Sunday, July 26, 2009

Mark 14

Mariko Ashuu imedungwa top up ya nne- Mark 14

1.Now the Passover and the Feast of Unleavened Bread were only two days away, and
the chief priests and the teachers of the law were looking for some sly way to arrest Jesus and kill him.
Saa siku za ku paree ju ya bash ya passover na bash ya mkate flat yani mujabadi a.k.a chapo ilikuwa imebakia na siku mbe ifike, na wale mapriest dosi na ma odijo walikuwa wanasaka njaro ya kijanjez ya ku arrest JC alafu wam assasinate.

2."But not during the Feast," they said, "or the people may riot."
"Lakini sio maithaa ya dundaa jo!", ju walibonga,"wasee wanaweza leta hadi mayhem."

3.While he was in Bethany, reclining at the table in the home of a man known as Simon the Leper, a woman came with an alabaster jar of very expensive perfume, made of pure nard. She broke the jar and poured the perfume on his head.
Sa JC akituliziaga pale bethany, amesit back akidunga relax kwa table, ndani ya mbanyu ya jamaa fulani ali go by the fame ya Simo yule amewaiwa na leprosy, manzi fulani akaja hapo amebebana na chupa ya marashi expe ajabb, designer yenye imetengenezwa na ivory mzeiya, meno ya ndovu,ilikuwa ime sukwa kwa mafuta safi ka ointment hivi. Akavunja chupa alafu akamumwagia hiyo perfume kwa kichwa.

4.Some of those present were saying indignantly to one another, "Why this waste of perfume?
Wasee wengine wenye walikuwaga hapo walijibongesha wakiwa wamejam mbaya, "mbona hii waste ivo ya perfume kwanza designer?

5.It could have been sold for more than a year's wages and the money given to the poor." And they rebuked her harshly.
Unajua ingekindwa munde ya size gani! Ka salo ya mse amedunga wax mwaka. Halafu iyo munde ingesambazwa kwa wasee wamesota." Kwa ivo walimzushia sana yule madam, vikali.

6."Leave her alone," said Jesus. "Why are you bothering her? She has done a beautiful thing to me.
Hadi JC akaingilia kumtetea akidai,"wachana na yeye,mbona mnamsumbua ivo? Ameniduia
kitu ingine smart tu sana, beautiful.
7.The poor you will always have with you, and you can help them any time you want. But you will not always have me.
Ju cheki, wasee wamesota huwaga na nyinyi daily, hadi hata ka mkitaka kuwadunga
support mnaweza kuwahelp time yoyote. Lakini mimi hamtakuwaga na mimi kila wasaa.

8.She did what she could. She poured perfume on my body beforehand to prepare for my burial.
Ali do the best ange do. Amenimwagia marashi kwa mwili wangu akiwa tayari ananiprepare kuzikwa.

9.I tell you the truth, wherever the gospel is preached throughout the world, what she has done will also be told, in memory of her."
Nawashow ukweli, place yote hii word ya life itapreachiwa kwote duniani, chenye ame do pia kitasambazwa ka stori ya biography ya huyu dem na pia kumkumbuka."

10.Then Judas Iscariot, one of the Twelve, went to the chief priests to betray Jesus to them.
Kisha Judee Iscariot, mmoja wa krew ya twelve, akaishia kwa dosi wa temple ma chief priest akawashow vile alitaka kubetray JC.

11.They were delighted to hear this and promised to give him money. So he watched for an opportunity to hand him over.
Manze wakajazika mbaya walipopata hiyo habari na wakampea promise of big cash. So akakuwa ritho akisaka a door of opportunity angalau amsare kwa wale wasee ageiwe munde yake.

12.On the first day of the Feast of Unleavened Bread, when it was customary to sacrifice the Passover lamb, Jesus' disciples asked him, "Where do you want us to go and make preparations for you to eat the Passover?"
So sikuya fao ya paree ya mkate flat/chapo, wkati ilikuwa kama kawaida yao kutoa sadaka ya kondoo wa passover, JC akaulizwa na disciples wake, "unataka twende tutayarishe paree wapi njo usosi passover?"

13.So he sent two of his disciples, telling them, "Go into the city, and a man carrying a jar of water will meet you. Follow him.
Ju ya hiyo stori akatuma wasee wawili wale disciples wake, akawashow, "Ishieni ndani ya jiji, na msee fulani anabeba mtungi yamaji atakutana na nyinyi. Mwekeni bumper mumfuate.

14.Say to the owner of the house he enters, 'The Teacher asks: Where is my guest room, where I may eat the Passover with my disciples?'
Ile placemtacheki ameingia, showini ule sonkwo wa hiyo keja ati'Odijo ana ask: Iko wapi guest room ya mine, place maweza dishi passover na ma disciples wangu?'

