Wednesday, August 26, 2009

Luke 17

Luka Vibes za chapta kinde na seven -Luke 17

1.Jesus said to his disciples: "Things that cause people to sin are bound to come, but woe to that person through whom they come.
JC akashow disciples wake niaje: "ma something za kukwaza wasee njo wa sin ni lazima tu zi kam, lakini ole wake yule mse through whom zitakam.

2.It would be better for him to be thrown into the sea with a millstone tied around his neck than for him to cause one of these little ones to sin.
Ni better kwake ka angetupwa ndani ya baharina mawe ya rego rego ka necklace than kwake kufanya mmoja wa hawa watoi a sin.

3.So watch yourselves. "If your brother sins, rebuke him, and if he repents, forgive him.
Kwa ivo jichungeni. "Bro wako aki commit dhambi, mrebuke,na aki tubu dhambi, mforgive.

4.If he sins against you seven times in a day, and seven times comes back to you and says, 'I repent,' forgive him."
Aki do dhambi against you mara saba kwasiku, na marasaba akam back kwako akushow,
'na repent,' mforgive."

5.The apostles said to the Lord, "Increase our faith!"
Wale ma apostles wakashow JC, "Increase faith yetu!"

6.He replied, "If you have faith as small as a mustard seed, you can say to this mulberry tree, 'Be uprooted and planted in the sea,' and it will obey you.
Akamjibu, "Kama una faith small kama seed ya haradali, unaweza show hadi hii mulberry tree, 'Kuwa uprooted na upandwe ndni ya bahari,' na itaku obey.

7."Suppose one of you had a servant plowing or looking after the sheep. Would he say to the servant when he comes in from the field, 'Come along now and sit down to eat'?
"Tuseme mmoja wenu alikuwa na servant wake ana take care ya kondoo zake. Je, atamshow yule servant akikam home toka kwa viwanja, 'Kam hapa kando sasa upoe down udishi?'

8.Would he not rather say, 'Prepare my supper, get yourself ready and wait on me while I eat and drink; after that you may eat and drink'?
Si badala yake atamshow, 'Tayarisha ka supper kangu, jiandae kuniserve nikidishi na kunywa; alafu baadaye unaweza dishi na kunywa?'
9.Would he thank the servant because he did what he was told to do?
Kwani tena atamthank yule mboch ju ati ali do chenye alishoiwa ku do?

10.So you also, when you have done everything you were told to do, should say, 'We are unworthy servants; we have only done our duty.' "
So nyi pia,mkisha do kila kitu chenye mmeshoiwa, mnafaa kusema, 'Si ni servants unworthy; tume do duty yetu' "

11.Now on his way to Jerusalem, Jesus traveled along the border between Samaria and Galilee.
Sa akiishia on his way to Jerusalem, JC akatravel along ile border kati ya Samaria na Galilee.

12.As he was going into a village, ten men who had leprosymet him. They stood at a distance
Sa vile alikuwa akiingia kwa village, wasee kumi wenye walikuwa na ukoma wakamkuta.Wakasimama kwa distance mbali

13.and called out in a loud voice, "Jesus, Master, have pity on us!"
na wakiita kwa sauti ya juu, "JC,Boss,kuwa na huruma juu yetu!"

14.When he saw them, he said, "Go, show yourselves to the priests." And as they went, they were cleansed.
NyakatiJC aliwacheki hivi, akasema,"Ishia mjishowini kwa wale ma priest." Na vile walikuwa wakienda, wakaponywa.

15.One of them, when he saw he was healed, came back, praising God in a loud voice.
Mmoja wao, vile alicheki ameponywa, akakam back, akipraise God kwa sauti loud.

16.He threw himself at Jesus' feet and thanked him—and he was a Samaritan.
Akajitupa kwa feet za JC akamshukuru sana-na alikuwa samaritan.

17.Jesus asked, "Were not all ten cleansed? Where are the other nine?
JC akauliza, "Si wote kumi waliponywa? Wale wengine nine wako wapi?

18.Was no one found to return and give praise to God except this foreigner?"
Kwani hakukupatikana mse mmoja wa kurudi kusema thanks na praise kwa Sir Godi except
huyu foreigner?"

