Monday, August 17, 2009

Luke 9

Luka Flow ya tisa -Luke 9

1.When Jesus had called the Twelve together, he gave them power and authority to drive out all demons and to cure diseases,
Wakati aliita meeting ya wale twelve tugetha, aliwagei powers na say ya kuhepesha na kutimua mashaitula zote za kila variety na kuponya magonjwa,

2.and he sent them out to preach the kingdom of God and to heal the sick.
alafu akawa send waishie nje ku preach word ya kingdom ya sir Godi na ku heal wagonjwa.

3.He told them: "Take nothing for the journey—no staff, no bag, no bread, no money, no extra tunic.
Aliwashow aje: "Msichukue kitu any ya safari- sio mkongojo, sio begi, sio dibre, sio munde, wala clad za kuchange.

4.Whatever house you enter, stay there until you leave that town.
Mbanyu yoyote mnadonjo, kaeni hapo hadi ile maithaa mtachomoka toka iyo tao.

5.If people do not welcome you, shake the dust off your feet when you leave their town, as a testimony against them."
Kama wasee watagwaya kuwakaribisha, tikiseni hata ile vumbi ndogo imebaki kwa viatu mkiishia toka kwa tao yao, kama ushuhuda against iyo place."

6.So they set out and went from village to village,preaching the gospel and healing people everywhere.
So wakaishia out na wakazurura kila gherro hadi gherro, wakidunga waord ya gospel na ku heal waseiya wote kila di area.

7.Now Herod the tetrarch heard about all that was going on. And he was perplexed, because some were saying that John had been raised from the dead,
Sasa Herod sonkwo wa miji minne, alipata fununu vile drama ilikuwa ikiunfold kama series. Akashangaa vi excess, ju wasee wengine walikuwa wakisema ati Johnie alikuwa amekam back from the dead.

8.others that Elijah had appeared, and still others that one of the prophets of long ago had come back to life.
wengine ati Elijah alikuwa ametokezea, na hadi wengine ati mmoja wa ma higher man from the history pages tenee alikuwa amefufuka.


9.But Herod said, "I beheaded John. Who, then, is this I hear such things about?" And he tried to see him.
Lakini Herod akabonga vi cool, "Nilichinja Johnie. Nani basi huyu ambaye naskia stori zake ajabb ajabb?" So aka try kumcheki.

10.When the apostles returned, they reported to Jesus what they had done. Then he took them with him and they withdrew by themselves to a town called Bethsaida,
Nyakati wale apostles walirudi ivi, walirudisha dossier ya uzito kwa JC vile action ilikuwa ime go down yaani.Naye after iyo akawapeleka retreat ya maana pamoja na yeye kwa tao fulani ilitwa Bethsaida,

11.but the crowds learned about it and followed him. He welcomed them and spoke to them about the kingdom of God, and healed those who needed healing.
Lakini crowd ilimesea iyo stori na wakamfuata bumper. Akawakaribisha na kuwabongesha ju ya ufalme wa sir Godi, naaka heal wale wali need ku healiwa.

12.Late in the afternoon the Twelve came to him and said, "Send the crowd away so they can go to the surrounding villages and countryside and find food and lodging, because we are in a remote place here."
Maafte hata karibu ikisha wale twelve wakamkamia wakamshow, "Show wasee wajikate njo waishie kwa zile gherro zimesurround hapa na mashinani wagatha dishi na lojo ju hapa wakitulia wamejiangusha, tuko jangwani jo!"

13.He replied, "You give them something to eat." They answered, "We have only five loaves of bread and two fish—unless we go and buy food for all this crowd."
JC akawashow, "Wageini samo ya kudishi." Wakamjibu,"Enyewe tuko tu na loaf kobole, na fish limbi tu- unless tuishie ku buy dishi ya hawa wananchi wote."

14(About five thousand men were there.) But he said to his disciples, "Have them sit down in groups of about fifty each."
(Ju kulikuwa na wasee ngiri five- clean game.)Lakini akawashow ma disciples wake ivi, "Washow wakae down na group za waee finje finje."

