Monday, August 17, 2009

Luke 8

Luka flow ya nane - Luke 8

1.After this, Jesus traveled about from one town and village to another, proclaiming the good news of the kingdom of God. The Twelve were with him,
Baadaye JC akakwachu safari hapa na pale toka tao moja na ghetto moja hadi nyingine, aki speak iyo good news, ya kingdom ya sir Godi. Wale twelve walikuwa na yeye.

2.and also some women who had been cured of evil spirits and diseases: Mary (called Magdalene) from whom seven demons had come out;
na pia ma madam wenye walikuwa wamecure toka mashaito na disease mob: Mary a.k.a Magdalene from mwenye mashaitula twelve ziliishia;

3.Joanna the wife of Cuza, the manager of Herod's household; Susanna; and many others. These women were helping to support them out of their own means.
Joanna yule waifudhes wa Cuza, MD wa jikoni ya Herod pamoja na biashara za keja yake; Suzanna; na wengine wengi mafans. Hawa ma madamwalikuwa wakidunga support huduma ya JC from dongela zao.

4.While a large crowd was gathering and people were coming to Jesus from town after town, he told this parable:
Ile time rende kubwa ilikuwa inatokezea na wasee walikuwa wanakam kwa JC toka tao moja hadi ingine, akachomoa stori ya hii parable:

5."A farmer went out to sow his seed. As he was scattering the seed, some fell along the path; it was trampled on, and the birds of the air ate it up.
"Mkulima aliishia kupanda mbegu zake moss moss. Katika shughuli zake za kusambaza mbegu, zingine zilidunda kwa baro; zikabondwa na wapita njia, alafu ndush zikakam kusherehekea.

6.Some fell on rock, and when it came up, the plants withered because they had no moisture.
Zingine zikadunda kwa mawe, na time zilitokezea, zile plants zikanyauka ju hazikuwa na unyevu nyevu.

7.Other seed fell among thorns, which grew up with it and choked the plants.
Mbegu zingine zikanesh kwamiiba, ambapo ziligrow up na miba hadi miba ikazinyonga.

8.Still other seed fell on good soil. It came up and yielded a crop, a hundred times more than was sown." When he said this, he called out, "He who has ears to hear, let him hear."
Bado zingine zilinesh kwa mchanga bora zaidi. Zikachomoka na kuzaa zao, mara soo ya chenye kilipandwa. "Ile wakati alibonga ivi, akashout kwa wasee na sauti,mwenye ako na maskio kuskia, wacha askie."

9.His disciples asked him what this parable meant.
Wale disciples wake wakam ask chenye fumbo ili mean.

10.He said, "The knowledge of the secrets of the kingdom of God has been given to you, but to others I speak in parables, so that, " 'though seeing, they may not see;though hearing, they may not understand.'
Akawashow, "Ujuzi ya siri za kingdom ya sir Godi zimepeanwa kwenu, lakini kwa wasee wengine nabongain codes, njo" 'hata wakicheki kwa macho, hawataona; hata wakiskia, hawataelewa.'

11."This is the meaning of the parable: The seed is the word of God.
"Hii njo maana ya the parable: Ile mbegu ni word ya sir Godi.

12.Those along the path are the ones who hear, and then the devil comes and takes away the word from their hearts, so that they may not believe and be saved.
Wale kando ya baro ni wasee wanaskiza word, alafu matime devo anakam anachukua iyo word from hearts zao, njo wabaki hawawezi believe na ku sevika.

13.Those on the rock are the ones who receive the word with joy when they hear it, but they have no root. They believe for a while, but in the time of testing they fall away.
Wale wako juu rock ni wasee wale wamepokea ile word na furaha mob time waliiskia,
lakini hawako deep ju hawana roots. Wanaamini tu kidogo, lakini wakijaribiwa
wanaanguka.

