Friday, August 28, 2009

Luke 18

Luka eighteen - Luke 18

1.Then Jesus told his disciples a parable to show them that they should always pray and not give up.
Kisha JC akashow wale disciples wake parable moja ya nguvu ju ya prayer njo at least wanyite lazima kila time wa pray bila ku give up.

2.He said: "In a certain town there was a judge who neither feared God nor cared about men.
Akasay: "Kwa tao fulani kulikuwa na jaji mwenye hakuogopa God ama kujali na wasee.

3.And there was a widow in that town who kept coming to him with the plea, 'Grant me justice against my adversary.'
Na kulikuwa na a widow kwa hiyo tao mwenye alikuwaga akirudi rudi kwa judge na one request,'Nigei justice against my adversary.'

4."For some time he refused. But finally he said to himself, 'Even though I don't fear God or care about men,
"Kwa muda jamaa akakataa. Lakini finally akajiambia, 'Hata kama siogopi sir Godi wala sijali stori ya wasee,

5.yet because this widow keeps bothering me, I will see that she gets justice, so that she won't eventually wear me out with her coming!' "
Lakini ju huyumjane alikuwa kila saa ananisumbua, nitahakikisha anaget justice, njo mwishowe asinichokeshe kabisa na kurudi rudi kwake!'"
6.And the Lord said, "Listen to what the unjust judge says.
Kisha the lord akasema,"Skiza chenye yule judge mu unfair alidai.

7.And will not God bring about justice for his chosen ones, who cry out to him day and night? Will he keep putting them off?
Na sa God je, si atahakikisha kuwa justice imehappen for wale amewachagua, wenye wanacry out kila day and night kwake? Atazidi kuwalenga akiwa put off?

8.I tell you, he will see that they get justice, and quickly.However, when the Son of Man comes, will he find faith on the earth?"
Nawashow aje, atacheki kuwa mnaget justice, Tena chap chap. Lakini je, time son wa God atakam earth je ataget faith kwa earth?"

9.To some who were confident of their own righteousness and looked down on everybody else, Jesus told this parable:
Kwa wengine wenye walikuwa confident ju ya righteousness yao na wali look down kwa kila msee,JC akawashow hii parable:

10."Two men went up to the temple to pray, one a Pharisee and the other a tax collector.
"Wasee wawili waliishia kwatemple ku pray, mmoja alikuwaga pharisee na yule mwingine alikuwaga msakanyaji wa munde ya tax..

11.The Pharisee stood up and prayed about himself: 'God, I thank you that I am not like other men—robbers, evildoers, adulterers—or even like this tax collector.
Yule pharisee akasimama na kupray about himself: 'God, nakushukuru ju siko kama wale wasee wengine majambazi, wakora, wahanyaji- ama hata ka huyu msakanyaji wa tax.

12.I fast twice a week and give a tenth of all I get.'
Na fastigi twice kwa wiki na mi hupeana tithe ya kila kitu naget.'

13."But the tax collector stood at a distance. He would not even look up to heaven, but beat his breast and said, 'God, have mercy on me, a sinner.'
"Lakini msakanyaji wa munde ya tax, akasimamia kwa bali.Hata hangecheki juu to heaven, lakini akabeat breast yake ka sign ya kulia,'Sir Godi, nioneehuruma mi sinner.'

14."I tell you that this man, rather than the other, went home justified before God. For everyone who exalts himself will be humbled, and he who humbles himself will be exalted."
"Nakushow kuwa huyo jamaa, na si yule mwingine,aliishia home ako justified mbele ya sir Godi.Ju kila mse mwenye anajiinua atashushwa na kila mse anajishusha atainuliwa juu."

15.People were also bringing babies to Jesus to have him touch them. When the disciples saw this, they rebuked them.
Wasee walikuwa pia wakileta watoi kwa JC ili awaguse wapone. Vile disciples walicheki ivo, wakawazushia.

16.But Jesus called the children to him and said, "Let the little children come to me, and do not hinder them, for the kingdom of God belongs to such as these.
Lakini JC akawaita kwake kuwashow, wacha watoi wadogo wakam kwangu,na usiwakataze, ju kingdom ya sir Godi inabelong kwa kama hao.

17.I tell you the truth, anyone who will not receive the kingdom of God like a little child will never enter it."
Nawaelimisha ivi ukweli, mse any mwenye hata receive kingdom yasir Godi kama mtoi mdogo hatawaiingia huko."

18.A certain ruler asked him, "Good teacher, what must I do to inherit eternal life?"
Kisha sonkwo fulani akamwuliza,"My good mwalimu, ni what njo lazima ni do kuinherit eternal life?"

19."Why do you call me good?" Jesus answered. "No one is good—except God alone.
JC akamwuliza, "Mbona unaniita mpoa? Hakuna mse mpoa except sir Godi pekee.

