Wednesday, July 22, 2009

Mark 12

Mariko Kinde ikijaziliwa Mbe - Mark 12

1.He then began to speak to them in parables: "A man planted a vineyard. He put a wall around it, dug a pit for the winepress and built a watchtower. Then he rented the vineyard to some farmers and went away on a journey.
JC aka begin kutoa teaching akibonga na ma code word jo!"Mse aliplant shakee ya grapes. Kuongezea hiyo plot ladha ivi, akawekelea fence ya mawe, akachimba foundation ya winepress alafu akadunga pia mnara ya watchie kutulia akichek chek ivi.
Kisha akai rent kwa wakulima fula hapo ivo akaishia zake safari kiasi.

2.At harvest time he sent a servant to the tenants to collect from them some of the fruit of the vineyard.
Maidhaa za harvestakatuma mseiya kwao na mpango ya kucollect ma fruit tu enough za iyo shakee toka kwao.

3.But they seized him, beat him and sent him away empty-handed.
Wakora wakambamba, wakampea kipigo cha mwaka alafu wakasend away akiwa amesota.

4.Then he sent another servant to them; they struck this man on the head and treated him shamefully.
Kisha akasend mboch mwingine kwao; wakamgonga kwa kichwa na kumfanya madhach mbaya.

5.He sent still another, and that one they killed. He sent many others; some of them they beat, others they killed.
Akasend mwingine bado, sa huyo hakuwa na bahati, ju walim mada. Akasend wengine wengi; wakachapa kadhaa, wakauwa kadhaa.

6."He had one left to send, a son, whom he loved. He sent him last of all, saying, 'They will respect my son.'
Sa huyo sonkwo mwenye shakee alikuwa tu nason mmoja, mwenye alipenda yake yote. So
akamsend ka last resort,ju alidhania,"Man watamdunga mkidi wangu respect yake.'

7."But the tenants said to one another, 'This is the heir. Come, let's kill him, and the inheritance will be ours.'
"Lakini wale wadhii wakashoiana aje,'Si huyu njo mrithi wa hii shakee. Kujeni tumdedishe, alafu inheritance itakuwa tayari njo yetu.'

8.So they took him and killed him, and threw him out of the vineyard.
Kwa ivo wakambambana kumuassasinate chap chap, wakamchuja nje ya shake ya magrapes.

9."What then will the owner of the vineyard do? He will come and kill those tenants and give the vineyard to others.
"Sa ni nini ule sonkwo mwenye mali yote ata do? Atakam awadedishe wale ma tenants alafu apeane shake kwa waseiya wengine.

10.Haven't you read this scripture:
" 'The stone the builders rejected
has become the capstone;
Kwani bado hamjaangukia kusomahii scripture yenye ina dai:
" ' Ile jiwe yenye ma contractor wa hao walichuja
sa njo imekuwa jiwe ya kusema. Ile msingi;

11.the Lord has done this, and it is marvelous in our eyes'?"
Sir Godi njo ame do ivo, na imekuwa kazi ya kupigiwa debe mbaya,job ya maana, glamorus kwa macho yetu'?"

12.Then they looked for a way to arrest him because they knew he had spoken the parable against them. But they were afraid of the crowd; so they left him and went away.
Kisha wakacheki for a way ku arrest JC ju alibonga ile code ikiwa imewapoint, wakachekika wasee wa nasty. Lakini wakaingiza njeve ju ya rende; kwa ivo wakamsare wakaishia.

13.Later they sent some of the Pharisees and Herodians to Jesus to catch him in his words.
Malaters wakatuma mafarisayo kadhaa na hadi ma herodians kwa JC kumchongea trap njo wamcatch na maneno yake.

14.They came to him and said, "Teacher, we know you are a man of integrity. You aren't swayed by men, because you pay no attention to who they are; but you teach the way of God in accordance with the truth. Is it right to pay taxes to Caesar or not?
Wakamsogelea na njaro wakadai,"Teacher, tushamesea kuwa we ni mse mstraight, bila scandals. Hauna kupangwa pangwa na wasee ovyo, ju haujalingi ati wao ni nani; lakini una teach ile njia ya God ikigo according na kile ni truth. Sasa, ni poa kulipa tax kwa Caesar ama Caesar ametupanga tu?

15.Should we pay or shouldn't we?"
Tuilpe ama tusilipee?" Ehh Tell us kizeya, tulipe ama tu go on strike?

