Thursday, July 16, 2009

Mark 9

Mariko Number nine-Mark 9

1.And he said to them, "I tell you the truth, some who are standing here will not taste death before they see the kingdom of God come with power."

Akawashow ivi,"Nawashow ukweli, wengine wenye mmesimama hapa ivi hamtaonja death kabla hamjacheki ufalmewa sir Godi iki come to power."

2.After six days Jesus took Peter, James and John with him and led them up a high
mountain, where they were all alone. There he was transfigured before them.

Baada ya siku six JC aka take Pitaa, Jaymo na Johnie akawapeleka juu hadi kwa mountain high ivi, mahali walikuwa wamebaki solo. Hapo aligeuzwa mbele yao.


3.His clothes became dazzling white, whiter than anyone in the world could bleach them.

M'ngaro zake zika shine ile dazzling white, nyeupe kushinda hata chenye mse any kwa earth angezi do na Jik.


4.And there appeared before them Elijah and Moses, who were talking with Jesus.

Halafu pakatokea hapo nao Elijah na Mose, wakawa katika ile hali yakubonga na JC.

5.Peter said to Jesus, "Rabbi, it is good for us to be here. Let us put up three shelters—one for you, one for Moses and one for Elijah."

Pitaa akashow JC,"Rabbi, si ni poa tuko hapa.Wacha tupige mpango, tu amshe hema three- moja yakoo, moja ya Mose na moja ya Elijah."


6.(He did not know what to say, they were so frightened.)
(Ye hakujua abonge nini, ju wote walikuwa wamegwaya.)

7.Then a cloud appeared and enveloped them, and a voice came from the cloud: "This is my Son, whom I love. Listen to him!"

Kisha kamawingu kakatokezea na kuwafunika, na sauti ika kam toka hapo ndani:"Huyu ni mtoi wangu chali. mwenye nampenda. Mskizeni!"


8.Suddenly, when they looked around, they no longer saw anyone with them except Jesus.

Ivo tu, wakacheki around, wakaget hakunamse mwingine alikuwa hapo tena except JC.


9.As they were coming down the mountain, Jesus gave them orders not to tell anyone what they had seen until the Son of Man had risen from the dead.

Sa ile ithaa wakishuka mlima, JC akawagei order wasibonge ju ya hiyo stori kwa mse wamshow chenye wamecheki hadi ile day Mtoi wa sir God atakuwa amerise from the dead.


10.They kept the matter to themselves, discussing what "rising from the dead" meant.

So wakakeep hiyo stori ka secret yao, wakajadili ju ya chenye JCali mean wakati alisema, "Ku rise from the dead."


11.And they asked him, "Why do the teachers of the law say that Elijah must come first?"

Wakamwuliza ivi,"Mbona walimu wa sheria husay lazima elijah akam wa fao?"


12.Jesus replied, "To be sure, Elijah does come first, and restores all things. Why then is it written that the Son of Man must suffer much and be rejected?

JC akawashow ivi,"Ukweli,for sure, Elijah njo hu come wa fao, na kuregesha kila kitu.Mbona basi iliandikwa ati mtoi chali wa Adam lazima ago thru mengi mateso na akuwe rejected?"


13.But I tell you, Elijah has come, and they have done to him everything they wished, just as it is written about him."

Lakini nawaaambia,Elijah alisha aome, na wakamtenda kila kitu wali wish, vile tu iliandikwa about him."


14.When they came to the other disciples, they saw a large crowd around them and the teachers of the law arguing with them.

Wakati walikam kukutana na wale wafuasi wengine, walicheki rende kubwa sana imewa surroundia na ma mode wa sheria walikuwa wamezusha sana nao.


15.As soon as all the people saw Jesus, they were overwhelmed with wonder and ran to greet him.

Vile tu wasee walicheki Jesus, wakajazika beyond na ku wonder, so wakamkimbilia kumgotea.


16."What are you arguing with them about?" he asked.

Akawauliza,"Ni nini mnazushaniana nao?"


17.A man in the crowd answered, "Teacher, I brought you my son, who is possessed by a spirit that has robbed him of speech.

