Monday, August 10, 2009

Luke 6

Luka Chapta ya sita-Luke 6

1.One Sabbath Jesus was going through the grainfields, and his disciples began to pick some heads of grain, rub them in their hands and eat the kernels.
Sabbath moja JC alikuwaakipiga shortie kwa ma mei, na disciples wake wakaanza kuvuka na cobs za mei, wakizi rub kwa mikono alafu wakidishi zile mei soft.

2.Some of the Pharisees asked, "Why are you doing what is unlawful on the Sabbath?"
Pharisees kadha wakawauliza,"mbona mna do chenyesi lega siku ya sabbath?"

3.Jesus answered them, "Have you never read what David did when he and his companions were hungry?
JC akawashow niaje,"Kwani hamjawai soma chenye Davie ali do ile time ye na rende yake ya masoja walikuwa na maubao?

4.He entered the house of God, and taking the consecrated bread, he ate what is lawful only for priests to eat. And he also gave some to his companions."
Alicheck in kwa hao ya sir Godi,akachukua ile dibre holy,akadishi chenye ni legal tu for ma priest kudishi. Hata akagei masoja wakedibre wadishi."

5.Then Jesus said to them, "The Son of Man is Lord of the Sabbath."
Njo JC akawashow, "Son of man ni Lord wa sabbath."

6.On another Sabbath he went into the synagogue and was teaching, and a man was there whose right hand was shriveled.
Sabbath ingine akaishia kwa synagogue akaanza kufunza, na mse mmoja alikuwa hapo mwenye mkono yake ilikuwa ime go through recession.

7.The Pharisees and the teachers of the law were looking for a reason to accuse Jesus, so they watched him closely to see if he would heal on the Sabbath.
Wale pharisees na ma mode wa law walikuwa wanatafuta reason ya ku accuse JC, kwa hivo wakamcheki viseriously kucheki kama ata pull miracle ya healing on the sabbath.

8.But Jesus knew what they were thinking and said to the man with the shriveled hand, "Get up and stand in front of everyone." So he got up and stood there.
Lakini JC alijua chenye walikuwa wanathink na so akashow yule jamaa na mkono ime go through recession,"inuka na usimame mbele ya kila mse." So akainuka akasimama hapo.

9.Then Jesus said to them, "I ask you, which is lawful on the Sabbath: to do good or to do evil, to save life or to destroy it?"
Kisha JC akawashow, "Nawa ask, ni gani sawa na legal day ya sabbath: ku do poa ama ku do viwiked, kusave life ama kuidestroy?"

10.He looked around at them all, and then said to the man, "Stretch out your hand." He did so, and his hand was completely restored.
Akacheki wasee wote, alafu akashow yule jamaa,"stretch mkono yako."Aka do ivo na mara one , mkono yake ikakuwa poa- completely.

11.But they were furious and began to discuss with one another what they might do to Jesus.
Lakini wakajam mbaya na JC hata wakaanza kuplot pamoja in secret vile wange do kwa JC.

12.One of those days Jesus went out to a mountainside to pray, and spent the night praying to God.
Moja ya hizo day JC aliishia kwa place ya mountain kupray, akaspend usiku-kesha akipray sir Godi.

13.When morning came, he called his disciples to him and chose twelve of them, whom he also designated apostles:
Nyakati morning ilifika, aliita rende ya disciples wake kwake akachagua wasee twelve, wasee ali make wakuwe apostles:

14.Simon (whom he named Peter), his brother Andrew, James, John, Philip, Bartholomew,
Simo( mse alikuwa an alias ya Peter), bro wake Andru, Johnie,Philo, bartholomew a.k.a barthez,

15.Matthew, Thomas, James son of Alphaeus, Simon who was called the Zealot,
Mathayo, Thomas na Jaymo mtoi wa Alphaeus, Simon mwenye aliitwa mmoja wa ma revolutionary.

16.Judas son of James, and Judas Iscariot, who became a traitor.
Jude mtoi chali wa Jaymo na Jude Ischariot, msaliti.

