Saturday, September 4, 2010

Acts8:1-13

Action za The Saints, recording ya chapta 8.

1.And Saul was there, giving approval to his death.On that day a great persecution broke out against the church at Jerusalem, and all except the apostles were scattered throughout Judea and Samaria.
Na Saulo alikuwa theya,akiwapea psyke, akikubaliana nao wakimdedisha. Hiyo day visanga violent sana zilistart out against ile church ilipoleaga Jerusa, na kila mse except apostles wakawa scattered kila place huko Judea na Samaria.

2Godly men buried Stephen and mourned deeply for him.
Wasee godly wakamzika Stevo na wakamlilia sana ju ya death yake.

3But Saul began to destroy the church. Going from house to house, he dragged off men and women and put them in prison.
Lakini Saulo alistart kudestroy church. Akaishia toka hao moja hadi next, akadrag off majamaa na mamatha akaweka ndani.

4Those who had been scattered preached the word wherever they went.
Wale walikuwa wamescatteriwa walipreach word kila place waliishia.

5Philip went down to a city in Samaria and proclaimed the Christ there.
Philo akaishia down jiji fulani ilimeseka huko samaria na akaanza ma crusade akiwashow juu ya christ hapo.

6When the crowds heard Philip and saw the miraculous signs he did, they all paid close attention to what he said.
Sa vile rende iliskizia philo na kucheki zile miracles aajabu alido, wakamgei attention yao yote wameze ni what alikuwa anasema.

7With shrieks, evil spirits came out of many, and many paralytics and cripples were healed.
Shaitula ziliishia na kilio, na madevo zikatoka kwa wasee, wadhii wengi macripple wakakuwa healed.

8So there was great joy in that city.
So kulikuwa na muenjoyo ingine massive tao muzima.

9Now for some time a man named Simon had practiced sorcery in the city and amazed all the people of Samaria. He boasted that he was someone great,
Time kiasi ilikuwa imepita ambapo daktari miti ni dawa alimeseka ka Simo alikuwa ameshikilia juju yake kwa hiyo jiji hadi wasee wakabambika Samaria. Alikuwaga ni mganga ako na swagger kishenzi ju alijicheki ni mdhii mbwaku,

10and all the people, both high and low, gave him their attention and exclaimed, "This man is the divine power known as the Great Power."
ikakuwa kawaida wadhii wote, masonkwo na mahustler, wamemgei attention wakiwa zile za, "Huyu jamaa ako na abilities za yule the Greatpower."

11They followed him because he had amazed them for a long time with his magic.
Walimfuata ju alikuwa amewaduwaza siku mob sana na tu magic twake.

12But when they believed Philip as he preached the good news of the kingdom of God and the name of Jesus Christ, they were baptized, both men and women.
Lakini vile waliaminia philo vile alipreach word ya sir Godi, good news ya ufalme wa sir Godi na Jina la JC the christ, walibaptiziwa, both wasee na mamatha.

13Simon himself believed and was baptized. And he followed Philip everywhere, astonished by the great signs and miracles he saw.
Hadi Simo mwenyewe aliamini akabaptiziwa. Akabaki kufuataga philo kila place, akishangaa sana na zile ishara bigi bigi na miracles alicheki.

Acts8:14-26

Action za The Saints, recording ya chapta 8.

14When the apostles in Jerusalem heard that Samaria had accepted the word of God, they sent Peter and John to them.
Sa vile ma apostles waliget word huko jerusa ati Samaria wasee walikuwa wanaokoka juu yakuaccept neno, wakasend Pitaa na Johnie kwao.

15When they arrived, they prayed for them that they might receive the Holy Spirit,
Walivyo check in tu, wakawaprayia that waget the Holy Spirit,

16because the Holy Spirit had not yet come upon any of them; they had simply been baptized into the name of the Lord Jesus.
ju Holy Spirit hakuwa amekuja upon them, hata mmoja; walikuwa tu wamesha baptiziwa into jina ya Jesus Christ.

17Then Peter and John placed their hands on them, and they received the Holy Spirit.
So basi Pitaa na Johnie wakawawekelea mikono, wadhi wakapokea Holy Spirit.

