Friday, August 21, 2009

Luke 12

Luka flow ya kinde na mbe - Luke 12

1.Meanwhile, when a crowd of many thousands had gathered, so that they were trampling on one another, Jesus began to speak first to his disciples, saying: "Be on your guard against the yeast of the Pharisees, which is hypocrisy.
Tayari ikiwa ivo, rende ya wajamaa mathao ikawa imegather, hadi point waseewalikuwa wanakanyagiana down, JC akaanza lecture series yake latest, kwanza akibongesha wafuasi wake akisema:"Kuweni ritho majamaa kujikinga na ile chachu ya mapharisees, yenye ni kuwa ma phony.

2.There is nothing concealed that will not be disclosed, or hidden that will not be made known.
Hanaku tuki iko hidden yenye haitawekwa open, ama yenye imefichika yenye haitawekwa wazi wasee wanyite.

3.What you have said in the dark will be heard in the daylight, and what you have whispered in the ear in the inner rooms will be proclaimed from the roofs.
Chenye umebonga kwa giza itaskika kwa mchana, na chenye ume whisper kwa skio kwa place secret ya keja njo kwanza itashoutiwa from juu ya mabati.

4."I tell you, my friends, do not be afraid of those who kill the body and after that can do no more.
"Mawashow, mabeshte zangu, msigwaye ju ya wale wakora wanadedisha tumwili na alafu hawawezi do kitu ingine zaidi.

5.But I will show you whom you should fear: Fear him who, after the killing of the body, has power to throw you into hell. Yes, I tell you, fear him.
Lakini nitawashow ni nani mnafaa kuingiza njeve ju yake: ogopa yule mwenye, bahada ya kudedisha mwili, bado ako na mbinu na vungu ya kukuchuja ndani ya hell. EEh, manze, nakushow huyo, maze mugwaye.

6.Are not five sparrows sold for two pennies? Yet not one of them is forgotten by God.
Si mali kwa mali watakukindia ndush ngovo for peni limbi? Hadi bado hata mmoja yao haija sahaulika na sir Godi.

7.Indeed, the very hairs of your head are all numbered. Don't be afraid; you are worth more than many sparrows.
Kwa kweli jo, zile nywele za head yako zote zimepewa namba. Msiogope; nyi ni more valuable kuliko ndush mob.

8."I tell you, whoever acknowledges me before men, the Son of Man will also acknowledge him before the angels of God.
"Tena nawashow aje, yule mmoja wenu mwenye amenikubali mbele ya wasee, mtoi son of sir Godi atamtambua mbele ya angels wa sir Godi.

9.But he who disowns me before men will be disowned before the angels of God.
Lakini mwenye amenitema mbele ya wasee pia atatemwa mbele ya ma angels wa sir Godi.

10.And everyone who speaks a word against the Son of Man will be forgiven, but anyone who blasphemes against the Holy Spirit will not be forgiven.
Na kila mse ataspeak word against son wa Adam atasamehewa, lakini mse any atacurse against holy spirit hatasamehewa.

11."When you are brought before synagogues, rulers and authorities, do not worry about how you will defend yourselves or what you will say,
"Ithaamnaletwa mbele ya wale wadhii wanarun synagogues, masonkwo na wenye say, msiwe jamaa wa kumaka ati ni vipi mtajitetea, ama ni vipi mtabonga.

12.for the Holy Spirit will teach you at that time what you should say."
Ju Holy Spirit atawapea mafunzo crush program iyo time ya chenye mtasema."

13.Someone in the crowd said to him, "Teacher, tell my brother to divide the inheritance with me."
Mse mmoja kwa crowd akawika kwake akioomba, "Modee, show bro wa mine agawe burungo ya inheritance na mimi."

14.Jesus replied, "Man, who appointed me a judge or an arbiter between you?"
JC akamjibe,"Buda, nani alini appoint niwe hakimu wa kesi ka iyo yako kati yenu?"

15.Then he said to them, "Watch out! Be on your guard against all kinds of greed; a man's life does not consist in the abundance of his possessions."
Kisha akabonganao wote,"Chunga! Kuwwa macho umejikinga against greed za variety zote-kila aina; life ya mse haikuagi ndani ya vile ako sonkwo wa vitu mob."

16.And he told them this parable: "The ground of a certain rich man produced a good crop.
Na alafu akafafanua na example moja ya nguvu: "Ile shake ya don fulani sonkwo ilizaa na ubaya crop ya bidii sana.

17.He thought to himself, 'What shall I do? I have no place to store my crops.'
He! akajuiliza, 'Sa ni nini nita do?Sina space mtu wangu! hata space ya kustore zao langu.'

18."Then he said, 'This is what I'll do. I will tear down my barns and build bigger ones, and there I will store all my grain and my goods.
"Aha, 'akasema', Nitado ivi, nitabomoa down warehouse zangu zote alafu nijenge zile sasa za kutisha, na hapo niweke nafaka yangu na burungo zangu.