15.The disciples did so, and everybody sat down.
Disciples waka do ivo, na kila mse akapoa down.

16.Taking the five loaves and the two fish and looking up to heaven, he gave thanks and broke them. Then he gave them to the disciples to set before the people.
Aki kwachu zile loaf koboch na fish limbi na akicheki heaven, ali give thanks jo,akazi vunja. Kisha akageiana kwa wale disciples wake waziseti mbele ya majamaa.

17.They all ate and were satisfied, and the disciples picked up twelve basketfuls of broken pieces that were left over.
Wote wakadishi hadi zikawashinda, alafu kisha followers wa JC wakaokota juala twelve zimejaa vipande vipande za ma left over.

18.Once when Jesus was praying in private and his disciples were with him, he asked them, "Who do the crowds say I am?"
Time fulani, mara ile JC alikuwa aki pray solo na pia disciples wake walikuwa na yeye, aliulizaga swali, "genge ya wajamaa hudai mi ni nani?"

19.They replied, "Some say John the Baptist; others say Elijah; and still others, that one of the prophets of long ago has come back to life."
Wakajibu, "aah! wenginehu say we ni Johnie yulebaptiser; bado kuna wenye husay Elijah; hata wengine huzidi kusay we ni mmoja wa ma prophets wa tenee mwenye amerise to life."

20."But what about you?" he asked. "Who do you say I am?" Peter answered, "The Christ of God."
JC akawauliza,"Lakini,na je nyinyi? Mnasema mimi ni nani?" Pitaa akadai, "Christo wa sir Godi."

21.Jesus strictly warned them not to tell this to anyone.
JC akawashow vi strictly iyo stori isishoiwe mse yeyote.

22.And he said, "The Son of Man must suffer many things and be rejected by the elders, chief priests and teachers of the law, and he must be killed and on the third day be raised to life."
Alafu akazidisha ivi, "Mtoi wa adam lazima apitie mambo mob mazito na atemwe na wazae, mapriest wale wakuu na ma odijo wa religion, na lazima amadwe na ile siku ya tatu arise to life."

23.Then he said to them all: "If anyone would come after me, he must deny himself and take up his cross daily and follow me.
Kisha akawshow wote: "Kama mse atakam baada yangu, lazima ajinyime na akwachu cross
yake daily anifuate.

24.For whoever wants to save his life will lose it, but whoever loses his life for me will save it.
Ju ule mse anawant kuokolea life yake ataipoteza, lakini yule mse atapoteza life yake ju ya mi ataiokolea.

25.What good is it for a man to gain the whole world, and yet lose or forfeit his very self?
So sasa, ni kitu gani nzuri kwa hii situation, ati mse amekwachu world yote, na yet amepoteza nafsi yake for good,the living him, kabisa?


26.If anyone is ashamed of me and my words, the Son of Man will be ashamed of him when he comes in his glory and in the glory of the Father and of the holy angels.
Kama mse any ako na aibu ju yangu na ma words zangu, basi hadi son of man atakuwa na aibu ju yake ile day atakam na utukufu wake na pia glory ya mbuyu wake na wale angels holy.

27.I tell you the truth, some who are standing here will not taste death before they see the kingdom of God."
Nawashow ukweli, kuna wananchi wamesimama hapa hawataonja death before wacheki kingdom ya sir Godi."


28.About eight days after Jesus said this, he took Peter, John and James with him and went up onto a mountain to pray.
Baada ya siku kama nane after JC abonge ivo, alikwachu Pitaa, Johnie na Jayme wakaishia tugezza na kupanda mlimani ku pray.

29.As he was praying, the appearance of his face changed, and his clothes became as bright as a flash of lightning.
sa katika ile hali ya prayers ivi, appearance ya face yake ika change, na kladi zake zikawa zime bling zaidi ya flash ya lighting.

