Monday, August 31, 2009

Luke 21

Luka twenty one-Luke 21

1.As he looked up, Jesus saw the rich putting their gifts into the temple treasury.
Kisha akalook up, Jesus akacheki wase masonkwo wakiweka gifts zao ndani ya treasury ya hekalu.

2.He also saw a poor widow put in two very small copper coins.
Pia akacheki widow mmoja amesota akiweka ndani coins mbe small sana za copper.

3."I tell you the truth," he said, "this poor widow has put in more than all the others.
Akasema, "Nawashow ukeli huyu mjane maskini ameweka sadaka zaidi kuwaliko wale wengine wote.

4.All these people gave their gifts out of their wealth; but she out of her poverty put in all she had to live on."
Hawa wasee wote walipeana gift zao from ile mali yao; lakini yeye toka kwa umaskini aliweka ndani all chenyalikuwa amebaki nayo ya kuishi.

5.Some of his disciples were remarking about how the temple was adorned with beautiful stones and with gifts dedicated to God. But Jesus said,
Wengine kati ya madisciples wake walikuwa wakicomment vile temple ilikuwa imesukwa na mastones smart na pia gifts ka special dedications kwa sir Godi. Lakini JC akasema,

6."As for what you see here, the time will come when not one stone will be left on another; everyone of them will be thrown down."
"Sa zile vitu mnaona hapa, time inakam when hata moja ya hizo stones haitabaki ju ya ingine; kila mmoja yao zitatupwa down."

7."Teacher," they asked, "when will these things happen? And what will be the sign that they are about to take place?"
Wakamwuliza, "Mwalimu, ni lini when hizi vitu zitahappen? Na what itakuwa ishara that ziko karibu kufanyika?"

8.He replied: "Watch out that you are not deceived. For many will come in my name, claiming, 'I am he,' and, 'The time is near.' Do not follow them.
Akawajibu: "Jihadhari njo msidanganyike.Ju waseewengi watakam na jina yangu, wakidai,"Ni mimi yeye,'na,'Time iko karibu.' Msiwafuate.

9.When you hear of wars and revolutions, do not be frightened. These things must happen first, but the end will not come right away."
Mkiskia ju ya war na mapinduzi,msikuwe waoga.Hizi vitulazima zihappen kwanza, lakini mwisho haitakam immediately."

10.Then he said to them: "Nation will rise against nation, and kingdom against kingdom.
Kisha akawashow: "Nchi ita rise against nchi, na kingdom against kingdom.

11.There will be great earthquakes, famines and pestilences in various places, and fearful events and great signs from heaven.
Kutakuwa na earthquakes zingine meja, njaa na magonjwa kwa places kila aina,na event za kushtua hadi hata ishara za maajabu toka heaven.

12."But before all this, they will lay hands on you and persecute you. They will deliver you to synagogues and prisons, and you will be brought before kings and governors, and all on account of my name.
"Lakini Kabla ya hii yote, watawashikana kuwa tesa. Watawasare kwa synagogues na ma prison, na mtaletwambele yama kingsna ma govana, nyote kwa jili ya Jina yangu.

13.This will result in your being witnesses to them.
Hii itaresult nanyinyi kuwa ma witnesses kwao about mimi.

14.But make up your mind not to worry beforehand how you will defend yourselves.
Lakini amua mapema kwa mind yako ati hauta worry kabla ya iyo time, ati vile mtajitetea.

15.For I will give you words and wisdom that none of your adversaries will be able to resist or contradict.
Ju nitawapea ma word na wisdom zingine noma hadi hata wale wapinzani wenu hawataweza kuresist ama kuwa contradict.

16.You will be betrayed even by parents, brothers, relatives and friends, and they will put some of you to death.
Mtauzwa hadi hata na mapero, mabro, ma rela na mabeshte,na wataweka some of you to death.

17.All men will hate you because of me.
Kila mse atawa hate ju yangu.

18.But not a hair of your head will perish.
Lakini hata nywele moja ya kichwa chako haitaangamia.

19.By standing firm you will gain life.
Lakini kwa kusimama wima mtagain life.

20."When you see Jerusalem being surrounded by armies, you will know that its desolation is near.
"Mkicheki Jerusa iki surroundiwa na ma army, mtajua kuwa time yake ya kuhandwa iko near.

