Wednesday, December 16, 2009

Acts 6

Action za masoja wa Jenerali JC, Chapta ya sita-Acts 6

1.In those days when the number of disciples was increasing, the Grecian Jews among them complained against the Hebraic Jews because their widows were being overlooked in the daily distribution of food.
Sa katika hizo madays, vile namba ya mamemba ilikuwa ikiongezeka, wayahudi wenye walitokezeaga Greece wakazusha sana ju ya wayahudi mahebrew- ati ju ma widows walikuwa wakilengwa katika ile projo ya kusambaziwa dishi daily.

2.So the Twelve gathered all the disciples together and said, "It would not be right for us to neglect the ministry of the word of God in order to wait on tables.
Ju ya hiyo food scandal, wale wadhii disciples twelve wote tugezza wakagazza wakisay niaje," Haiwezi kuwa right kwetu ati tulenge huduma ya word ya Sir Godi njo tuanze kukimbizana na order za dishi kwa matebo.

3.Brothers, choose seven men from among you who are known to be full of the Spirit and wisdom. We will turn this responsibility over to them
Mabruzza, chagueni mtu saba kati yenu wenye wanameseka kuwa wamejazwa na Roho na hekima. Tutapeana hii janta na responsibility yote kwao

4.and will give our attention to prayer and the ministry of the word."
na tutaweka attention yetu kwa maombi na huduma ya word."

5.This proposal pleased the whole group. They chose Stephen, a man full of faith and of the Holy Spirit; also Philip, Procorus, Nicanor, Timon, Parmenas, and Nicolas from Antioch, a convert to Judaism.
Hii proposal ilikuwa smarta, ikafurahisha wadhii wa group yote. Wakachagua Steve, mse amejaa imani vifiti na mwenye ako na Holy Spirit; pia Phillo, Procorus, Nicanor, Timon, Parmenas na Nico toka Antioch, mse aliconvert to Judaism.

6.They presented these men to the apostles, who prayed and laid their hands on them.
Wakapresent hawa wadhii kwa ma apostles, wakawaombea na kuwawekelea mikono.

7.So the word of God spread. The number of disciples in Jerusalem increased rapidly, and a large number of priests became obedient to the faith.
So word ya Sir Godi ikasambaa. Ile namba ya wafuasi Jerusa ikazidi kujaajaa chap chap, na rende bwaku ya mapriests wakakuwa obedient kwa the faith.

8.Now Stephen, a man full of God's grace and power, did great wonders and miraculous signs among the people.
Sa Stevo, mdhii alikuwa amejawa na grace na nguvu ya sir Godi vinomient, alikuwa aki do ma signs miraculous sana kati ya wadhii.

9.Opposition arose, however, from members of the Synagogue of the Freedmen (as it was called)—Jews of Cyrene and Alexandria as well as the provinces of Cilicia and Asia. These men began to argue with Stephen,
Lakini pia opposition ikatokea toka kwa mamemba wa synagogue ya wadhii free (Ka vile ilimeseka) - wayahudi wa Cyrene na Alexandria pia tena wadhii wa Cilicia na Asia. Hawa wasee walianza kuzua arguments na Stevo,

10.but they could not stand up against his wisdom or the Spirit by whom he spoke.
lakini hawengemake kutoboa wisdom yake ama yule Roho aliongelea kupitia.

11.Then they secretly persuaded some men to say, "We have heard Stephen speak words of blasphemy against Moses and against God."
Kisha wakaconvince wadhii in secret wakam waseme, "Tumeskia Stevo akibonga maneno za blasphemy against Mose na against Sir Godi."

12.So they stirred up the people and the elders and the teachers of the law. They seized Stephen and brought him before the Sanhedrin.
So wakazua wadhii na wazae na kuwachokora, pia pamoja na mamode wa law. Wakakwachu Stevo na kumleta mbele ya Sanhedrin.

13.They produced false witnesses, who testified, "This fellow never stops speaking against this holy place and against the law.
Wakaproduce mawitness wa uwongo wenye walitestify, "Huyu Chali hawachagi kubonga against Holy spirit na against sheria.


