Friday, August 14, 2009

Luke 7

Luka chapta ya seven -Luke 7

1.When Jesus had finished saying all this in the hearing of the people, he entered Capernaum.
Time JC alimada kubonga hizi preaching zote kwa wasikilizaji, akadonjo Capernaum.

2.There a centurion's servant, whom his master valued highly, was sick and about to die.
Kulikuwa na mboch fulani wa mdosi wa jeshi, na huyo jamaa alikuwa favorite wa mdosi, lakini alikuwa msick hadi anachungulia kaburi hivi joh.

3.The centurion heard of Jesus and sent some elders of the Jews to him, asking him to come and heal his servant.
Sonkwo wa jeshi akapima stori za JC vile alikuwaga aki do hadi aka send wazae fulani majews kuishia kwa JC angalau akam kuheal mboch wake.

4.When they came to Jesus, they pleaded earnestly with him, "This man deserves to have you do this,
Time walikutana na JC, walimbembeleza ile meja wakidai, "Huyu jamaa ana deserve um do-iye ivo tu yaani,

5.because he loves our nation and has built our synagogue."
ju ni mse ako na one love for the nation au sio hadi amejenga synagogi yetu jamaa."

6.So Jesus went with them.He was not far from the house when the centurion sent friends to say to him: "Lord, don't trouble yourself, for I do not deserve to have you come under my roof.
So JC akamesea hiyo pleading yao akaishia nao. Akifika place si farthest ivo ana approach keja, mdosi wa jeshi ya wasee soo akatuma ma beshte zake kumshow; "Bwana mdosi, usihustle sana, ju mi sina nyathi enuff ya we kucheck in chini ya roof ya crib ya mine.

7.That is why I did not even consider myself worthy to come to you. But say the word, and my servant will be healed.
Yaani siko hata worthy ya kukusogelea kukucheki. Lakini bonga tu hiyo word, na mboch wangu ataepuka manze. Atapona.

8.For I myself am a man under authority, with soldiers under me. I tell this one, 'Go,' and he goes; and that one, 'Come,' and he comes. I say to my servant, 'Do this,' and he does it."
Ju mi mwenyewe ni sonkwo mwenye kusema, na masoja wako chini yangu. Mi hushow tu soja mmoja,'Ishia,' na ana go; alafu na show soja mwingine 'Kuja hapa,' na anakam teke. Nashow tu mboch wangu 'Do kitu fulani fulani,' na ana do."
9.When Jesus heard this, he was amazed at him, and turning to the crowd following him, he said, "I tell you, I have not found such great faith even in Israel."
Nyakati JC aliskizia hiyo vibe, akajazika sana vile hiyo faith ilikuwa mbele hadi imetiwa chumvi mse, hadi akageukia rende ilikuwa imemfuata akawashow, "Nawaambia, sijaget imani mzito hivo hata ndani ya Israel yote."

10.Then the men who had been sent returned to the house and found the servant well.
Kisha wale wazeiya wenye walikuwa wametumwa wakarejea kwa hao wakaget jamaa alishapona.

11.Soon afterward, Jesus went to a town called Nain, and his disciples and a large crowd went along with him.
Time kidogo baadaye, JC akaishia tao inaitwa Nain, na wale disciples wake na crowd wakaishia pamoja na yeye.

12.As he approached the town gate, a dead person was being carried out—the only son of his mother, and she was a widow. And a large crowd from the town was with her.
Akikaribia ile gate ya tao, a dead jamaa alikuwa akitolewa nje- mtoi only wa mathaake, na kuongezea alikuwa widow. Na rende bwaku toka kwa tao ilikuwa na yeye.

13.When the Lord saw her, his heart went out to her and he said, "Don't cry."
Manze bwana mdosi JC kumcheki madam, heart yake ikuwa touched ju yake akamshow, "Usilie."

14.Then he went up and touched the coffin, and those carrying it stood still. He said, "Young man, I say to you, get up!"
Kisha akasogelea hadi akagusa ile coffin, wale wasee walikuwa wanaibeba wakasimama still. Akasema, " Kijana, nakushow, rauka!"

15.The dead man sat up and began to talk, and Jesus gave him back to his mother.
Jamaa mwenye alikuwa amededi akaketi up, akaanza kubonga, na JC akampeana back kwa mathaake.

16.They were all filled with awe and praised God. "A great prophet has appeared among us," they said. "God has come to help his people."
Manze wasee wote walikuwa hapo wakafurahi na kupraize sir Godi. Wakadai " Prophet mnoma ametokezea among us,"Jah almighty amecome kusaidia wasee wake."

17.This news about Jesus spread throughout Judea and the surrounding country.
Hizi habari about JC zikaenea kote mitaani Judea na zile hood na ocha zimeisurround.