14.The seed that fell among thorns stands for those who hear, but as they go on their way they are choked by life's worries, riches and pleasures, and they do not mature.
Ile mbegu imeanguka kwa miiba insimamia wale wanaskia, lakini wakienda njia zao wananyongwa na worries za life,usonkwo na hepi,hadi wanakosa kuwa matured.

15.But the seed on good soil stands for those with a noble and good heart, who hear the word, retain it, and by persevering produce a crop.
Lakini ile seed iko ju yuu ya grao poa ni wale wasee wenye wako na roho ya kishujaa, roho poa, wanaskia word, wanaimesea, wanazidi nayo hadi izae fruits.

16."No one lights a lamp and hides it in a jar or puts it under a bed. Instead, he puts it on a stand, so that those who come in can see the light.
"Hakuna mse huwasha light alafu anaiweka ndani ya jug ama chini ya bed. Badala, mse huweka light juu ya stand yake,njo wasee wote wanaingia kwa keja wacheki light.

17.For there is nothing hidden that will not be disclosed, and nothing concealed that will not be known or brought out into the open.
Ju hanaku kitu any yenye iko hidden yenye haita disclosiwa, na hanaku kitu imefichika ynye haitajulikana amakuletwa nje wazi wazi.

18.Therefore consider carefully how you listen. Whoever has will be given more; whoever does not have, even what he thinks he has will be taken from him."
Kwa ivo kuwa msharp uchunguze sana vile unaskiza. Yule akonazoakageiwa more; yule mse hana, hata ile anadhani ako nayo atanyang'anywa.

19.Now Jesus' mother and brothers came to see him, but they were not able to get near him because of the crowd.
Sa Mathake JC nama bro wake wakakam kumcheki,lakini hawangeweza make kumkaribia ju
ya umati mtu wangu!

20.Someone told him, "Your mother and brothers are standing outside, wanting to see you."
Mse fulani akaambia JC, "Niaje,mathaako na mabro wako wamesimama nje wanangoja kubonga na wewe."

21.He replied, "My mother and brothers are those who hear God's word and put it into practice."
Akawajibu,"Mathaangu na ma bro wangu ni wale wase wanaskiza word ya God alafu wanaiweka into bidii yao ya daily."

22.One day Jesus said to his disciples, "Let's go over to the other side of the lake." So they got into a boat and set out.
Kisha siku moja ivi JC akashow wale disciples wake, "Tuishieni ile side ingine ya lake." Wakaingia kwa boat wakaishia.

23.As they sailed, he fell asleep. A squall came down on the lake, so that the boat was being swamped, and they were in great danger.
Sa wakisail, akadoze.Storm ikawashambulia wakiwa kwa lake, hadi hata mv faina ilakwa tayari itazama, wakawa in grave danger yaani.

24.The disciples went and woke him, saying, "Master, Master, we're going to drown!" He got up and rebuked the wind and the raging waters; the storm subsided, and all was calm.
Wale disciples wakaishia kumwamsha, wakidai, "Bwana mdosi joh, kuna vile tuta drown ya kabisa! Akarauka akazomea wind na zile waves crazy; storm ikatulia, na kila kitu kikatulia.

25."Where is your faith?" he asked his disciples.In fear and amazement they asked one another, "Who is this? He commands even the winds and the water, and they obey him."
JC akawashow "Kwani faith yenu iko wea?" Wakiwa wamegwaya na bado pia wameshangaa wakaulizana, "kwani huyu ni nani?" Anacommand hadi wind na maji, na zinamu obey."

26.They sailed to the region of the Gerasenes, which is across the lake from Galilee.
Waka sail hadi ile hood ya Gerasenes, yenye ni across lake toka Galilee

27.When Jesus stepped ashore, he was met by a demon-possessed man from the town. For a long time this man had not worn clothes or lived in a house, but had lived in the tombs.
Nyakati JC alistep kwa dry land ivi, alikutwa na jamaa mmoja demon possesed toka iyo tao. Jamaa alikuwa amewaacha kitambo, ju hata hakuwa akikladi ama akiishi kejani, lakini aliishi kwa grave yard.

