Friday, July 3, 2009

Mark 3

Mariko Tatu- Mark 3

1.Another time he went into the synagogue, and a man with a shriveled hand was
there.
Maidhaa akaishia kwa hekalu a.k.a church, na kulikuwa na msee huko mwenye mkono ilikuwa ime go through recession.

2.Some of them were looking for a reason to accuse Jesus, so they watched him closely to see if he would heal him on the Sabbath.
Wadhii wengine walikuwa kwa synagogue wakitafuta sababu ya kumhanda JC, kwa hivo
walitulia hapo wakimcheki kwa karibu kuona ka ataponesha huyo jamaa day ya sabbath.

3.Jesus said to the man with the shriveled hand, "Stand up in front of everyone."
JC akasay hivi kwa yule mse na mkono ina go through, "simama mbele ya rende yote."

4.Then Jesus asked them, "Which is lawful on the Sabbath: to do good or to do evil, to save life or to kill?" But they remained silent.
Alafu JC akawauliza hivi, "Gani ni illegal kwa sabato: ku do vi besht ama ku do vi wiked,kuokoa life ama kumada?" Lakini wakabaki wamekimya.

5.He looked around at them in anger and, deeply distressed at their stubborn hearts, said to the man, "Stretch out your hand." He stretched it out, and his hand was completely restored.
Akasorora around akiwa amekasirika na mareligious fanatics, hadi ikawa sad kwake, vile walikuwa na mioyo ngumu, akashow ule jamaa, "stretch mkono yako." Akaistretch out, na mkono ikarudi smata,ikapona.

6.Then the Pharisees went out and began to plot with the Herodians how they might kill Jesus.
Wakati mafarisayo walicheki hivi wkaishia nje wakaanza kuchora na herodians vile wangemada JC.

7.Jesus withdrew with his disciples to the lake, and a large crowd from Galilee followed.
JC akaishia pamoja na rende yake ya wafuasi hadi kwa lakeside, na crowd noma ikitoka
Galilaya ikamfuata.

8.When they heard all he was doing, many people came to him from Judea, Jerusalem, Idumea, and the regions across the Jordan and around Tyre and Sidon.
Wakati waliget info ya chenye alikuwa akido, wasee wengi walimkamia toka Judea,
Jerusa, Idumea na areas hizo zote hadi across area ya Jordo na pale Tyre na Sidon.

9.Because of the crowd he told his disciples to have a small boat ready for him, to keep the people from crowding him.
Ju ya crowd alishow wafuasi wake wa bring ka mv faina ka small na iwe tayari kudandia, njo wase wasimcrowd.

10.For he had healed many, so that those with diseases were pushing forward to touch him.
Ju alikuwa ame ponya wasee mob, so kwa saabu ya hiyo stori, wale wengine wa sick walikuwa wanahustle njo pia nao wakuwe healed.

11.Whenever the evil spirits saw him,they fell down before him and cried out, "You are the Son of God."
Kila nyakati zile ma shaitula zilimcheki,wali anguka down mbeleyake na kutoa kilio,"Wewe njo mtoi wa sir Godi."

12.But he gave them strict orders not to tell who he was.
Lakini aliwakazia wasibonge ati ye ni nani.

13.Jesus went up on a mountainside and called to him those he wanted, and they came to him.
JC akaishia juu kwa mlima alafu akaita wadhii wenye watamfuata, by invitation only, waka kam kwake.

14.He appointed twelve—designating them apostles—that they might be with him and that he might send them out to preach
Akachaugua wadhi twelve- akawagei janta ya kuanzisha church-kazi ya apostles- njo wakuwage na yeye nanjo awa send nje kwa job ya kuspeak word.

15.and to have authority to drive out demons.
pia wawe na say juu ya mashaitula, kuwatimua kutoka kwa life za wasee.

