Wednesday, July 15, 2009

Mark 7

Mariko Chapter ya Seven - Mark 7

Mark 7:1
Now when the Pharisees gathered together to him, with some of the scribes, who had come from Jerusalem,
Sa maithaa wale mafarisayo wali gazza wakamsogelea, na wale wasee wengine wasee wa
kuandika, wenye walikuwa wametoka Jerusa,

Mark 7:2
they saw that some of his disciples ate with hands defiled, that is, unwashed.
wakacheki ma boy wa JC wale disciples wakidishi na mikono bila kunawa, hiyo ilikuwa
dhambi kwao
Mark 7: 3
(For the Pharisees, and all the Jews, do not eat unless they wash their hands, observing the tradition of the elders;
(Ju unacheki mafarisayo? Hadi wayahudi,hawawezi dishi ati tu ivo, kabla hawa wash mikono zao, wao huangalia ku keep mila za mababu;
Mark 7: 4
and when they come from the market place, they do not eat unless they purify themselves; and there are many other traditions which they observe, the washing of cups and pots and vessels of bronze.)
na vile wanatoka kwa wakulima market tu hivi, hawawezi manga kabla ya usafi jo! Lazima wang'are kwanza-na ni religion kwao pia kufuata mila zingine ka kuspin dishes,unacheki, ma cups na sufuria hivi, hadi vyombo zao zimeundwa na bling ya bronze lazma zing'are)

Mark 7: 5
And the Pharisees and the scribes asked him, "Why do your disciples not live according to the tradition of the elders, but eat with hands defiled?"
Ju ya hiyo 411 mafarisayo na wale waandishi wakamshow hivi,"Niaje, wafuasi wa yours
hawamesei kuishi kulingana na set down traditions za mababu,hadi wanadishi na mikono chafu?"

Mark 7:6
And he said to them, "Well did Isaiah prophesy of you hypocrites, as it is written, 'This people honors me with their lips, but their heart is far from me;
Akawashow ivi,"Izzo yule higher masn hakuhata vile aliprophesy ju yenu wadhii makabwela, ju imeandikwa,'Hawa wadhii wameni dunga respect ya lip service pekee, lakini respect ya real from the hear iko mbali na mimi;

Mark 7:7
in vain do they worship me, teaching as doctrines the precepts of men.'
ni vako ya bure hata wakini worship, wakifunza thoughts na teachings zenye zimepangwa na wadhii zikikaa kama ni God amesema.'

Mark 7:8
You leave the commandment of God, and hold fast the tradition of men."
Mnasare commands za sir Godi so that mfuate na kushikilia mila zenye zilipangwa na watu."

Mark 7:9
And he said to them, "You have a fine way of rejecting the commandment of God, in order to keep your tradition!
Kisha akawashow niaje,"mko na njaro fine tu sana ya kukataa commands za ukweli za sir Godi, ati njo mubaki ka mmeshikilia mila na lifestyle zenu!

Mark 7:10
For Moses said, 'Honor your father and your mother'; and, 'He who speaks evil of father or mother, let him surely die';
Ju Mosee alisay aje?"Heshimu mbuyuz wako na mathaako"; na pia ali say,"Yule mdhii atabonga chafu ju ya mbuyuz au muthama wa theirs wacha adedi;'

Mark 7:11
but you say, 'If a man tells his father or his mother, What you would have gained from me is Corban' (that is, given to God)
Lakini nyi mka say,'Kama mse atashow mbuyuz wake au mathaake,'Iza jo! Chenye ningekugei toka kwangu nimepeana kwa sir Godi ka sadaka'

Mark 7:12
then you no longer permit him to do anything for his father or mother,
na hivo njo iko sasa ju tayari hamkubalii tena mdhi awasaidie mbuyuz au matha wao,

Mark 7:13
thus making void the word of God through your tradition which you hand on. And many such things you do."
kwa hiyo way mna fanya word ya God ikuwe vako tupu kupitia kutumia mila zenu zenye mnahakikisha wadhii wana shika from generation to generation."
Mark 7: 14
And he called the people to him again, and said to them, "Hear me, all of you, and understand:
Kisha akaita wadhii wakam kwake tena, akawashow niaje,:Niskizeni majamaa, nyi wote,
na munielewe poa:

Mark 7: 15
there is nothing outside a man which by going into him can defile him; but the things which come out of a man are what defile him."
Hanaku tuki chenye kinatoka nje ya mdhii chenye by kuingia kwake kitamfanya mchafu wa kiroho; lakini zile vitu zenye hutoka ndani ya msee njo humfanya awe mchafu rohoni mbele ya sir Godi

Mark 7: 16

Mark 7:17 And when he had entered the house, and left the people, his disciples
asked him about the parable.
Ma-time wakatiali check in kwa keja, akaacha wadhi,wale cronies wake wakamwuliza ju ya ile password ya parable.

Mark 7:18
And he said to them, "Then are you also without understanding? Do you not see that whatever goes into a man from outside cannot defile him,
Akawashow wazeiya ivi,"Kwani hata nyinyi hana copy ya chenye nimefunza? Cheki, si unaona chenye mse humanga toka nje haiwezi mfanya mchafu'

Mark 7:19
since it enters, not his heart but his stomach, and so passes on?" (Thus
he declared all foods clean.)
Ju ye hudishi ikaingia kwa tumbo, na si kwa moyo yake, akafu inatoka ks shonde?"( na
hivi njo ali make dishi zote zikuwe mango legal.)

