Friday, August 21, 2009

Luke 11

Luka flow ya Kinde na moja- Luke 11

1. Now it came to pass, as He was praying in a certain place, when He ceased, that one of His disciples said to Him, "Lord, teach us to pray, as John also taught his disciples."
Sa wazeiya, kulienda hivi, nyakati akipray place fulani, time alimada kupray tu, mmoja wa wale disciples wake wakamshow niaje, "Mdosi si utushow kuomba, ile njaro hata Johnie pia alishow wasee wake disciples kuomba."

2. So He said to them, "When you pray, say: Our Father in heaven, Hallowed be Your name. Your kingdom come. Your will be done On earth as it is in heaven.
Kwa hivo akawashow niaje, mkipray, semeni: Mbuyu wetu huko heaven, name yako ipewe respect sana. Kingdom yako ikam. Mapenzi yako ifanyike on earth kama vile inafanyikaga heaven.

3. Give us day by day our daily bread.
Tugei kila daily mkanyo yetu.

4. And forgive us our sins, For we also forgive everyone who is indebted to us. And do not lead us into temptation, But deliver us from the evil one."
Na utuforgive leo madhambi zetu kama vile tumeforgive kila mse mwenye ako nadeni na sisi. Na usituongoze kwa matemptaions, lakini utu deliver toka kwa shaitula.

5. And He said to them, "Which of you shall have a friend, and go to him at midnight and say to him, 'Friend, lend me three loaves;
Na akawashow, "Nani kati yenu anaweza kuwa na beshte, alafu amwendeee time za midnight hivi amshow, 'mtu wangu, ni loan dibre tatu;

6. 'for a friend of mine has come to me on his journey, and I have nothing to set before him';
Ju pal fulani wangu ameshakam kunicheki from safari, na sina hata ka dibre ka kumgei';

7. "and he will answer from within and say, 'Do not trouble me; the door is now shut, and my children are with me in bed; I cannot rise and give to you'?
"na amjibu akiwa kwa kejani amshow, "usini hustle mtu wangu; door ishafungwa, na watoi wa mine wako na mimi kwa bed; siwezi amka nikushughulikie'?

8. "I say to you, though he will not rise and give to him because he is his friend, yet because of his persistence he will rise and give him as many as he needs.
"Nakushow, hata ka hatarauka na kumgei ju yeye ni beshte yake, lakini ju alipersist sana, atarauka amgei dibre mob ile amount anadai.

9. "So I say to you, ask, and it will be given to you; seek, and you will find; knock, and it will be opened to you.
"Kwa ivo njo nawashow, dai, na itapeanwa kwako chenye umeulizia; saka na utaget; bisha, na mlango itafunguliwa kwako.

10. "For everyone who asks receives, and he who seeks finds, and to him who knocks it will be opened.
"Ju kila mse anauliza hupokea, na yule anasaka hupata, na yule jamaa hu knock mlango itafunguliwa.
11. "If a son asks for bread from any father among you, will he give him a stone? Or if he asks for a fish, will he give him a serpent instead of a fish?
"Kama mtoi chali anauliza mkanyo toka kwa mbuyu yeyote fulani kati yenu, mbuyu atamgeiaje stone? Ama akiuliza mbuta hivi, atamgeiaje nyoka badala ya fish?

12. "Or if he asks for an egg, will he offer him a scorpion?
"Ama akiuliza for an egg, je atamgei aje scorpion?
13. "If you then, being evil, know how to give good gifts to your children, how much more will your heavenly Father give the Holy Spirit to those who ask Him!"
"Kama nyinyi basi, mkiwa wakora, bado mnamesea kupeana gift poa poa kwa wakidi wenu, na sasa mbuyu wenu wa heaven vile mholy atageiana sasa gift ya ajabu aina gani ya holy spirit kwa wote wanaomwuliza!"

14. And He was casting out a demon, and it was mute. So it was, when the demon had gone out, that the mute spoke; and the multitudes marveled.
Na kisha akitimua nje ka shaito, kenye kalikuwa bubu. Ikawa that nyakati pepo ilimtoka, yule jamaa bubu akaanza kubonga; hadi rende ikashangaa.

15. But some of them said, "He casts out demons by Beelzebub, the ruler of the demons."
Lakini wasee kadhaa hapo wakasema, "Anatimua mashaitula akitumia Beelzebub, mdosi wa mashaitula."
16. Others, testing Him, sought from Him a sign from heaven.
Wengine, wakipanga kumjaribu wakamtafuta awashow ishara from heaven.
17. But He, knowing their thoughts, said to them: "Every kingdom divided against itself is brought to desolation, and a house divided against a house falls.
Lakini yeye, akijua fikira zao, akawashow: "Kila kingdom imejidivide against itself italetwa to its knees in destruction, na hao yenye imedividiwa against itself hu nesh.

18. "If Satan also is divided against himself, how will his kingdom stand? Because you say I cast out demons by Beelzebub.
"Ka devo amegawanyika against himself, kingdom yake itakaa how long imesimama? Ju mnasema mimi hutimua mashaitula na Beelzebub.