14.For we have heard him say that this Jesus of Nazareth will destroy this place and change the customs Moses handed down to us."
Ju tumesha skia akinego ati huyu Jesus wa Nazareth atadestroy hii place nakubadilisha customs za Mose zenye aligeana down kwetu."

15.All who were sitting in the Sanhedrin looked intently at Stephen, and they saw that his face was like the face of an angel.
Wote wenye walikuwa wakipolea kwa Sanhedrin wakacheki Stevo kwa makini, na wakacheki that face yake ilikuwa ka face ya Angel.

Saturday, December 5, 2009

Acts 5

Matendo za masoja wa Jenerali JC, Chapta Ngovo-Acts 5

1.Now a man named Ananias, together with his wife Sapphira, also sold a piece of property.
Sa Jamaa mmoja anaitwa Ananias, pamoja na wife wake Sapphira, pia walikinda kipande ya maburungo zao.

2.With his wife's full knowledge he kept back part of the money for himself, but brought the rest and put it at the apostles' feet.
Bado wife wake akimesea kabisa Ananias akapiga operation ya kiasi ya hizo doh kando za kujipanga nazo, lakini akaletatherest akaseti kwa miguu za ma apostles.

3.Then Peter said, "Ananias, how is it that Satan has so filled your heart that you have lied to the Holy Spirit and have kept for yourself some of the money you received for the land?
Manze Peter akabonga, "Ananias niaje shaito amejaa kwa heart yako ivo hadi umepanga Holy spirit mauongo na ukaji wekea kiasi yaile munde uliget from kuuza shake yenu?

4.Didn't it belong to you before it was sold? And after it was sold, wasn't the money at your disposal? What made you think of doing such a thing? You have not lied to men but to God."
Si ilikuwaga yako bafore ikindwe? Na vile ilikindwa,simunde ilikuwa yakop ku do chenye ungetaka? Ni what ilikufanya u think ku do kitu ka iyo?Hujadanganya wasee umedanganya sir Godi."

5.When Ananias heard this, he fell down and died. And great fear seized all who heard what had happened.
Vile Ananias aliskia ivo, akadunda down akakick. Na njeve meja ikakwachu wadhii wote wenye waliskizia chenye kilihappen.

6.Then the young men came forward, wrapped up his body, and carried him out and buried him.
Kisha mavijanaa chali wakakam mbele, wakafunika body yake, wakambeba wakamzika.

7.About three hours later his wife came in, not knowing what had happened.
Kedo masaa matatu bahadayes waif akatokezea, na hakumesea ni nini kilikuwa kimehappen.

8.Peter asked her, "Tell me, is this the price you and Ananias got for the land?" "Yes," she said, "that is the price."
Peter akamwuliza niaje, "Nishow je? Hii njo ile price yenye wewe na Ananias mliget for iyo shake?" Waif akasema,"Eeh, hiyo njo price yake."

9.Peter said to her, "How could you agree to test the Spirit of the Lord? Look! The feet of the men who buried your husband are at the door, and they will carry you out also."
Pitaa akamshow niaje, "Mbona mli agree kutest Spirit wa sir Godi? Cheki! Zile miguu za majamaa wali bury hazi wako ziko kwa dooa,na watakubeba wewe pia."

10.At that moment she fell down at his feet and died. Then the young men came in and, finding her dead, carried her out and buried her beside her husband.
Hapo hapo hiyo maithaa akadunda down kwa miguu yake akadedi. Kisha wale jamaa wa yankee wakakam ndani na, wakimget amededi, wakambeba nje na kumzika beside hazi wake.

11.Great fear seized the whole church and all who heard about these events.
Njeve meja ikakwachu kanisa mzima na wote wenye waliskia jua ya hizi vitu.

12.The apostles performed many miraculous signs and wonders among the people. And all the believers used to meet together in Solomon's Colonnade.
Ma apostles waka-perform ishara mob na mawonders kati ya wadhii.

