Friday, July 31, 2009

Luke 1

Luka moja - Luke 1

1.Inasmuch as many have undertaken to compile an account of the things accomplished among us,
Ju nacheki ma hustler wengi wame try kuchora risto ya kristo vile ali do vitu mob kati yetu,

2.just as they were handed down to us by those who from the beginning were eyewitnesses and servants of the word,
vile tu zilipeanwa kwetu na waliotutangulia, wasee wenye walicheki kwa macho livelive zikihappen na wale wafanyi kazi wa word,

3.it seemed fitting for me as well, having investigated everything carefully from the beginning, to write it out for you in consecutive order, most excellent Theophilus;
nilicheki itakuwa poa kwa mimi pia, ju nisha do investigation nikasorora poa kila kitu kwa makini from mwanzo, kuchora stori through my own initiative, au sio, vile ilifuatana, mhemiwiwa wa kwanza Theophilus;

4.so that you may know the exact truth about the things you have been taught.
njo ushikanishe ile ukweli kabisa ju ya zile vitu umeshafunzwa.

5.In the days of Herod, king of Judea, there was a priest named Zacharias, of the division of Abijah; and he had a wife from the daughters of Aaron, and her name was Elizabeth.
Katika ma times za Herod, Mfalmewa Judea, kulikuwaga na pasii fulani aliitwaga Zachariah a.k.a Zachs, wa ile kundi ya Abijah; na alikuwa na waif toka kwa ma dotee wa Aaron, jina ya waif ilikuwa Elizabeth, a.k.a Elizah.

6.They were both righteous in the sight of God, walking blamelessly in all the commandments and requirements of the Lord.
Wote wawili walikuwa wa righteous kwa macho ya sir Godi, waki tembea bila any accusation mbele ya sir Godiwakitimiza commands na mahitaji za the Lord.

7.But they had no child, because Elizabeth was barren, and they were both advanced in years.
Lakini hawakuwaga na mtoi, ju Elizah alikuwa Tasa, na wote walikuwa wamekula chumvi mob.

8.Now it happened that while he was performing his priestly service before God in the appointed order of his division,
Sasa vile kulienda ni hivi, Zachs alikuwa anafanya job yake ka priest mbele ya sir Godi wakati rende yake ya ma priest ilikuwa njo turn yao kuwa job.

9.according to the custom of the priestly office, he was chosen by lot to enter the temple of the Lord and burn incense.
kulingana na vile ilikuwa custom kwa wasee wa ofisi ya pasii, alichaguliwa na ile njaro ya kuchaguana by luck[piki piki ponki] aingie kwa temple ya sir Godi kuchoma ubani.

10.And the whole multitude of the people were in prayer outside at the hour of the incense offering.
Na wale wasee wote ,rende ya wananchi, walikuwa wakipray nje, ile ma time ubani ilikuwa ikichomwa ka sadaka.

11.And an angel of the Lord appeared to him, standing to the right of the altar of incense.
Kisha angel wa sir Godi akatokezea kwake, akisimama to the right ya ile altar ya ubani.

12.Zacharias was troubled when he saw the angel, and fear gripped him.
Zachs akashikwa na wasiwasi kiasi ju alicheki angel hapo, na akaingiza njeve.

13.But the angel said to him, "Do not be afraid, Zacharias, for your petition has been heard, and your wife Elizabeth will bear you a son, and you will give him the name John.
Lakini angel akabaki amemtulizia,"Usigwaye mtu wangu zachs, Ju sms request yako ya maombi isha skiziwa, na waif wako Elizah, atakuzalia mtoi chali, na utamgei jina Johnie.

14."You will have joy and gladness, and many will rejoice at his birth.
"Utabaki umejazika meja na mbwembwe na shangwe zitakuwa zako, na wengi watabanjuka
ju atakuwa amezaliwa.

15."For he will be great in the sight of the Lord; and he will drink no wine or liquor, and he will be filled with the Holy Spirit while yet in his mother's womb.
"Ju atakuwa msee mkubwa, na cv kubwa mbele ya macho ya sir Godi; na asiwahi onja tei ama wine, na atajazwa na roho wa mungu mtakatifu hata akiwa bado kwa tumbo ya mathake.

16."And he will turn many of the sons of Israel back to the Lord their God.
"Atageuza wadhii most wale wenye ni waoti wa Israel wa go back to sir Godi.

17."It is he who will go as a forerunner before Him in the spirit and power of Elijah, TO TURN THE HEARTS OF THE FATHERS BACK TO THE CHILDREN, and the disobedient to the attitude of the righteous, so as to make ready a people prepared for the Lord."
"Ni yeye tu njo ataishia mbele kama fore runner, yaani ka escort ya prezzi, akiwa na roho wa mungu na nguvu za Elijah, Kubadilisha hearts za mambuyu ziwarejelee wakidi, na wale wasee wanutty warudi kuwawasee wamekubali uholy joe, njo angalau atengeze wasee walio tayari kwa kuwelcome mtoi wa sir Godi."

