Sunday, August 23, 2009

Luke 14

Luka Flow ya fourteen-Luke 14

1.One Sabbath, when Jesus went to eat in the house of a prominent Pharisee, he was being carefully watched.
Sa Sabato moja ivi, time JC alicheck in kudishi kwa mbanyu ya don fulani wa mapharisee, alikuwa under the spotlight anaexaminiwa vinoma.

2.There in front of him was a man suffering from dropsy.
Hapo tu mbele yake alikuwa jamaa ana suffer epilepsy.

3.Jesus asked the Pharisees and experts in the law, "Is it lawful to heal on the Sabbath or not?"
JC akawapea exam question mapharisee na ma pro wa sheria niaje,"Je ni poa ki sheria ku heal kwa day ya sabato ama vipi?"

4.But they remained silent. So taking hold of the man, he healed him and sent him away.
Lakini wakabaki wamenyamaza.So akikwachu yule mse, akamponya na akamtuma aende zake.

5.Then he asked them, "If one of you has a son or an ox that falls into a well on the Sabbath day, will you not immediately pull him out?"
Kisha akawauliza, "Ka mmoja wenu ako na mtoi son ama pengine ng'ombe ndume yenye imedunda kwa kisima siku ya sabato, si utamchomoa chap chap?"

6.And they had nothing to say.
Wakabaki speechless, bila word ya kubonga.

7.When he noticed how the guests picked the places of honor at the table, he told them this parable:
Kisha alinotice vile wale wageni walijichagulia place ya ma VIP kwa tebo, akawashow hii parable:

8."When someone invites you to a wedding feast, do not take the place of honor, for a person more distinguished than you may have been invited.
"Vile mse anaku invite kwa paree ya wedo, usiende ukachukue area ya ma VIP, ju sonkwo mwingine don kukuliko anaweza kuwa aliinvitiwa.

9.If so, the host who invited both of you will come and say to you, 'Give this man your seat.' Then, humiliated, you will have to take the least important place.
Na ka ni ivo, mwenye paree, mwenye aliwaalika wawili atakam akushow, 'Pea huyu msee kiti yako jo.' Kisha,upatikane na maaibu ndogo ndogo, alafu uishie upewe place yenye iko down.

10.But when you are invited, take the lowest place, so that when your host comes, he will say to you, 'Friend, move up to a better place.' Then you will be honored in the presence of all your fellow guests.
Lakini uki invitiwa, chukua place ile ya nichi, njo hata time sonkwo wa paree akikam, atakushow, 'Beshte, kuja kwa place better.' So unacheki hapo utakuwa na respect zako mbele ya wasee wale wengine wame attend paree.

11.For everyone who exalts himself will be humbled, and he who humbles himself will be exalted."
Ju kila mse mwenye anajiinua sana atakuwa humbled, lakini yule mse amenyenyekea atainuliwa."

12.Then Jesus said to his host, "When you give a luncheon or dinner, do not invite your friends, your brothers or relatives, or your rich neighbors; if you do, they may invite you back and so you will be repaid.
Kisha JC akamshow don mwenye alimualika dinner, "Time unageiana ka lunch ivi ama hata supper, usiite wale mabeshte wako, mabro wako ama ma rela, ama pengine ma don wenzako maneiba; ju uki do ivo, wataku invite tena na hapo utapata malipo yako.

13.But when you give a banquet, invite the poor, the crippled, the lame, the blind,
Lakini ukithrow bash, invite wale wasee wamesota, wale viwete, vilema, wase blind,

14.and you will be blessed. Although they cannot repay you, you will be repaid at the resurrection of the righteous."
na utablessika. Hata wasipokulipa, utalipwa time ya kiama wasee righteous wakifufuka."

15.When one of those at the table with him heard this, he said to Jesus, "Blessed is the man who will eat at the feast in the kingdom of God."
Vile mmoja wa wale wasee kwa table waliskia hii mambo, wakashow JC, "Ako blessed yule jamaa atadishi kwa bash ya kingdom ya sir Godi."

16.Jesus replied: "A certain man was preparing a great banquet and invited many guests.
JC aka reply: "Jamaa fulani alikuwa anaandaa bash moja massive. Akaita wengi.

17.At the time of the banquet he sent his servant to tell those who had been invited, 'Come, for everything is now ready.'
Day ya paree ithaa kufika akatuma mamboch wake waishie kushow wote walioalikwa, 'Kamuni, ju kila kitu kiko poa.'