But Jesus knew their hypocrisy. "Why are you trying to trap me?" he asked. "Bring me a denarius and let me look at it."
Lakini JC alisoma ile kasheshe akacheki ni ukabwela tu-hypocrisy. Akawauliza, "Niaje mmeplot kunitega? Leteni king'otoree na muache niicheki kwanza.

16.They brought the coin, and he asked them, "Whose portrait is this? And whose inscription?"
"Caesar's," they replied.
Wasee na bidii wakaleta ile king'otoree,akawadunga swali, "Ile picha iko juu yake ni ya who? Kwanza maandishi pekee ni ya nani?"
wakamjibu, "Ni ya Caesar mwenyewe."

17.Then Jesus said to them, "Give to Caesar what is Caesar's and to God what is God's." And they were amazed at him.
Akawashow,"Basss! Peeni Caesar vitu zake, munde yake, na peeni saa Godi burungo zake." Hee!Heeee! Wakacheki manze huyu jamaa ni chopi aje?

18.Then the Sadducees, who say there is no resurrection, came to him with a question.
Wakati wale sadducees, na hao njo hu say hanaku resurrection, walikam kwake, si walileta exam yao wame seti.

19."Teacher," they said, "Moses wrote for us that if a man's brother dies and leaves a wife but no children, the man must marry the widow and have children for his brother.
Wakamshow, "Niaje Tichaa, Mosee alitudungia writings kadhaa zikisay ka bro wa mse ame kick na akaacha waif bila wakidi, basi uyu jamaa alibaki lazima amuowe yule widow na akute vitu for the sake ya bro njo waif azae.

20.Now there were seven brothers. The first one married and died without leaving any children.
Sa kuna drama fulani ili go down ivi, kulikuwa na mabro seven. Wa Fao akamarry lakini sadly, jo hali ya life, aka dedi, tena isitoshe bila watoi.

21.The second one married the widow, but he also died, leaving no child. It was the same with the third.
Sa yule boi wa pili akaoa mjane, lakinipia yeye aka kick, bila kuget watoi. Ikawa ivo ivo na wa tatu.

22.In fact, none of the seven left any children. Last of all, the woman died too.
Hauskii, infact wote wali die bila watoi. Mwishoni, msupa akadie pia.

23.At the resurrection whose wife will she be, since the seven were married to her?"
Sa swali la kizushi! Ile day ya kuressurect toka death, huyu manziatakuwawaif wa nani, ju wote maboy seven walisham marry?"

24.Jesus replied, "Are you not in error because you do not know the Scriptures or the power of God?
JC akawa show reply,"Si mmeloba mbaya, ju kwanza hamjamesea word vile iko ama nguvu za sir Godi?

25.When the dead rise, they will neither marry nor be given in marriage; they will be like the angels in heaven.
Nyakati wasee wame kick wata ng'ooka makaburini, hawatanarryau kumarika; ju watakuwa ka angels huko heaven.

26.Now about the dead rising—have you not read in the book of Moses, in the account of the bush, how God said to him, 'I am the God of Abraham, the God of Isaac, and the God of Jacob'?
Lakini ju ya wasee wenye wamedie kupewa eviction toka graves- kwani hamjachop kwa
ile mbuku yaMosee, ile stori ya burning bush, vile sir Godi alimbongesha akamshow,'Mi njo Jah, Sir Godi wa Abraham, sir Godi wa Izzo pia na sir Godi wa Jacob'?

27.He is not the God of the dead, but of the living. You are badly mistaken!"
Ju yesi Mungu wa waseewame kick, lakini wa wale wako living. So hapo mme do mistake
mbaya!"

28.One of the teachers of the law came and heard them debating. Noticing that Jesus had given them a good answer, he asked him, "Of all the commandments, which is the most important?"
MMoja wa walewaalimu wa sheria aka jileta besht akawaget wakidunga debate. Aka
notice JC amewapiga stopu ya power,nyakati akiwajibu, hadi akadai,"Kwa zile amri
zooote, gani njo inapeagwa kipa umbele, yani gani njo inauzito, priority kibao.

29."The most important one," answered Jesus, "is this: 'Hear, O Israel, the Lord our God, the Lord is one.
"Ile most important tayari njo hino hapa, "Skizeni O Israel muzima, bwana, sir Godi,
Jah, bwana ni mmoja.

