Monday, July 20, 2009

Mark 10

Mariko Kinde- Mark 10

1.Jesus then left that place and went into the region of Judea and across the Jordan. Again crowds of people came to him, and as was his custom, he taught them.
JC akaishia toka iyo place akaenda ndani ya Judea in a dee area na pande ile ingine ja Rivee yenye huitwa Jordan.

2.Some Pharisees came and tested him by asking, "Is it lawful for a man to divorce his wife?"
Mafarisee wengine waka kam kumdunga exam wakamshow swali,"Ni legal ki religion kwa msee kupea waif divorce?"

3."What did Moses command you?" he replied.
"Mosee aliwapea command gani?" Akawajibu.

4.They said, "Moses permitted a man to write a certificate of divorce and send her away."
Wakamshow niaje, "Mose alikubali mdhii aandike cert ya divorce kwa waifudhes na
amfukuze."

5."It was because your hearts were hard that Moses wrote you this law," Jesus replied.
JC aka wapiga 411 kiasi,"Ilikuwa ju heart zenu zilikuwaga hard sana njo Mosee akawachorea hiyo law."

6."But at the beginning of creation God 'made them male and female.'
"Lakini toka tene, Sir Godi aliwa make male na female.'

7.'For this reason a man will leave his father and mother and be united to his wife,
Njo for hii sababu jamaa ataishia toka keja ya budaake na mathaake na akuwe one na waif wake,

8.and the two will become one flesh.' So they are no longer two, but one.
na hao wawili wata become flesh moja.' Kwa hivo hawatakuwa wawili,but mmoja.

9.Therefore what God has joined together, let man not separate."
Kwa ivo chenye Sir God amejoinisha tugezza, mdhi yeyote asi tenge apart."

10.When they were in the house again, the disciples asked Jesus about this.
Wakati walikuwa wakipolea kwa mbanyu tena, wale disciples wakauliza JC kuhusu hii stori.
11.He answered, "Anyone who divorces his wife and marries another woman commits adultery against her.
Akawajibu tu besht, "Mse any mwenye ana divorce waif wake na ku marry mwengine amesha commit adultery kwa manzi wake.

12.And if she divorces her husband and marries another man, she commits adultery."
Na dem aki divorce chali wake na ku marry mwengine, pia ashacommit adultery kwa chali wake."

13.People were bringing little children to Jesus to have him touch them, but the disciples rebuked them.
Watu walikuwa wakileta watoi wa small kwa Jesus njo awaguse,lakini wale disciples waliwazushia.

14.When Jesus saw this, he was indignant. He said to them, "Let the little children come to me, and do not hinder them, for the kingdom of God belongs to such as these.
Wakati JC alicheki hivo akakasirika.Akawashow,"wacha watoi wakam kwangu, na usiwa block, ju ufalme wa sir Godi ni wa wadhi kama tu hawa.

15.I tell you the truth, anyone who will not receive the kingdom of God like a little child will never enter it."
Nawapea truth jo, msee yeyote mwenye hata receive kingdom ya sir Godi ka mtoi mdogo hatawai kuingia ndani."

16.And he took the children in his arms, put his hands on them and blessed them.
Akakwachu wale wakidi kwa mikono yake, akaweka mikono yake juu yao aka wa bless.

17.As Jesus started on his way, a man ran up to him and fell on his knees before him. "Good teacher," he asked, "what must I do to inherit eternal life?"
Nyakati JCalianza safari yake, msee alitoka unyoya hadi kwake akamwangukia na magoti
mbele ya JC."Mwalimu mpoa, nita do what njo ni pokee life ya milele?"

18."Why do you call me good?" Jesus answered. "No one is good—except God alone.
JC akamwuliza, "Mbona unani call mpoa? Hakuna mse mpoa except sir Godi pekee yake.

19.You know the commandments: 'Do not murder, do not commit adultery, do not steal, do not give false testimony, do not defraud, honor your father and mother.'
Unamesea commandments:'Usi do murder, usi hanye hanye na uko na wife, usi pokonye wasee vitu zao, usitoe ushahidi false ju ya msee, usigonge wadhii do, heshimu mbuyu na mathaako."

20."Teacher," he declared, "all these I have kept since I was a boy."
Boi akashow JC niaje,"Mwalimu, hizi zote nime obey toka ma child hood."

