini?'

6.But if we say, 'From men,' all the people will stone us, because they are persuaded that John was a prophet."
Lakini tukisema, 'From wasee,' He! kila mse atatutupia mawe, ju wako persuaded kuwa Johnie alikuwa prophet."

7.So they answered, "We don't know where it was from."
Kwa hivo wakajibu,"Hatujui from where ilitoka."

8.Jesus said, "Neither will I tell you by what authority I am doing these things."
JC akasema, "Basi pia mimi sitawashow ni by say gani na do hizi vitu."

9.He went on to tell the people this parable: "A man planted a vineyard, rented it to some farmers and went away for a long time.
Akaendelea na kuwashow wadhi hii parable: "Mse aliplant shakee ya grapes,akairentisha kwa some wakulima na akaishia away for along time.

10.At harvest time he sent a servant to the tenants so they would give him some of the fruit of the vineyard. But the tenants beat him and sent him away empty-handed.
Time ya harvest akatumanisha servant wake kwa wale wapangaji njo wampatie fruits tu kiasi toka kwa ile shakee.Lakini wale wapangaji wakampiga na kumrudishwa mkono mtupu.

11.He sent another servant, but that one also they beat and treated shamefully and sent away empty-handed.
Akatumana tena servant mwingine, lakini huyo pia wakampiga na kumdharau na kumfukuza away akiwa mkono mtupu.

12.He sent still a third, and they wounded him and threw him out.
Alitumana tena mse wa tatu, na wakamwumiza na kumchuja nje.
13."Then the owner of the vineyard said, 'What shall I do? I will send my son, whom I love; perhaps they will respect him.'
"Sa mwenye shakee ya ma grapes akashangaa, 'Nitafanya nini sasa? Nitasend mtoi wangu boy, mwenye na love; pengine watamshow some respect.'
14."But when the tenants saw him, they talked the matter over. 'This is the heir,' they said. 'Let's kill him, and the inheritance will be ours.'
"Lakini vile wale wapangaji walimcheki, wakabonga ju ya hiyo stori. 'Huyu njo mwenye ana inherit, wacha tummade, na inheritance yote itakuwa yetu.'

15.So they threw him out of the vineyard and killed him."What then will the owner of the vineyard do to them?
Kwa ivo wakamchuja nje ya shakee na kum mada."Ni nini basi chenye yule mwenye ile shakee ata do kwao?

16.He will come and kill those tenants and give the vineyard to others." When the people heard this, they said, "May this never be!"
Atakam na kuwaua wale ma servants nakugeiana ile shake kwa wengine." Vile wadhii waliskia hii,wakasema, "isiwahi kuhappen hivi!"
17.Jesus looked directly at them and asked, "Then what is the meaning of that which is written:" 'The stone the builders rejected has become the capstone'?
JC akawacheki direct alafu akauliza,"Ni nini basi meaning ya chenye kimeandikwa:"
'Ile stone wase wa mjengo walireject sasa njo imekuwa jiwe msingi- the most important kwa
foundation'?

18.Everyone who falls on that stone will be broken to pieces,but he on whom it falls will be crushed."
Kila mseataangukia hiyo stone atavunjika vunjika in pieces,lakini yule mwenye itaangukia atakuwa crushed."

19.The teachers of the law and the chief priests looked for a way to arrest him immediately, because they knew he had spoken this parable against them. But they were afraid of the people.
Wale mamode wa law na wale ma chief priest wakatafuta a way ya ku arrest JC mara moja, ju walinyita alikuwa amebonga hiyo parable against then. Lakini waligwaya ju ya rende.

20.Keeping a close watch on him, they sent spies, who pretended to be honest. They hoped to catch Jesus in something he said so that they might hand him over to the power and authority of the governor.
Wakiwa wamecheki JC vi closely, walitumanisha ma spies, wenye walijidai hao ni honest. Walikuwa wana hope kumbamba JB kwa something yenye angesema alafu wamsare kwa powers za governor.

21.So the spies questioned him: "Teacher, we know that you speak and teach what is right, and that you do not show partiality but teach the way of God in accordance with the truth.
So wale ma spies wakamwuliza maswali: "Mwalimu, tunajua that we hubonga na ku teach chenyeni right, na that wewe haushowigi partiality lakini unafundisha theway ya sir Godi kulingana na the truth.

22.Is it right for us to pay taxes to Caesar or not?"
Ebu nishow, je ni right kwa sisikulipa tax kwa Caesar ama tu sare?"

23.He saw through their duplicity and said to them,
Akacheki through ukora yao akawashow,

24"Show me a denarius. Whose portrait and inscription are on it?"
"Nionyesheni coin denarius. Mchoro ya nani namaandishi ya nani iko juu yake?"