19. "And if I cast out demons by Beelzebub, by whom do your sons cast them out? Therefore they will be your judges.
Na kama nina do operation kama hiyo ya kuchomoa shaito niki use Beelzebub , na nyinyi sons wenu hutumia nani kuzitimua? Hapo sasa, hao njo watakuwa jaji wenu.
20. "But if I cast out demons with the finger of God, surely the kingdom of God has come upon you.
"Lakini ka nina timua mashaitula na mkono wa God, basi for real ufalme wa Kingdom ya God umekam juu yenu.
21. "When a strong man, fully armed, guards his own palace, his goods are in peace.
"Ithaa mse ameshona, akiwa fully armed, ana guard palace yake, burungo zake ziko kwa amani.
22. "But when a stronger than he comes upon him and overcomes him, he takes from him all his armor in which he trusted, and divides his spoils.
"Lakini the minute mse ameshona kumliko amkamia na kumshika na kumwahi terms of strength, ye hukwachu from him kila kitu chenye ali trust, na kudivide izo burungo.

23. "He who is not with Me is against Me, and he who does not gather with Me scatters.
"Yule hayuko na mimi ako against mimi, na yule hana shughuli ya ku gather na mimi ana scatter.
24. "When an unclean spirit goes out of a man, he goes through dry places, seeking rest; and finding none, he says, 'I will return to my house from which I came.'
"Shaitula akitemwa toka kwa msee, huishia places zingine dry sana, akitafuta place ya kutuliza; akikosa hata moja, ye hudai,'Joh. nitarejelea ile hao, place nilin'golewa.

25. "And when he comes, he finds it swept and put in order.
"Na wakati atakam, apate hao imesweepiwa na kuwekwa in order.

26. "Then he goes and takes with him seven other spirits more wicked than himself, and they enter and dwell there; and the last state of that man is worse than the first."
"Kisha hapo sasa ataishia asake shaito wale seven mambo bad kumliko, na waingie na kutulia hapo; hadi ile state ya yule msee ya mwisho ni mbovu kuliko hata ya fao."

27. And it happened, as He spoke these things, that a certain woman from the crowd raised her voice and said to Him, "Blessed is the womb that bore You, and the breasts which nursed You!"
Na ikahappen, vile akibonga izi vitu, kulikuwa na jamaa fulani toka kwa ile rende akashot kwa voite ya juu akisema,"Imeblessika ile tumbo ya mamaako ilikuzaa
na zile matiti zilikulea!"
28. But He said, "More than that, blessed are those who hear the word of God and keep it!"
Lakini akawashow, "Zaidi ya hapo, rather wameblessika sana wale wasee wameskia ile word ya sir godi na kuitimiza kwa life zao!"

29. And while the crowds were thickly gathered together, He began to say, "This is an evil generation. It seeks a sign, and no sign will be given to it except the sign of Jonah the prophet.
Na vile zile crowd zilikuwa zimegather na njaro ya maajabu pamoja, akaanza kubonga akisema, "Hii ni generation wicked. Wanatafuta sign, lakini hakuna sign itageianwa except ile ya Jonah the prophet.

30. "For as Jonah became a sign to the Ninevites, so also the Son of Man will be to this generation.
"Ju vile tu Jonah alikuwaga ishara kwa wasee wa nineveh, ivo tu njo mtoi wa adam ako tu kwa hii generation.

31. "The queen of the South will rise up in the judgment with the men of this generation and condemn them, for she came from the ends of the earth to hear the wisdom of Solomon; and indeed a greater than Solomon is here.
" Queen, don wa kusini atarize up siku ya kiama na wasee wa hii generation kuikemea, ju yeye alitoka from mwisho wa dunia kuskiza tu ile ujanja ya solomon; lakini saa mse mbwaku kushinda Solomon ako hapa.
32. "The men of Nineveh will rise up in the judgment with this generation and condemn it, for they repented at the preaching of Jonah; and indeed a greater than Jonah is here.
"Wale jamaa wa nineveh wata rise up ile siku ya kiama na hii generation na kuicondemn, ju wali sha tubu time waliskiza preaching ya jonah na mse mmoja mnoma kuliko Jonah ako hapa.

33. "No one, when he has lit a lamp, puts it in a secret place or under a basket, but on a lampstand, that those who come in may see the light.
"Hanaku jamaa mwenye akisha ashalamp anaisunda place secret ama chini ya kikapu, lakini huiseti kwa stand yake, ili radi wale wasee wamekam ndani ya keja watacheki taa.

34. "The lamp of the body is the eye. Therefore, when your eye is good, your whole body also is full of light. But when your eye is bad, your body also is full of darkness.
"Koroboi ya mwili ni jicho.Ju ya hiyo stori, ka time macho yako ni poa, mwili yako yote itakuwa poa imejaa light.Lakini time macho yako ni mbovu, body yako pia itajaa giza.

35. "Therefore take heed that the light which is in you is not darkness.
Kwa hivyo kuwa radar ile taa iko ndai yako isikuwe ni giza.