18.Zacharias said to the angel, "How will I know this for certain? For I am an old man and my wife is advanced in years."
Zachs alikuwa ameshangaa hadi akauliza angel, " Itakuwaje,nitajuaje hii stori ni real? Ju mimi ni mse mu old, na waif yangu ni kanyanye."

19.The angel answered and said to him, "I am Gabriel, who stands in the presence of God, and I have been sent to speak to you and to bring you this good news.
Angel akamshow niaje,"Mi ni Gabriel, mwenye husimama kwa presence ya Sir Godi, na hadi nimetumwa kukubongesha na kukuletea hizi good news.


20."And behold, you shall be silent and unable to speak until the day when these things take place, because you did not believe my words, which will be fulfilled in their proper time."
Sasa cheki, utakuwa bubu na hadi hautatoa hata sound hadi ile day izi vitu zita go down, ju haukuamini maneno yangu, yenye itakam kupass kwa wakati wake perfect."

21.The people were waiting for Zacharias, and were wondering at his delay in the temple.
Walewadhii walikuwa wakingoja Zachs atokezee, wakaanzakujali kwa nini jamaa amekaa sana akidelay kwa temple.

22.But when he came out, he was unable to speak to them; and they realized that he had seen a vision in the temple; and he kept making signs to them, and remained mute.
Lakini wakati alitokezea, alikuwa ameshindwa kubonga nao; wakashikanisha jamaa ameona vision ikamtia kengeza mseiya kwa temple; na ye akabaki akitoa ma signs kwao, akabaki bubu.

23.When the days of his priestly service were ended, he went back home.
Siku zile shift yake ya priest ili die, akaishia home.

24.After these days Elizabeth his wife became pregnant, and she kept herself in seclusion for five months, saying,
Baadayahizimadays Elizah waif wake akadungwa ball, so akajiweka house arrest miezi five, akisema aje,

25."This is the way the Lord has dealt with me in the days when He looked with favor upon me, to take away my disgrace among men."
"Hivi njo vile sir Godi amehandle mambo yangu zile days amenicheki na kunikubali, akanijalia hadi akachukua aibu yangu mbele ya wasee."

26.Now in the sixth month the angel Gabriel was sent from God to a city in Galilee called Nazareth,
Kwa hivyo ile mwezi ya sita angel Gabriel akasendiwa tena toka kwa sir Godi aishie Jiji moja huko Galilaya inaitwa Nazareth,

27.to a virgin engaged to a man whose name was Joseph, of the descendants of David; and the virgin's name was Mary.
kwa vajo fulani alikuwa amegeiwa engagement ring yaboi fulani aliitwa Josee, mmoja wa wale descendantswa Davie; na yule vajo jina yake aliitwaga Mary.

28.And coming in, he said to her, "Greetings, favored one! The Lord is with you."
Na akiingia hiyo keja, akamshow, "Salaams, mwenye umependelewa!Ju sir Godi ako na wewe."

29.But she was very perplexed at this statement, and kept pondering what kind of salutation this was.
Lakini manzi akashangaa sana ju ya hizo salams, akabaki akiwonder ni salaams gani hizi.

30.The angel said to her, "Do not be afraid, Mary; for you have found favor with God.
Yule angel akamshow,"Usigwaye, mary; ju umepata favor mbele ya God.

31."And behold, you will conceive in your womb and bear a son, and you shall name Him Jesus.
"Sasa cheki, utashika mimba kwa tumbo yako na utaget mtoi chali, na utampea jina Jesus.

32."He will be great and will be called the Son of the Most High; and the Lord God will give Him the throne of His father David;
"Atakuwa mse mbigi na ataitwa the son of Jah themost high; pia sir Godi atamgei ufalme, throne ya mbuyu wake Davie;

33.and He will reign over the house of Jacob forever, and His kingdom will have no end."
na ye atarule juu ya mbanyu ya Jacob foree, na ufalme wake haitawahi kuwa na end."

34.Mary said to the angel, "How can this be, since I am a virgin?"
Mary akadai aje kwamalaika, "Itakuwaje hivi,jumi ni vajo?"

35.The angel answered and said to her, "The Holy Spirit will come upon you, and the power of the Most High will overshadow you; and for that reason the holy Child shall be called the Son of God.
Yule angel akamjibu akamshow, "Holy spirit atakam juu yako, na nguvu ya sir Godi itakufunikia; naju ya hiyo stori yule mtoi holy ataitwa mkidi wa sir Godi.