18.John's disciples told him about all these things. Calling two of them,
Madisciple wa Johnie wakamshow hizi vitu zote. Akawaita wasee wake mtu limbi,

19.he sent them to the Lord to ask, "Are you the one who was to come, or should we expect someone else?"
Aka wasend na sms kwa bwana Jesus kuulizia, "Ero! Ni wewe yule jamaa alikuwa akam, ama tuzidi kupolea tukingoja mwingine?"

20.When the men came to Jesus, they said, "John the Baptist sent us to you to ask, 'Are you the one who was to come, or should we expect someone else?' "
Time wale majamaa limbi walikam kwa JC, walidai, 'Johnie the baptizer ametutuma kwako na message, 'Je, ni wewe yule mse alifaa kukam, ama tudunge waiting tukitarajia another jamaa?'

21.At that very time Jesus cured many who had diseases, sicknesses and evil spirits, and gave sight to many who were blind.
Hiyo hiyo ithaa JC akakuwa wax meja aki heal wasee wenye maradhi mob, ma diseases na mashaito, hadi akageiana sight kwa wengi wenye walikuwa blind.

22.So he replied to the messengers, "Go back and report to John what you have seen and heard: The blind receive sight, the lame walk, those who have leprosy are cured, the deaf hear, the dead are raised, and the good news is preached to the poor.
Kwa ivo akawajibu wale jamaa, "ishieni mrudi kwa Johnie na ripoti ya chenye mmecheki na kusorora: Wasee blind wanaget kuona tena, wasee vilema wana walk, wasee wako na leprosy wanasafishwa, wasee deaf wanaskia, na wasee dead wako alive tena, hadi pia good news inafika mashinani kwa wasee wamesota.

23.Blessed is the man who does not fall away on account of me."
Ameblessika yule mse haja fall away ju ya works ama CV yangu."

24.After John's messengers left, Jesus began to speak to the crowd about John: "What did you go out into the desert to see? A reed swayed by the wind?
Kisha time wale disciples wa Johnie walijikata, JC akaanza kubonga ju ya Johnie kwa wasee wa rende ilikuwa:"mlienda out kulekwa jungle kucheki what? Nyasi ziki dance kwa wind?

25.If not, what did you go out to see? A man dressed in fine clothes? No, those who wear expensive clothes and indulge in luxury are in palaces.
Kama sio hiyo, mliishia out kucheki nini? Jamaa amedunga cladi finest? Zi, wale jamaa wameng'ara designer na ku live it up in glamor hupoleaga kwa keja palacial.

26.But what did you go out to see? A prophet? Yes, I tell you, and more than a prophet.
Lakini ni what mlienda kusorora? Na je prophet? Basi nawashow, tena more than prophet.

27.This is the one about whom it is written:
" 'I will send my messenger ahead of you, who will prepare your way before you.'
Ju this njo the one ilisemekana about kwa writings:
" ' Nitasend messenger wangu mbele yenu, mwenye ata prepare njia yako mbele yako.

28.I tell you, among those born of women there is no one greater than John; yet the one who is least in the kingdom of God is greater than he."
Nakushow, kati ya wote wenye wamezaliwa by women hanaku jamaa greater than Johnie; although yule mse msmallest kwa kingdom ya sir Godi ni greater than yeye."

29.(All the people, even the tax collectors, when they heard Jesus' words, acknowledged that God's way was right, because they had been baptized by John.
( Wasee wote , hadi hata wasee wa kuvcollectmune ya gava, vile waliskiawords za Jeso, wakatanua enyewe njia ya sir Godi njo ile bora zaidi, ju hadi walikuwa washa baptiziwa na Johnie.

30.But the Pharisees and experts in the law rejected God's purpose for themselves, because they had not been baptized by John.)
Lakini wale mafarisayo na ma pro wa sheria walikwara njia na mpango wa sir Godi juu yao, ju walikuwa hawajabaptiziwa na Johnie.)

31."To what, then, can I compare the people of this generation? What are they like?
"Sasa, wasee wa hii generation nitawa compare na nani? Hao ni wasee aina gani?

32.They are like children sitting in the marketplace and calling out to each other:
" 'We played the flute for you, and you did not dance; we sang a dirge, and you did not cry.'
Hawa ni kama watoi wadogo wamepolea kwa place yasoko wakipigiana makelele:
" 'Tuliwadungia ngoma ya flute, nahamkukatika; tukawaimbia ngoma ya funeral, na hamkulia.'

33.For John the Baptist came neither eating bread nor drinking wine, and you say, 'He has a demon.'
Ju Johnie the baptizer alikam bila eating ama drinking wine, mkasay, 'Ako possessed na shaito.'