36. "If then your whole body is full of light, having no part dark, the whole body will be full of light, as when the bright shining of a lamp gives you light."
"Kama ni ivo basi, yaani mwili yako yote iko imejaa light bila giza giza, mwili yote itakuwa imejaa taa, kama vile kumulika taa bright hukuletea mwangaza."

37. And as He spoke, a certain Pharisee asked Him to dine with him. So He went in and sat down to eat.
Na akizidi kubonga, msee fulani pharisee akamwuliza aje atokee wadine pamoja. So JC akatokezea akaingia kejani akapoa down kudishi.

38. When the Pharisee saw it, he marveled that He had not first washed before dinner.
Ithaa yule pharisee alicheki situation, akawa ameshangaa sana vile jC hakuwa ameosha mikono kabla ya ka supper.
39. Then the Lord said to him, "Now you Pharisees make the outside of the cup and dish clean, but your inward part is full of greed and wickedness.
Time iyo JC akamshow, "Sa nyi nyi ma pharisees mna make nje ya cup safi na dish zikuwe clean, lakini ndani yenu iko imejaa tamaa na u wickedness.
40. "Foolish ones! Did not He who made the outside make the inside also?
"Wasee pumbavu! Si yule mwenye alitengeneza nje pia alitengeneza ndani?
41. "But rather give alms of such things as you have; then indeed all things are clean to you.
Si afadhali ugeiane msaada ya zile cargo uko nazo; alafu for real kila kitu kitakuwa safi kwako.

42. "But woe to you Pharisees! For you tithe mint and rue and all manner of herbs, and pass by justice and the love of God. These you ought to have done, without leaving the others undone.
Lakini ole wenu mafarisayo! Ju nyi hu tithe hadi mint na spices kali na za kila variety, lakini mnalenga ku do vitu kama kupendana na love ya God ama kuhakikisha haki ime doiwa. Hizi njo mnge do kabisa bila kuacha ku tithe.

43. "Woe to you Pharisees! For you love the best seats in the synagogues and greetings in the marketplaces.
"Ole wenu mafarisayo! Ju nyi hupenda zile seats VIP kwa synagogue na kusalimika kwa sokoni.

44. "Woe to you, scribes and Pharisees, hypocrites! For you are like graves which are not seen, and the men who walk over them are not aware of them."
"Ole wenu, scribes na ma pharisees, makabwela! Ju nyi ni kama kaburi zenye wasee hutembelea juu, na wasee wenye wako juu yao hata hawana habari.
45. Then one of the lawyers answered and said to Him, "Teacher, by saying these things You reproach us also."
Kisha mmoja wa wale lawyer aakamjibu akimshow, "Mwalimu, ukisema hizi vitu unatusomea pia.'
46. And He said, "Woe to you also, lawyers! For you load men with burdens hard to bear, and you yourselves do not touch the burdens with one of your fingers.
Akabonga hivi,"Ole wenu pia, wasee lawyers! Ju nyi hupanga wasee na mizigo mob ngumu kubeba, na nyi wenyewe hamna hata ile shughuli ya kuguza hizo mizigo hata na finger moja hivi.

47. "Woe to you! For you build the tombs of the prophets, and your fathers killed them.
"Ole wenu! ju nyi hujenga zile kaburi za ma prophet, na ni mambuyu wenu waliwadedisha.

48. "In fact, you bear witness that you approve the deeds of your fathers; for they indeed killed them, and you build their tombs.
"Kwanza, infact mnashuhudia that msha kubaliana na action za ma fathers wenu; ju cha ukwela waliwauwa, na mkawajengea kaburi.

49. "Therefore the wisdom of God also said, 'I will send them prophets and apostles, and some of them they will kill and persecute,'
"Kwa hivo wisdom ya God akapanga aje, 'Nitawatumia ma prophets na apostles, na wengine mtauwa na kutesa,'

50. "that the blood of all the prophets which was shed from the foundation of the world may be required of this generation,
"Njo ile blood yote ya ma prophets yenye ilimwagwa toka enzi za foundations za earth ikue demanded toka kwa hi generation,

51. "from the blood of Abel to the blood of Zechariah who perished between the altar and the temple. Yes, I say to you, it shall be required of this generation.
"Toka ile damu ya Abel hadi ile ya zechariah mwenye alidedi katikati ya altar na temple. Ndio, nawashow, itaulizwa toka kwa hii generation.

52. "Woe to you lawyers! For you have taken away the key of knowledge. You did not enter in yourselves, and those who were entering in you hindered."
"Ole wenu malawyer! Ju mmewanyang'anya wasee kifunguo ya knowledge. Hamkuingia nyi wenyewe, nawale walikuwa wana try kuingia mliwazuia."

53. And as He said these things to them, the scribes and the Pharisees began to assail Him vehemently, and to cross-examine Him about many things,
Na vile alisema hizi vitu kwao, wale waandishi wa religion na mapharisees wakaanza kumhanda vi meja, na kum question ju ya vitu mob,

54. lying in wait for Him, and seeking to catch Him in something He might say, that they might accuse Him.
wakipangia wakimngoja kumget, wakijaribu kumshika kwa njia moja kupitia something angebonga njo wam arrest.

No comments:

Post a Comment