18When Simon saw that the Spirit was given at the laying on of the apostles' hands, he offered them money
Vile tu Simo alicheki hiyo design the Spirit alipeanwa by kuwekelea mikono za ma apostles, akaoffer kuwapea kitu kidogo, mundee

19and said, "Give me also this ability so that everyone on whom I lay my hands may receive the Holy Spirit."
akidai ati, "nipatieni pia hii ability njo kila msee mwenye nawekelea mikono atareceive Holy Spirit."

20Peter answered: "May your money perish with you, because you thought you could buy the gift of God with money!
Pitaa akamwai ki radi: "Dedi na doo zako pamoja, ju ulidhani unaweza buy gift ya sir Godi na mundee!

21You have no part or share in this ministry, because your heart is not right before God.
Hauna chako ama place yako kwa hii huduma, juu heart yako haiko poa mbele ya sir Godi.

22Repent of this wickedness and pray to the Lord. Perhaps he will forgive you for having such a thought in your heart.
Ebu kwanza repent ju ya kuwa muwicked hivo na upray sir Godi. Pengine atakuforgive ju ya kuwa na such a thought kwa heart yako.

23For I see that you are full of bitterness and captive to sin."
Ju nacheki uko na machungu mob sana ile hali hadi umefungwa to sin."

24Then Simon answered, "Pray to the Lord for me so that nothing you have said may happen to me."
Kisha Simo akamjibu, Ebu pray kwa sir Godi for me njo anything yenye umesema isinihappenie."

25When they had testified and proclaimed the word of the Lord, Peter and John returned to Jerusalem, preaching the gospel in many Samaritan villages.
Vile walimada kutestify na kupreach word ya sir Godi, Pitaa na Johnie wakarejelea Jerusa, Wakipitia mitaa most za Samaria wakipreach word ya wokovu.

26Now an angel of the Lord said to Philip, "Go south to the road—the desert road—that goes down from Jerusalem to Gaza."
Sa angel wa Sir Godi akamshow Philo isvipi, "Elekea side ya south kwa baro- desert road- ile huishiaga from Jerusa hadi Gaza."

Acts 8:27-40

Action za The Saints, recording ya chapta 8.

27So he started out, and on his way he met an Ethiopian eunuch, an important official in charge of all the treasury of Candace, queen of the Ethiopians.
So akastart out, na on his way akakutana na mse wa Ethiopia mwenye alifanywa sterile, dozi mmoja official wa kusimamiaga mundee yote ya dem aliitwa Candace, queen sonkwo wa ma ethiopians.

This man had gone to Jerusalem to worship,
Boi alikuwa ameishia Jerusa kusali,

28and on his way home was sitting in his chariot reading the book of Isaiah the prophet.
sa akirejea kejani alikuwa amebangaiza kwa chariot yake anakula mbuku ya Izzo the prophet.

29The Spirit told Philip, "Go to that chariot and stay near it."
Holy Spirit akashow Philo izhow, "Ishia kwa ile Chariot ukaage karibu nayo."

30Then Philip ran up to the chariot and heard the man reading Isaiah the prophet. "Do you understand what you are reading?" Philip asked.
Philo akakimbilia chariot akaskia jamaa amesoma writinsg za Izzo the prophet. "Unamesea ni nini inaendelea hapo unasoma?" Philo akamu ask.

31"How can I," he said, "unless someone explains it to me?" So he invited Philip to come up and sit with him.
"Nitamesea aje," akamwuliza, "unless mse aniexplainie?" So akainvite Philo apande chariot wapolee pamoja.

32The eunuch was reading this passage of Scripture: "He was led like a sheep to the slaughter,and as a lamb before the shearer is silent,so he did not open his mouth.
Sa towashi alikuwa akisoma ile place kwa bible inadai: "Alileadiwa ka a sheep imepelekwa kuchinjwa, na tu ka kakondoo huwaga kako kimya kakinyolewa, hakuopen mouth yake.