Jamaaalikuwa kwa rende akamjibu,"Mwalimu, nilibring boy wangu mdogo, son yangu, ako na shida ya kuhandwana shaito hadiizo pepo zimemgura uwezo wa kubonga.


18.Whenever it seizes him, it throws him to the ground. He foams at the mouth, gnashes his teeth and becomes rigid. I asked your disciples to drive out the spirit, but they could not."

Wakati inamget, humtupa down kwa grao. Anatoa foam kwamdomo, akijiumauma meno alafu anakuwa m-stiff.Nili ask wafuasi wako waitimue iyo devo, lakini hawaku make."


19."O unbelieving generation," Jesus replied, "how long shall I stay with you? How long shall I put up with you? Bring the boy to me."

JC akalament,"Oh wadhi wa hii generation wasio amini, hadi lini nitapolea na nyinyi? Hadi lini nikiwavumilia tu? Leta huyo boy kwangu."


20.So they brought him. When the spirit saw Jesus, it immediately threw the boy into a convulsion. He fell to the ground and rolled around, foaming at the mouth.
So akiletwa, ile shaito ikamcheki Jesus, ikambwaga boy down hadi akaget fits.Akaanguka down kwa grao akaanza ku roll, akifoam kwa mdomo.

21.Jesus asked the boy's father, "How long has he been like this?""From childhood," he answered.

JC akauliza huyo budawa boi,"Kwa muda gani amekuwa hivi?" Buda akareply,"Toka utotoni."


22."It has often thrown him into fire or water to kill him. But if you can do anything, take pity on us and help us."
"Maramob imemtupa ndani ya nare hadi ata ndani ya maji ikijaribukummada. Lakini kama
unaweza do chochote, tuonee huruma na utusaidie."


23." 'If you can'?" said Jesus. "Everything is possible for him who believes."

"'Ka ninaweza'?" JCakamshow kila kitu ni possible kwa mwenye asha amini."


24.Immediately the boy's father exclaimed, "I do believe; help me overcome my unbelief!"

Mara one yule buda akashout,"Naamini; nihelp ni overcome unbelief yangu!"


25.When Jesus saw that a crowd was running to the scene, he rebuked the evil spirit. "You deaf and mute spirit," he said, "I command you, come out of him and never enter him again."

Wakati JC alicheki rende inagather na wasee walikuwa waki kimbia kuja hapo njo wacheki drama, akakemea iyo shaitula."Spirit ya kuwa bubu na kiziwi, naku command, toka ndani ya huyu boi na usirudi ku enter ndani yake tena,"


26.The spirit shrieked, convulsed him violently and came out. The boy looked so much like a corpse that many said, "He's dead."

Pepo ikatoa nduru, ikamtikisa vi violently kisha ika chuck.Boy akabaki ametulia kabisa ni ka alikuwa ame die, hadi wengine wakasema,"Asha die."


27.But Jesus took him by the hand and lifted him to his feet, and he stood up.

Lakini JC akamchukua by the hand akamwamsha hadi kwa miguu yake, naye akasimama.


28.After Jesus had gone indoors, his disciples asked him privately, "Why couldn't we drive it out?"

Baadaye JC alikuwa ameishia indoors, wale disciple wakamwuliza wakiwa kwa faragha,"Mbona hatukumake kuifukuza imuwache yule boy?"


29.He replied, "This kind can come out only by prayer."

JC akaarepyia,"Kahizi zinaweza toka tu by kuomba."


30.They left that place and passed through Galilee. Jesus did not want anyone to know where they were,

Wakatoka iyo place na wakapitia katikati ya Galilaya. JC hakuwant mse yeyote ajue walikuwa wapi,

31.because he was teaching his disciples. He said to them, "The Son of Man is going to be betrayed into the hands of men. They will kill him, and after three days he will rise."

Ju alikuwa anafunza wale wafuasi wake.Akawashow,"Son wa Adam atakuwa betrayed apeanwe kwa hands za wananchi.Watammada, na alafubaada ya siku tatu ata rise from death."


32.But they did not understand what he meant and were afraid to ask him about it.

Lakini hawakushika chenye alikuwa aki mean na waliingiza njeve so wakashindwa kumwuliza.