28.When he saw Jesus, he cried out and fell at his feet, shouting at the top of his voice, "What do you want with me, Jesus, Son of the Most High God? I beg you, don't torture me!"
Vile alimcheki JC ivi, alicry out na akaanguka down kwa miguu yake, akishout on the top of his voice, "Unawant nini na mimi JC wa nazareth,mtoi chali wa sir Godi Jah almighty? Please nakuomba, usini torture!"

29.For Jesus had commanded the evil spirit to come out of the man. Many times it had seized him, and though he was chained hand and foot and kept under guard, he had broken his chains and had been driven by the demon into solitary places.
Ju JC tayari alikuwa amemfungulia war akicommand iyo shaitula iishie from yule jamaa. Mara mob ilikuwa ikimshika, na hata kama alikuwa amufungwa na chains mikono na miguu na alikuwa under guard, bado angezivunja alafu apelekwe na force kwa places zenye angebaki solo.

30.Jesus asked him, "What is your name?" "Legion," he replied, because many demons had gone into him.
JC akamwuliza, "Jina yako ni who?" Akajibu, "Legion, Ju mashaito wengi walikuwa wameingia kwa soul yake.

31.And they begged him repeatedly not to order them to go into the Abyss.
Alafu wakambeg mara kwa mara asiwapeleke ndani ya bottomless pit.

32.A large herd of pigs was feeding there on the hillside. The demons begged Jesus to let them go into them, and he gave them permission.
Kundi la nguruwe wengi walikuwa wakitia ndani pale by the hillside.Shaito zika beg JC ati awakubali waingie ndani ya nguruwe, akawagei perm waishie.

33.When the demons came out of the man, they went into the pigs, and the herd rushed down the steep bank into the lake and was drowned.
Zile shaito zilitoka nje yayule mse, wakaingia kwa nguruwe, na ile group yote ya nguruwe ikatoka teke wakateremka down mtere steep hadi ndani ya lake wakadrowniwa.

34.When those tending the pigs saw what had happened, they ran off and reported this in the town and countryside,
Nyakati wale wachungaji wa nguruwe walicheki ile drama ya pigs, wakatoka mbio wakaishia ku report iyo stori kwa ma ocha na tao hapo karibu.

35.and the people went out to see what had happened. When they came to Jesus, they found the man from whom the demons had gone out, sitting at Jesus' feet, dressed and in his right mind; and they were afraid.
na wasee wakaishia nje ya ma keja kucheki ni nini ilikuwa imehappen.Walipokam kwa JC wakanotice yule jamaa mwenye mashaito zilikuwa zimemtema, akipolea chini ya miguu ya
JC, ameng'ara kladi for the first time in a while na ako poa akili; hadi wakaingiza njeve.

36.Those who had seen it told the people how the demon-possessed man had been cured.
Wale walikuwa wamecheki iyo saga wakashow wasee news za vile yulejamaa alikuwa
amepona.

37.Then all the people of the region of the Gerasenes asked Jesus to leave them,because they were overcome with fear. So he got into the boat and left.
Kisha wasee wote wa hiyo ntaa ya Gerasenes wakapeaJC eviction notice aishie, ju walikuwa wamewezwa na uwoga. So akaingia mv faina yake akaishia.

38.The man from whom the demons had gone out begged to go with him, but Jesus sent him away, saying,
Yule jamaa mwenye alikuwa amekuwa free from mashaito akambembeleza ati waishie na yeye, lakini JC akamtua aishia zake akimshow,

39"Return home and tell how much God has done for you." So the man went away and told all over town how much Jesus had done for him.
"Rudi mtaani mseiya uwashow vile vitu sir Godi ame kuduiya." So jamaa akishia
akashow wasee wote tao yaani tu vile JC alikuwa amemfanyia.

40.Now when Jesus returned, a crowd welcomed him, for they were all expecting him.
Sa vile JC alirudi, rende bwaku ilimkaribisha, ju wote walikuwa wanam chillia.