19.And I'll say to myself, "You have plenty of good things laid up for many years. Take life easy; eat, drink and be merry." '
Alafu nitaji show, "Uko na mambo mzuri teletele zimekungoja tu miaka na miaka.Take it eazee eazee; jitibu na dish na drinks proper na ujibambe."

20."But God said to him, 'You fool! This very night your life will be demanded from you. Then who will get what you have prepared for yourself?'
"Lakini sir Godi akamshow, 'We pumbavu! Usiku huu huu life yako itaitishwa from wewe.
Kisha nani ataget from vitu umejipangia peke yako?'

21."This is how it will be with anyone who stores up things for himself but is not rich toward God."
"Ivo tu njo ita go down kwa wale wase wowote wanajipangia vitu for wao tu lakini sio masonkwo kwa side ya kupea God."

22.Then Jesus said to his disciples: "Therefore I tell you, do not worry about your life, what you will eat; or about your body, what you will wear.
Kisha JC akashow disciples wake: "Kwa ivo nawashow, msiwe mnakondeshwa na worry ju ya life zenu, chenye mta dishi; ama mwili zenu, chenye mta dunga.

23.Life is more than food, and the body more than clothes.
Maisha ni more than dishi-french fries na burger, na mwili ni more than kladi-lebo kali kali.

24.Consider the ravens: They do not sow or reap, they have no storeroom or barn; yet God feeds them. And how much more valuable you are than birds!
Tafakari ju ya kunguru jo; Ye kwanza hapandagi wala havuni, hana ka store ivi ama warehouse; lakini cheki sir Godi pasonali huwadunga service ya waiter akiwa feed. Na nyinyi si ni more than ati kunguru!

25.Who of you by worrying can add a single hour to his life?
Nani hapa kwa mawazo zake anaweza kuongeza hata one hour kwa life yake?

26.Since you cannot do this very little thing, why do you worry about the rest?
Ju hamwezi do kitu small ka hiyo, mbona mka worry ju ya zile vitu zingine?
27."Consider how the lilies grow. They do not labor or spin. Yet I tell you, not even Solomon in all his splendor was dressed like one of these.
"Tafakari vile mauahu grow. Hazinaga ati kutia bidii ama kushona nguo.Lakini nawachanua that hadi Solomon na mapepe na glamor zake zote hangewai dunga vismart ka hizi.

28.If that is how God clothes the grass of the field, which is here today, and tomorrow is thrown into the fire, how much more will he clothe you, O you of little faith!
So ka hivo njo sir Godi hucladi nyasi uwanjani, zenye ziko hapa leo, na kesho zimesha chujwa kwa nare, mtavalishwa zaidi aje cladi nyinyi, jamani wasee wenye imani small.
29.And do not set your heart on what you will eat or drink; do not worry about it.
Na msijiwekee heart zenu kufikiria ju ya dishi ama kinywaji; hata msi mind ju yake.

30.For the pagan world runs after all such things, and your Father knows that you need them.
Ju wase atheists hukimbilia kushughulikia hizi vitu zote, na mbuyu wenu ashashikanisha mnazihitaji.

31.But seek his kingdom, and these things will be given to you as well.
Lakini saka kwanza ufalme wa sir Godi, alafu hizi vitu zote mtageiwa pia.

32."Do not be afraid, little flock, for your Father has been pleased to give you the kingdom.
"Msiwe na woga, kondoo wadogo, ju mbuyu wenu asha jazika kuwagei ufalme.

33.Sell your possessions and give to the poor. Provide purses for yourselves that will not wear out, a treasure in heaven that will not be exhausted, where no thief comes near and no moth destroys.
Uza cargo zako na usaidie wasee poor. Jisort na wallet zenye haziezi chapa, treasure ya heaven yenye hakuna financial meltdown, yenye hakuna mwizi atakaribia na moth kuimess.

34.For where your treasure is, there your heart will be also.
Ju place treasure yako iko, hapo pia heart yako itakuwa.

35."Be dressed ready for service and keep your lamps burning,
"Kuwa umedunga tayari kwa utumishi na uweke koroboi yako ikiwa inawaka.

36.like men waiting for their master to return from a wedding banquet, so that when he comes and knocks they can immediately open the door for him.
ka wasee wakingojea mdosi wao arudi from wedo ivi, hadi time akikam a-knock wanaweza
kumfungulia door chap chap.

37.It will be good for those servants whose master finds them watching when he comes. I tell you the truth, he will dress himself to serve, will have them recline at the table and will come and wait on them.
Itakuwa poa kwa wale jamaa wenye mdosi wao atawaget wakiwa radar akirudi. Nawapea reality, atajipima kladi mwenyewe kuwa waiter, atawaweka watulie kwa tebo na atakam awashughulikie.

38.It will be good for those servants whose master finds them ready, even if he comes in the second or third watch of the night.
Itakuwa poa kwa wale servants wenye walipatikana na mdosi wao wakiwa ready, hata
kama akikam ile hour ya pili ama ya tatu night.

39.But understand this: If the owner of the house had known at what hour the thief was coming, he would not have let his house be broken into.
Lakini elewa ivi: kama mwenye hao angelijua ni time gani thegi alikuwa anakam, hangewacha hao yake isanyiwe.