13.No one else dared join them, even though they were highly regarded by the people.
hakuna msealijaribu kuwa join,hata ingawa walikuwa wamedungwa respect na wadhii.

14.Nevertheless, more and more men and women believed in the Lord and were added to their number.
Na though ilikuwa hivo, wasee zaidi na zaidi majamaa na ma dem waliamini sir Godi na wakaongezeka kwa namba yao.

15.As a result, people brought the sick into the streets and laid them on beds and mats so that at least Peter's shadow might fall on some of them as he passed by.
Ju ya hiyo stori,wadhi walileta wasee sick hadi kwa streetsnakuwaweka kwama bed na ma mat njo at least shadow ya Peter ianguke kwa wasee kiasi vile alikuwa akipita.

16.Crowds gathered also from the towns around Jerusalem, bringing their sick and those tormented by evil spirits, and all of them were healed.
Rende ika gather pia toka kwa ma tao zenye zimezunguka Jerusa, wakileta wadhii wao wa sick na wale wameteswa na ma shaito,nahao wote wakakuwa healed.

17.Then the high priest and all his associates, who were members of the party of the Sadducees, were filled with jealousy.
Kisha wale mahigh priest na wadhi wote wasaidizi wake, wenyewalikuwa ma memba wa ile rende ya ma sadduccee wakajawa na wivu.

18.They arrested the apostles and put them in the public jail.
Wakawa arrest na kuwatupa Jail na kuwaseti kwa ile jela public.

19.But during the night an angel of the Lord opened the doors of the jail and brought them out.
Lakini timeza usiku malaika wa sir Godi akafungua doaa za jela na kuwa leta nje.

20."Go, stand in the temple courts," he said, "and tell the people the full message of this new life."
Akawashow,"ishieni mkasimame ndani ya verandah za temple, mkawashow hawa wadhi message full ya hii life mpya."

21.At daybreak they entered the temple courts, as they had been told, and began to teach the people.
When the high priest and his associates arrived, they called together the Sanhedrin—the full
assembly of the elders of Israel—and sent to the jail for the apostles.
Kufika ngware wakadonjo kwa veranda za temple, vile tu walishoiwa, wakaanza kuteach wadhii.Vile high priest na wasaidizi wake walifika, wakaita pamoja ile sanhedrin - full house assembly ya wazae wa Israel- na wakatumanisha jela wale apostles waitwe.

22.But on arriving at the jail, the officers did not find them there. So they went back and reported,
Lakini kuarrive ivi kwa jela,ma mr. officer hawakuwaget huko. So wakaishia back kuripoti,

23."We found the jail securely locked, with the guards standing at the doors; but when we opened them, we found no one inside."
"Tuliget jela imefungwa vi secure, pamoja na maguards kustand kwa doaa; lakini vile tuliopen milango, hatukuget mse ndani."

24.On hearing this report, the captain of the temple guard and the chief priests were puzzled, wondering what would come of this.
Kuskia hii ripoti, capuu wa mabanga wa temple na ma priest dozi wakatatizika, waka wonder kwanini nini inaweza kuwa ilitokezea.

25.Then someone came and said, "Look! The men you put in jail are standing in the temple courts teaching the people."
Kisha mdhii fulani akatokezea na kudai, "Cheki! Wale majamaa mliweka ndani ya jela wana stand ndani ya temple wakiteach wadhii."

26.At that, the captain went with his officers and brought the apostles. They did not use force, because they feared that the people would stone them.
kwa hiyo stori, capuu akaishia na ma mr. ofisa na kuletaapostles. Hawaku use force, ju waliogopa ati wasee wangewapiga mawe.

27.Having brought the apostles, they made them appear before the Sanhedrin to be questioned by the high priest.
Vile waliletama apostles, wakawamake wa appear mbele ya sanhedrin kuulizwa maswali na high priest

28."We gave you strict orders not to teach in this name," he said. "Yet you have filled Jerusalem with your teaching and are determined to make us guilty of this man's blood."
Akasema, "tuligeiana ma orders strict msi teach na hii jina,lakini mmejaza Jerusa na teachings zenu na mko determined ku tumake guilty of blood ya huyu jamaa."