21.Jesus looked at him and loved him. "One thing you lack," he said. "Go, sell everything you have and give to the poor, and you will have treasure in heaven. Then come, follow me."
JC akamcheki akampenda. Akamshow,"Umebakisha tu kitu moja, ishia uka kinde kila kitu uko nayo na ugeiane kwa wasee wenye wamesota,alafu utakuwa na mali heaven. Kisha ukam unifuate."

22.At this the man's face fell. He went away sad, because he had great wealth.
Mse kuskia ivo akaisha morali jo.Akaishia ameboeka, ju alikuwa na mali mob sana.

23.Jesus looked around and said to his disciples, "How hard it is for the rich to enter the kingdom of God!"
JCakacheck around akabonga ivi kwa disciples wake,"Ni vi hardkwa wasee masonkwo kuingi kwa kingdom ya sir Godi!"

24.The disciples were amazed at his words. But Jesus said again, "Children, how hard it is to enter the kingdom of God!
Hadi wafuasi wake wakashangaa ju ya hizo words.Lakini JC akasema tena, "Watoi, sini ngumu kwa wasee kuingia kingdom ya sir Godi!

25.It is easier for a camel to go through the eye of a needle than for a rich man to enter the kingdom of God."
Ni rahisi zaidi kwa ngamia kupita kwa tundu ya sindano than kwasonkwo kuingia ufalme
wa sir Godi."

26.The disciples were even more amazed, and said to each other, "Who then can be saved?"
Haiya, wale disciples wakashangaa more, wakajiuliza, "sa nani basi atasave?"

27.Jesus looked at them and said, "With man this is impossible, but not with God; all things are possible with God."
Jesus akawacheki akasema ivi,"Na wasee hii ni impossible, lakini sio na God; ju kwa sir Godi kila kitu ni possible."

28.Peter said to him, "We have left everything to follow you!"
Pitaa akamshow,"Si tumeacha kila kitu kukufollow!"

29."I tell you the truth," Jesus replied, "no one who has left home or brothers or sisters or mother or father or children or fields for me and the gospel
JC akawashow,"Nawatell ukweli, hanaku mse mwenye ame leave home ama ma bro ama ma
siz au matha ama fadhe au watoi au ma shakee ju ya mimi na word

30.will fail to receive a hundred times as much in this present age (homes, brothers, sisters, mothers, children and fields—and with them, persecutions) and in the age to come, eternal life.
atakosa kuget hadi mara soo ya chenye alisaarekwa hii life time(makeja, ma bro, ma
siz, ma mathe, watoi na ma shakee- na pamoja na ku go through persecutions) na kwa
ile kizazi inakam, maisha eternal.

31.But many who are first will be last, and the last first."
Lakini wengi wenye wako wa fao watakuwa last, na wale wameshikilia mkia watakuwa wa
fao."

32.They were on their way up to Jerusalem, with Jesus leading the way, and the disciples were astonished, while those who followed were afraid. Again he took the Twelve aside and told them what was going to happen to him.
Walikuwa njiani wakiishia zao hadi Jerusa, JC alikuwa akiongoza msafara, na wale disciples waka shtuka sana, na wale walikuwa wakiwafuata bumper wakaingiza njeve. Tena aka kwachu wale twelve kando akawashow chenye kingemfanyikia.


33."We are going up to Jerusalem," he said, "and the Son of Man will be betrayed to the chief priests and teachers of the law. They will condemn him to death and will hand him over to the Gentiles,
"Tunaishia hadiJerusa, na yule mtoi wa Adam atauzwa kwa ma chief priest na rende yao walimu wa sheria. Watam-accuse alafu wa pass sentence ya death wampeane kwa wale wasee wenye si Jews,

34.who will mock him and spit on him, flog him and kill him. Three days later he will rise."
Hao watamdiss na kumtemea mate, watamchapa viboko na kum mada. Sikutatu zikiisha baadaye ata rise toka death."
35.Then James and John, the sons of Zebedee, came to him. "Teacher," they said, "we want you to do for us whatever we ask."
Kisha Jaymo na Johnie, watoi wa zebedee wakamkamia. "Mwalimu, tuna want utufanyie
chochote chenye tutadai."

