Monday, July 13, 2009

Mark 6

Mariko Sita Kizeiya- Mark 6

1.Jesus left there and went to his hometown, accompanied by his disciples.
JC akakitoa hapo aka do come back kwa hood yake, akifuatwa na cronies wake wafuasi.

2.When the Sabbath came, he began to teach in the synagogue, and many who heard him were amazed. "Where did this man get these things?" they asked. "What's this wisdom that has been given him, that he even does miracles!
Nyakati sabato ili land tu hivi, akaanza kufunza kwa church aka sinagogi, na wengi wenye walimskizia, walishangaa.Wakajiuliza,"huyu jamaa alitoa wapi hizi burungo?"Kwani hii akili ndefu ya ma wisdom aligeiwa na who, cheki hadi ana do miujiza!

3.Isn't this the carpenter? Isn't this Mary's son and the brother of James, Joseph, Judas and Simon? Aren't his sisters here with us?" And they took offense at him.
Si huyu njo fundi wa mbao? Na si huyu ni mtoi wa Merii na bro wa Jaymo, Jose, Judee na Simo? Kwani si ma siz wake sisi tunapoleaga nao hapa? Wakauthika na man JC.

4.Jesus said to them, "Only in his hometown, among his relatives and in his own house is a prophet without honor."
JC akawashow niaje,"kwa hood yake tu, kati ya ma rela wake na isitoshe, kwa hao yake njo prophet hakuagi amegeiwa heshima zake."

5.He could not do any miracles there, except lay his hands on a few sick people and heal them.
Hadi hangeweza ku do miracles any, pengine tu kuwekelea mikono wasee kadhaa wa sick na kuwa heal.

6.And he was amazed at their lack of faith.Then Jesus went around teaching from village to village.
Hadi JC akastaajabika na vile walikuwa bila faith yani. Kisha JC aka take a walk hapo
around akifunza toka gerro hadi gerro.

7.Calling the Twelve to him, he sent them out two by two and gave them authority over evil spirits.
Akiita wale thenashara kwake, aliwasend nje wawili wawili na akawagei say na power juu ya shaitula.

8.These were his instructions: "Take nothing for the journey except a staff—no bread, no bag, no money in your belts.
Akawadungia instructions kadhaa: " Msi-take chochote kwa safari ila pengine fimbo;- si
mkanyo, si mkoba, si mundeh ndani ya mishipi zenu.

9.Wear sandals but not an extra tunic.
Vaeni sandale lakini msibebe kladi extra.

10.Whenever you enter a house, stay there until you leave that town.
Mki check in kwa keja fulani any, tulieni hapo hadi nyakati za kukitema from hiyo jiji.

11.And if any place will not welcome you or listen to you, shake the dust off your feet when you leave, as a testimony against them."
Ka pahali hawata wadunga ka welcome hivi ama watadinda kuwaskiza, tikiseni hata ile
vumbi iko kwa miguu wakati mnaishia toka hiyo place, ka witness against hao wadhii."

12.They went out and preached that people should repent.
So wakaishia na morali, nje kwa mission, wakipreachia wadhii watubu madhambi.

13.They drove out many demons and anointed many sick people with oil and healed them.
Wakatimua mashaito si mchezo, waka annoint wasee wa sick na mafuta na kuwaponesha.

14.King Herod heard about this, for Jesus' name had become well known. Some were saying, "John the Baptist has been raised from the dead, and that is why miraculous powers are at work in him.
"Sa Herod, mfalme, akaget fununu ju ya hizi wax, Ju JC jina yake ilikuwaga famous sana kila kote. Wengi hadi walikuwa wakidai, "Johnie yule mse wa kubatiza wasee ame come back from the dead, na njo powers za miujiza zina do jobndani yake."

15.Others said, "He is Elijah." And still others claimed, "He is a prophet, like one of the prophets of long ago."
Wengine wakadai,"Ye ni Elijah," na hata wengine wakadai, "yeye ni prophet, ka wale prophets wa zamo."

16.But when Herod heard this, he said, "John, the man I beheaded, has been raised from the dead!"
Lakini Herod akaskia hiyo stori, akasay,"Johnie, ule mse nilichinja, amerauka from the dead!"

17.For Herod himself had given orders to have John arrested, and he had him bound and put in prison. He did this because of Herodias, his brother Philip's wife, whom he had married.
Ju Herod mwenyewe aligeiyana ma order njo Johnie akashikwa, na akafanya hadi Johnie
afungwe na atupwe Jela. Ali do hizi vitu zote ju ya Herodias, Waifudhes wa broza wake Philo, mwenye Herod alikuwa amekwachua.

18.For John had been saying to Herod, "It is not lawful for you to have your
brother's wife."
Johnie alikuwa akimshow Herod,"Chenye ume do si poa-si legal, kuchukua waif wa bro wako alafu um marry."