33.They came to Capernaum. When he was in the house, he asked them, "What were you arguing about on the road?"

Wakafika capernaum Wakati alikuwa ndani ya keja, aliwauliza,"Ni what mlikuwa mnazushiania kwa baro?"

34.But they kept quiet because on the way they had argued about who was the greatest.

Lakini wakanyamaza ju walikuwa wamezushiana ju ya nani njo alikuwa sonkwo ju ya wote.


35.Sitting down, Jesus called the Twelve and said, "If anyone wants to be first, he must be the very last, and the servant of all."

Walipolea down, JC akaita wale twelve na kuwashow,"Ka mse any anataka kuwa wa first, basi lazima ashike mkia kwanza,awe mboch wa wasee wote."


36.He took a little child and had him stand among them. Taking him in his arms, he said to them,
Akachukua mkidi akamweka asimame hapo ivo.Akamkwachu kwa mikono yake akiwashow hivi,

37."Whoever welcomes one of these little children in my name welcomes me; and whoever welcomes me does not welcome me but the one who sent me."
"Yeyote ata welcome hawa wadogo kwa jina yangu amenikaribisha; na mwenye hajanikaribisha pia hajawelcome ule mse alini send."


38"Teacher," said John, "we saw a man driving out demons in your name and we told him to stop, because he was not one of us."

Johnie akamshow teacher,"Tulicheki mse akitoa shaito kwa jina yako na tukamshow aache, ju hakuwa mmoja wetu."


39."Do not stop him," Jesus said. "No one who does a miracle in my name can in the next moment say anything bad about me,

"Msimkataze, hakuna mdhi mwenye ata do miracles kwa jina yangu alafu immediately after ananitusi,

40.for whoever is not against us is for us.
Ju yule mwenye hajatu oppose yuko na sisi.

41.I tell you the truth, anyone who gives you a cup of water in my name because you belong to Christ will certainly not lose his reward.
Nawashow cha ukwela,any mse atawagei kikombe mmoja ya maji kwa jina yangu ju we ni wa christ tayari hatapoteza malipo yake.


42."And if anyone causes one of these little ones who believe in me to sin, it would be better for him to be thrown into the sea with a large millstone tied around his neck.

"Na ka mse yeyote ata sababisha mmoja wa hawa watoi wenye wameniamini afall kwa dhambi,ingekuwa better ka andefungwa jiwe bigi ya rego rego kwa shingo alafu a-drown ishwe kwa sea.


43.If your hand causes you to sin, cut it off. It is better for you to enter life maimed than with two hands to go into hell, where the fire never goes out.

Ka mkono yako inakufanya u do dhambi. Ikate off. Ni better ukiingia life na mkono moja kuliko na mikono yote kuishia hell,place nare haizimiki.

45.And if your foot causes you to sin, cut it off. It is better for you to enter life crippled than to have two feet and be thrown into hell.
Na ka mguu yako inafanya u do dhambi,ikate. Ni better kuingia life ukiwa cripple rather than uwe poa lakini unaingia hell.


47.And if your eye causes you to sin, pluck it out. It is better for you to enter the kingdom of God with one eye than to have two eyes and be thrown into hell,
Na ka jicho yako ina tabia ya kukufanya u do dhambi, in'goe. Ni better uingie kwa ufalme wa sir Godi najicho onekuliko mbili lakini unaishia hell ukiona poa.

48.where " 'their worm does not die, and the fire is not quenched.'

place "machungu hai die, na nare haipozwi.


49.Everyone will be salted with fire.

Kila mdhii atatiwaladhaya chumvi kwa kutumia nare.


50."Salt is good, but if it loses its saltiness, how can you make it salty again? Have salt in yourselves, and be at peace with each other."

"Chumvi ni poa, lakini iki lose taste yake je, ladhaya chumvi itarudishwa tena aje? Kuweni na chumvi ndani yenu, na muwe at peace kati yenu."

1 comment:

  1. Vipi grae! Sorry, I haven't been checking up on the blog. Been kinda busy. Lovin' the work you're doing. Jah bless!
    LB

    ReplyDelete