19.Then he said to him, "Rise and go; your faith has made you well."
Akamshow yule jamaa,"Rauka nauishie; faith yako imekuweka poa."

20.Once, having been asked by the Pharisees when the kingdom of God would come, Jesus replied, "The kingdom of God does not come with your careful observation,
Time moja, ju alikuwa ameulizwa na mafarisayo when kingdom ya sir Godi ingekam,
JC akajibu, "Kingdom ya sir Godi haikam ati ju umechunguza vi carefully kuicheki,

21.nor will people say, 'Here it is,' or 'There it is,' because the kingdom of God is within you."
bali wasee hawatasema, 'Njo hii hapa,' ama 'Njo ile pale,' ju kingdom ya sir Godi iko ndani yenu."

22.Then he said to his disciples, "The time is coming when you will long to see one of the days of the Son of Man, but you will not see it.
Kisha akashow disciples wake,"Time inakam when mtatamani kucheki hatamoja yamasiku za mtoi son wa adam, lakini hamtaicheki.

23.Men will tell you, 'There he is!' or 'Here he is!' Do not go running off after them.
Majamaa watawashow, 'Yuko pale ivo!' ama 'Yuko hapa ivi!' Msikimbilie off kuwafuata.

24.For the Son of Man in his day will be like the lightning, which flashes and lights up the sky from one end to the other.
Ju mtoi sonwa adam in his day atakuwa kama lightning, yenye inachapa nakulight sky toka kona moja hadi nyingine.

25.But first he must suffer many things and be rejected by this generation.
Lakini kwanza lazima ago through suffering mob na arejectiwe na hii generation.

26."Just as it was in the days of Noah, so also will it be in the days of the Son of Man.
"Vile tu ilikuwaga days za Noah, ivo pia njo itakuwa siku za mtoi chali wa adam.

27.People were eating, drinking, marrying and being given in marriage up to the day Noah entered the ark. Then the flood came and destroyed them all.
Waseewalikuwa wakidishi, na kubambua,wakioa na kupeanwa kwa wedo hadi ile day Noah alidonjo kwa ark. Kisha ile elnino ilikuwa hapo msee ilikam ikawadestroy wote.

28."It was the same in the days of Lot. People were eating and drinking, buying and selling, planting and building.
"Ilikuwa ivo pia sikuza Lot. Wase walikuwa wakidishi nakubambua tu, wakiboti cargo nakuuza zingine,wakiplant mashake naku do mijengo.

29.But the day Lot left Sodom, fire and sulfur rained down from heaven and destroyed them all.
Lakini ile day Lot alichomoka tu ivi akaacha Sodom, nare na sulfur zilinyesha down from heaven na kuwa destroy wote.

30."It will be just like this on the day the Son of Man is revealed.
Itakuwa tu ivi ile siku mtoi son wa adam ana kuwa revealed.
31.On that day no one who is on the roof of his house, with his goods inside, should go down to get them. Likewise, no one in the field should go back for anything.
Hiyo day kusiwe na mse mwenye amepatikana ju ya roof ya keja yake, na burungo zake ndani, mwenye atashuka kuzicollect. Ivo pia, hakuna mse ndani ya kiwanja anafaa kurudia chochote.

32.Remember Lot's wife!
Kumbuka wife wa lot!

33.Whoever tries to keep his life will lose it, and whoever loses his life will preserve it.
Mwenye ametry kukeep life yake ataipoteza, na mwenyeamepoteza life yake ataihifadhi.

34.I tell you, on that night two people will be in one bed; one will be taken and the other left.
Nawashow, iyo usiku wasee wawili watakuwa wanadoro kwa bed moja; mmojaakwachuliwe namwingine abaki.

35.Two women will be grinding grain together; one will be taken and the other left."
Mamanzi wawili watakuwa wakisiaga nafaka kwa rego rego pamoja; mmoja achukuliwe na mwingine abaki."

37."Where, Lord?" they asked.He replied, "Where there is a dead body, there the vultures will gather."
"Wapi bwana mdosi?" wakauliza. Akajibu "Penye kuna dead body, hapo pia kunguru watagather."

No comments:

Post a Comment