19.So Herodias nursed a grudge against John and wanted to kill him. But she was not able to,
Hadi Herodias, ule waif in contention akawa na machungu against Johnie, ju ya hiyo stori, akapanga kum mada.Lakini hiyo mpango ikagonga ukuta ju hangeweza,

20.because Herod feared John and protected him, knowing him to be a righteous and holy man. When Herod heard John, he was greatly puzzled; yet he liked to listen to him.
Saabu Herod alikuwa ashamdunga Johnie respect hadi akamshield, akimesea huyu charlie alikuwa MOG wa nguvu, mse holy.Wakati Herod alimskiza Johnie, alikuwaga akibaki na maswali; lakini alibaki amejazika kumsikiliza.

21.Finally the opportune time came. On his birthday Herod gave a banquet for his
high officials and military commanders and the leading men of Galilee.
Mwishowe wakati mwafaka ikajitokezea. Siku ya birthday yake, Herod alipanga bash moja VIP hadi guest listikabaki tu wadhi na ma respect zao, wadosi wa gava yake, wasee masonkwo wa army na wale wadosi wenye walikuwaga mbele Galilaya hizo ma days.


22.When the daughter of Herodias came in and danced, she pleased Herod and his dinner guests.
Nyakati mtoi manzi wa Herodias aliingia kwa dance floor, alijazz Herod hadi na VIP walikuwa wakimanga supper hapo.

The king said to the girl, "Ask me for anything you want, and I'll give it to you."
Mfalme, ju ya hiyo stori, akashow huyo mtoi manzi, uliza anything unawant, na nitakugei iwe yako."

23.And he promised her with an oath, "Whatever you ask I will give you, up to half my kingdom."
So akamwai hadi promise under kiapo, ati"chochote utauliza nitakugei, hadi nusu ya ufalme wangu."

24.She went out and said to her mother, "What shall I ask for?" The head of John the Baptist," she answered.
Hiyo offer ilikuwaga blank check mambo bad hadi akaishia kwa mathake, akamshow
"Nitauliza nigeiwe what?"Mathake akamshow aagizie Kichwa ya Johnie yule mse baptiser."

25.At once the girl hurried in to the king with the request: "I want you to give me right now the head of John the Baptist on a platter."
Mara one yule dem akaishia spidi ndani hadi kwa Mfalme na lile ombi la mathake:"Nataka hapa saa hii unigey kichwa ya Johnie juu ya sahani ya silva."

26.The king was greatly distressed, but because of his oaths and his dinner guests,
he did not want to refuse her.
Manze king, stress na pressure zika gather, lakini ju ya ma VIP wake na ju ya ile kiapo yake ikawa hawezi mkataza huyo mrembo kichwa cha Johnie.

27.So he immediately sent an executioner with orders to bring John's head. The man went, beheaded John in the prison,
Kwa ivo akasend hang man na order ya kichwa moja ya mse anaitwa Johnie toka jail.
Hanga manna bidii akaishia, akamchinja Johnie akiwa Jela,

28.and brought back his head on a platter. He presented it to the girl, and she gave it to her mother.
akaleta hiyo order ya kichwa cha Johnie kwa sinia.Akai present ka gift kwa yule mrembo, manzi akaishia na iyo head hadi kwa mathake akamwai.

29.On hearing of this, John's disciples came and took his body and laid it in a tomb.
Man. krew ya Johnie nyakati waliget hizo habari, waka kam waka collect hiyo body ya Johnie wakaenda wakailaza kwa grave.

30.The apostles gathered around Jesus and reported to him all they had done and taught.
Ma apostle wa JC waka gazza hapo na yeye wakamgei full report ya vile kuli go down na mission yao na ile njaro walikuwa wamefunza wadhii, including vitu zote walikuwa wame do.

31.Then, because so many people were coming and going that they did not even have a chance to eat, he said to them, "Come with me by yourselves to a quiet place and get some rest."
Kisha, ju wase mob walikuwa wakikam na kuishia hadi krew ya JC haikuwa na space ama
chance ya kudishi, akawashow hivi,"Kamuni na me peke yenu tuende ka retreat hivi place quiet njo mget ka rest ivi angalau.

32.So they went away by themselves in a boat to a solitary place.
Bas wazeiya waka go zao ma aways peke yao ndani ya ka mv faina hadi place deserted.

33.But many who saw them leaving recognized them and ran on foot from all the towns and got there ahead of them.
Lakini wajanja wengi wenye waliwacheki wakiishia waliwa recognize na wakakimbia unyoya ki route 11 toka mitaa yote na hapo ivo hata waka wai mapema place ya retreat kabla JC hawajafika iyo place.

34.When Jesus landed and saw a large crowd, he had compassion on them, because they were like sheep without a shepherd. So he began teaching them many things.
Wakati JC alicheki ali touch down hapo alicheki rende kubwa, akawaonea huruma, ju walikuwa ka ma kondoshe zenye hazina mchungaji. Hadi akaanza kuwafunza vitu mob muhimu.

35.By this time it was late in the day, so his disciples came to him. "This is a remote place," they said, "and it's already very late.
Kufikia hizo maithaa ikawa ni siku inajikata,so wafuasi wa JC wakamkamia."Niaje, hi
ni place bunduz mbaya, na ni late tayari,tena sana.

