Wednesday, August 19, 2009

Luke 10

Luka Flow ya Kinde - Luke 10

1.After this the Lord appointed seventy-two others and sent them two by two ahead of him to every town and place where he was about to go.
Baada ya theya, bwana JC aka appoint wasee seventy two wengine na kuwasend limbi limbi mbele yake kwa kila tao na mtaa yenye alipangia kupitia.

2.He told them, "The harvest is plentiful, but the workers are few. Ask the Lord of the harvest, therefore, to send out workers into his harvest field.
Akawashow,"Harvest imeiva jo na ni mob! Lakini wasee wa jobnjo wa few sana.Uliza sonkwo wa harvest,ju ya hiyo stori, atume wasee wa wax ndani ya shake yake ya mazao.

3.Go! I am sending you out like lambs among wolves.
Ishia! Nawasend nje ka watoi wa kondoo kati ya mambweha.

4.Do not take a purse or bag or sandals; and do not greet anyone on the road.
Msi kwachu hata walenje ama bag ama sandale; na msisalimie mtu yoyote kwa baro.

5."When you enter a house, first say, 'Peace to this house.'
"Mkiingia kwa mbanyu, kitu ya fao kwanza muigotee ivi, 'Peace kwa hii keja.'

6.If a man of peace is there, your peace will rest on him; if not, it will return to you.
Ka mse wa peace ako apo, peace yako itatulia juu yake; kama hanaku, itawarudia.

7.Stay in that house, eating and drinking whatever they give you, for the worker deserves his wages. Do not move around from house to house.
Tulia ndani ya iyo hao, sosi na udrink chochote wanawa gei, ju mboch anafaa mshahara wake. Msidunge kamzururo toka hao moja hadi ingine.

8."When you enter a town and are welcomed, eat what is set before you.
"Time mnaingia kwa tao na kukaribishwa, dishi ile kitu imeekelewa mbele yenu.

9.Heal the sick who are there and tell them, 'The kingdom of God is near you.'
Ponya wale wagonjwa wenye wako na hapo mkiwashow niaje, "Kingdom ya sir Godi iko karibu na wewe.'
10.But when you enter a town and are not welcomed, go into its streets and say,
Lakini mkiingia place ka tao hivi na hamjakaribishwa, ishieni kwa streets na museme aje,

11.'Even the dust of your town that sticks to our feet we wipe off against you. Yet be sure of this: The kingdom of God is near.'
'Hadi ile dust ya tao zenu yenye imestick kwa miguu zetu tunapanguza off against you. Na mjue aje bila vako: Ile ufalme ya sir Godi iko karibu.'

12.I tell you, it will be more bearable on that day for Sodom than for that town.
Nawashow, itakuwa better iyo siku for sodom kuliko hiyo tao.

13."Woe to you, Korazin! Woe to you, Bethsaida! For if the miracles that were performed in you had been performed in Tyre and Sidon, they would have repented long ago, sitting in sackcloth and ashes.
"Ole wenu Korazin! Ole wenu,Bethsaida! Ju kama zile miujiza zili do iwa kwenu zinge do iwa Tyre na Sidon, wangekuwa walitubu zama za kale, wakiwa hadi wamedunga magunia wakipolea kwa majivu- sackcloth na ashes majamaa.

14.But it will be more bearable for Tyre and Sidon at the judgment than for you.
Lakini itakuwa better for hawa wasee wa Tyre na Sidon ile siku ya Judgement than for you.

15.And you, Capernaum, will you be lifted up to the skies? No, you will go down to the depths.
Na nyinyi Capernaum, kwani mtainuliwa to the skies? Zii, mta go down hadi to the deep.

16."He who listens to you listens to me; he who rejects you rejects me; but he who rejects me rejects him who sent me."
"Mwenye anawaskiza ananiskiza; mwenye amewakataa pia ameni reject;lakini yule mwenye
amenireject ame reject yule msee alinituma."

17.The seventy-two returned with joy and said, "Lord, even the demons submit to us in your name."
Wale wasee seventy two wakarudi wamejazika sana wakashow JC, "Mdosi, hadi hata demons zimetu tii ju ya jina lako."

18.He replied, "I saw Satan fall like lightning from heaven.
Akawaelimisha ivi, "Nilicheki devo akianguka ka radi toka heaven.

19.I have given you authority to trample on snakes and scorpions and to overcome all the power of the enemy; nothing will harm you.
Nimesha wagei say ya kucrush ma snakes na ma scorpions na kuovercome nguvu zote za shaito; hakuna kitu itawa harm.

20.However, do not rejoice that the spirits submit to you, but rejoice that your names are written in heaven."
Lakini, msibambike ati ju devo zinawa obey, lakini jazikeni ju mko na namba kwa kingdom, jina zenu zimeandikwa heaven kwa roll call.

21.At that time Jesus, full of joy through the Holy Spirit, said, "I praise you, Father, Lord of heaven and earth, because you have hidden these things from the wise and learned, and revealed them to little children. Yes, Father, for this was your good pleasure.
Katika ile githaa JC, akiwa amejazwa na furaha ya Holy Spirit akabonga, "Naku praise mbuyu, mdosi wa heaven na earth, ju uli hide izi vitu from wale wasee werevu na wasomi, uka zireveal kwa watoi wa small. Eeh, mbuyuz, ju hii njo ilikuwa mapenzi yako.

