Saturday, June 27, 2009

Matthew 26

Mathayo Mbao na Kujaziliwa sita -Matthew 26

1.When Jesus had finished saying all these things, he said to his disciples,
wakati JC alimada kusay hizo vitu zote, akashow disciples wake
2."As you know, the Passover is two days away—and the Son of Man will be handed over to be crucified."
"Mnajua Passover ina go down in two days. Hiyo githaa Son of man atapeanwa kucrucifaiwa."

3.Then the chief priests and the elders of the people assembled in the palace of the high priest, whose name was Caiaphas,
Alafu machief priest wakagather pamoja na masonkwo wote wa wadhii katika cribs ya priest dozi wa mapriest palace yake, caiaphas
4.and they plotted to arrest Jesus in some sly way and kill him.
Wakachora mipango za kuarrest JC chini ya maji ki outlaw ili wammade.

5."But not during the Feast," they said, "or there may be a riot among the people."
Lakini wakadai, "Tusimshike wakati wa paree, coz italeta mezesha na rende italeta riot."

6.While Jesus was in Bethany in the home of a man known as Simon the Leper,
JC alikuwa bethany kwa kejani ya Simo, jamaa mwenye alikuwa amesuffer skin disease.

7.a woman came to him with an alabaster jar of very expensive perfume, which she poured on his head as he was reclining at the table.
So JC akibangaiza hapo, manzi fulani akaishia kwake na chupa ya marashi expe akamwosha nayo kwa kichwa.

8.When the disciples saw this, they were indignant. "Why this waste?" they asked.
Madisciples wakaboeka sana juu ya hiyo stori wakati walicheki hivo.Wakauliza, "mbona amewaste perfume noma hivi?"

9."This perfume could have been sold at a high price and the money given to the poor."
Ingeuzwa doo mob, alafu iyo ganji ipeanwe kwa wasee poor.

10.Aware of this, Jesus said to them, "Why are you bothering this woman? She has
done a beautiful thing to me.
JC alikuwa ashashikanisha chenye walikuwa wakisay so akawashow hivi,"Mbona mnasumbua huyu msupa?Amenifanyia kitu beautiful sana.

11.The poor you will always have with you, but you will not always have me.
Mtakuwaga na wale wadhi poor kila always, lakini hamtakuwa na mimi always.

12.When she poured this perfume on my body, she did it to prepare me for burial.
Ameniosha na hii marashi kwa body yangu kabla haija wekwa kwa grave.

13.I tell you the truth, wherever this gospel is preached throughout the world, what she has done will also be told, in memory of her."
Naweza tetea hii ka ukweli: Kila place word ya habari good itafikishwa na kubongeshwa duniani, chenye ame do kitasemwa kama memorial yake."

14.Then one of the Twelve—the one called Judas Iscariot—went to the chief priests
Sasa mdhi mmoja wa madisciples, yule anaitwa Judee Iscariot akaishia kwa wadosi wa mapriests

15.and asked, "What are you willing to give me if I hand him over to you?" So they counted out for him thirty silver coins.
Aka wa-ask,"Mtanikanja how much nikimsare kweny?" Wakamgei masilva salasa.

16From then on Judas watched for an opportunity to hand him over.
Kuanzia hapo akaanza kusaka wasaa ya kumgei Jesus away in betrayal.

17.On the first day of the Feast of Unleavened Bread, the disciples came to Jesus
and asked, "Where do you want us to make preparations for you to eat the Passover?"
Siku ya kwanza ya paree; ya Mkate flat, {Chapoz} maboiz wa jiweni wa JC, madisciples
wakamkamia. Wakamwuliza,"Niaje? Unawant tupange dishi ya passover wapi?"

18.He replied, "Go into the city to a certain man and tell him, 'The Teacher says:
My appointed time is near. I am going to celebrate the Passover with my disciples at your house.' "
Akasei hivi,"Endeeni kwa jamaa fulani huko jiji, na mumshow that mode anasay,"ithaa
yangu imefika near. Nita have paree ya the passover na mboiz wangu kwa your keja.

19.So the disciples did as Jesus had directed them and prepared the Passover.
Madisciples waka do chenye JC aliwashow wakaprepare passover.

20.When evening came, Jesus was reclining at the table with the Twelve.
Jioni iki reach, JC alikuwa ametuliz kwa tebo na waseiya wake twelve apostles.

21.And while they were eating, he said, "I tell you the truth, one of you will betray me."
Kisha wakisosi, akasei hivi," Nawa pea guarantee ya hii truth; mmoja wenu ataniruka aniebetray."

22.They were very sad and began to say to him one after the other, "Surely not I, Lord?"
Wakakuwa na sadness kubwa wakaanza kuulizana,"Huyu si mimi,bwana?"

23.Jesus replied, "The one who has dipped his hand into the bowl with me will betray me.
Man JC akasema, "Ule mse amedunga mkono ndani ya sahani na mimi njo atanibetray.
24.The Son of Man will go just as it is written about him. But woe to that man who
betrays the Son of Man! It would be better for him if he had not been born."
Huyu son of man atago a die vile ma scripture zimesay atadie. Lakini ni horrible chenye kitampata yule jamaa atarusha the son of man ambetray. hata ingekuwa better
kama hangezaliwa.