41.Then a man named Jairus, a ruler of the synagogue, came and fell at Jesus' feet, pleading with him to come to his house
Kisha jamaa anaitwa Jairus, sonkwo wa synagogue, akakam akaanguka kwa miguu ya JC,
akimwomba akam kwake kwa hao yake

42.because his only daughter, a girl of about twelve, was dying.As Jesus was on his way, the crowds almost crushed him.
Ju dote wake wa pekee, manzi ana miaka kama twelve ivi, alikuwa ana kick. JC akiishia ivi kumcheki, rende karibu wamsage sage.

43.And a woman was there who had been subject to bleeding for twelve years,but no one could heal her.
Na matha fulani mwenye alikuwa hapo alikuwa na shida ya mentral cycle yake miaka twelve,lakini hakuna msee alieza mheal.

44.She came up behind him and touched the edge of his cloak, and immediately her bleeding stopped.
Alikam nyuma ya JC akagusa pindu ya koti yake, namaraone akapona- damu ikaacha ku bleed.

45."Who touched me?" Jesus asked.When they all denied it, Peter said, "Master, the people are crowding and pressing against you."
"Nani aliniguza?"JC akauliza. Wote wakamshow hawajui,Pitaa akasema,"Sonkwo, wasee wamejazana ile mbaya hadi wanakuskuma."

46.But Jesus said, "Someone touched me; I know that power has gone out from me."
Lakini JC akazidi, "Kuna mse amenigusa; najua ivo ju nilihisi nguvu zimenitoka."

47.Then the woman, seeing that she could not go unnoticed, came trembling and fell at his feet. In the presence of all the people, she told why she had touched him and how she had been instantly healed.
Nyakati izo, yule matha akamesea hawezi epa tu ivo vi discreet, so akakam akitetemeka akaanguka kwa miguu yake.Mbele ya wasee wote, akaeleza kwa nini alikuwa amemgusa JC na vile aliponywa vi instantly.

48.Then he said to her, "Daughter, your faith has healed you. Go in peace."
JC akamshow niaje, "Dotee wangu, faith yako imekuokolea healing. Ishia na amani."

49.While Jesus was still speaking, someone came from the house of Jairus, the synagogue ruler. "Your daughter is dead," he said. "Don't bother the teacher any more."
JC akizidi kubongabonga, mse toka kejani kwa Jairus, sonkwo, mdosi wa synagogue akawasili na the news."Dote wako asha kick, usi sumbue mwalimu tena."

50.Hearing this, Jesus said to Jairus, "Don't be afraid; just believe, and she will be healed."
Kuskia ivo, JC akamshow niaje, "Usiwe na ma woga;we amini tu, na atakuwa healed."

51.When he arrived at the house of Jairus, he did not let anyone go in with him except Peter, John and James, and the child's father and mother.
Ithaa alifika kwa mbanyu ya Jairo, alikataza wase wote wasiingie ndani except Pitaa, Johnie na Jaymo, na pia mbuyuz na muthama wa mtoi.

52.Meanwhile, all the people were wailing and mourning for her. "Stop wailing,"Jesus said. "She is not dead but asleep."
Iyo time yote, wasee walikuwa wakilia na kuomboleza juu ya yule dotee.JC akawashow
niaje, "Wacheni kulia lia, hajadedi, amelala tu."

53.They laughed at him, knowing that she was dead.
Wakamchekelea ju walikuwa wanajua manzi asha die.

54.But he took her by the hand and said, "My child, get up!"
Lakini akachukua mkono wa yule manzi akasema,"Mtoi wangu, rauka!"

55.Her spirit returned, and at once she stood up. Then Jesus told them to give her something to eat.
Roho yake ikarudi, na mara one akasimama. Kisha jC akawashow wampatie samo ya kudishi at least.

56.Her parents were astonished, but he ordered them not to tell anyone what had
happened.
Maparo wa mkidi wakashangaa,akapeana amri wasishow wasee wowote chenye kimehapen.

No comments:

Post a Comment