Tuesday, July 7, 2009

Mark 4

Mariko Nne - Mark 4

1.Again Jesus began to teach by the lake. The crowd that gathered around him was so large that he got into a boat and sat in it out on the lake, while all the people were along the shore at the water's edge.
Tena JC akaanzia kusuka lugha ya word hapo kando tu ya lake. Wadhii mob wenye
walikuwa hapo wamemzunguka walikuwaga tu countless hadi ikabidi amebebwa kwa mv faina ndogo njo afunze poa. Aka kaa kwa boti juu ya lake, wadhii wakiwa wametulia kwa lake shore kwa edge ya wode.

2.He taught them many things by parables, and in his teaching said:
Basi aka teach vitu mob kwa wasee akitumia code language, na kwa teaching yake
akasay hivi;

3."Listen! A farmer went out to sow his seed.
"Skia hii! Ati mkulima aliishia kupanda mbegu zake.

4.As he was scattering the seed, some fell along the path, and the birds came and
ate it up.
So katika ile hali, akispread na kusambaza hiyo seed, nyingine zilidunda kwa baro, alafu ndush zikakam kusherehekea, zikaidishi yote.

5.Some fell on rocky places, where it did not have much soil. It sprang up quickly, because the soil was shallow.
Akizidi hivi, zingine zikadundakwa place ya mamawe, place haikuwa na soil enough. Lakini bado ikamea, ikainuka hivi unyoya, ju mchangaya hapo ilikuwa tu shallow.

6.But when the sun came up, the plants were scorched, and they withered because they had no root.
Lakini wakati solar ilitokezea, ma mimea zikachomeka na jua, hadi zikadry up ju hazikuwa na mizizi.

7.Other seed fell among thorns, which grew up and choked the plants, so that they
did not bear grain.
Sawa, sa zingine zikadunda kwa ma thorns yaani miiba, miba zika grow teke hadi zika nyonga mimea,nayo ikakosa kuzaa nafaka.

8.Still other seed fell on good soil. It came up, grew and produced a crop, multiplying thirty, sixty, or even a hundred times."
Pia bado zingine zilidunda kwa soil smata. Zikamea besht, moss moss, hadi zika toa zao mob mara thirty, sixty, hadi hata mara soo.

9.Then Jesus said, "He who has ears to hear, let him hear."
Kisha JC akasema naje,"kila mdhii anaskio, wacha askie."

10.When he was alone, the Twelve and the others around him asked him about the parables.
Wakati alibaki solo,wale disciple twelve na wadhii wengine walikuwa hapo wakamwuliza
ju ya zile mafumbo.

11.He told them, "The secret of the kingdom of God has been given to you. But to those on the outside everything is said in parables
Akawashow, "niaje,dossier za ufalme wa sir Godi zimepeanwa kwenu.Lakini kwa wale wako nje ya loop kila kitu inabongeshwana mafumbo

12.so that,
Ni ivo njo,

" 'they may be ever seeing but never perceiving,
" 'Watakuwa wakiskia tu lakini hawashikanishi,

and ever hearing but never understanding;
na watakuwa wakiskia tu lakini hawanyiti;

otherwise they might turn and be forgiven!'"
ama wanaeza badilika wakam kuforgiviwa! ' "


13.Then Jesus said to them, "Don't you understand this parable? How then will you understand any parable?
Kisha JC akawashow hivi, "kwani hamuelewi parable ka hii? Basi mtawai elewa fumbo ingine gani?

14.The farmer sows the word.
Mkulima hupanda word.

15.Some people are like seed along the path, where the word is sown. As soon as they hear it, Satan comes and takes away the word that was sown in them.
Wadhii wengine ni ka zile mbegu zilitupwa kwa baro, njo kama vile word imepandwa kwao. Wakiiskia tu hivi, devo anakam kuichukua away, chenye kilipandwa.

16.Others, like seed sown on rocky places,hear the word and at once receive it with joy.
Wengine, ka ile mbegu hupandwa kwa ma stones, hupokea word mara one alafu wakishaiget wanafurahi vi most.

17.But since they have no root, they last only a short time. When trouble or persecution comes because of the word, they quickly fall away.
Lakini ju hawana roots, wanalast tu time fupi. Wakati shida inatokea ama ku go through ju ya word, wanasaree walk yao.

18.Still others, like seed sown among thorns, hear the word;
Bado wengine, ka mbegu ilipandwa kwa miba, huskia word;

19.but the worries of this life, the deceitfulness of wealth and the desires for other things come in and choke the word, making it unfruitful.
lakini mashida shida na kuingiza baridi ya hii life, chenga chenga za munde vile huchenga wasee na tamaa ya vitu zingine material things hukam ndani ya mix na kunyonga word, hadi inakuwa haizezi zaa matunda.

20.Others, like seed sown on good soil, hear the word, accept it, and produce a crop—thirty, sixty or even a hundred times what was sown."
Wengine, ka word imepandwa juu ya soil nzuri, huskia word, wakaiaccept, halafu
wakaproduce zao mara thirty, sixty ama hadi soo ya chenye kilipandwa."