33In his humiliation he was deprived of justice.Who can speak of his descendants? For his life was taken from the earth."
Kwa izo mateso zote alinyimwa justice. Na sasa, nani anweza bonga ati ju ya watoi wake? Ju maisha yake ilisnatchiwa from the earth."

34The eunuch asked Philip, "Tell me, please, who is the prophet talking about, himself or someone else?"
Towashi akaulizia philo,niaje, "Ebu nishow please, ni nani mwenye the prophet anabonga juu yake, yeye ama mse mwingine?"

35Then Philip began with that very passage of Scripture and told him the good news about Jesus.
So Philo akabegin na tu hiyo place alisoma kwa bible, akamshow vile good news ya Jesus ilikuwa about.

36As they traveled along the road, they came to some water and the eunuch said, "Look, here is water. Why shouldn't I be baptized?"
Vile tu walizidi na safari kwa ile baro, wakashtukia wamefikia ka wode, hadi towashi akadai, haiya, "cheki wode. Mbona na mimi nisi baptiziwe?"

38And he gave orders to stop the chariot. Then both Philip and the eunuch went down into the water and Philip baptized him.
Akageiana ma orders chap chap chariot ikakanyagiwa. Both yeye na Philo wakadondoka wakaingia kwa wode na Philo akambaptize.

39When they came up out of the water, the Spirit of the Lord suddenly took Philip away, and the eunuch did not see him again, but went on his way rejoicing.
vile tu walichoka kwa maji hivi, the Spirit wa sir Godi akambeba Philo awayz suddenly, na towashi hakumcheki again, lakini akaishia zake amejazika sana.

40Philip, however, appeared at Azotus and traveled about, preaching the gospel in all the towns until he reached Caesarea.
Philo, naye akatokelelea Azotus na kuzidi na kutembea tembea, akipreach word ya wokovu kwa tao zote hadi vile alifika Caesarea.

Friday, September 3, 2010

Acts 7:1-12

Life na Action za MaJenerali Wa JC, Chapta ya Saba- Acts 7

1Then the high priest asked him, "Are these charges true?"
Kuhani kibuda akasaka jibu," Sasa, hizi ma words ziko true kweli?"

2To this he replied: "Brothers and fathers, listen to me! The God of glory appeared to our father Abraham while he was still in Mesopotamia, before he lived in Haran.
'Stevo akajibu, "Maboy na mambuyuz, niskizie! Sir Godi, muglorious sana, alitokezea mbuyu Abraham vile tu alikuwa akipoleaga Mesopotamia, kabla haja move keja hadi Haran.

3'Leave your country and your people,' God said, 'and go to the land I will show you.' Sir Godi akamshow,
'Sare country yako na wadhii wa yours, na uishie kupolea ile shakee nitakushow.'

4."So he left the land of the Chaldeans and settled in Haran. After the death of his father, God sent him to this land where you are now living.
Ikatokea ati Abraham akajikata from land wa waChaldeans na akabangaiziaga Haran. After kifo ya mbuyuz wake, Sir Godi akamsend hadi hii land mnaishigi sasa.

5. He gave him no inheritance here, not even a foot of ground. But God promised him that he and his descendants after him would possess the land, even though at that time Abraham had no child.
Hakumwachia any urithi ile place, hata sio futi moja ya grao. Lakini sir Godi alimpromise aje aje, angemgei yeye na tutoi tule after him kuchukua hiyo land, hata ingawa mbuyuz Abraham, watoi walikuwaga zero.

6.God spoke to him in this way: 'Your descendants will be strangers in a country not their own, and they will be enslaved and mistreated four hundred years.
Sir Godi alimbongesha na hii style: "Tutoi twako after wewe tutakuwaga [ka wasudi-] ma stranger kwa country si yao, na watatumika ka maslave wakimistreatiwa mia soo nne.

7.But I will punish the nation they serve as slaves,' God said, 'and afterward they will come out of that country and worship me in this place.'"
Lakini nita pano ile country watadoia forced labor ka ma slave,' Sir Godi akasay,' kisha ma laterz wata chuck out ya hiyo country na kunisaka in worship asapa, hii place.'"