16.These are the twelve he appointed: Simon (to whom he gave the name Peter)
So hii njo list ya wale wadhii thepicked twelve: Simo(pia akamuita Pita)

17.James son of Zebedee and his brother John (to them he gave the name Boanerges, which means Sons of Thunder);
Jamo mtoi wa Zebedayo na bro wa his Johnie (wenye pia aliita majina Boanerges,jina
ina maanisha wakidi wa ngurumo za radi)

18.Andrew, Philip, Bartholomew, Matthew, Thomas, James son of Alphaeus, Thaddaeus, Simon the Zealot
Andru,Philo, Bartholomew kwa kifupi ni aka Barthez, Mathayo, Toma, Jamo mtoi wa Alfie, Thaddaeus na Simo yule msee wa psyke.

19.and Judas Iscariot, who betrayed him.
na Judee Iscariot yule alimwuuza.

20.Then Jesus entered a house, and again a crowd gathered, so that he and his disciples were not even able to eat.
Kisha JC akajitupa kwa hao hivi, na rende ikagazza, hadi JC na wafuasi wake wakashindwa hata vile wangetia ndani.
21.When his family heard about this, they went to take charge of him, for they said, "He is out of his mind."
Wakati family yake waliskia hivo, wakaishia kwake ati njo wampangie life, ju walidai, "manze huyu alishatuacha jo, amechizi."

22.And the teachers of the law who came down from Jerusalem said, "He is possessed by Beelzebub! By the prince of demons he is driving out demons."
Na mamodee wa sheria wenye walitoka Jerusa wakadai,"amepagawa na shaitula! Ni through mdosi wa mashaito njo huyu jamaa hutimua shaito."

23.So Jesus called them and spoke to them in parables: "How can Satan drive out Satan?
Kwa hivo JC akawashow hivi akibonga kwa mafumbo:"Shaito anawezaje timua shaito?

24.If a kingdom is divided against itself, that kingdom cannot stand.
Ju ka ufalme imegawanyika in itself, ufalme hiyo haiwezibaki imestand.

25.If a house is divided against itself, that house cannot stand.
Na hao ikigawanyika against itself, hiyo hao haiwezi make kusimama.

26.And if Satan opposes himself and is divided, he cannot stand; his end has come.
So ka shaito anaform opposition party ya kujioppose, hawezi simama; mwisho wake
ishafika.

27.In fact, no one can enter a strong man's house and carry off his possessions unless he first ties up the strong man. Then he can rob his house.
Ni fact hata kuwa hakuna mdhi anmaweza ingia keja ya first bodi amuibie kila kitu aishie nayo kabla hajamfungayule jamaa mstrong. Kisha anaweza ibia huyo jamaa.

28.I tell you the truth, all the sins and blasphemies of men will be forgiven them.
Nawashow cha ukwela, madhambi zote na kukufuru kwote zitasamehewa wadhii.

29.But whoever blasphemes against the Holy Spirit will never be forgiven; he is
guilty of an eternal sin."
Lakini yule jamaa atakufuru holy spirit hatawai samehewa; ju ako na guilt conscience ya foree.

30.He said this because they were saying, "He has an evil spirit."
Alibonga ju ya hiyo stori coz walikuwa wakisay JC, "Ako na spirit wiked."

31.Then Jesus' mother and brothers arrived. Standing outside, they sent someone in to call him.
Kisha matha wa JC na mabro wake wakafika hapo. Wakisimama nje, wakatumana sms JC
aitwe.

32.A crowd was sitting around him, and they told him, "Your mother and brothers are outside looking for you."
Rende ilikuwa imepolea ikimzunguka, so wakamshow niaje,"Mathako na mabro wako wako
nje wakikusaka."

33."Who are my mother and my brothers?" he asked.
Ikabidi akaulizia,"Nani ni maangu na broda wangu?"

34.Then he looked at those seated in a circle around him and said, "Here are my mother and my brothers!
Akasorora kile kirendee wale walikuwa wametulia kwa duara wakiwa wamemzunguka akawashow,"Hawa njo mabro wangu na mathaangu.

35.Whoever does God's will is my brother and sister and mother."
Mdhi mwenye ana do mapenzi na matarajio ya budaangunjo siz au matha au bro wa mine."

No comments:

Post a Comment