17.He went down with them and stood on a level place. A large crowd of his disciples was there and a great number of people from all over Judea, from Jerusalem, and from the coast of Tyre and Sidon,
Akaishia down nao akastand kwa place level. Rende bigi ya ma disciples wake ilikuwa hapo na wasee mob toka kila place ya Judea, toka Jerusa, na toka coast ya Tyre na Sidon,

18.who had come to hear him and to be healed of their diseases. Those troubled by evil spirits were cured,
wale walikuwa wamekam kumskiza na kuwa healed ma disease zao. Wale walikuwa wamehandwa na mashaito walipokea uponyaji,

19.and the people all tried to touch him, because power was coming from him and healing them all.
na wasee wote wakatry kumgusa, ju nguvu ilikuwa inaflow toka kwake ikiheal wasee wote.
20.Looking at his disciples, he said:
"Blessed are you who are poor,
for yours is the kingdom of God.
Akacheki ma disciples wake ivi, akawashow niaje:
"Wameblesika wasee wenye wako msoto,
ju yao njo kingdom ya sir Godi.

21.Blessed are you who hunger now,
for you will be satisfied.
Blessed are you who weep now,
for you will laugh.
Mmeblesika nyinyi wenye mko na maubao sasa,
ju mutashibishwa meja.
MMeblesika nyi wenye mna kilio sasa, ju mtacheka.

22.Blessed are you when men hate you,
when they exclude you and insult you
and reject your name as evil, because of the Son of Man.
Mmeblesika wenye wasee huwa hate,
time wanawalenga mpangoni na kuwatusi na kukataa ma names zenu ati ni wiked, ju ya mtoi wa adam.

23."Rejoice in that day and leap for joy, because great is your reward in heaven. For that is how their fathers treated the prophets.
"Hepi iyo siku na mruke kwa furaha, ju gifthamper yenu ni bigi vinoma heaven.Ju ivo njo wale mabuda wao wali treat ma higherman.

24."But woe to you who are rich,for you have already received your comfort.
"Lakini olewenu masoknwo, ju msha sortiwa ma comforts zenu mkazipata.

25.Woe to you who are well fed now,for you will go hungry.
Woe to you who laugh now,for you will mourn and weep.
Ole wenu wenye mshashiba,ju mtaenda na njaa.
Ole wenu wenye mnacheka sasa, ju mtatoa vilio na ma ng'wee.

26.Woe to you when all men speak well of you,for that is how their fathers treated the false prophets.
Ole wenu vile wasee hubonga poa kila saa ju yenu, coz ivo njo mabuda wao walitreat ma false prophets.

27."But I tell you who hear me: Love your enemies, do good to those who hate you,
"Lakini nawashow wasee wenye munaniskizia: penda ma haters wako, do poa kwa wote wanaleta hatred kwako,

28.bless those who curse you, pray for those who mistreat you.
bless wale wasee wanaku curse, ombea wasee wote wanaku mistreat.

29.If someone strikes you on one cheek, turn to him the other also. If someone takes your cloak, do not stop him from taking your tunic.
Kama mse anakuslap kibare kwa cheek moja, mpatie ile cheek ingine pia azidi. Ka mse anachukua mbwenya yako, usimkazie kuchukua hadi robe yako.

30.Give to everyone who asks you, and if anyone takes what belongs to you, do not demand it back.
Gei kila mse anadai help, na ka mse anakwachu mali yako any, usikwarena yeye arudishe.

31.Do to others as you would have them do to you.
Do kwa wasee wengine vile tu ungedai waku doie.
32."If you love those who love you, what credit is that to you? Even 'sinners' love those who love them.
"Kama unapenda wale wasee wanakupenda, uko aje mbele? Si hadi wasee wa gizani hu love
wase wale wamewa love.

33.And if you do good to those who are good to you, what credit is that to you? Even 'sinners' do that.
Lakini uki do poa kwa wale wasee wana do poa kwako, utaonekanaje uko mbele? Hadi wasee wiked hu do ivo.

34.And if you lend to those from whom you expect repayment, what credit is that to you? Even 'sinners' lend to 'sinners,'expecting to be repaid in full.
Na ukigeiana loan kwa wasee ukitarajia repayment, ni nini mpango ya mbele na iyo situation? Si hadi wase wa gizani hugeiana loan waki ngoja full repayment.

35.But love your enemies, do good to them, and lend to them without expecting to get anything back. Then your reward will be great, and you will be sons of the Most High, because he is kind to the ungrateful and wicked.
Lakini love ma haters wako, wa do-iye vitu smarta, hadi wagei loan bila interest ama
repayment. Kisha rewardyako itakuwa bwaku, na utakuwa mtoi wa the most high, ju ye ni mkind kwa wale wasee ungrateful na wiked.