36."And behold, even your relative Elizabeth has also conceived a son in her old age; and she who was called barren is now in her sixth month.
"Tena cheki ivi, hadi yule couzo wako Elizah asha get ball, ako na mtoi chali, hataka yeni kanyanye; yule mathee wasee walisema ni tasa saahii ako na ball ya miezi six.
37."For nothing will be impossible with God."
"Ju hautawahi pata kitu haiwezekani kwa sir Godi."

38.And Mary said, "Behold, the bondslave of the Lord; may it be done to me according to your word." And the angel departed from her.
Kisha Mary akasema aje, "Ebu cheki ivi, mi ni servant wa sir Godi; wacha ifanyike tu vile umesema, kulingana na word yako." Hapo angel akaishia akamwacha.

39.Now at this time Mary arose and went in a hurry to the hill country, to a city of Judah,
Sasa ile time mary akarauka na kwenda chap chap kwa ile nchi ya mlima, hadi Judah city,

40.and entered the house of Zacharias and greeted Elizabeth.
na akaingia ile hao ya Zachs akagotea Elizah.

41.When Elizabeth heard Mary's greeting, the baby leaped in her womb; and Elizabeth was filled with the Holy Spirit.
Wakati Elizah alisikia Mary akimgotea, mtoi akaruka ndani ya tumbo yake; na Eliza akajazwa na holy spirit.

42.And she cried out with a loud voice and said, "Blessed are you among women, and blessed is the fruit of your womb!
Na akalia kwa sauti kubwa akisema,"Umebarikiwa sana kwa mamazi wote, na pia imebarikiwa fruit ya uzazi wako.

43."And how has it happened to me, that the mother of my Lord would come to me?
"Na ikanifanyikia aje, ati yule matha wa mdosi wangu sir Godi akam kunicheki?

44."For behold, when the sound of your greeting reached my ears, the baby leaped in my womb for joy.
"Ju cheki, ile time sauti yako ya salaams ilifika maskioni pangu, yule mtoi aliruka ndani ya tumbo yangu na kubambika.

45."And blessed is she who believed that there would be a fulfillment of what had been spoken to her by the Lord."
"Na ameblessika yule mrembo ambaye ameamini ati kutatokea chenye alisema kilizungumzwa kwake na mdosi, sir Godi."

46.And Mary said:
"My soul exalts the Lord,
Na Mary akasema;
"Nafsi ya mine ina lift up Jah almighty,

47.And my spirit has rejoiced in God my Savior.
Na spirit yangu ina banjuka sana ndani ya sir Godi savior wangu.

48."For He has had regard for the humble state of His bondslave;
For behold, from this time on all generations will count me blessed.
"Ju yeye ashakuwa na huruma na mse wake servant mu-humble;
Ju cheki, toka sasa wasee wa vizazi zinakam watacheki mi ni mse nimeblessika.

49."For the Mighty One has done great things for me;
And holy is His name.
"Ju Jah almighty asha do ma operation meja kwa saabu yangu tu;

50."AND HIS MERCY IS UPON GENERATION AFTER GENERATION
TOWARD THOSE WHO FEAR HIM.
"NA HURUMA YA HIS IMESHUKA ON GENERATION HADI GENERATION

51."He has done mighty deeds with His arm;
He has scattered those who were proud in the thoughts of their heart.
"Ye ame do vitu mighty sana na mkono wake;
Amesha scatter wale walikuwa wamejidai ndani ya thoughts zao na moyo zao.

52."He has brought down rulers from their thrones,
And has exalted those who were humble.
"Amewaleta down wale wasee wanaongoza toka kwa throne zao,
na kisha akawainua wale wasee humble.

53."HE HAS FILLED THE HUNGRY WITH GOOD THINGS;
And sent away the rich empty-handed.
"AMEJAZA WASEE WENYE UBAO NI VITU FITI;
Lakini amewafukuza wasee masonkwo bila any-mkono mtupu.
54."He has given help to Israel His servant,
In remembrance of His mercy,
"Asha peana help kwa Israel servant wake, akukumbukaga huruma zake,

55.As He spoke to our fathers,
To Abraham and his descendants forever."
Vile alibonga akazungumza na mambuyu wetu,
Kwa Abraham na wajukuu wake milele."

56.And Mary stayed with her about three months, and then returned to her home.
Kwaivo Mary akapolea na Elizah miezi tatu, alafu akarudi hood yake.

57.Now the time had come for Elizabeth to give birth, and she gave birth to a son.
Sa ile time ikafika njo Eliza agive birth, na akazaa mtoi chali.

58.Her neighbors and her relatives heard that the Lord had displayed His great mercy toward her; and they were rejoicing with her.
Wale ma neighbour wake nama rela wakaskia ati sir Godi amesha onyesha huruma zake bwaku ajabb kwa Eliza; wakajazika tugezza na yeye vi meja.

