Friday, July 3, 2009

Mark 2

Mariko mbe- Mark 2

1.A few days later, when Jesus again entered Capernaum, the people heard that he had come home.
Baadaye, masiku kadhaa hivi, wakati JC alicheck in mtaani capernaum, wadhii waloget wind ati ame do ka home coming kinjaro hivi.

2.So many gathered that there was no room left, not even outside the door, and he
preached the word to them.
Ju ya hiyo stori rende ika gazza hadi space ikalost hapo,hadi nje ya doaa-hakuna vile mse angejiseti hapo ivi,akaanza kuwadunga word vi serious akipreach.

3.Some men came, bringing to him a paralytic, carried by four of them.
Wadhii fulani wakatokea hapo na wakaleta mse kilema, paralysed mbaya,wakiwa wamem carry wote wanne.

4.Since they could not get him to Jesus because of the crowd, they made an opening in the roof above Jesus and, after digging through it, lowered the mat the paralyzed man was lying on.
Ju hawange fikia JC kwa saabu ya rende vile ilikuwa ime surround hiyo place, ikabidi watumie ujanja kiasi, so, wakatoboa kashimo hapo juu ya roof penye JC alikuwa
amesimama, na baada ya kudig through, waka tengeneza lift ya kienyeji, wakamshukisha kilema akiwa amedoze juu ya mat.

5.When Jesus saw their faith, he said to the paralytic, "Son, your sins are forgiven."
Wakati JC alimesea imani yao ilikuwa juu tu sana, akashow kilema yule paralysed,"Niaje, mwanangu, slate yako ime wipiwa clean, dhambi zako zimesamehewa."

6.Now some teachers of the law were sitting there, thinking to themselves,
Sa wadhi fulani mamode wa sheria walikuwa wametuliza hapo, wakaanza kufikiria
wakichora aje,

7."Why does this fellow talk like that? He's blaspheming! Who can forgive sins but God alone?"
"Kwanini huyu jamaa anabonga hivo? Mbona anakufuru sir Godi!Nani aweza samehe sins
except sir Godi?"

8.Immediately Jesus knew in his spirit that this was what they were thinking in their hearts, and he said to them, "Why are you thinking these things?
Iyo githaa tu JCakashikanisha kwa spirit yake chenye hawa wadhii walikuwa wana think
kwa moyo, akawashow niaje,"Mbona mmefikiri hivi vitu?"
9.Which is easier: to say to the paralytic, 'Your sins are forgiven,' or to say, 'Get up, take your mat and walk'?
Gani rahisi: kusay kwa kilema,"'Dhambi zako zimeforgiviwa,' ama, 'beba carpet yako
ukitoe?'"

10.But that you may know that the Son of Man has authority on earth to forgive sins . . . ." He said to the paralytic,
Lakini njo mjue that mtoi wa adam anasay juu ya earth ya ku forgive sins..." akashow
kilema,

11."I tell you, get up, take your mat and go home."
"Nakushow, rauka, chukua carpet yako na uishie home."

12.He got up, took his mat and walked out in full view of them all. This amazed
everyone and they praised God, saying, "We have never seen anything like this!"
Akarauka, akakwachu carpet yake akatembea mbele yao wote.Wadhi wote wakajazika hadi
waka sifu God,wakisei, "hatujawai cheki samo ka hii amazing hivo!"

13.Once again Jesus went out beside the lake. A large crowd came to him, and he began to teach them.
Kisha tena JC akaishia out kando ya lake. Tayari croud ika kam kwake, aka start kuwapea word akiwafunza.

14.As he walked along, he saw Levi son of Alphaeus sitting at the tax collector's
booth. "Follow me," Jesus told him, and Levi got up and followed him.
Akipiga route 11 kando kando, akasorora Levi mtoi wa Alphaeus akipolea kwa booth ya
KRA. "Nifuate mseya," JC akamshow, na Levi akarauka akamfuata.

15.While Jesus was having dinner at Levi's house, many tax collectors and "sinners" were eating with him and his disciples, for there were many who followed him.
Nyakati zile JC alikuwa akijitibu ka supper hivi kwa mbanyu ya Levi, wasee wengi maboi wa Levi kutoka taxes nawasee walikaa hawawezi saidika ju ya madhambi zao walikuwa wakipolea na yeye wakidishi pamoja na wafuasi wa JC, ju kulikuwa na wadhii wengi wakimfuata.