Mark 7:20
And he said, "What comes out of a man is what defiles a man.
Na akasay ivi,"chenye hutoka kwa mzeiya ndani njo hum make akuwe mchafu wa heart,"

Mark 7:21
For from within, out of the heart of man, come evil thoughts, fornication,
theft, murder, adultery,
Ju toka ndani,kwa heart ya jamaa, hutoka fikira wiked, lungula nje ya marriage, wizi, kumada wasee, na kuhanyahanya mse ukiwa umeoa,

Mark 7:22
coveting, wickedness, deceit, licentiousness, envy, slander, pride, foolishness.
Kutamani vitu za mwenyewe ukiwa na npango ya kuzichukua kwa nguvu, kuwa mu-wiked,kujijazz kimwili, wivu, fitina, kufloss floss na ujinga.

Mark 7:23
All these evil things come from within, and they defile a man."
Hizi vitu zote wiked hutoka ndani, na njo humess mdhii pureness yake ya roho mbele ya sir Godi.

Mark 7:24
And from there he arose and went away to the region of Tyre and Sidon. And he entered a house, and would not have any one know it; yet he could not be hid.
Toka hapo akarauka akaishia zake hadi ile mtaa ya Tyre na Sidon.Ambapo alicheck in kwa keja fulani hapo ivo, lakini hangekubali mse any ajue ju ya hiyo stori; lakini bado alikuwa na celeb status hangeji hide.

Mark 7:25
But immediately a woman, whose little daughter was possessed by an unclean spirit, heard of him, and came and fell down at his feet.
Mara one mmatha, mwenye mtoi wake dem alikuwa amebambwa na mashaitula, akaskia
kuhusu JC, na akakam akadrop chini kwa miguu yake.

Mark 7:26
Now the woman was a Greek, a Syrophoenician by birth. And she begged him to cast the demon out of her daughter.
Sa huyu mmatha alikuwaga mgreek, na alizaliwa syrophoenicia. Akaja akam bembeleza
amsaidie kwa kufurusha hizo ma devo njo ziachane na dota wake.
Mark 7:27
And he said to her, "Let the children first be fed, for it is not right to take the children's bread and throw it to the dogs."
JC akampiga ka stopu, akamshow,"Wacha watoi kwanza washibe, ju si poa kuchukua dibre
ya wakidi alafu kuitupia ma dogi wazimange."

Mark 7:28
But she answered him, "Yes, Lord; yet even the dogs under the table eat the children's crumbs."
Lakini mmathayule alikuwa msharp akamshow niaje,"Bwana ni kweli; lakini hata madogi
zi humanga zile bread za watoi zenye huanguka toka juu ya meza hadi down chini ya tebo."

Mark 7:29
And he said to her, "For this saying you may go your way; the demon has left your daughter."
JC akamjibu huyo matha,"ju ya hiyo jibu unaweza ishia zako; huyo shaitula ashakitoa na amemwacha mtoi wako poa."

Mark 7:30
And she went home, and found the child lying in bed, and the demon gone.
So akaishia home, akakuta ni vile tu JC alikuwa amemshow, mtoi wake alikuwa ametulia
kwa bed na ile pepo oilikuwa imetoweka.

Mark 7:31
Then he returned from the region of Tyre, and went through Sidon to the
Sea of Galilee, through the region of the Decapolis.
JC akadunga retun journey toka mtaa wa Tyre, aka go through hood ya Sidon hadi akafika ile bahari ya Galilaya, akikatia shortie ya Decapolis{Miji Kinde}

Mark 7:32
And they brought to him a man who was deaf and had an impediment in his speech; and they besought him to lay his hand upon him.
Wakamletea mdhii mwenye alikuwa haskii kabisa na alikuwa na mashida kwa vile alikuwa
akibonga; wakambembeleza awekelee mkono wake ju ya huyu jamaa.

Mark 7:33
And taking him aside from the multitude privately, he put his fingers into his ears, and he spat and touched his tongue;
JC akamchukua kando kidogo toka kwa ile rende place walikuwa solo, akaweka fingaz
zake ndani ya maskio ya mzeiya, akatema mate na kugusa ulimi ya yule guy;

Mark 7:34
and looking up to heaven, he sighed, and said to him, "Ephphatha," that is, "Be opened."
manze, kisha akacheki juu heaven, akapumua vi heavy alafu akashow huyo boy,"Ephphatha," yaani, "Funguka."

Mark 7:35
And his ears were opened, his tongue was released, and he spoke plainly.
Maskio za charlie zikafunguka, ulimi yake ikarudi fomu akakuwa free, akabonga na sauti sawa vi plain.

Mark 7:36
And he charged them to tell no one; but the more he charged them, the more zealously they proclaimed it.
Alafu akawashow amri wasi show mse yeyote chenye JC alikuwa ame do; lakini vile alizidi kuwa command ivo nao walizidi kusambaza hizo stori na bidii.

Mark 7:37
And they were astonished beyond measure, saying, "He has done all things well; he even makes the deaf hear and the dumb speak."
Na wakashangaa hata zaidi ya kipimo, wakisema, "Manze ame do vitu zote poa vismarta;
hadi ye bado hufanya wasee deaf waskie na waseebubu wabonge."

No comments:

Post a Comment