18."But they all alike began to make excuses. The first said, 'I have just bought a field, and I must go and see it. Please excuse me.'
"Lakini wote wakaanza kutoa visababu ka excuses. Wa kwanza akabonga, 'Nishaboti field moja ya pesa, lazima niishie kuicheki. Tafadhali ni excuse.'

19."Another said, 'I have just bought five yoke of oxen, and I'm on my way to try them out. Please excuse me.'
"Haya, mwingine akasema, 'Nimeboti tu pair ngovo za dume wa grade manze, hadi niko njiani kuzifanyia test-drive mtu wangu. Tafadhali ni excuse.'

20."Still another said, 'I just got married, so I can't come.'
"Pia mwingine akabonga akasema, 'Nimeshaingiza manzi kwa box na nikaseal deal na wedo, si unajua saa ni mpango ya honey moon mtu wangu, so siwezi kam.'

21."The servant came back and reported this to his master. Then the owner of the house became angry and ordered his servant, 'Go out quickly into the streets and alleys of the town and bring in the poor, the crippled, the blind and the lame.'
"Yule mboch akarudi akapeana ripoti kwa sonkwo wake. Kisha yule mdosi wa mbanyu akajam, akaamrisha servant wake, 'Ishia chap chap kwa mitaa na vichochoro za tao, chap chap walete wase wamesota, wase crippled, wase blind, hadi wase walemavu.

22." 'Sir,' the servant said, 'what you ordered has been done, but there is still room.'
servant akamshow, " 'Boss, chenye umeagiza kimefanywa, lakini bado kuna space mob.'

23."Then the master told his servant, 'Go out to the roads and country lanes and make them come in, so that my house will be full.
"Mdosi akashow servant wake, 'Ishia nje kwa ma baro na hadi hata ocha kwa njia njia na uwa make wase wakam ndani, njo hao yangu ishone.

24.I tell you, not one of those men who were invited will get a taste of my banquet.' "
Nawashow, hakuna hata mse mmoja aliinvitiwa kwa paree ya mine ataonja bash yangu. ' "

25.Large crowds were traveling with Jesus, and turning to them he said:
Crowds kubwa zilikuwa zikisafiri na JC, akawacheki akawashow hivi:

26."If anyone comes to me and does not hate his father and mother, his wife and children, his brothers and sisters—yes, even his own life—he cannot be my disciple.
"Ka mse atakam kwangu na hawezi hate mbuyu wake ama matha wake, waifudhes wa his ama watoi, bro wake ama masiz wake- eeh, hadi life yake pia- hawezi kuwa disciple wangu.

27.And anyone who does not carry his cross and follow me cannot be my disciple.
Na mse yeyote mwenye hawezi beba cross yake na anifuate hawezi make kuwa disciple wangu.

28."Suppose one of you wants to build a tower. Will he not first sit down and estimate the cost to see if he has enough money to complete it?
"Tuseme mmoja wenu anataka ku-build mnara. Si kwanza ataketi down na apime ni pesa ngapi ako nayo na kama itamaliza hiyo projo?

29.For if he lays the foundation and is not able to finish it, everyone who sees it will ridicule him,
Ju akianza project awekelee msingi alafu akose kumaliza, wasee wote wenye watacheki projo watamdiss,


30.saying, 'This fellow began to build and was not able to finish.'
Wakisay, 'Huyu jamaa alianza mradi ya mjengo lakini akashindwa kumada.'

31."Or suppose a king is about to go to war against another king. Will he not first sit down and consider whether he is able with ten thousand men to oppose the one coming against him with twenty thousand?
"Ama tuseme king fulani ako tayari kuishia war against king mwingine. Si kwanza ataketi down kuchunguza kama vile ako na soja tenga kinde anaweza kushinda war ama anaweza na tenga mbao?

32.If he is not able, he will send a delegation while the other is still a long way off and will ask for terms of peace.
Kama hawezi make it, atatuma ka delegation ivi nyakati yule mfalme mwingine ako bado mbali na amwulize terms and conditions za kutumika ili kuwe na amani.

33.In the same way, any of you who does not give up everything he has cannot be my disciple.
Ivo ivo tu, mse any kati yenu mwenye hajapeana kila kitu yake hawezi kuwa disciple wangu.

34."Salt is good, but if it loses its saltiness, how can it be made salty again?
"Salt ni poa, lakini ikiacha ku taste, sa itafanywa kuwa salt tena aje?

35.It is fit neither for the soil nor for the manure pile; it is thrown out. "He who has ears to hear, let him hear."
Haiko poa ya kutumiwa kwa mchanga ama kwa rundo la mbolea; inachujagwa nje.
"Yule mse ako na maskio ya kuskia,wacha askie."

No comments:

Post a Comment