15.He will show you a large upper room, furnished and ready. Make preparations for us there."
Atawashow room fulani juu kwa gorofa bwaku, iko fully furnished and everything, na iko tayari. Hapo tengenezeni maneno yetu msuri."
16.The disciples left, went into the city and found things just as Jesus had told them. So they prepared the Passover.
Wale disciples wakaishia, wakajitupa ndani ya jiji na wakaget kila kitu vile tu JC aliwashow itakuwa. Kwa hivo wakaandaa andaa mambo smart ya ile passover.

17.When evening came, Jesus arrived with the Twelve.
Jioni ikafika ivi, JC akawacheck in for the paree na wale wadhi wa rende yake twelve.

18.While they were reclining at the table eating, he said, "I tell you the truth, one of you will betray me—one who is eating with me."
Ile maithaa wakidunga maposi kwa table wanajitibu, JC akadai,"Nawashow ukweli,mmoja wenu atani betray- mse mwenye hadi anadishi na mimi."

19.They were saddened, and one by one they said to him, "Surely not I?"
Wakapatwa na sadness, wakaanza mmoja mmoja kudai,"Aaai!Kwa kweli haiwezi kuwa mimi?"

20."It is one of the Twelve," he replied, "one who dips bread into the bowl with me.
Akawashow aje,"Ni mmoja wa hii rende yetu wasee twelve,mwenye anadip dibre yake kwa
bakuli na mimi.

21.The Son of Man will go just as it is written about him. But woe to that man who betrays the Son of Man! It would be better for him if he had not been born."
Yule mtoi wa adam ataishia tu ka vile word imechorwa kutahappen kumhusu. Lakini ole wake yule jamaa ata betray mtoi wa adam! Ingalikuwa ata better kwake ka hangewai kuzaliwa."

22.While they were eating, Jesus took bread, gave thanks and broke it, and gave it to his disciples, saying, "Take it; this is my body."
Bado tu wakidishi, JC akakwachu mkanyo, aka give thanks to the almighty Jah, akaivunja, na akageiana iyo mkanyo kwa wale disciples akiwashow,"Kwachu bread; ju ni mwili wangu."

23.Then he took the cup, gave thanks and offered it to them, and they all drank from it.
Kisha akakwachu ile cup, akagive thanks to the almighty Jah na akawadunga offer wachukue, ma wote wakapiga sip kutoka kwa ile cup moja.

24."This is my blood of the covenant, which is poured out for many," he said to them.
Kisha akawaambia aje,"Hii njo damu ya ahadi aka the agreement, blood yenye imespill-iwa nje ju ya wasee wengi."

25."I tell you the truth, I will not drink again of the fruit of the vine until that day when I drink it anew in the kingdom of God."
"Nawashow ukweli, sitaai kunywa tena toka kwa ile fruit ya vine ya grapes hadi ile day nitaikamata vi-upya kwa ufalme wa sir Godi."

26.When they had sung a hymn, they went out to the Mount of Olives.
Wakati baada yao kuimba hymn moja, wakakitoa hadi kwenye mount Olives.

27."You will all fall away," Jesus told them, "for it is written:
" 'I will strike the shepherd,
and the sheep will be scattered.'
JC akawaelimisha kiasi,"Dude! Nyote mta fall away, ju imechorwa 'Nitampiga mchungaji, hadi hata wale kondoo wake wata-scatter.'

28.But after I have risen, I will go ahead of you into Galilee."
Lakini nikisha rise up, nitaishia mbele yenu hadi ndani ya jiji la Galilaya."

29.Peter declared, "Even if all fall away, I will not."
Pitaa aka-declare kwake,"Hata ka wasee wote watakuacha, mi niko tu, sitaishia."

30."I tell you the truth," Jesus answered, "today—yes, tonight—before the rooster crows twice you yourself will disown me three times."
JC akashow Pitaa,"Nakushiw ukweli, Hee! kwanza wewe, leo, leo usiku kwanza-kabla jogoo haijawika marambe we mwenyewe utani disown mara tatu."

31.But Peter insisted emphatically, "Even if I have to die with you, I will never disown you." And all the others said the same.
Lakini Pitaaalicheki ni bluff, hadi akazidi kuinsist na mioto," Hata kan i kudie na wewe, siezi ati kukudiss nikuache." Na wote wengine pia wakadai ivo.

32.They went to a place called Gethsemane, and Jesus said to his disciples, "Sit here while I pray."
Wakaishia place fulani inajulikana ka Gethsemane, na JC akashow maboi wake,"Tulieni hapa mi nikipray."

33.He took Peter, James and John along with him, and he began to be deeply distressed and troubled.
Aka take Pitaa, Jaymo na Johnie wakaishia pamoja, akaanza kuget huzuni ingine ajabb pamoja na ku go through mastress mob.