20.You know the commandments: 'Do not commit adultery, do not murder, do not steal, do not give false testimony, honor your father and mother.' "
Si unamesea commandments:' Usi commit adultery, usi madee, usi thegi, usipeane ma witnessings za uwongo, heshimu mbuyu wakona masa wako.' "

21."All these I have kept since I was a boy," he said.
Akamshow,"Hizi zote nime keep toka nikuwe boy."

22.When Jesus heard this, he said to him, "You still lack one thing. Sell everything you have and give to the poor, and you will have treasure in heaven. Then come, follow me."
Wakati JC aliskia ivo, akamshow, "Bado una lack kitu moja. Uza kila kitu yako naugeiane kwa wasee poor, na utakuwa na treasure in heaven.Kisha kamu unifuate.

23.When he heard this, he became very sad, because he was a man of great wealth.
Vile aliskizia ivo, akashuka moyo down sana, ju alikuwa mse ana wealth ingine meja.

24.Jesus looked at him and said, "How hard it is for the rich to enter the kingdom of God!
JC akamcheki ivi na akamshow niaje,"Ni Vigumu sana for the rich kuingia kwa kingdom ya sir Godi!

25.Indeed, it is easier for a camel to go through the eye of a needle than for a rich man to enter the kingdom of God."
For real,ni easier for acamel ku go through jicho ya sindano kuliko ata for mse rich kuingia kingdom ya sir Godi."

26.Those who heard this asked, "Who then can be saved?"
Wale wazeiya waliskizia iyo tamko wakaulizana,"Kwaivo ni nani sasa basi anaweza okolewa?"

27.Jesus replied, "What is impossible with men is possible with God."
JCakajibu, "Chenyeni impossible kwa wasee ni possible nasir Godi."

28.Peter said to him, "We have left all we had to follow you!"
Pitaa akamshow niaje, "Tumesare kila kitu tulikuwanacho njo tukufuate!"

29."I tell you the truth," Jesus said to them, "no one who has left home or wife or brothers or parents or children for the sake of the kingdom of God
"JC akawajibu,"Nawashow cha ukweli, hanakumse mwenye aliacha home ama wife ama ma bro ama masiz ama mapero ama watoi ju ya Kingdom ya sir Godi

30.will fail to receive many times as much in this age and, in the age to come, eternal life."
mwenye atakosa ku-receive mara mob as much kwa hii age na, kwa ileage inakam, maisha
eternal."

31.Jesus took the Twelve aside and told them, "We are going up to Jerusalem, and everything that is written by the prophets about the Son of Man will be fulfilled.
JC akakwachu wale twelve kuwa take aside akawashow, "Tunaishia up hadi Jerusa, na kila kitu chenye kimechorwa by wale prophets kumhusu son wa man kitakuwa fulfilled.

32.He will be handed over to the Gentiles. They will mock him, insult him, spit on him, flog him and kill him.
Atasareiwa hadi kwa wase unbelievers.Watamchongoa, watamtusi, watamtemea mate, watampiga viboko na kummada.

33.On the third day he will rise again."
Siku ya third lakini ata rise tena from the dead."
34.The disciples did not understand any of this. Its meaning was hidden from them, and they did not know what he was talking about.
Wale disciples hawakushikanisha chochote hapo. Maana yake ikakuwa hidden toka kwao,
na hawakujua chenye alikuwa akibonga about.

35.As Jesus approached Jericho, a blind man was sitting by the roadside begging.
Sa JC aki approach Jeri, mse blind alikuwa amepolea by the baro anabeg.

36.When he heard the crowd going by, he asked what was happening.
Ithaa aliskia rende ina pass by, akauliza ni nini ilikuwa ina happen.

37.They told him, "Jesus of Nazareth is passing by."
Wakamshow niaje,"Jesus wa Nazareti ana pass by akiishia."

38.He called out, "Jesus, Son of David, have mercy on me!"
Akaitana kwa sauti bwaku, "JC, mtoi chali wa Davie, nionee huruma!"

39.Those who led the way rebuked him and told him to be quiet, but he shouted all the more, "Son of David, have mercy on me!"
Wale walikuwa waki lead the way wakamzomea mbaya hadi wakamshow abaki silent, lakini
akashout hata zaidi, "Son of David, kuwa na huruma kwangu!"

40.Jesus stopped and ordered the man to be brought to him. When he came near, Jesus asked him,
JC akasimama na kuamrisha yule jamaa aletwe kwake. Vile alikaribia,Jesus akamwuliza,

41."What do you want me to do for you?" "Lord, I want to see," he replied.
"Unataka niku do-iye nini?" Jamaa akamjibu, "Bwana mdosi,minataka kuona."

42.Jesus said to him, "Receive your sight; your faith has healed you."
JC akamwambia, "Pokea sight yako; faith yako imekufanya ukuwe healed."

43.Immediately he received his sight and followed Jesus, praising God. When all the people saw it, they also praised God.
Tayari hapo na hapo, akapokea sightyake nakufuata JC,akipraiz God.Kisha nyakati wasee walicheki,wao pia wakapraiz sir Godi.

No comments:

Post a Comment