22."All things have been committed to me by my Father. No one knows who the Son is except the Father, and no one knows who the Father is except the Son and those to whom the Son chooses to reveal him."
Kila kitu kimecommitiwa kwangu na mbuyuz wangu. Hanaku mse anaelewa yule son ni nani except buda wake, na hanaku mse anajua mbuyuz ni nani except mtoi wake son na wale mtoi son atachagua kuwajulisha.

23.Then he turned to his disciples and said privately, "Blessed are the eyes that see what you see.
Kisha akageukia disciples wake akawashow privately, "Zimeblessika zile macho zimecheki chenye mmecheki.

24.For I tell you that many prophets and kings wanted to see what you see but did not see it, and to hear what you hear but did not hear it."
Ju nawashow kuwa ma prophet wengi sana na pia wafalme -ma-don walitaka kucheki chenye mnacheki lakini hawakucheki, na kuskia chenye mnaskia lakini hawakuskia."

25.On one occasion an expert in the law stood up to test Jesus. "Teacher," he asked, "what must I do to inherit eternal life?"
Time moja pro wa law alisimama kum test JC."Tichaa, ni a must ni do what njo niget inheritance ya eternal life?"

26."What is written in the Law?" he replied. "How do you read it?"
JC akamjibu, "Ni nini imechorwa kwasheria? We huisoma aje?"

27.He answered: " 'Love the Lord your God with all your heart and with all your soul and with all your strength and with all your mind'; and, 'Love your neighbor as yourself.' "
Akajibu," 'Penda mdosi,sir Godi wako na heart muzima na nafsi muzima na nguvu zako zote na pia na mind yako yote'; na 'Penda jirani vile tu umejiluv.'

28."You have answered correctly," Jesus replied. "Do this and you will live."
JC akamshow, "umejibu poa, do ivo na utaishi."

29.But he wanted to justify himself, so he asked Jesus, "And who is my neighbor?"
Lakini ju alitaka kuonekana kama mse ako righteous sana, bado akauliza JC, "Sasa, neiba
wangu ni nani?"

30.In reply Jesus said: "A man was going down from Jerusalem to Jericho, when he fell into the hands of robbers. They stripped him of his clothes, beat him and went away, leaving him half dead.
Kwa kumjibu JC akasema: "Jamaa fulani alikuwa aki go down from Jerusa hadi Jericho, na ile time akaanguka kwa mikono ya mathegi wale wazii.Wakamstrip nguo zake zote, wakamsunda vibare wakaishia wakamwacha ako tu karibu kudedi.

31.A priest happened to be going down the same road, and when he saw the man, he passed by on the other side.
Sa priest fulani alikuwa akishuka na hiyo njia same tu, nyakati akacheki yule jamaa injured, manze akavuka baro zake akaishia.

32.So too, a Levite, when he came to the place and saw him, passed by on the other side.
Pia bado msaidizi wa mapriest wa church, levite,akafika ileplace. Kumcheki ivi pia akavuka baro akapitia mbali aka go.

33.But a Samaritan, as he traveled, came where the man was; and when he saw him, he took pity on him.
Lakinijamaa samaritan,outcast wa religious community, akidunga safari yake, alikam place yule jamaa akikuwa; time alimcheki ivi manze akajazwa na huruma.

34.He went to him and bandaged his wounds, pouring on oil and wine. Then he put the man on his own donkey, took him to an inn and took care of him.
Akaishia kwake akamfunika vidonda na elastoplast poa, akammwagilia mafuta kama vicks na disinfectant ya wine.

35.The next day he took out two silver coins and gave them to the innkeeper. 'Look after him,' he said, 'and when I return, I will reimburse you for any extra expense you may have.'
Siku next akatoa munde, masilver limbi akageiana kwa yule mdosi wa lojo. Akamshow, 'Chekicheki mse wangu, alafu nikirudi, nitakulipa ile munde itakuwa imesalia ka bill extra yako.'

36."Which of these three do you think was a neighbor to the man who fell into the hands of robbers?"
"Nani kati ya wote hao watatu njo ali do njaro ya maana ki neiba, akasaidia neiba wake mwenye aliwaiwa na ma thegi?"

37.The expert in the law replied, "The one who had mercy on him." Jesus told him, "Go and do likewise."
Pro wa sheria akamshow," Yule jamaa alionea boy huruma." JC akamshow, "Ishia na u do
ivo ivo."

38.As Jesus and his disciples were on their way, he came to a village where a woman named Martha opened her home to him.
Sa JC na wale disciples wake walikuwa njiani, wakafika kwa gherro fulani place madam anaitwa Martha aliwakaribisha kwa mbanyu yake.

39.She had a sister called Mary, who sat at the Lord's feet listening to what he said.
Madam alikuwa na manzi sis wake anaitwa Mary, mwenye alipoleaga kwa miguu ya JC akiskiza chenye JC alisema.

40.But Martha was distracted by all the preparations that had to be made. She came to him and asked, "Lord, don't you care that my sister has left me to do the work by myself? Tell her to help me!"
Lakini Martha alikuwa ameshikika na job mob za kuandaa andaa chenye kili need kuandaliwa. Akaendea JC kumwuliza,"He,Bwana hata hau-care vile sis ameniachia janta yote peke yangu? Ebu mshow ani help!"

41."Martha, Martha," the Lord answered, "you are worried and upset about many things,
JC Akamwita, "Manze Martha Jo, Martha, mbona una shtukia na kukasirikia vitu mo-ob,

42. but only one thing is needed. Mary has chosen what is better, and it will not be taken away from her."
lakini kitu mojatu njo inatakikana. Mary ashachagua chenye ni better, na hatawai nyang'anywa."

No comments:

Post a Comment