34."My soul is overwhelmed with sorrow to the point of death," he said to them. "Stay here and keep watch."
Akawashow,"Nafsi yangu imelemewa na huzuni ingine wikedhadi niko ile point ya ku die, tulieni hapa mkiwa ritho."

35.Going a little farther, he fell to the ground and prayed that if possible the hour might pass from him.
Akaishia distance kidogo mbele, akdunda kwa grao akaanza kudial 911 kwa sir Godi aulize ka sir Godi angelike amwokolee asipitie hiyo wasaa.

36"Abba, Father," he said, "everything is possible for you. Take this cup from me. Yet not what I will, but what you will."
Akasay,"Daddy, daddy,kila kitu ni possible, yote yawezekana kwa uwezo wako.Chukua hii cup toka kwangu. Laini si vile nadai, wacha ikuwe vile umetaka iwe."

37.Then he returned to his disciples and found them sleeping. "Simon," he said to Peter, "are you asleep? Could you not keep watch for one hour?
Basi akarudi ivi kwa wale disciples wake akaget walisha doze. Akashow Pitaa, "Simo, tayari usha doze? Haunge baki ritho hata one hour hivi?

38.Watch and pray so that you will not fall into temptation. The spirit is willing, but the body is weak."
Kaa ritho na uombe njo usi angukekwa ma temptations. Ju spirit iko tayari, lakini mwili ni weak."

39.Once more he went away and prayed the same thing.
Pia tena akaishia mara ingine away akapray the same prayer. 911 energency mseya.

40.When he came back, he again found them sleeping, because their eyes were heavy. They did not know what to say to him.
Nyakati alikam back, alipata wasee wamedoro tena, ju macho yao ilikuwa inafeel mzito. Sa hawakujua watamshow what.

41.Returning the third time, he said to them, "Are you still sleeping and resting? Enough! The hour has come. Look, the Son of Man is betrayed into the hands of sinners.
Kurudi tena mara ya tatu, akawaambia,"yaani bado mnadoze na kutuliza? Ni enough basi! Wasaa imefika. Cheki, mtoi wa adam ashabetrayiwa kwa mikono wa wasee wa gizani.

42.Rise! Let us go! Here comes my betrayer!"
Raukeni! Tuishieni! Yule mse anani betray asha kam!"

43.Just as he was speaking, Judas, one of the Twelve, appeared. With him was a crowd armed with swords and clubs, sent from the chief priests, the teachers of the law, and the elders.
Vile tu akibonga ivo, Judee, mmoja wa wale twelve, akakam. Na yeye ilikuwa ni rende yenye ilikuwa na manjora na rungu,wametumwa na wale Priest madozi, ma odijo wa religion na wazae aka wahenga wa church.

44.Now the betrayer had arranged a signal with them: "The one I kiss is the man; arrest him and lead him away under guard."

45.Going at once to Jesus, Judas said, "Rabbi!" and kissed him.
Wakiishia mara one kwa JC Judee akamshow,"Rabbi!' alafu akamdunga ka kiss.

46.The men seized Jesus and arrested him.
Wale wadhii wakamshika JC chap chap wakamuarrest.

47.Then one of those standing near drew his sword and struck the servant of the high priest, cutting off his ear.
Msee mwenye alikuwa anasimama karibu kucheki iyo muadhara akang'oa njora kwa mfuko
akamwai mboch wa high priest, akapita na skio moja, akaikata.

48."Am I leading a rebellion," said Jesus, "that you have come out with swords and clubs to capture me?
JC akawashow,"Kwani mi ni mdosi wa rebellion fulani, hadi ikabidi mmekuja na njora na rungu njo mnishike?

49.Every day I was with you, teaching in the temple courts, and you did not arrest me. But the Scriptures must be fulfilled."
Kila siku nilikuwa na nyinyi nikifunza ndani ya verandah za temple, na hamkuni arrest. Lakini ma scripture inabidi zicome true."

50.Then everyone deserted him and fled.
Hapo kila msee akamhepa mbio.

51.A young man, wearing nothing but a linen garment, was following Jesus. When they seized him,
Hauskii Jamaa mmoja kijanaa, alikuwa ametokea na kabuti pekee, anafuata JC. Nyakati walimbamba,

52.he fled naked, leaving his garment behind.
alichomoka ndethe, akaacha kabuti nyuma.

53.They took Jesus to the high priest, and all the chief priests, elders and teachers of the law came together.
Wakamchukua JC moja kwa moja hadi kwa highpriet, na wale wadosi wengine, chief priest, wahenga na ma odijo wakagazza pia pamoja.