59.And it happened that on the eighth day they came to circumcise the child, and they were going to call him Zacharias, after his father.
Na ikahappen aje, ile siku ya eight, ttime walikam kumcircumcise mtoi, na walikuwa wakitaka kumpeajina Zachs, after mbuyu wake.

60.But his mother answered and said, "No indeed; but he shall be called John."
Lakini mother wake akawajibu akawashow, "Zi ile kabisa; lakini tutambandika jina Johnie."

61.And they said to her, "There is no one among your relatives who is called by that name."
Na wakamshow aje, "Hanaku mse any kwa ma relas wako anaitwa Johnie."

62.And they made signs to his father, as to what he wanted him called.
So waka make signlanguage kwambuyuz wake, wakidai anataka mtoi aitwe aje.

63.And he asked for a tablet and wrote as follows, "(BQ)His name is John." And they were all astonished.
Akaulizia apewe tablet-place ya kuchongea writings- akaandika ivi,"Jina ya boy ni Johnie." Haiya! Wote wakashangaa.

64.And at once his mouth was opened and his tongue loosed, and he began to speak in praise of God.
Mara hiyo hiyo mdomo yake ikafunguka na ulimi yake ikakuwa free so akaanza kubonga
akipraise sir Godi.

65.Fear came on all those living around them; and all these matters were being talked about in all the hill country of Judea.
Wasee wote walikuwa wanaishi hapo ina dee area imesurround wakaogopa; na hizi drama zote zibongelewa about kwa ile ushagoyote karibu na mlima wa Judea.

66.All who heard them kept them in mind, saying, "What then will this child turn out to be?" For the hand of the Lord was certainly with him.
Wasee wote wenye waliwaskia waliweka records kwa akili, "Wakajiuliza saa huyu boy atakuwa what?" Ju obvious sir Godi alikuwana yeye.

67.And his father Zacharias was filled with the Holy Spirit, and prophesied, saying:
Na mbuyuz wake Zachs akajazwa na spirit wa God akaprophesy akisema aje:

68."Blessed be the Lord God of Israel, For He has visited us and accomplished redemption for His people,
"Ablessike sana Sir Godi mdosi wa Israel, Ju amesha visit sisi wasee wake na ame do fanikisha operation ya rescue and salvation ya wasee wake,

69.And has raised up a horn of salvation for us In the house of David His servant--
Na kisha atainua up horn of salvation yetu sisi kwa hao ya Davie servant wake--

70.As He spoke by the mouth of His holy prophets from of old--
Vile alibonga by mouth ya ma prophet wake wa holy wa zamo--

71.Salvation FROM OUR ENEMIES,And FROM THE HAND OF ALL WHO HATE US;
Wokovu TOKA KWA MAHATERS,Na TOKA KWA MIKONO YA WOTE MA HATERS WETU;

72.To show mercy toward our fathers, And to remember His holy covenant,
Kuonyesha huruma kwa mambuyu wetu, na kukumbuka ile covenant yake holy,
73.The oath which He swore to Abraham our father,
Ile oath yenye alishow Abraham mbuyuz wetu,

74.To grant us that we, being rescued from the hand of our enemies, Might serve Him without fear,
Ku make sure sisi wenye tumeokolewa toka mikono ya mahaters wetu, tutamtumikia bila woga,

75.In holiness and righteousness before Him all our days.
Na holiness na righteousness mbele yake days zetu zote.
76."And you, child, will be called the prophet of the Most High;For you will go on BEFORE THE LORD TO PREPARE HIS WAYS;
"Na wewe mtoi,utaitwa yule prophet wa most high; ju utaishia MBELE YAKE MDOSI
SIRGODI KUJENGA NJIA ZAKE,

77.To give to His people the knowledge of salvation By the forgiveness of their sins,
Kugei wasee wake ile ujuzi na kuelewa kuhusu wokovu na kusameheana kwa sins zao,

78.Because of the tender mercy of our God,With which the Sunrise from on high will visit us,
Lakini ju ya huruma sopu sopu za sir Godi mdosi wetu, through which ile light ya ngware ya solar itatutembelea,

79.TO SHINE UPON THOSE WHO SIT IN DARKNESS AND THE SHADOW OF DEATH,To guide our feet into the way of peace."
KU SHINE KWA WALE WASEE WAMEPOLEA GIZANI KWA NA ILE SHADOW YA KIFO, Kuongoza miguu yetu hadi ndani ya njia za amani."

80.And the child continued to grow and to become strong in spirit, and he lived in the deserts until the day of his public appearance to Israel.
Na yule mkidi, Johnie sasa,akaendelea kugrow na kukuwa mstrong kwa spirit yake, na alipoleaga ndani ya junglehadi ile day alido public appearance kwa israel.

No comments:

Post a Comment