8.Then he gave Abraham the covenant of circumcision. And Abraham became the father of Isaac and circumcised him eight days after his birth. Later Isaac became the father of Jacob, and Jacob became the father of the twelve patriarchs.
So Sir Godi akamwachia Abraham ile MOU ya kutaee. Na fadhe Abraham akafanyika kibuda wa Izzo na akamtaee siku nane after azaliwe. Mabahaadayes Izzo akaget father status, akaget mkidi Jacob, na Jacob akafanyika kibuda wa wazae twelve wa tribe za Israel.

9."Because the patriarchs were jealous of Joseph, they sold him as a slave into Egypt. But God was with him
Ju wazae walikuwa na mawivu kibao ju ya Josee, walimkinda ka slave Misri. Lakini Sir Godi alibaki kuwaga nayeye bumper.

10.and rescued him from all his troubles. He gave Joseph wisdom and enabled him to gain the goodwill of Pharaoh king of Egypt; so he made him ruler over Egypt and all his palace.
hadi akamwokolea toka kwa mashida na majamboz kibao. Tayari akamsukumia Josee wisdom[unacheki] na akamwezesha kusaka ile kibali, akalaikiwa na Pharaoh, sonkwo wa Egypt muzima; so akam make Jose akuwe ndio kusema Misri muzima hadi pamoja na kwa keja ya pharaoh.[aajabu kizee]

11."Then a famine struck all Egypt and Canaan, bringing great suffering, and our fathers could not find food.
"After hapo njaa meja ikahanda Egypt yote hadi Canaan, wasee wakabaki zile za mateso moss moss bila chuki, hadi wazae wetu hawangesaka dishi.

12.When Jacob heard that there was grain in Egypt, he sent our fathers on their first visit.
Vile Jacob aliget sms ati kulikuwa na ma mahindi na ma ngano misri,[ hakungojea kizee,] alitumania wazae waishia ziara ya fao.

Acts 7:13-29

Life na Action za MaJenerali Wa JC, Chapta ya Saba- Acts 7

13.On their second visit, Joseph told his brothers who he was, and Pharaoh learned about Joseph's family.

Of course kwa ziara ya mbe, Josee aliwashow mabruzza wake his real self, na Pharaoh akajifunza stori ya famo ya man Josee.

14.After this, Joseph sent for his father Jacob and his whole family, seventy-five in all.

After hapo, Josee alitumanisha mzae wake Jacob aletwe na hadi famo yake nzima, wasee Sevente faee wote.

15.Then Jacob went down to Egypt, where he and our fathers died.

Halo njo Jacob akaishia down hadi Egypt, place ye na wahenga walidie.

16.Their bodies were brought back to Shechem and placed in the tomb that Abraham had bought from the sons of Hamor at Shechem for a certain sum of money.

Maiti zao tu njo zilirudishwa hadi Shechem na kuwekwa ndani ya grave yenye buzzenga Abraham alikuwa ameboti from mavijanaa wa Hamor pale tu Shechem, wakamkanja mundee fulani.

17."As the time drew near for God to fulfill his promise to Abraham, the number of our people in Egypt greatly increased.

Sa ikawa isVipi! Maidhaa zimeshafika za Sir Godi Ku come through na promise yake kwa Abraham, hesabu ya wadhii wetu Egypt ilikuwa juu kinyama.

18.Then another king, who knew nothing about Joseph, became ruler of Egypt.

Sonkwo fulani {politician sana} mwenye hakumesea any ju ya Man Josee akarauka kutawala Egypt.

19.He dealt treacherously with our people and oppressed our forefathers by forcing them to throw out their newborn babies so that they would die.

Akadeal kimangoto vi excess na mamtu wetu na akawa oppress wahenga by kuwa force watupe watoi wao, wenye walikuwa wamezaliwa tu ati njo wadedi.

20."At that time Moses was born, and he was no ordinary child."For three months he was cared for in his father's house.

"Mara iyo iyo Mosee akaboniwa, na ye hakuwa katoi ordinaree." Miezi tatu, walim take care kwa hao ya fadhe wake.

