Monday, July 27, 2009

Mark 15

Mariko Kinde Na top up ya Ngovo - Mark 15

1.Very early in the morning, the chief priests, with the elders, the teachers of the law and the whole Sanhedrin, reached a decision. They bound Jesus, led him away and handed him over to Pilate.
Morning ngware ile sana, wale ma chief Priest, pamoja na wahenga, elders, ma odijo wa religion na ile committee yote inaitwa sanhedrin, walireach a decision.

2."Are you the king of the Jews?" asked Pilate.
"Yes, it is as you say," Jesus replied.
Pilate akamu ask"Wewe njo yule mfalme wa ma jews?"
JC akamjibu,"EEh, Ni ivo venye umesay."

3.The chief priests accused him of many things.
Yule chief priest akam accuse vitu mob.

4.So again Pilate asked him, "Aren't you going to answer? See how many things they are accusing you of."
Kisha tena Pilate akamwuliza," Kwani hauta answer ma accusations? Si unacheki zile vitu mob wanasema uko guilty of."

5.But Jesus still made no reply, and Pilate was amazed.
Lakini JC alikuwaga tu amekimya, hadi Pilate akabaki za wa!, akajazika.

6.Now it was the custom at the Feast to release a prisoner whom the people requested.
Basi ilikuwa kama kawa, yaani customs zao that kwa iyo bash, kumwachilia convict mmoja yule wasee walidai.

7.A man called Barabbas was in prison with the insurrectionists who had committed murder in the uprising.
Sa among wale convicts walikuwa wamejaribu ku take over gava kulikuwaga na mse anaitwa Barabbas mwenye alikuwa jela ju alikuwa amecommit murder time za rebellion.

8.The crowd came up and asked Pilate to do for them what he usually did.
So rende ikakuja kucheki Pilate ili wadai awafanyie ile mpango ya kawaida.

9."Do you want me to release to you the king of the Jews?" asked Pilate,
So Pilate akawauliza,"Je, mnadai niwa releas-ie mfalme wa wayahudi?"

10.knowing it was out of envy that the chief priests had handed Jesus over to him.
Ju pilate alikuwa ameshaa shika-ni kwa sababu ya wivu- njo wale machief priest walitaka kumpeana JC kwake.

11.But the chief priests stirred up the crowd to have Pilate release Barabbas instead.
Lakini chief priests walizua mass action mezesha njo Pilate awagei Barabbus na si JC.

12."What shall I do, then, with the one you call the king of the Jews?" Pilate asked them.
Pilate akawa ask,"Nita do what basi,na yule mnadai ni mfalme wa wayahudi?"

13."Crucify him!" they shouted.
Wakashout,"Mcrucify!"

14."Why? What crime has he committed?" asked Pilate. But they shouted all the louder, "Crucify him!"
Pilate akauliza, "Why sasa, ame do crime gani? Lakini rende ika shout ile zaidi,"Mcrucify!"

15.Wanting to satisfy the crowd, Pilate released Barabbas to them. He had Jesus flogged, and handed him over to be crucified.
So Pilate, Jualitaka ku please crowds, aka-release Barabbus kwao. Akapeana order JC awashwe viboko, halafu akamsare kwao wamcrucify.

16.The soldiers led Jesus away into the palace (that is, the Praetorium) and called together the whole company of soldiers.
Wale mabanga wakamwongoza JC away hadi ndani ya palace( yaani plce ka theatre hivi) alafu waka call pamojaile troop yote ya ma soja.

17.They put a purple robe on him, then twisted together a crown of thorns and set it on him.
Wakamvalisha kladi ka kabuti ivi,ya zambarao, pia akavalishwa ngepa ya ma thorns ka crown.

18.And they began to call out to him, "Hail, king of the Jews!"
Kisha wakaanza kumzungumzia na respect ka king,kumbe tu ni kumdiss ati,"Long live, mfalme wa ma jews!"

19.Again and again they struck him on the head with a staff and spit on him. Falling on their knees, they paid homage to him.
So wakazidi tena na tena kumvunja wakimpiga kwa kichwa nabakora na kumtemea mate.
Waki fall kwa magoti, wakimsifu kama king.

20.And when they had mocked him, they took off the purple robe and put his own clothes on him.Then they led him out to crucify him.
Kisha wakati walikuwa wamemshow dharau ya kutosha, wakamvua ile kabuti ya purple na wakamvalisha nguo zake mwenyewe. Wakam take akuwe crucified.

21.A certain man from Cyrene, Simon, the father of Alexander and Rufus, was passing by on his way in from the country, and they forced him to carry the cross.
Jamaa mmoja toka hood ya Cyrene, Simo, Mbuyuz wa Alexander na Rufus, alikuwa akipita hapo kwa safari yake akitoka ushago, so wakamlazimisha abebe ile cross.

22.They brought Jesus to the place called Golgotha (which means The Place of the Skull).
WakaletaJChadi ina dee area ilikuwaga na jina ya Golgotha ( yaani kumanisha area ya skull)

23.Then they offered him wine mixed with myrrh, but he did not take it.
Wakampatia wineime mixiwa na mafuta fulani ya marashi huitwa myrrh, ka ile wasee huchoma as ubani.

24.And they crucified him. Dividing up his clothes, they cast lots to see what each would get.
Basi wakamcrucify. Wakagawana cladi zake, hadi ikapidi wanatoss coin kwanza ju zilikuwa in high demand, njo wajue ni nani anaenda na what.

25.It was the third hour when they crucified him.
Ilikuwa ni matime ka saa tatu wakati walimcrucify.