36.Send the people away so they can go to the surrounding countryside and villages and buy themselves something to eat."
Wacha tushow wadhi waishie zao away njo waingie ocha ocha hivi na kwa vijiji hapa
karibu angalau wabuy mango njo wadishi."

37.But he answered, "You give them something to eat." They said to him, "That would take eight months of a man's wages! Are we to go and spend that much on bread and give it to them to eat?
"Lakini JC akawashowniaje,"wageini at least ka dishi wamange." Wakamshow, ""Iyo itachukua salo ya mdhii ame do job miezi ka nane!Kwani tunafaa kuspend munde ka iyo tukibuy dibre njo tugey wasee wadishi?"

38."How many loaves do you have?" he asked. "Go and see." When they found out, they said, "Five—and two fish."
Akawauliza niaje,"Mko na loaf ngapi? Endeni mcheki.Wakati walichunguza, walirudi wakamshow hivi, "Tano, na fish mbe."

39.Then Jesus directed them to have all the people sit down in groups on the green grass.
Kisha JC akawadunga ma intsruction wa make sure wote wametulia down kwa rende za wasee juu ya nyasi za green.

40.So they sat down in groups of hundreds and fifties.
Basi wakatulia down wakiwa kwa ma rende za wasee soo na finje.

41.Taking the five loaves and the two fish and looking up to heaven, he gave thanks and broke the loaves. Then he gave them to his disciples to set before the people. He also divided the two fish among them all.
Akikwachu zile loaf na fish mbe aka chki heaven, akageiyana thank kwa budake alafu akavunjazile loaf. Kisha akapeana kwa ma disciples wake wazisambaze mbele ya wazeiya. Pia ali divide zile fish mbe kati yao wote.

42.They all ate and were satisfied,
Wote wakajitibu hadi wakasare dishi,

43.and the disciples picked up twelve basketfuls of broken pieces of bread and fish.
kisha wale wafuasi wa JC wakachukua vikapu full twelve za vipande vipande za fish na loaf.

44.The number of the men who had eaten was five thousand.
Ile hesabu ya wazeiya mambuyu wenye walikuwa wameshiba ilikuwa 5k.

45.Immediately Jesus made his disciples get into the boat and go on ahead of him to Bethsaida, while he dismissed the crowd.
Mara one JC akafanya wafuasi wake waingie kwa boat njo waishie mbele yake hadi Bethsaida, naye akabaki akishow wasee wa rende kwa heri.

46.After leaving them, he went up on a mountainside to pray.
Kisha baada ya kuwaacha, akaishia juu ya kilima ku pray.

47.When evening came, the boat was in the middle of the lake, and he was alone on land.
Wakati majioni ziliingia, ile mv faina ilikuwa imefika katikati ya lake, na JC alikuwa solo kwa dryland.

48.He saw the disciples straining at the oars, because the wind was against them.
About the fourth watch of the night he went out to them, walking on the lake. He was about to pass by them,
Akacheki wale disciples wana try sana kupiga makasia lakini wapi, ju ile wind
ilikuwaga iyo place ilikuwa imewazidia nguvu, iki blow opposite direction. Wakati masaa tisa ivi zilifika akawaendea, huku akiwalk ju ya wode ya lake. Hata ni kuwapita alikuwa akiwapita,

49.but when they saw him walking on the lake, they thought he was a ghost. They cried out,
Lakini wakati walipiga macho hivi wakamcheki wakipiga route 11, hadi wakafikiria ni
ghost.Wakatoa nduru jo!
50.because they all saw him and were terrified.Immediately he spoke to them and said, "Take courage! It is I. Don't be afraid."
Ju walipomcheki hivi wote wakagwaya wakashtuka. Hapo na hapo akawabongesha akisema aje, "Kuweni brave jo! Ni mimi. Msiingize njeve."

51.Then he climbed into the boat with them, and the wind died down. They were completely amazed,
Kisha akadandia boat nao, upepo ikatulia. Wakabaki na butwaa.

52.for they had not understood about the loaves; their hearts were hardened.
Ju hawakushikanisha poa stori ya maloaf; moyo zao zilikuwa ngumu aje.

53.When they had crossed over, they landed at Gennesaret and anchored there.
Nyakati wakivuka hivi, wakafika Gennesaret wakatia nanga pale ivo.

54.As soon as they got out of the boat, people recognized Jesus.
Ile second wali dondoka kwa boat, wadhi wali notice ni JC.

55.They ran throughout that whole region and carried the sick on mats to wherever they heard he was.
Wakajikusanya chap chap iyo place yote wakabeba wale watu sick kwa mikeka hadi ile
place waliskia JC alikuwa ako.

56.And wherever he went—into villages, towns or countryside—they placed the sick in the marketplaces. They begged him to let them touch even the edge of his cloak, and all who touched him were healed.
Na popote alienda- ndani ya vijiji, kwa tao au ocha- waliwekawale waseiya waa sick
ndani ya soko. Wakamplead waguse hata tu ile pindu ya nguo yake, na kila mdhi mwenye
alimgusa alipona.

No comments:

Post a Comment