21.Then let those who are in Judea flee to the mountains, let those in the city get out, and let those in the country not enter the city.
Kisha wacha wale wako ndani yaJudea wahepe hadi kwa milima, wacha wale wanapoleaga kwa jiji watoke nje, na wacha wale wako kwa ocha ocha wasiingie kwa jiji.

22.For this is the time of punishment in fulfillment of all that has been written.
Ju hii ni ile time ya pano ili ku fulfill yote yenye imeandikwa.

23.How dreadful it will be in those days for pregnant women and nursing mothers! There will be great distress in the land and wrath against this people.
Si itakuwa ni noma hizo ma days kwa wale madem pregnant na wale mamatha wananyonyesha!Kutakuwa na mateso ingine massive in the land na hasira against hawa wadhii.

24.They will fall by the sword and will be taken as prisoners to all the nations. Jerusalem will be trampled on by the Gentiles until the times of the Gentiles are fulfilled.
Watachinjwa na sword na kuchukuliwa ka wafungwa kwa mataifa zote. Jerusa itakanyagwa na wale gentiles hadi time ya gentiles ikuwe fulfilled.

25."There will be signs in the sun, moon and stars. On the earth, nations will be in anguish and perplexity at the roaring and tossing of the sea.
"Kutakuwa na ishara kwajua, mwezi hadi stars. Juu kwa earth, countries zitakuwa in hardship na kusumbuka ju ya vile bahari itakuwa imechafuka na ikinguruma.

26.Men will faint from terror, apprehensive of what is coming on the world, for the heavenly bodies will be shaken.
Wasee watafaintju ya terror, wakiwa wameogopa ni nini inakam kwathe earth, hadi zile heavenlybodies zitashake-iwa.

27.At that time they will see the Son of Man coming in a cloud with power and great glory.
Katika iyo time watacheki son wa adam akikam kwa wingu akiwa na nguvu na glory mob.

28.When these things begin to take place, stand up and lift up your heads, because your redemption is drawing near."
Vile hizi vitu zitaanza kuhappen, simama up na muinue vichwa zenu, ju wokovu wenu umekaribia."

29.He told them this parable: "Look at the fig tree and all the trees.
Akawashow hii parable: "Cheki fig tree nahadi zile miti zingine.

30.When they sprout leaves, you can see for yourselves and know that summer is near.
Vile zinasprout ma leaves, unaweza jichekia mwenyewe na ujue ni summer imefika.

31.Even so, when you see these things happening, you know that the kingdom of God is near.
Hivo pia, vile utacheki hizi vitu zinahappen, utajua that kingdom ya sir Godi iko karibu.

32."I tell you the truth, this generation will certainly not pass away until all these things have happened.
"Nawashow ukweli,hii generation haita pass away kabla ya hizi vitu zote kufanyika.

33.Heaven and earth will pass away, but my words will never pass away.
Heaven na earth zita pass away,lakini ma words zangu hazitawahi pass away.

34."Be careful, or your hearts will be weighed down with dissipation, drunkenness and the anxieties of life, and that day will close on you unexpectedly like a trap.
"Kuwa careful, ama mioyo zenu zitakuwa weighed down na hepi, ulevi na wasi wasi za life, hadi iyo siku ikushike vi unexpected ka trap.

35.For it will come upon all those who live on the face of the whole earth.
Ju itakuja ju ya wase wote wenye wanaishi kwa uso wa dunia yote.

36.Be always on the watch, and pray that you may be able to escape all that is about to happen, and that you may be able to stand before the Son of Man."
Kilatime kuwa rithoukiwatch, un uombe that utakuwa able kuhepa yote iko aboputku happen, and that utaweza kusimama mbele yathe son of man."

37.Each day Jesus was teaching at the temple, and each evening he went out to spend the night on the hill called the Mount of Olives,
Kila siku JC alikuwa akifunza kwa temple, na kila jioni aliishia out kuspend usiku kwa ile mlima inaitwa Olives,

38.and all the people came early in the morning to hear him at the temple.
na wasee wote walikam ngware asubuhi kumskizia pale kwa temple.

No comments:

Post a Comment