30.Love the Lord your God with all your heart and with all your soul and with all your mind and with all your strength.'
Penda bwana sir Godi wako ukiwa umejitolea na heart yako, na nafsi yako namind yako yote na pia na nguvu zako zote.'

31.The second is this: 'Love your neighbor as yourself.'There is no commandment greater than these."
Ya pili njo hino hapa:"Penda neibaa wako ka vile umejipenda.' Juhanaku amri ingine bwaku zaidi ya izi."

32."Well said, teacher," the man replied. "You are right in saying that God is one and there is no other but him.
Akamshow,"Manze modee umebonga poa sana, sense!Vile umedai ni tick, kusay ati Sir Godi ni mmoja na hanaku mwingine kando na yeye. Hi stori haina mpango ya side.

33.To love him with all your heart, with all your understanding and with all your strength, and to love your neighbor as yourself is more important than all burnt offerings and sacrifices."
Ku love sir Godi na moyo wote, na kushikanishakwotepossiblena mse na kwa nguvu zote, na ku loveneiba vile msee amejilove ni priority ya kanza kuliko hata sadaka zote na matoleo."

34.When Jesus saw that he had answered wisely, he said to him, "You are not far from the kingdom of God." And from then on no one dared ask him any more questions.
Wakati JC alicheki pia huyu mse ametoa jibu imestand, ya wisdom, akamshow,"Hauko far
toka kwa hii ufalme ya sir Godi." Sa toka hapo na kuendelea, hanaku mse ali dare
kumwuliza maswali tena.

35.While Jesus was teaching in the temple courts, he asked, "How is it that the teachers of the law say that the Christ is the son of David?
Nyakati JC alikuwa akideliver lecture kwa place ka verandah ikiwa ime make-iwa na roof, kwa temple, akauliza,"Mbona ati ma modee wa sheria hudai kristo ni mtoi chali wa Davy?

36.David himself, speaking by the Holy Spirit, declared:
" 'The Lord said to my Lord:
"Sit at my right hand
until I put your enemies
under your feet." '
Na Davy mwenyewe, akibonga ju ya inspiration ya holy spirit, alidai:
" ' Bwana alishow bwana wangu:
" tulia kwa right hand yangu
hadi niweke mahaters wako
chini ya miguu zako."

37.David himself calls him 'Lord.' How then can he be his son?" The large crowd listened to him with delight.
Ka Davie anamwita 'Bwana.'Basi itakuwaje tena huyu msee awe mtoi chali wa Davy?"
Rende ikamskizia ikiwa imejazika.

38.As he taught, Jesus said, "Watch out for the teachers of the law. They like to walk around in flowing robes and be greeted in the marketplaces,
Akiwa funza ivi, JC aka say,"kuweni chonjo ju ya wale ma modee wa sheria. Wao hu-like
kupiga raundi wakiwa wamedunga koti zinakaa dress na kugotewa kwa sokoni,

39.and have the most important seats in the synagogues and the places of honor at banquets.
Na kuwa na zile viti VIP ndani ya hekalu na place za respect kwa mabash.

40.They devour widows' houses and for a show make lengthy prayers. Such men will be punished most severely."
Wanararua mahao za widows naju ya kujidai wana make prayer ndefu. Sa wasee ka hawa
watadungwa panoo ingine meja."

41.Jesus sat down opposite the place where the offerings were put and watched the crowd putting their money into the temple treasury. Many rich people threw in large amounts.
Manze JCakatulia down opposite place ya sadaka akicheki vile wazeiya kwa rende walideposit mundee zao kwa treasury ya temple. Wasee wengi masonkwo walideposit mundee mwenda.

42.But a poor widow came and put in two very small copper coins,worth only a fraction of a penny.
Lakini mazni mmoja widow akakam akadeposit ndururu mbili kapyenga za copper, zenye
zilikuwa worth fraction ndogo ya shilingi.

43.Calling his disciples to him, Jesus said, "I tell you the truth, this poor widow has put more into the treasury than all the others.
Akawaita wale wafuasi wake wakam, kisha JC akawashow aje, "Cha ukwela, siwapangi,
huyu mazni widow ametoa the mostakaweka kwa treasury kuliko hawa wengine wote.

44.They all gave out of their wealth; but she, out of her poverty, put in everything—all she had to live on."
Ju wengine walitoa kutoka kwa usonkwo; lakini ye alitoa from kusota, akaweka kila
kitu-chenye angetumia kuishi."

No comments:

Post a Comment