21.He said to them, "Do you bring in a lamp to put it under a bowl or a bed? Instead, don't you put it on its stand?
JC akawashow wadhii,"Mse huleta taa ya tambi kwa hao njo aiweke chini ya bakuli au chini ya bed? Si, badala yake mse huweka light juu ya stand yake?

22.For whatever is hidden is meant to be disclosed, and whatever is concealed is meant to be brought out into the open.
Ju chochote chenye kimefichwa kinafaa kutobolewa wazi, na kitu any chenye kimefichika inafaa kiletwe nje wazi wazi.

23.If anyone has ears to hear, let him hear."
Ka mdhi ana maskio ya kuskia, askie."

24."Consider carefully what you hear," he continued. "With the measure you use, it will be measured to you—and even more.
JC akazidi hivi,"Analyze vipoa, kwa makini zile burungo unaskia.Ile kipimo utatumia, hivo hivo njo utapimiwa- hata zaidi ya hivo.

25.Whoever has will be given more; whoever does not have, even what he has will be taken from him."
Mwenye ako nayo atageiwa zaidi;mwenye hana, ata ile kidogo ako nayo atanyang'anywa."

26.He also said, "This is what the kingdom of God is like. A man scatters seed on the ground.
Jesus akaongezea hivi,Hivi njo ufalme wa sir Godi iko. Msee anasambaza mbegu zake kwa grao.

27.Night and day, whether he sleeps or gets up, the seed sprouts and grows, though he does not know how.
Usiku na mchana, akidoze ama akirauka, mbegu huzidi ku grow, hata kama hashikanishi
niaje i hu happen.

28.All by itself the soil produces grain—first the stalk, then the head, then the full kernel in the head.
Yenyewe, mchanga huzalisha nafaka- kwanza kijiti, alafu tawi lenye zao, alafu zao ikimature juu ya tawi.

29.As soon as the grain is ripe, he puts the sickle to it, because the harvest has come."
Punde tu nafaka ikiwa imeiva, ye huivuna kwa panga, ju mavuno isha come."

30.Again he said, "What shall we say the kingdom of God is like, or what parable shall we use to describe it?
Pia akazidi,"Ni nini tutasay ufalme wa sir Godi ni kama, ama fumbo gani tunaweza use
kuleta the best description yake?

31.It is like a mustard seed, which is the smallest seed you plant in the ground.
Ni ka mbegu ya hiradali, ambayo njo seed smallest kwa zote zenye unaweza plant kwa grao.

32.Yet when planted, it grows and becomes the largest of all garden plants, with such big branches that the birds of the air can perch in its shade."
Lakini,despite hivo, ii humea na kuwa ile mti largets kwa mimea zote ndani ya shake,na matawi bwaku yenye hata ndush za hewani zinaweza tulia kwa kivuli chake."

33.With many similar parables Jesus spoke the word to them, as much as they could understand.
Akitumia mafumbo mob JC alibonga word kwao, ile doze most wange receive hiyo time
wakiweza kuelewa.

34.He did not say anything to them without using a parable. But when he was alone with his own disciples, he explained everything.
Hakuwashow any bila kutumia fumbo.Lakini akiwa solo na madisciple wake, aliwadunga
explanation yote.

35.That day when evening came, he said to his disciples, "Let us go over to the other side."
Hiyo day, wakati maithaa ya giza ilikam, akashow disciples,"tuishieni kwa ile pande nyngine."

36.Leaving the crowd behind, they took him along, just as he was, in the boat. There were also other boats with him.
Wakiacha crowd bwaku manyu, walimchukua pamoja wakaishia, vile alikuwa, ndani ya mv
faina. Hapo pia kulikuwa na ma boat zingine.

37.A furious squall came up, and the waves broke over the boat, so that it was nearly swamped.
Hurricane ingine wiked ikazuka,na mawimbi ikatishia kuvunjavunja mv faina, karibu
hata izame.

38.Jesus was in the stern,sleeping on a cushion. The disciples woke him and said to him, "Teacher, don't you care if we drown?"
JC alikuwa place ndani ya meli, kwa tezi, amedoze kwa pillow moja tamu.Ma disciple wakamshow niaje,"Mwalimu, kwani haimati kwako tuki drown?"

39.He got up, rebuked the wind and said to the waves, "Quiet! Be still!" Then the
wind died down and it was completely calm.
JC akaamka, akakemea upepo. Akashow mawimbi,"Tulieni! Kimya!" Mawimbi zikatulia hadi
kabisa.

40.He said to his disciples, "Why are you so afraid? Do you still have no faith?"
Akashow disciples wake,"Mbona mmeingiza njeve ivo? Kwani bado hamjashika faith?"

41.They were terrified and asked each other, "Who is this? Even the wind and the
waves obey him!"
Wakaget tension hadi wakaulizana,"Ni nani huyu mse! Hadi wind na mawimbi za bahari
zisham respect!"

No comments:

Post a Comment