54.Peter followed him at a distance, right into the courtyard of the high priest. There he sat with the guards and warmed himself at the fire.
Pitaa akafuata nyuma nyuma kwa mbali njo, hadi ndani ya frontporchya high priest. Akapolea hapo na ma watchie akajikinga njeve akiota nare nao.

55.The chief priests and the whole Sanhedrin were looking for evidence against Jesus so that they could put him to death, but they did not find any.
Ikawa ni ithaa ya kusaka 'form 16A' njo wale chief priest hadi committe yao yenye iliitagwa sanhedrin, wapate something ya kum-declare the winner of the death sentence.

56.Many testified falsely against him, but their statements did not agree.
Drama ikaendelea hapo, wakisaka wasee wa kutoa mashtaka fake fake, wengi wakakam forward lakini evidence zao ziki clash.

57.Then some stood up and gave this false testimony against him:
Kisha wengine waka simama wakageiana accusation za uwongo kumhusu:

58."We heard him say, 'I will destroy this man-made temple and in three days will build another, not made by man.' "
"Tulimskia akidai, 'Nita damage hii temple imejengwa na wasee alafu kwa siku tatu nijenge ingine freshi yenye haijamekiwa na human.'"

59.Yet even then their testimony did not agree.
Lakini hata hao accusations zao zikagongana.

60.Then the high priest stood up before them and asked Jesus, "Are you not going to answer? What is this testimony that these men are bringing against you?"
Kisha high preist akasimama mbele yao akauliza JC,"Kwani hauta toa defense yako? Hi
ni nini hawa wasee wanasay ka accusations against wewe?"

61.But Jesus remained silent and gave no answer. Again the high priest asked him, "Are you the Christ, the Son of the Blessed One?"
Lakini JCakabaki silent, bila kugeiana jibu.Tena Yule high priest akadai, "Weni yule kristo, mtoi wa ule aliyeblessika mmoja?"
62."I am," said Jesus. "And you will see the Son of Man sitting at the right hand of the Mighty One and coming on the clouds of heaven."
JC akawashow,"Ni mi, na hadi mutacheki yule mtoi wa adam akitulia kwa the right hand ya Jah almighty na akikam kwa mawingu ya heaven."

63.The high priest tore his clothes. "Why do we need any more witnesses?" he asked.
Highpriest akararua nguo zake in drama. "Mbona tuitishe 'form 16A' ya witnesses wengine?"

64."You have heard the blasphemy. What do you think?" They all condemned him as worthy of death.
"Si mumeskia vile amebonga blaspehmy. Mnafikiri aje?"Wakapitisha kuwa amestahilia die.
65.Then some began to spit at him; they blindfolded him, struck him with their fists, and said, "Prophesy!" And the guards took him and beat him.
Kisha wengine wakaanza kumspitia; waka mblindfold, wakam hit na mangumi, wakasay,"Prophesy!Ma watchie wakambamba wakampea kichapo.

66.While Peter was below in the courtyard, one of the servant girls of the high priest came by.
Ile maithaa Pitaa alikuwa kwa front yard, mmoja wa mboch wa high priest akajipitisha hapo.

67.When she saw Peter warming himself, she looked closely at him. "You also were with that Nazarene, Jesus," she said.
Wakati alicheki pitaa akijiwekelea ka warm thivi, akamsorora poa. "Wewe pia ni member kwa ile Nazarene gang ya JC," akadai.

68.But he denied it. "I don't know or understand what you're talking about," he said, and went out into the entryway.
Lakini akaruka hiyo stori.Akamshow,"Sijui hata sishiki ni nini unadai kuhusu," akaishia ndani ya verandah.

69.When the servant girl saw him there, she said again to those standing around, "This fellow is one of them."
Nyakati yule mboch alimcheki pale ivo, aliwashow tena wote ma idlers walikuwa pale,
"huyu mse ni mmoja wao."

70.Again he denied it. After a little while, those standing near said to Peter, "Surely you are one of them, for you are a Galilean."
Tena akaruka hiyo stori.Baadayekidogo, wale idlers walikuwa karibu wakashow Pitaa,"For real wewe ni member, ju unatokezea hood ya Galilee."

71.He began to call down curses on himself, and he swore to them, "I don't know this man you're talking about."
Buda akaanza kuji curse, akaswearkwao,""Sijui huyu boi mnabonga ju yake."

72.Immediately the rooster crowed the second time.Then Peter remembered the word Jesus had spoken to him: "Before the rooster crows twice you will disown me three times." And he broke down and wept.
Hapo na hapo ile jogoo ikawika mara yambe. Hapo njo Pitaa aka recall ile word JC alimdungia mapema in the day: "Kabla jogoo awike mara two utakuwa umeniruka mara three." Aka go into mental break down akatoa ngwee meja.

No comments:

Post a Comment