29.Peter and the other apostles replied: "We must obey God rather than men!
Pitaa na wale apostles wengine wakareply: "Lazima tu tuobey sir Godi kuliko wadhii!

30.The God of our fathers raised Jesus from the dead—whom you had killed by hanging him on a tree.
Sir Godi wa mambuyuz wetu aliraise JC toka kwa the dead- mwenye mlimada kwa kumhang kwa mti.

31.God exalted him to his own right hand as Prince and Savior that he might give repentance and forgiveness of sins to Israel.
Sir Godi alimuinua juu hadi kwa mkono wake wa right ka Prince sonkwo na mwokozi njo aweze geiana repentance na kusameheana kwa dhambi za Israel.

32.We are witnesses of these things, and so is the Holy Spirit, whom God has given to those who obey him."
Si ni ma witness wa izi vitu, na pia Holy spirit, mwenyesir Godi amesha geiana kwa wale wanamu obey."

33.When they heard this, they were furious and wanted to put them to death.
Vile waliskia hivi, wakajam mbaya na kudai kuwamada.

34.But a Pharisee named Gamaliel, a teacher of the law, who was honored by all the people, stood up in the Sanhedrin and ordered that the men be put outside for a little while.
Lakini mpharisayo fulani alimeseka ka Gamaliel, modee wa power wa sheria, mwenye alidungwa respect na wasee wote,akasimama kati kati ya sanhedrin nakudai wale majamaa watoke nje kiasi.

35.Then he addressed them: "Men of Israel, consider carefully what you intend to do to these men.
Kisha ye akawadunga speech:"Majamaa waIsrael, consider vi carefully chenye mna intend ku doiya hawa wadhii.

36.Some time ago Theudas appeared, claiming to be somebody, and about four hundred men rallied to him. He was killed, all his followers were dispersed, and it all came to nothing.
Time fulani si mbali sana Theudas alitokezea, anadai ati yeni somebody, na ka wadhii soo nne
wakajipanga na yeye.Alimadwa, wadhi wotemafans wake wakasambazwa, ikafikia zero.

37.After him, Judas the Galilean appeared in the days of the census and led a band of people in revolt. He too was killed, and all his followers were scattered.
After yeye, Judas, jamaa wa Galilee akatokezea zile days za census aka lead wadhi kadhaa kwa revolution. Ye pia alidedishwa, na mafans wake wote waka scatter.

38.Therefore, in the present case I advise you: Leave these men alone! Let them go! For if their purpose or activity is of human origin, it will fail.
Kwa hivo,ju ya hii case hapa nawa advise: Achaneni na hawa wadhii peke yao! Wasare waishie! Ju ka miradi zao ni kazi ya mwili, wata fail.

39.But if it is from God, you will not be able to stop these men; you will only find yourselves fighting against God."
Lakini ka ni from sir Godi,hamtaweza kustop hawa wadhii; mtajipata tu mkifight sir Godi."

40.His speech persuaded them. They called the apostles in and had them flogged. Then they ordered them not to speak in the name of Jesus, and let them go.
Speech yake ikawaconvince. Wakaitana ma apostles ndani wakawawasha nyahunyo. Alafuwakawa order wasibonge ju ya ile jina ya Jesus,wakawasare waishie.

41.The apostles left the Sanhedrin, rejoicing because they had been counted worthy of suffering
disgrace for the Name.
Mitume wakatoka sanhedrin, wakijazika niaje, ju walikuwa wamehesabika wako worth kusuffer dharau ju ya Jina ya JC.

42.Day after day, in the temple courts and from house to house, they never stopped teaching and proclaiming the good news that Jesus is the Christ.
Siku after siku,ndani ya ma veranda za temple na kutoka kejamoja hadi ingine,hawakuwahi acha ku teachna kuproclaim ile habari njema that Jesus njo Kristo.