25.Then Judas, the one who would betray him, said, "Surely not I, Rabbi?"Jesus
answered, "Yes, it is you."
Kisha Judee, mwenye alimback stab akauliza,"Haumaanishi mimi teacher?""Ni hivo ndio
namaanisha," JC akadai.

26.While they were eating, Jesus took bread, gave thanks and broke it, and gave it
to his disciples, saying, "Take and eat; this is my body."
So wakidishi, JC akachukua bread na akaibless. Akaivunja, nakugei madisciples wake,
akawashow,"Kwachu na mdishi hii dibre. Hii njo body yangu."

27.Then he took the cup, gave thanks and offered it to them, saying, "Drink from it, all of you.
Kisha aka kwachu kikombe na akaomba prayer ya thanksgiving. Akawagei akiwashow,
"Kunyweni kutoka kwa cup, nyi wote.

28.This is my blood of the covenant, which is poured out for many for the forgiveness of sins.
Hii ndio blood yangu -, blood ya promise. Imemwagwa out for kila msee so that dhambi
zao zisamehewe.

29.I tell you, I will not drink of this fruit of the vine from now on until that day when I drink it anew with you in my Father's kingdom."
"Wacha niwagei guarantee kuwa sitapiga sip ya hii wine tena hadi ile day nitaikunywa na nyinyi kwa ufalme wa mbuyus wangu."

30.When they had sung a hymn, they went out to the Mount of Olives.
Kisha wakashika hymn wakaimba, alafu wakishia mt olives.

31.Then Jesus told them, "This very night you will all fall away on account of me, for it is written: " 'I will strike the shepherd, and the sheep of the flock will be
scattered.'
Kisha JC akawashow hivi,"Nyi wote mutanihepa mniache solo tonight. Scripture isha say,"Nitastrike the shepherd na the sheep wa flock wata scatter."

32.But after I have risen, I will go ahead of you into Galilee."
"Lakini nikishacome back to life, nitaishia galilee mbele yenu.

33.Peter replied, "Even if all fall away on account of you, I never will."
Pitaa akamshow niaje,"Hata kaa kila mdhii atakuhepa, sitakuhepa. {Niko na wewe
bumper}

34."I tell you the truth," Jesus answered, "this very night, before the rooster crows, you will disown me three times."
JC akamjibu, Nakushow with guarantee hii truhth: we kwanza kabla jogoo awike three times leo usiku, utakuwa umenikana ka maratatu ati haunijui.

35.But Peter declared, "Even if I have to die with you, I will never disown you." And all the other disciples said the same.
Pitaa akamshow,"hata ikiwa nitadie na wewe, sitawai say ati sikujui!" Hata walee
discipes wengine wakasay the same.

36.Then Jesus went with his disciples to a place called Gethsemane, and he said to them, "Sit here while I go over there and pray."
So JC akaishia nao kwa place inaitwa Gethsemane kupray. Akawashow, "Tulieni hapa
niishie pale kupray."

37.He took Peter and the two sons of Zebedee along with him, and he began to be sorrowful and troubled.
Akachukua Pitaa na ma-sons wa zebedayo mbe nayeye. Akianza kupray tu hivi akaanza
kufeel ki anguish ki-deep sana.


38.Then he said to them, "My soul is overwhelmed with sorrow to the point of death. Stay here and keep watch with me."
Akawashow," Nafeel distress ingine iko so great mpaka nafeel ka nita die. Ngojeeni
hapo, na mkae ritho na mimi."

39.Going a little farther, he fell with his face to the ground and prayed, "My
Father, if it is possible, may this cup be taken from me. Yet not as I will, but as
you will."
Akawalk mbele kidogo, akabow chini haraka na uso yake kwa grao akaomba,"Daddy, kama
ni possible, wacha hi cup iondolewe away from mimi. Lakini wacha iwe ni will yako na sii yangu.

40.Then he returned to his disciples and found them sleeping. "Could you men not keep watch with me for one hour?" he asked Peter.
Akarudi hivi kwa disciples wake akakuta washa doze. Akashow pita,"Kwani haunge make
kutulia na mimi ukipray hata hour moja?"

41."Watch and pray so that you will not fall into temptation. The spirit is willing, but the body is weak."
Kaa ritho na upray usitemptiwe. Sprit iko willing lakini mwili imedinda.


42.He went away a second time and prayed, "My Father, if it is not possible for this cup to be taken away unless I drink it, may your will be done."
Kisha akaishia tena raundi ya pili akapray,"Daddy, kama hii cup haiwezi chujwa kutoka kwangu kabla sija take sip yote, wacha will yako iduike."

43.When he came back, he again found them sleeping, because their eyes were heavy.
Akawapata wamedoze tena ju hawangekaa ritho, macho ilikuwa mzito.

44.So he left them and went away once more and prayed the third time, saying the same thing.
Kisha akawaacha tena, akaishia kusali prayer same tu mara ya third.

