Tuesday, July 21, 2009

Mark 11

Mariko Kumi na moja- Mark 11

1.As they approached Jerusalem and came to Bethphage and Bethany at the Mount of
Olives, Jesus sent two of his disciples,
Sa wakifikia Jerusa wakakam place zinaitwa Bethphage na Bethany kwa mount Olives, JC
akasend disciples wake mbe,

2.saying to them, "Go to the village ahead of you, and just as you enter it, you
will find a colt tied there, which no one has ever ridden. Untie it and bring it here.
Akawaambia aje,"Ishieni kwa ile kijiji mbele yenu, na mkiingia tu ivi, mta get mtoi
wa donkey ame taiwa hapo, mwenye hakuna msee ameride. Mfungue alafu mumlete hapa.

3.If anyone asks you, 'Why are you doing this?' tell him, 'The Lord needs it and will send it back here shortly.' "
Ka msee atawauliza,"Kwanini mnado ivi?'basi mshow,"Bwana anaineed lakini atairegesha very soon tu akimada.' "

4.They went and found a colt outside in the street, tied at a doorway. As they untied it,
Wakaishia wakaget mtoi wa donkey nje kwa street,alikuwa amefugiwakwa njia ya kuingi
through doaa. Wakati walikua wakiifungua,

5.some people standing there asked, "What are you doing, untying that colt?"
Wasee wengine walikuwa wanastand hapo ivi wakauliza, "kwani mna do nini, mkifungulia huyo punda?"

6.They answered as Jesus had told them to, and the people let them go.
Wakamjibu vile tu JC aliwashow, waseewakawaachilia wago.

7.When they brought the colt to Jesus and threw their cloaks over it, he sat on it.
Kisha wakabring punda hadi kwaJC wakatupa shuka zao ju yake, JC akaikalia.

8.Many people spread their cloaks on the road, while others spread branches they had cut in the fields.
Wasee mob wakatandaza shuka zao kwa baro, wengine wakatandaza matawi yenye walikata toka kwa ma field.

9.Those who went ahead and those who followed shouted, "Hosanna!"
"Blessed is he who comes in the name of the Lord!"
Wale wadhii walienda ahead na wale walikuwa wakifollow tu walishout wakisay
"Hosanna!" Ameblessika mwenye amekuja kwa jina ya sir Godi!"
10"Blessed is the coming kingdom of our father David!"
"Hosanna in the highest!"
"Iko blessd ile kukuja kwa ufalme wa mbuyu wetu Davie!"
"Hosanna Juu Juu kabisa!"

11.Jesus entered Jerusalem and went to the temple. He looked around at everything, but since it was already late, he went out to Bethany with the Twelve.
JCaka checkin Jerusa na akaishia direct hadi temple. Akapiga macho around akicheki kila kitu, lakini ju ilikuwa late, akaishia nje hadi bethany na wale wasee twelve.

12.The next day as they were leaving Bethany, Jesus was hungry.
Ile siku next wakati walikuwa wakitoka bethany,JC akawa na ubao.

13.Seeing in the distance a fig tree in leaf, he went to find out if it had any fruit. When he reached it, he found nothing but leaves, because it was not the season for figs.
Akacheki kwa mbali mti wa mkuyu ikitoa ma leaves, akaishia kucheki ka ilikuwa
namatunda. Wakati alifikia, akaget iko na ma leaves pekee, ju haikuwa time ya mkuyu
kuzaa.

14.Then he said to the tree, "May no one ever eat fruit from you again." And his disciples heard him say it.
Akashow mti hivi,"Msee asiwai dishi matundazako tena." Nawafuasi wake wakaskia chenye alisema.

15.On reaching Jerusalem, Jesus entered the temple area and began driving out those who were buying and selling there. He overturned the tables of the money changers and the benches of those selling doves,
Wakifika Jerusa hivi, JC akaingi kwa area ya temple akanza kutimua wasee wenye walikuwa wakidunga mabiz wakibuy na kusell hapo. Aka overturn zile table za wase wa kuchange munde na zile bench za wase wa kukinda mandush.