30.Two men, Moses and Elijah,
Mtu limbi Mosee na Elijah,

31.appeared in glorious splendor, talking with Jesus. They spoke about his departure, which he was about to bring to fulfillment at Jerusalem.
wakatokezea na gloriy ya maajabu, wakibonga na JC. Wakatia stori ju ya vile JC angejikata, chenye alikuwa tayari anaenda kusababisha pale Jerusa ihappen.

32.Peter and his companions were very sleepy, but when they became fully awake, they saw his glory and the two men standing with him.
Pitaa na maboi wale wengine mbe walikuwa wanadoze, lakini kucheki ivi waka rudi ritho na dabo, wakacheki glory ya JC na wale mtu mbili wamesimama na yeye hapo.

33.As the men were leaving Jesus, Peter said to him, "Master, it is good for us to be here. Let us put up three shelters—one for you, one for Moses and one for Elijah." (He did not know what he was saying.)
Sa wale jamaa wawili wakati walikuwa wakiishia wakiachana na jC,Pitaa akamshow, "Bwana niaje,si ni poa tuko hapa. Hata wacha tuseti hema tatu hapa-moja yako,moja ya Mosee na moja ya Elijah.' (Hakushikanisha ni nini anasema.)

34.While he was speaking, a cloud appeared and enveloped them, and they were afraid as they entered the cloud.
Akiwa bado ananego, wingu ikatokea na kuwafunika, hadi wakaogopa vile walikuwa wakiingia ndani ya cloud.

35.A voice came from the cloud, saying, "This is my Son, whom I have chosen; listen to him."
Holla moja ikatokezea kwa cloud, ikisema "Huyu ni son wangu, nishamchagua; mskizeni."

36.When the voice had spoken, they found that Jesus was alone. The disciples kept this to themselves, and told no one at that time what they had seen.
Nyakati voice ilimada kubonga, wakajikuta wao na JC solo. Wale disciples wakanyamazia hiyo stori kati yao, na hawakushow mse any iyo time chenye walicheki.

37.The next day, when they came down from the mountain, a large crowd met him.
Ile siku next. wakati walishuka mlimani, rende bwaku ili kutana na JC.

38.A man in the crowd called out, "Teacher, I beg you to look at my son, for he is my only child.
Mse mmoja kwa rende akaitana,"Teacher teacher! Manze nakuomba ucheki son wangu, ju ye njo mtoi wangu pekee.

39.A spirit seizes him and he suddenly screams; it throws him into convulsions so that he foams at the mouth. It scarcely ever leaves him and is destroying him.
Kashaito fulani ka humsumbua kanamshika alafu anaanza ku scream; inamtupa into shaking ingine wiked hadi anatoa foam kwa mdomo. Na haimsare hatakidogo hadi inam destroy.

40.I begged your disciples to drive it out, but they could not."
Nili beg crew yako disciples waikemee iishie lakini hawangemake it."

41."O unbelieving and perverse generation," Jesus replied, "how long shall I stay with you and put up with you? Bring your son here."
JC akawashow, "Oh! Manze nyi ni generation ingine unbelieving,kwa muda gani nitabaki na nyinyi nikiwavumilia? Leta mtoi wako hapa."

42.Even while the boy was coming, the demon threw him to the ground in a convulsion. But Jesus rebuked the evil spirit, healed the boy and gave him back to his father.
hata time ule boy alikuwa akikaribia JC, ile shaito ikamtupa boy kwa grao akaanza ku-shake. Lakini JC akaikemea ile shaito, akaponya boi na kumgeiana back kwa fathaake.

43.And they were all amazed at the greatness of God.While everyone was marveling at all that Jesus did, he said to his disciples,
Na wote wakabaki kushangaa na vile sir Godi ni mnoma. Hali waki shangaa na iyo yote JC ali do, JC alishow disciples wake,

44."Listen carefully to what I am about to tell you: The Son of Man is going to be betrayed into the hands of men."
"Skizeni kwa makini chenye nataka kuwashow: Yule son wa man atakuwa betrayed kwa mikono ya majamaa."