21.When he was placed outside, Pharaoh's daughter took him and brought him up as her own son.

Vile aliwekwa nje, dotee wa Sonkwo wa hiyo day, pharaoh akamkwachu na kulea ka mtoi wake personal.

22.Moses was educated in all the wisdom of the Egyptians and was powerful in speech and action.

Mose akaishia chuo za ki barbie za them days, akashoiwa kismat yote ya ma Egyptians.Ikabidi lugha yake ni mambo yote, na pia ma action zikakuwa juu.

23."When Moses was forty years old, he decided to visit his fellow Israelites.

"Vile Mose alidunga forty, alidecide tu siku moja kuvisit wasee wake ma Israelites.

24.He saw one of them being mistreated by an Egyptian, so he went to his defense and avenged him by killing the Egyptian.

Akacheki mmoja wao amehandwa na Mu egyptian mbaya, so ya akaishia kumwokolea na katika ile hali akamlipishia kwa kumada mu egyptian.

25. Moses thought that his own people would realize that God was using him to rescue them, but they did not.

Mose alikuwa anaunganisha ati mamtus wake wangemesea that Sir Godi alikuwa anam use kuwaokolea, lakini hawakunyita.

26.The next day Moses came upon two Israelites who were fighting. He tried to reconcile them by saying, 'Men, you are brothers; why do you want to hurt each other?'

Siku next Mose akapatana na ma israelite mbe wikifungulia war. Akatry kubring peace talks akiwashow, 'Maboy, nyi mi ma bro, niaje mmeamua kuumizana.?'

27."But the man who was mistreating the other pushed Moses aside and said, 'Who made you ruler and judge over us?

Lakini yule first bondi kati yao akapush Mosee kando akimshow,' Tangu lini. Nani alikumake dozi ju yetu ati ukuwe njo judge?

28.Do you want to kill me as you killed the Egyptian yesterday?'"

Ama umeplani kunimada ka yule mse wa jana wa egypt?"

29.When Moses heard this, he fled to Midian, where he settled as a foreigner and had two sons.

Mosee kuskia ivo, akajikata spidi hadi Midian, place alitulia ka refugee na kwa ile hali akaget watoi maboi mtu mbili.



Acts 7:30-46

Life na Action za MaJenerali Wa JC, Chapta ya Saba- Acts 7

30."After forty years had passed, an angel appeared to Moses in the flames of a burning bush in the desert near Mount Sinai.
After miaka forty kujikata tu hivi, angel akamtokelelea Mosee kwa nare za a burning bush ndani ya desert karibu na Mount Sinai.

31.When he saw this, he was amazed at the sight. As he went over to look more closely, he heard the Lord's voice:
Kucheki ivo, boi akashangaa niaje. So vile aliishia karibu njo acheki ile poa sasa, akaskizia sauti ya Sir Godi.

32.'I am the God of your fathers, the God of Abraham, Isaac and Jacob.' " Moses trembled with fear and did not dare to look.
Baas! "Sa mimi njo ule Sir Godi wa wahenga wenu, wa akina Abraham, na Izzo na Jacob.' "Mosee akabaki zile za kugwaya yake yote, hata hakudare kuchungulia.

33."Then the Lord said to him, 'Take off your sandals; the place where you are standing is holy ground.
Kisha Sir Godi akamshow, "Ebu n'goa sandalee, juu hii place yenye umestand ni grao holy.

34.I have indeed seen the oppression of my people in Egypt. I have heard their groaning and have come down to set them free. Now come, I will send you back to Egypt.' "
Nimesorora ile ya kabisa, live, wasee wangu wakihandwa Egypt. Nimeskizia kilio chao, so, nimeshuka down kuwagei uhuru. So ebu kam, bila kusleki, wacha nikutumanishe Egypt.' "

35"This is the same Moses whom they had rejected with the words, 'Who made you ruler and judge?' He was sent to be their ruler and deliverer by God himself, through the angel who appeared to him in the bush.
'Mesea ati huyu ni the same mosee tu mwenye walikataa wakisema aje, 'Nani alikufanya dozi juu yetu ati ukuwage Judge? Ye njo alisendiwa kuwa sa dozi sasa na deliverer wao na Sir Godi Mwenyewe, kupitia yule angel mwenye alimtokezeaga kwa kibush.