34.The Son of Man came eating and drinking, and you say, 'Here is a glutton and a drunkard, a friend of tax collectors and "sinners." '
Yule mtoi wa adam akakam akisosi na aki drink, mkasay, 'Njo huyu mse mlafi na mlevi, beshte wa wasee wa kucollect munde tax ya gova na beshte ya "wenye madhambi."

35.But wisdom is proved right by all her children."
Lakini wisdom inakuwaga proven right na watoi wake."

36.Now one of the Pharisees invited Jesus to have dinner with him, so he went to the Pharisee's house and reclined at the table.
Kisha mmoja wa mafaraisayo akamwita JC afike kwake ka supper ivi wasosi tugezza, na JC akacheck in kwa mbanyu ya pharisee bila kuhata akajiweka relaxation kwa tebo.

37.When a woman who had lived a sinful life in that town learned that Jesus was eating at the Pharisee's house, she brought an alabaster jar of perfume,
Mrembo fulani alikuwa ameishi maisha ya madhambi tu kwa hiyo tao akaskia ati JC anadishi supper kwa yule pharisee, akaleta chupa ya pembe ya ndovu imejaa marashi,

38.and as she stood behind him at his feet weeping, she began to wet his feet with her tears. Then she wiped them with her hair, kissed them and poured perfume on them.
akastand behind JC kwa miguu zake akilia, akaanza kumwosha miguu na machozi yake. Kisha akampanguza na nywele yake, akamziss alafu akamwaga ile marashi kwa miguu yake.

39.When the Pharisee who had invited him saw this, he said to himself, "If this man were a prophet, he would know who is touching him and what kind of woman she is—that she is a sinner."
Nyakati yule pharisee mwenye alimwinvite dishi alicheki ile drama, akajibongesha akidhani, "kama huyu jamaa alikuwa prophet, si angemesea ni nani huyu mwenye anamgusa na vile yeye ni manzi mwingine sinner."

40.Jesus answered him, "Simon, I have something to tell you." "Tell me, teacher," he said.
JC akamjibu, :Simo, kuna something nataka kukushow." Simo akajibu,"Mwalimu, nishow,"

41."Two men owed money to a certain moneylender. One owed him five hundred denarii, and the other fifty.
JC akasay hivi, "Watu wawili walikuwa na madeni ya munde ya jamaa fulani mkopeshaji. MMoja alikuwa na deni ya soo tano, mwingine alikuwa na deni ya finje.

42.Neither of them had the money to pay him back, so he canceled the debts of both. Now which of them will love him more?"
Wote walikuwa wamesota hadi wameshindwa kulipa, ju ya hiyo stori akafuta izo madeni za hao mtu mbili kiroho safi. Unadhani nani atampenda zaidi?"

43.Simon replied, "I suppose the one who had the bigger debt canceled." "You have judged correctly," Jesus said.
Simo akamshow,"Vile nacheki ni yule deni meja zaidi ilifutwa." JC akamshw, "Ume analyse correct."

44.Then he turned toward the woman and said to Simon, "Do you see this woman? I came into your house. You did not give me any water for my feet, but she wet my feet with her tears and wiped them with her hair.
Kisha akageukia yule manzi akashow Simo, "Unacheki huyu madam? Nilifika kwa mbanyu yako. Haukunigei wode any ya miguu yangu, lakini yeye aliosha miguu yangu na tears zake na kuzi wipe na nywele yake.

45.You did not give me a kiss, but this woman, from the time I entered, has not stopped kissing my feet.
Haukunikaribisha na Kiss, lakini huyu manzi, toka ile time niliingia, hajaacha kukiss miguu zangu.

46.You did not put oil on my head, but she has poured perfume on my feet.
Haukunipaka oil kwa kichwa changu, lakini madam alinimwagilia marashi kwa miguu yangu.

47.Therefore, I tell you, her many sins have been forgiven—for she loved much. But he who has been forgiven little loves little."
Kwa ivo nakushow, madhambi zake kibao zimesamehewa- ju amependa zaidi. Lakini yule ameforgiviwa dhambi kiasi hupenda kiasi."

48.Then Jesus said to her, "Your sins are forgiven."
KishaJC akamshow madam, "Dhambi zako zimesamehewa."

49.The other guests began to say among themselves, "Who is this who even forgives sins?"
Wale wageni wengine wakaanza kuulizana, haiya, "Huyu ni who hadi hata anaforgive dhambi?

50.Jesus said to the woman, "Your faith has saved you; go in peace."
JC akashow yule madam, "Imani yako imekuokoa; ishia na amani."

No comments:

Post a Comment