Monday, July 27, 2009

Mark 16

Mariko Kinde na Top up ya sita-Mark 16

1.When the Sabbath was over, Mary Magdalene, Mary the mother of James, and Salome bought spices so that they might go to anoint Jesus' body.
NyakatiSabbath ilipita, Mary Magdalene, Mary matha wa Jaymo, na Salome wakaboti ma viungo njo waishie wachekika watapaka mwili ya JC marashi.

2.Very early on the first day of the week, just after sunrise, they were on their way to the tomb
So Ngware siku ya fao ya wiki, jua ikichomoka tu ivi, walikuwa wakiishia zao kwa baro kwenda kwa grave

3.and they asked each other, "Who will roll the stone away from the entrance of the tomb?"
na wakaulizana,"Nani ataskuma ile jiwe bigi kandotoka kwa entrance ya grave?"
4.But when they looked up, they saw that the stone, which was very large, had been rolled away.
Lakini wakizidi kuwaza ivo wakacheki juu, wakaona hiyo stone, yenye ilikuwa bwaku sana, isha skumwa kando.

5.As they entered the tomb, they saw a young man dressed in a white robe sitting on the right side, and they were alarmed.
Sa wakiingia ndani ya kaburi ivi, wakacheki jamaa kijanaa amedunga kladi ka kabuti nyeupe na amepolea kwa side ya right, hadi wakashangaa.

6."Don't be alarmed," he said. "You are looking for Jesus the Nazarene, who was crucified. He has risen! He is not here. See the place where they laid him.
Akawashow ivi,"msikuwe na wasi wasi,mnatafuta JC yule wa hood ya Nazareth, mwenye alikrusifaiwa. Asharauka! Hayuko apa. Cheki hadi place walimlaza.

7.But go, tell his disciples and Peter, 'He is going ahead of you into Galilee. There you will see him, just as he told you.' "
Lakini ishieni, muwashow wale disciples wake na Pitaa,'Ashaishia mbeleyenu hadi Galilee. Hapo mtamcheki, vile tu aliwshow.' "

8.Trembling and bewildered, the women went out and fled from the tomb. They said nothing to anyone, because they were afraid.
Wakitetemeka na kung'ethia, mamatha wakaishia nje wakahepa ile place ya kaburi. Hawakumshow mtu yeyote kitu, ju walikuwa wameogopa.

((The most reliable early manuscripts and other ancient witnesses do not have Mark 16:9-20.))
{Zile maandiko reliable za fao na ma writings zingine za wahenga walicheki happenings live live hazina Mariko Kinde na top up ya sita:Nine hadi blue.}

9.When Jesus rose early on the first day of the week, he appeared first to Mary Magdalene, out of whom he had driven seven demons.
Time ile JC alifufuka kizeiya, ngware ya day ya fao ya week, alitokezea kwanza kwa Mary Magdalene, yule alikuwa ametimua pepo seven toka kwake.

10.She went and told those who had been with him and who were mourning and weeping.
Madam akaishia akashow wale walikuwaga na yeye na wale walikuwaga ma ngwee na kuomboleza.

11.When they heard that Jesus was alive and that she had seen him, they did not believe it.
Time waliskia ati JC ako alive na ati Merii alikuwa amemcheki, hawakum believe.

12.Afterward Jesus appeared in a different form to two of them while they were walking in the country.
Kisha JC akatokezea na njia differentkwa maboi wawili wake wenye walikuwa wakipiga raundi huko ocha.

13.These returned and reported it to the rest; but they did not believe them either.
Hawa pia wakarudi na road of emmaus report hadi wakawashow wenzao hizo findings; lakini pia hawakuwaamini.

14.Later Jesus appeared to the Eleven as they were eating; he rebuked them for their lack of faith and their stubborn refusal to believe those who had seen him after he had risen.
Baadaye JC akawatokezea wale kinde na mmoja time walikuwa wakidishi; akawashow makosa yao, vile walikosa imani na vile walikataa na bidii kuamini ripoti ya wadhii walikuwa washamcheki time alifufuka.

15.He said to them, "Go into all the world and preach the good news to all creation.
Akawashow niaje, "Ishieni kwa dunia yote na mpreach word ya habari njema kwa vyote vili creatiwa.

16.Whoever believes and is baptized will be saved, but whoever does not believe will be condemned.
Mse mwenye anabelieve na anabaptiziwa atasevika, lakini yule msee mwenye haamini atahukumiwa.

17.And these signs will accompany those who believe: In my name they will drive out demons; they will speak in new tongues;
Na izi ishara zitaenda bumper to bumper zikifuatana na wale wame believe: kwa jina yangu watadrive out mashaito; watabonga na language mpya;

18.they will pick up snakes with their hands; and when they drink deadly poison, it will not hurt them at all; they will place their hands on sick people, and they will get well."
wataokota ma snakes na mikono; na ile time watakunywa sumu kali, haitawadhuru kabisa; watawekelea mikono juu ya wasee wasick, na wataget poa."

19.After the Lord Jesus had spoken to them, he was taken up into heaven and he sat at the right hand of God.
Kisha baada ya JC kubonga nao, alikwachuliwa hadi mbinguni na akakaa kwa mkono wa right wa sirGodi.

20.Then the disciples went out and preached everywhere, and the Lord worked with them and confirmed his word by the signs that accompanied it.
Nao wale wafuasi wake wakaishia out kupreach kila place, na God akadunga wax nao huku akiprove word yake ni true by kufanya ishara zenye zili go bumper na word yake kuifuata.

1 comment:

  1. Funny, I've been reading Mark too! Great stuff Mr. Grae!

    ReplyDelete