45.But they did not understand what this meant. It was hidden from them, so that they did not grasp it, and they were afraid to ask him about it.
Lakini walikosa kunyita chenye hii statement ilimaanisha. Ilikuwa imefichwa from them, hadi basi hawakushika, na wote waliogopa kuuliza.

46.An argument started among the disciples as to which of them would be the greatest.
Basi tetesi ikazuka kati ya crew ya JC ati nani kati ya disciples wote njo alikuwa ana tosha. Nani alikuwa the greatest.

47.Jesus, knowing their thoughts, took a little child and had him stand beside him.
JC, akimesea fikira zao, akakwaachu mtoi kapyenga akamfanya asimame hapo kando yake.

48.Then he said to them, "Whoever welcomes this little child in my name welcomes me; and whoever welcomes me welcomes the one who sent me. For he who is least among you all—he is the greatest."
Kisha aka washow, "Mse any mwenye atakaribisha huyu mtoi kwa jina yangu amenikaribisha; na mse any atanikaribisha amekaribisha yule alinisend. Ju yule mse msmall kuwashinda wotenjo atakuwa njo the greatest"

49."Master," said John, "we saw a man driving out demons in your name and we tried to stop him, because he is not one of us."
Johnie akadai, "Sonkwo," tulicheki jamaa ametia bidii anafyatua mashaito kwa jinayako na tuka try kumkanya, ju ye si mmoja wetu."

50."Do not stop him," Jesus said, "for whoever is not against you is for you."
JC akamshow, "Msimstop, ju ule jamaa hayuko against you ako na nyinyi."

51.As the time approached for him to be taken up to heaven, Jesus resolutely set out for Jerusalem.
Maithaa zikifika za JC kuishia heaven, akajiamulia safari ya kufika hadi Jerusa.

52.And he sent messengers on ahead, who went into a Samaritan village to get things ready for him;
Na akasend courier services mbele jamaa, wenye waliishia mbele na instructions za kuseti mambo ikuwe poa, tayari ju yake;

53.but the people there did not welcome him, because he was heading for Jerusalem.
lakini wale wasee hapo walidinda kumpokea, ju alikuwa akiishia Jerusa.

54.When the disciples James and John saw this, they asked, "Lord, do you want us to call fire down from heaven to destroy them?"
Nyakati wajamaa wa JC Jaymo na Johnie walicheki ivi, wakauliza,"Mdosi, unawant tuitie moto ifall from heaven juu yao iwamalize kabisa?"

55.But Jesus turned and rebuked them,
Lakini JC akageuka akawakaripia,

56.and they went to another village.
Kisha wakaishia kwa gherro ingine.


57.As they were walking along the road, a man said to him, "I will follow you wherever you go."
Sa wakiwalk along baro, jamaa akadai kwa jC, "Manze nitakufuata kila place unaishia."

58.Jesus replied, "Foxes have holes and birds of the air have nests, but the Son of Man has no place to lay his head."
JC akamshow, "Mbweha zina keja kwa mashimo na ndush zina keja kwa nests, lakinimtoi wa adam hana ataplace ya kutuliza angalau kichwa chake."

59.He said to another man, "Follow me." But the man replied, "Lord, first let me go and bury my father."
Akashow jamaa mwingine, "Nifuate." Lakini boy akasema aje, "Sonkwo, ngoja first niishie kuzika mbuyu wangu."

60.Jesus said to him, "Let the dead bury their own dead, but you go and proclaim the kingdom of God."
JC akamshow, "Wacha wase wafu wazike wasee wao wafu,lakini wewe go upreach ile kingdom ya sir Godi."

61.Still another said, "I will follow you, Lord; but first let me go back and say good-by to my family."
Bado mwingine alibonga akasay, "Nitakufuata, bwana mdosi; lakini kwanza wacha nirudi nishow famo yangu Good-bye."

62.Jesus replied, "No one who puts his hand to the plow and looks back is fit for service in the kingdom of God."
JC akamshow niaje, "hanaku mse anaweka mkono wake kwa jembe na anacheki nyuma tena ako fiti kukuwa aki serve kwa Kingdom ya sir Godi."

No comments:

Post a Comment