36."What do you want me to do for you?" he asked.
Jc Akauliza,"Ni nini mnawant niwafanyie?"

37.They replied, "Let one of us sit at your right and the other at your left in your glory."
Wakadai,"Wacha mmoja wetu atulie kwa right hand yako na yule mwingine kwa left hand yako time yako ya glory iki kam."

38."You don't know what you are asking," Jesus said. "Can you drink the cup I drink or be baptized with the baptism I am baptized with?"
Jesus akawashow, "hamnyiti ni what mnauliuza,Kwanza mnaweza drink from ile kikombe na drink ama mu baptiziwe na ile baptism nitabaptiziwa nayo?"

39."We can," they answered. Jesus said to them, "You will drink the cup I drink and be baptized with the baptism I am baptized with,
Wakamshow, "tunaweza," akawaambia,"Mta drink ile cup na drink na kupitia baptism ka
yangu,
40.but to sit at my right or left is not for me to grant. These places belong to those for whom they have been prepared."
lakini ku tulia kwa right yangu ama left yangu si mi na decide kuwapa. Hizi place ni za wale wenye walitengenezewa."

41.When the ten heard about this, they became indignant with James and John.
Wakati wale kinde wengine waliskia iyo vibe, wakakasirika na akina Johnie na Jaymo.

42.Jesus called them together and said, "You know that those who are regarded as rulers of the Gentiles lord it over them, and their high officials exercise authority over them.
JC akawaita tugezza na akasema, "Mnajua kuwa wale wenye wanachekika ka wadosi wa ma refugee wanawakalia wasee wao ngumu, na wale wathi ma gova wanawarulena nguvu juu yao.

43.Not so with you. Instead, whoever wants to become great among you must be your servant,
Lakini sio ivo na nyinyi. Badala yake, yule mse anadai kuwa msee mbigi kati yenu lazima njo akuwe mboch,

44.and whoever wants to be first must be slave of all.
Na yule anawant kuwa wa fao lazma akuwe slave wa wote.

45.For even the Son of Man did not come to be served, but to serve, and to give his life as a ransom for many."
Ju hata son wa adam hakukam kukuwa served, lakini ku serve, na kupeana maisha yake kama malipo ya maisha ya wasee."

46.Then they came to Jericho. As Jesus and his disciples, together with a large crowd, were leaving the city, a blind man, Bartimaeus (that is, the Son of Timaeus), was sitting by the roadside begging.
Kisha wakakam hadi wakafika Jeri. Sa JC na disciples wake, pamoja na rende kubwa, walikuwa wakiishia wakitoka jiji,kisha mse blind, Bartimayo(Yani mtoi wa Timaeus) alikuwa aki bangaiza kando ya baro aki beg.

47.When he heard that it was Jesus of Nazareth, he began to shout, "Jesus, Son of David, have mercy on me!"
Nyakati aliskia ati ilikuwa JC yule wa Nazareth anapita karibu, akatoa nduru,"Jesus, kijana wa Davie mtoi, nionee huruma angalau!"

48.Many rebuked him and told him to be quiet, but he shouted all the more, "Son of David, have mercy on me!"
Wengi wlijaribu kumzushia ati wakimshow anyamaze, lakini akatoa ngwee ile ya sauti zaidi,"Mtoi waDavie, nionee huruma!"

49.Jesus stopped and said, "Call him." So they called to the blind man, "Cheer up!
On your feet! He's calling you."
JC akasimama akadai, "Mwiteni hapa." Kisha wakaita yule jamaa kipofu,"Ebu changamka! Rauka kwakiguu yako! Anakudai."

50.Throwing his cloak aside, he jumped to his feet and came to Jesus.
Akatupa mbwenyakando, akarauka hadi kwa miguu yake akaishia kwa JC.

51"What do you want me to do for you?" Jesus asked him.The blind man said, "Rabbi, I want to see."
JC akamwuliza, "Unataka nini nikufanyie?"Msee kipofu akasay,"Rabbi,Nataka kucheki."

52."Go," said Jesus, "your faith has healed you." Immediately he received his sight and followed Jesus along the road.
JC akamshow niaje,"Ishia zako, imani yako imekufanya uwe poa." Hapo hapo akaget sight yake na akafuata JC kando ya baro.

No comments:

Post a Comment