36.He led them out of Egypt and did wonders and miraculous signs in Egypt, at the Red Sea and for forty years in the desert.
Boi aliwa lead from vile wangetoka Egypt na akiendelea kufanya majamboz aajabu, ma miracles Egypt, pale tu red sea na for forty years kwa desert.

37."This is that Moses who told the Israelites, 'God will send you a prophet like me from your own people.' "
Huyu njo Mosee the same mwenye alishow israelites, 'Gods atawasendia prophet ka mimi toke from wasee wenu.'"

38.He was in the assembly in the desert, with the angel who spoke to him on Mount Sinai, and with our fathers; and he received living words to pass on to us.
Alikuwa kwa ile meeting ya na hapo ndani ya desert, tugezza na yule angel mwenye alispeak juu ya mount , na pia na wazae wetu, akapokea maneno ya life ya kutugei.

39."But our fathers refused to obey him. Instead, they rejected him and in their hearts turned back to Egypt.
"Lakini wahenga nao, wasee kichwa ngumu, walisare kum obey. Badala yake, wakamtema, hearts zao zikatamani kurudi Egypt.

40.They told Aaron, 'Make us gods who will go before us. As for this fellow Moses who led us out of Egypt—we don't know what has happened to him!' "
Wakachorea Aaron mpango ati niaje, 'Tuunganishie mpango ya tu sir godi twenye tutaishia mbele yetu. Ju huyu jamaa, ati Mosee, mwenye alituchonoa Egypt- Haiya, hata hatumesei kumeendaje na yeye!' "

41.That was the time they made an idol in the form of a calf. They brought sacrifices to it and held a celebration in honor of what their hands had made.
Sa hizo njo matime wakamake ka sir godi kana fanana calf. Wakailetea ma sacrifice aajabu. Mara iyo iyo paree ikazuka kurespect chenye bidii yao ilikuwa imemake.

42.But God turned away and gave them over to the worship of the heavenly bodies. This agrees with what is written in the book of the prophets:" 'Did you bring me sacrifices and offerings forty years in the desert, O house of Israel?
Lakini sir Godi akaboeka akawasare, akawaachilia waanze kupray kwa vitu kama ma moon na mastars. Hii, by the way, inakubaliana na stori imechorwa kwa mbuku ya ma prophets: " 'Kwani mlini bringia sadaka na mapresent miaka fortee kwa jungle, keja ya wasee wa Israel?

43.You have lifted up the shrine of Molech and the star of your god Rephan, the idols you made to worship.Therefore I will send you into exile beyond Babylon.
Msha simamisha kibanda ya kuomba kwa ka sir godi kanaitwa molech na kengine ni start ya ka sir godi kanaitwa rephan, tu sir godi tu idols mume tengeneza ku pray kwao. So juu ya hiyo stori nitawasukuma exile hadi babylon.

44"Our forefathers had the tabernacle of the Testimony with them in the desert. It had been made as God directed Moses, according to the pattern he had seen.
Mambuyuz wetu walikuwa na ile hema yenye ilikuwaga evidence ya presence ya sir Godi nao kwa desert. Ilikuwa ime make-iwa custom made for Sir Godi , vile tu Mosee alishoiwa.

45Having received the tabernacle, our fathers under Joshua brought it with them when they took the land from the nations God drove out before them. It remained in the land until the time of David,
Wakiwa wamepokea hema ya kukutana, wazae wetu wakileadiwa na Joshuu wakaibgingisha nao vile walinyakua shakee from zile country sir Godi alitoanisha mbio mbele yao. Ikabaki kwa ile land hadi madays za Davie,

46who enjoyed God's favor and asked that he might provide a dwelling place for the God of Jacob."
Alijienjoy favor ya Sir Godi hadi akauliza niaje, ka angepewa chance amuundie sir Godi mungu wa jacob angalau ka maskan.