25."Caesar's," they replied. He said to them, "Then give to Caesar what is Caesar's, and to God what is God's."
Wakamshow, "Ya Caesar." Akawashow,'Basi peaneni chenye ni cha Caesar kwa Caesar na chenye ni cha sir Godi kwa sir Godi."

26.They were unable to trap him in what he had said there in public. And astonished by his answer, they became silent.
Wakakuwa wameshindwa kumtrap in what alisema kwa public. Na wakishangazwa na answer yake, wakanyamaza.

27.Some of the Sadducees, who say there is no resurrection, came to Jesus with a question. Sa some of wale sadducees, wenye hudai hakuna resurrection, wakamkamia JC na swali.

28."Teacher," they said, "Moses wrote for us that if a man's brother dies and leaves a wife but no children, the man must marry the widow and have children for his brother.
Wakasema, "Mwalimu, Mose alituandikia ati kama mse, bro wake ame dedi na ameacha wife lakini hana wakidi, basi yule boy lazima a marry widow na aget watoi for his bro.

29.Now there were seven brothers. The first one married a woman and died childless.
Sa kulikuwa na mabro wa saba. Wakwanza akaoa manzi lakini akadedi bila wakidi.

30.The second
wa pili

31.and then the third married her, and in the same way the seven died, leaving no children.
Alafupia watatu akam marry, na ivo ivo wote seven waka dedi bila kuacha watoi.

32.Finally, the woman died too.
Mwishowe, yule matha pia akadedi.

33.Now then, at the resurrection whose wife will she be, since the seven were married to her?"
Sasa basi, ile siku ya resurrection atakuwa waif wa nani, ju wote seven walikuwa wamem marry?"

34.Jesus replied, "The people of this age marry and are given in marriage.
JC akajibu, "Wadhii wa hii age wana marry na kupeanwa in marriage.

35.But those who are considered worthy of taking part in that age and in the resurrection from the dead will neither marry nor be given in marriage,
Lakini wale wako considered waorthy kuwa part of kizazi kipya na part of resurrection ya the dead hawata oa ama kuolewa,

36.and they can no longer die; for they are like the angels. They are God's children, since they are children of the resurrection.
na hawawezi dedi tena; jua wao ni ka wale angels. Ni watoi wa sir Godi, ju ni watoi wa resurrection.

37.But in the account of the bush, even Moses showed that the dead rise, for he calls the Lord 'the God of Abraham, and the God of Isaac, and the God of Jacob.'
Lakini kwa ile account ya burning bush, hadi Mosee aliwashow kuwa wale wasee wame die hurise, ju anaita bwana' sir Godi wa Abraham, sir Godi wa Isaac na sir Godi wa Jacob.'

38.He is not the God of the dead, but of the living, for to him all are alive."
Ye sio Mungu wa wale wasee wamededi, lakini wale wako living,ju kwake wote wako alive."

39.Some of the teachers of the law responded, "Well said, teacher!"
Wengine wa wale ma mode wa sheria wakajibu, "Umesema poa, mwalimu!"

40.And no one dared to ask him any more questions.
Na hakuna mwenye alijaribu kumwuliza maswali zingine zaidi.

41.Then Jesus said to them, "How is it that they say the Christ is the Son of David?
Kisha JC akawashow, "Niaje ikuwe ati wanasemaga kristo ni mtoi chali wa Davie?

42.David himself declares in the Book of Psalms: " 'The Lord said to my Lord: "Sit at my right hand
Davie mwenyewe amesha declare kwa mbuku ya Psalms: " 'Bwana mdosi alisema kwa bwana wangu: "Kaa at my right hand

43.until I make your enemies a footstool for your feet." '
hadi niwafanye mahaters wako footstool ya miguu zako." '

44.David calls him 'Lord.' How then can he be his son?"
Davie anamwuita 'Bwana.'Itakuwaje tena akuwe ni son wake?"

45.While all the people were listening, Jesus said to his disciples,
Wasee wote wakimsikiliza, JC akawashow wale disciples wake,

46."Beware of the teachers of the law. They like to walk around in flowing robes and love to be greeted in the marketplaces and have the most important seats in the synagogues and the places of honor at banquets.
"Chunga ju ya ma mode wa sheria. Ju wao hu-like kutembea around na robe zinaflow na hupenda kugotewa kwa zile soko na kupewa the the most important seats kwa synagogues na place za VIP kwa ma bash.

47.They devour widows' houses and for a show make lengthy prayers. Such men will be punished most severely."
Wanatoanisha ma mbanyu za widowa na ju ya show wanaomba maombi ndefu. Wasee kama hawa watapanoiwa kwa ukali sana."

No comments:

Post a Comment