16.When the teachers of the law who were Pharisees saw him eating with the "sinners" and tax collectors, they asked his disciples: "Why does he eat with tax collectors and 'sinners'?"
Wakati ma modee washeria, wale walikuwaga mafarisayo walimcheck akujitibu dishi pamoja na wenye dhambi na wasee wa ushuru, akauliza wale wafuasi wake: "kwa nini ye hudishi na wase wa ushuru na wadhii wa gizani?"

17.On hearing this, Jesus said to them, "It is not the healthy who need a doctor,
but the sick. I have not come to call the righteous, but sinners."
JC kuwaskia hivi, akawashow hivi,"Sio wasee wale wameingiza ki afya njo wana need doki, lakini ni wale wamechungulia grave na ugonjwa.So pia mi sijakam kuwaita wasee wa mwangaza, lakini wa gizani."

18.Now John's disciples and the Pharisees were fasting. Some people came and asked Jesus, "How is it that John's disciples and the disciples of the Pharisees are fasting, but yours are not?"
Sa wafuasi wa Johnie na pharisees walikuwa waki fast. lakini maboi wengine wakakam kuuliza JC, "Itakuwaje wale disciples wa Johnie wanafast na madisciples wa mafarisayo pia, lakini wako wamelenenga."

19.Jesus answered, "How can the guests of the bridegroom fast while he is with them? They cannot, so long as they have him with them.
JC akajibu hivi,"Mbona mabeshte wa bwana wa wedo wa fast na ye ako hapo nao? Haiwezi
end ivo, ikiwa bado wako na yeye.

20.But the time will come when the bridegroom will be taken from them, and on that day they will fast.
Lakini ithaa inakam wakati bwana wa wedo atachukuliwa aishie awaache, na hiyo day itabidi wa fast.

21."No one sews a patch of unshrunk cloth on an old garment. If he does, the new piece will pull away from the old, making the tear worse.
"Hafuna fundi wa cherehani mwenye hushonesha nguo kiraka mpya kwa nguo nzee. Aki do
ivo, kirakambichi itashrink alafu ivutanishe nguo nzee iraruke zaidi.

22.And no one pours new wine into old wineskins. If he does, the wine will burst the skins, and both the wine and the wineskins will be ruined. No, he pours new wine into new wineskins."
Na hakuna mjanja mwenye humwaga keroro kwa wineskin nzee. Aki do ivo, tei itabastisha hiyo ngozi, na both tei na ngozi zita spoil. Zii, ye humimina tei mbichi kwa ngozi mbichi,mpya.

23.One Sabbath Jesus was going through the grainfields, and as his disciples walked along, they began to pick some heads of grain.
Day moja sabbath, JC alikuwa akidunga route 11 kwa shake ya mei, sa disciples wake walikuwa pia kiguu nayeye, wakaanza kujishindia mei mbichi.

24.The Pharisees said to him, "Look, why are they doing what is unlawful on the
Sabbath?"
Mafarisayo wakashow JC,"Cheki tu, niaje wasee wako wana do kitu illegal kwa day ya
sabbath?"

25.He answered, "Have you never read what David did when he and his companions were hungry and in need?
Akawashow jibu,"hamjamesea chenye kimeandikwa,Davie ali do aje wakati ye na wasee
wake walikuwa na njaa na wako na mahitaji?

26.In the days of Abiathar the high priest, he entered the house of God and ate the consecrated bread, which is lawful only for priests to eat. And he also gave some to his companions."
Zile ma days za Abiathar kuhani mkuu, vile wali check in kwa hao ya sir Godi wakadishi mkate ile sacred, ambayo tu ni ma kuhani humanga. Kisha pia akagei wale majamaa wake kiasi."

27.Then he said to them, "The Sabbath was made for man, not man for the Sabbath.
Kisha akawashow hivi,"Sabatoni ya mwanadamu jo,sio ati mwanadamualiumbwa for sabato.

28.So the Son of Man is Lord even of the Sabbath."
Ivo ivo mtoi wa adam pia njo sonkwo juu ya day ya sabbath."

No comments:

Post a Comment