16.and would not allow anyone to carry merchandise through the temple courts.
na hange allow mse any abebe bidhaa za biz apite nazo kwa courts za temple.

17.And as he taught them, he said, "Is it not written:
" 'My house will be called house of prayer for all nations'? But you have made it 'a den of robbers.'"
Na akiwafunza akawashow niaje,"Si imeandikwa:
" ' Hao yangu itaitwa hao ya maombi kwa mataifa zote'? Lakini nyi mmeifanya hide out
ya wagondi.' "

18.The chief priests and the teachers of the law heard this and began looking for a way to kill him, for they feared him, because the whole crowd was amazed at his teaching.
Wale wasee ma chief priest na walimu wa sheria wakaskia hii vibe wakaanza kusaka vile wange mada JC, ju walimwogopa, ju rende yote ilikuwa imejazika na kufunza kwake.

19.When evening came, they went out of the city.
Wakati majioni ilifika, wakaishia nje ya jiji.

20.In the morning, as they went along, they saw the fig tree withered from the roots.
Morning, wakipiga lap kurudi, wakacheki ile mkuyu isha wither toka maroot.

21.Peter remembered and said to Jesus, "Rabbi, look! The fig tree you cursed has withered!"
Pitaa akakumbuka hadi akashow JC, "Rabbi, Cheki! Ile mti wa mkuyu yenye ulicurse isha die!"

22."Have faith in God," Jesus answered.
JC akamshow, "Kuwa na Imani ka ya God."

23"I tell you the truth, if anyone says to this mountain, 'Go, throw yourself into the sea,' and does not doubt in his heart but believes that what he says will happen, it will be done for him.
"Nakushow cha ukwela, mse any akibonga kwa hii mountain, 'Ishia kajitupe kwabahari,'
na asi doubt kwamoyo wake lakini a believe chenye amesaykitahappen, itafanywa for him.

24.Therefore I tell you, whatever you ask for in prayer, believe that you have received it, and it will be yours.
Kwa ivo nawashow ivi, chenyemta ask mkiomba, amini kuwa msha get na itakuwa yenu.

25.And when you stand praying, if you hold anything against anyone, forgive him, so that your Father in heaven may forgive you your sins."
Na wakati mki stand ku pray, ka uko na grudge na mse, msamehe, njo hatabuda wako wa
heaven akusamehe sins zako."

27.They arrived again in Jerusalem, and while Jesus was walking in the temple courts, the chief priests, the teachers of the law and the elders came to him.
Wakafika tena Jerusa, na nyakatiJC akipiga raundi kwa temple courts, wale chief priest, ma mode wa law na wale wazae wakamkamia.

28."By what authority are you doing these things?" they asked. "And who gave you authority to do this?"
Wakamwulizaje,"Ni kwa say gani una do hizi vitu, na nanialikugei ruhusa ya ku do ivi?"

29.Jesus replied, "I will ask you one question. Answer me, and I will tell you by what authority I am doing these things.
JC akajibu aje,"Nitawauliza swali moja.Nipeeni answer, alafu nitawashow ni by say ya who na do izi vitu.

30.John's baptism—was it from heaven, or from men? Tell me!"
Baptism yaJohnie- ilikuwa ya heaven ama ya wasee tu? Nishow!"

31.They discussed it among themselves and said, "If we say, 'From heaven,' he will ask, 'Then why didn't you believe him?'
Wakakuwa na discussion pamoja wakacheki,"Tukisay, 'ya heaven,' atatu ask, 'mbona hamku obey basi mkam believe?'

32.But if we say, 'From men'...." (They feared the people, for everyone held that John really was a prophet.)
Tukisay 'ilitoka kwa wadhii'..."(Sa waligwaya ju ya wasee, coz kila msee alitambua Johnie alikuwa prophet wa vungu.)

33.So they answered Jesus, "We don't know." Jesus said, "Neither will I tell you by what authority I am doing these things."
Basi wakadai,"Hatujui." JC naye akawashow aje,"Basi na mi sitawashow ni by say ya nani na do hizi vitu."

No comments:

Post a Comment