26.The written notice of the charge against him read: THE KING OF THE JEWS.
Ile notice ilichorwa ka poster yenye ilionyesha mashtaka zake ilishow: MFALME WA MA JEWS.

27.They crucified two robbers with him, one on his right and one on his left.
Waka crucify majambazi wawili pamoja na yeye, mmoja kwa rightna mwingine kwa left.

29.Those who passed by hurled insults at him, shaking their heads and saying, "So! You who are going to destroy the temple and build it in three days,
Wale wasee wapita njia walimrushia matusi ovyo ovyo, waki tikisa vichwa na kusema,
"Haiya, so wewe ulidai utado damage kwa temple na ui build tena na siku tatu,

30.come down from the cross and save yourself!"
shuka down toka kwa cross na ujiokoe!"

31.In the same way the chief priests and the teachers of the law mocked him among themselves. "He saved others," they said, "but he can't save himself!
Na ivo ivo njo wale machief priest na mamode walaw walimdiss kati yao wenyewe wakidai, "Manze na si aliokolea wasee wengine, lakini ye mwenyewe ameshindwa kujiokoa!

32.Let this Christ,this King of Israel, come down now from the cross, that we may see and believe." Those crucified with him also heaped insults on him.
Wacha huyu christ, mfalme wa Israel,akam down toka the cross, hapo sasa tukisha ona ivo tutabelieve." Wale mathegi walikuwa wameangikwa na yeye pia walimtusi.

33.At the sixth hour darkness came over the whole land until the ninth hour.
Sa ile time ma saa sita ivi giza ikafunika nchi yote hadi saa tisa hivi.

34.And at the ninth hour Jesus cried out in a loud voice, "Eloi, Eloi, lama sabachthani?"—which means, "My God, my God, why have you forsaken me?"
Sa tisa JC akalia na sauti kubwa,"Eloi, Eloi, Lama sabachthani"- yenye hu mean,"God wangu, God wangu, niaje umenisaree?"

35.When some of those standing near heard this, they said, "Listen, he's calling Elijah."
Wakati wasee kadhaa wenye walikuwa hapo waliskia, wakasema, "Skia, anaita Elijah."

36.One man ran, filled a sponge with wine vinegar, put it on a stick, and offered it to Jesus to drink. "Now leave him alone. Let's see if Elijah comes to take him down," he said.
Mse mmoja akaishia mbio akasoak sponge kwa wine iko na vinegar, akaishikilia kwa kijiti, akamgei JC a drink. Alafu akasema, mwacheni alone tucheki ka Elijah atakam kumhelp ashuke."

37.With a loud cry, Jesus breathed his last.
Akilia na loud cry, JC akapumua yake ya last.

38.The curtain of the temple was torn in two from top to bottom.
Ile curtain ya temple ikararuka pande mbe toka juu hadi chini.

39.And when the centurion, who stood there in front of Jesus, heard his cry and saw how he died, he said, "Surely this man was the Son of God!"
Na wakati yule Captain wa masoja soo mwenye alikuwa amesimama mbele ya JC, aliskia vile huyu yamaa alilia na vile alidedi, akasema, "Manze huyu jamaa alikuwa mtoi wa sir Godi!"

40.Some women were watching from a distance. Among them were Mary Magdalene, Mary the mother of James the younger and of Joses, and Salome.
Wamatha kathaa walikuwa wakisorora iyo drama kwa mbali. Kati yao kulikuwaga na Mary Magdalene,Mary matha wa Jaymo small na wa Josee, na Salome.

41.In Galilee these women had followed him and cared for his needs. Many other women who had come up with him to Jerusalem were also there.
Kwa hood ya Galilee, hawa ma matha walikuwa wamemfuata na hadi wakamshughulikia needs zake.Wengi wa ma matha wengine wenyewalikuwa wamefika na yeye Jerusa walikuwaga hapo pia.

42.It was Preparation Day (that is, the day before the Sabbath). So as evening approached,
Ilikuwaga ni siku ya preps, kuji seti seti ivi kabla ya sabbath(yaani siku just before sabbath).

43.Joseph of Arimathea, a prominent member of the Council, who was himself waiting for the kingdom of God, went boldly to Pilate and asked for Jesus' body.
Josee waArimathea, sonkwo na member ya kanjo, mwenyewe tayari alikuwa anangojea ile ufalme ya sir Godi, akaishia na psyke bila woga akaulizia Pilate amgei mwili ya JC.

44.Pilate was surprised to hear that he was already dead. Summoning the centurion, he asked him if Jesus had already died.
Pilate kwanza akashangaa ati yule jamaa JC alikuwa ameshaa kick. Akaita yule mdosi wa masoja soo moja, akamwuliza ka JC alikuwa asha kick.

45.When he learned from the centurion that it was so, he gave the body to Joseph.
Wakati alishikanisha stori yote toka kwa mdosi wa masoja soo moja, ati ilikuwa ivo, akageiana mwili wa JC kwa Josee.

46.So Joseph bought some linen cloth, took down the body, wrapped it in the linen, and placed it in a tomb cut out of rock. Then he rolled a stone against the entrance of the tomb.
Kwa ivo Josee aka buy shuka ya cotton strong a.k.a linen, akashusha ule mwili ya JC, akaifunikia ndani ya shuka na kuiweka kwa kaburi yenye ilikuwa imeundwa toka kwa mawe, ikakaa ka cave, akaroll mawe juu yake kwa entrance ya kaburi.

47.Mary Magdalene and Mary the mother of Joses saw where he was laid.
Mary magdaline na mary yule matha wa Josee wakachekiplace alilazwa.

No comments:

Post a Comment