40.You also must be ready, because the Son of Man will come at an hour when you do not expect him."
Lazima nyi pia muwe tayari, ju mtoi son wa adam atatokezea ithaa hamkuwa mna expect.

41.Peter asked, "Lord, are you telling this parable to us, or to everyone?"
Pitaa akauliza sonkwo, "Bwana, unasema hizi fumbo kwetu ama kwa kila mse?"

42.The Lord answered, "Who then is the faithful and wise manager, whom the master puts in charge of his servants to give them their food allowance at the proper time?
Bwana mdosi akamshow, "Nani basi ni MD yule faithful na mjanja, mwenye sonkwo aliweka in charge ya servants wake kuwagei dishi yao kwa time proper?

43.It will be good for that servant whom the master finds doing so when he returns.
Itakuwa poa sana kwa wale ma mboch wenye sonkwo atapata wako bidii yao akirejea.

44.I tell you the truth, he will put him in charge of all his possessions.
Nawaelimisha na reali, atawaweka in charge wasimamie burungo zote zake.

45.But suppose the servant says to himself, 'My master is taking a long time in coming,' and he then begins to beat the menservants and maidservants and to eat and drink and get drunk.
Lakini imagine sa kama huyo mboch atajishow, 'Mdosi wangu amekaa for long na ha kam,' kisha aanze kuwachapa wale servants majamaa na ma maid na kudishi na kuwaka.

46.The master of that servant will come on a day when he does not expect him and at an hour he is not aware of. He will cut him to pieces and assign him a place with the unbelievers.
Mdosi atakam ithaa na siku yenye ham expect na in an hour hayuko aware. Atamkata kata vipande ansare awekwe place ya wasee wa gizani.

47."That servant who knows his master's will and does not get ready or does not do what his master wants will be beaten with many blows.
"Yule mboch anaelewa mipango na will ya sonkwo wake lakini hayuko tayari amaha do chenye mdosi wake anawant atapigwa na vibare mob.

48.But the one who does not know and does things deserving punishment will be beaten with few blows. From everyone who has been given much, much will be demanded; and from the one who has been entrusted with much, much more will be asked.
Lakini yule mse mwenye hanyitishi naana do vitu zina deeserve pano atawaiwa vibare few. Toka kwa kila mse mwenye amegeiwa mob, itaexpectiwa a do vitu mob; na yule jamaa mwenye alipewa mob, ataulizwa mob.


49."I have come to bring fire on the earth, and how I wish it were already kindled! "Nimekam kuleta nare kwa earth, na kuna vile na wish ilisha hata waka!

50.But I have a baptism to undergo, and how distressed I am until it is completed!
Lakini nina ubatizo ingine ya ku go through, ni nina stress kibao hadi ile ithaa nitamalizana nayo!

51.Do you think I came to bring peace on earth? No, I tell you, but division.
Mnadhani nimekam kuleta amani kwa earth?Zi, nawaelimisha, ni division.

52.From now on there will be five in one family divided against each other, three against two and two against three.
Toka sasa kutakuwaga na wasee tano kwa famo moja imegawanyika against each other,
mtu tatu against mbili na wawili against three.

53.They will be divided, father against son and son against father, mother against daughter and daughter against mother, mother-in-law against daughter-in-law and daughter-in-law against mother-in-law."
Watagawanyika, mbuyu against mtoi son na mtoi son against mbuyu, mathe against dotee na dotee against mathee, mother in law against dote wake in law na dotee in law against mathaake in law.

54.He said to the crowd: "When you see a cloud rising in the west, immediately you say, 'It's going to rain,' and it does.
Kisha akashow rende: "Vile mnacheki wingu inaamka toka west, si hapo na hapo mnasema, 'Kutanyesha,' na inanyesha.

55.And when the south wind blows, you say,'It's going to be hot,' and it is.
Na wakati upepo ya south inablow, si nyi husema, 'itakuwa joto,' na ni ivo.

56.Hypocrites! You know how to interpret the appearance of the earth and the sky. How is it that you don't know how to interpret this present time?
Ma phonies! Mshaelewa vile ya kusoma ile appearance ya sky na ya earth. Mbona basi hamjui kuelewa ishara ya hizi masiku?

57."Why don't you judge for yourselves what is right?
"Si mjijazie nyi wenyewe, mkipima ni nini right?

58.As you are going with your adversary to the magistrate, try hard to be reconciled to him on the way, or he may drag you off to the judge, and the judge turn you over to the officer, and the officer throw you into prison.
Unapojipeleka kwa jugde na yule accuser wako, jaribu bidii mtu wangu kupatanishana
na yeye njiani, ama atakubeba hadi kwa judge, na judge akutupe kwa mr ofisa,ofisa akuweke kamiti.

59.I tell you, you will not get out until you have paid the last penny."
Mtu wangu, nakuelimisha, hautang'oka huko hadi mpaka ulipe deni muzima hadi ile peni
ya mwisho."

No comments:

Post a Comment