36.Be merciful, just as your Father is merciful.
onyesha huruma, vile vile sir Godi mbuyuz wako ni mwenye huruma.

37."Do not judge, and you will not be judged. Do not condemn, and you will not be condemned. Forgive, and you will be forgiven.
"Usi judgemse mtu wangu, na we pia hautakuwa judged. Pia usishatki, na we pia hauta shtakiwa. Forgive wasee, na we pia utaforgiviwa.

38.Give, and it will be given to you. A good measure, pressed down, shaken together and running over, will be poured into your lap. For with the measure you use, it will be measured to you."
Peana, na itapeanwa kwako. Size poa imefinyiliwa down, ikashekiwa pamoja na ku overflow, njo itamwagwa kwa lap yako. Ju na ile kipimo una use kwa wasee, ivo ivo itapimwa kwako."

39.He also told them this parable: "Can a blind man lead a blind man? Will they not both fall into a pit?
Pia akawashow hii parable: "Kwani mse blind, anaweza ongoza mse blind? Si watadunda wote kwa shimo?

40.A student is not above his teacher, but everyone who is fully trained will be like his teacher.
Mstudent hawezi kuwa ameiva kuliko mode wake, lakini kila mse ameivishwa atakuwa ka mode wake.

41."Why do you look at the speck of sawdust in your brother's eye and pay no attention to the plank in your own eye?
"Mbona mnacheki ile sawdust moja kwa jicho ya bro wako na lakini haushughuliki na ile mbao iko kwa macho yako.

42.How can you say to your brother, 'Brother, let me take the speck out of your eye,' when you yourself fail to see the plank in your own eye? You hypocrite, first take the plank out of your eye, and then you will see clearly to remove the speck from your brother's eye.
Itakuwaje unaweza show mse wako, 'Bro, wacha nikusaidie kung'oa ile sawdust kwa jicho yako,' na hiyo ithaa umekosa kucheki ile mbao kwa machoyako? We kabwela, si kwanza un'goe sawdust yenye iko kwa jicho yako, alafu utacheki poa enough kung'oa ile sawdust kwa macho yabro wako.

43."No good tree bears bad fruit, nor does a bad tree bear good fruit.
"Hakuna mti poa inazaa matundambovu, ama mti fake inazaa matunda freshi.

44.Each tree is recognized by its own fruit. People do not pick figs from thornbushes, or grapes from briers.
Kila tree inaget recognition kulingana na fruit zake. Wasee hawawezi okota mkuyu toka kwamiti za miba, ama grapes toka kwa magugu.

45.The good man brings good things out of the good stored up in his heart, and the evil man brings evil things out of the evil stored up in his heart. For out of the overflow of his heart his mouth speaks.
Yule mse mpoa hutoa vitu poa from ile mambo good iko kwa heart yake, na yule mse mwiked hutoa vitu wiked toka kwa ile vitu wiked imepangana kwa moyo wake. Ju toka kwa ile flooding ya heart mdomo hubonga.

46."Why do you call me, 'Lord, Lord,' and do not do what I say?
"Mbona mnaniita , 'bwana mdosi, bwana mdosi,' lakini ham do chenye na say?

47.I will show you what he is like who comes to me and hears my words and puts them into practice.
Nitawashow chenye ako kama yule mse mwenye amekam kwangu na kuskia ma word zangu na kuziweka kama bidii yake ya daily.

48.He is like a man building a house, who dug down deep and laid the foundation on rock.When a flood came, the torrent struck that house but could not shake it, because it was well built.
Yeye ni kama mse anabuild hao yake, mwenye alichimba vi deep na akawekelea msingikwa ile rock kubwa. Time flood ilihappen, dhoruba ikashuka lakini ile keja ilibaki wima hai shake, ju alikuwa ameijengapoa.
49.But the one who hears my words and does not put them into practice is like a man who built a house on the ground without a foundation. The moment the torrent struck that house, it collapsed and its destruction was complete."
Lakini yule jamaa anaskia ma word zangu na lakini analenga kuziweka into bidii yake ya daily ni ka mse ali build hao kwa grao biula msinngi. ile time storm ili happen na dhoruba ikashuka kwa iyo hao, manzeili collapse na destruction yake ikawa njo kwisha."

No comments:

Post a Comment