45.Then he returned to the disciples and said to them, "Are you still sleeping and resting? Look, the hour is near, and the Son of Man is betrayed into the hands of sinners.
Wakati alirudi kwa madisciples aliwashow hivi,"Laleni yenu yote sasa. Wasaa imecome
near ya son of man kusareiwa kwa wenye dhambi.

46.Rise, let us go! Here comes my betrayer!"
Raukeni! tuishie! Yule anani betray asha fika karibu."

47.While he was still speaking, Judas, one of the Twelve, arrived. With him was a
large crowd armed with swords and clubs, sent from the chief priests and the elders
of the people.
Iyo tu time, JC akiendelea kubonga, Judee yule mmoja wa madisciple twelve,
akawasili. Rende kubwa ilikuwa na yeye, wamecarry manjora na marungu. Walikuwa
wametoka kwa wadosi wa ma priest na wa wadhii.

48.Now the betrayer had arranged a signal with them: "The one I kiss is the man;
arrest him."
Sa traitor alikuwa amewagei signal. Akawashow,"yue nitakiss njo msee mnawant. Mshikeni!"

49.Going at once to Jesus, Judas said, "Greetings, Rabbi!" and kissed him.So Judee akacome haraka akakaribia JC asema."Helo Helo, Rabbii!" alafu akamkiss

50.Jesus replied, "Friend, do what you came for."Then the men stepped forward, seized Jesus and arrested him.
Jesus akamshow,"Rafiki, mbona uko hapa?" Alafu wadhii wengine wakatokezea wakachukua JC, wakamarrest.

51.With that, one of Jesus' companions reached for his sword, drew it out and struck the servant of the high priest, cutting off his ear.
Visuddenly, mmoja wao wenye walikuwa na JC akachomoa sword akapita na skio ya mmoja
wa maservant wa chief priest.

52."Put your sword back in its place," Jesus said to him, "for all who draw the
sword will die by the sword.
Kisha JC akasei kwake,"weka njora mbali! Kila mse hu use sword ana die by the sword.

53.Do you think I cannot call on my Father, and he will at once put at my disposal more than twelve legions of angels?
Usifikirie siwezi ita my father atume more that legions twelve za ma angels wani
help saa hii.

54.But how then would the Scriptures be fulfilled that say it must happen in this
way?"
Lakini itatimika aje scripture ina say lazima kuhappen hivi?

55.At that time Jesus said to the crowd, "Am I leading a rebellion, that you have come out with swords and clubs to capture me? Every day I sat in the temple courts teaching, and you did not arrest me.
Hiyo time JC akashow crowd,"Mbona mmecome out na ma wsord na marungu kuniarrest as
if mi ni criminal? Nilikuwaga nikikaa kwa temple courts daily. Mbona hamkuniarrest.

56.But this has all taken place that the writings of the prophets might be fulfilled." Then all the disciples deserted him and fled.
Hii yote imehappen njo chenye ma prophets waliosay ikam true." Halafu ma disciples
wote wakamhepa wakalost mbio.

57.Those who had arrested Jesus took him to Caiaphas, the high priest, where the
teachers of the law and the elders had assembled.
Wale walikuwa wame arrest JC walimchuka hadi kwa Caiphas, yule chief priest, place
mareligious writers na viongozi walikuwa wamegather tugezza.

58.But Peter followed him at a distance, right up to the courtyard of the high priest. He entered and sat down with the guards to see the outcome.
Pitaa akanyemelea nyuma nyuma hadi aka reach kwa courtyard ya chief priest. Akaingia ndani akatulia na mawatchie acheki kutaendaje.

59.The chief priests and the whole Sanhedrin were looking for false evidence against Jesus so that they could put him to death.
Sa priest dosi na kanjo yote ya religion walitafuta form 16A ya nguvu, evidence ya uongo njo wapate sentence ya death against JC.

60.But they did not find any, though many false witnesses came forward.
Finally two came forward
Lakini form 16A ilikuwa missing mbaya, hawakuget evidence concrete against him hata after wadhii watoe cooked up testimonies. Finally wadhi wawili wakacome mbele.

61.and declared, "This fellow said, 'I am able to destroy the temple of God and rebuild it in three days.' "
Wakasay,"Huyu mse alisay"Naweza bomoa temple ya sir Godi na niijenge in three days.'"

62.Then the high priest stood up and said to Jesus, "Are you not going to answer?
What is this testimony that these men are bringing against you?"
Priest dozi akasimama akaulizia JC,"Ju ya hiyo stori, hauna Jibu kwa mashtaka hawa
wasee wamechomoa against you?"

63.But Jesus remained silent.The high priest said to him, "I charge you under oath by the living God: Tell us if you are the Christ, the Son of God."
Lakini JC akabaki silent tu. Kisha dozi priest akasey kwake,"Swear ki oath mbele ya sir Godi na utushow ka wewe ni messiah, son wa sir Godi?"

64."Yes, it is as you say," Jesus replied. "But I say to all of you: In the future you will see the Son of Man sitting at the right hand of the Mighty One and coming on the clouds of heaven."
JC akamjibu,"Kweli, mi ni mtoi wake. Lakini wanagei guarantee kuwa kuanzia saa hii mtacheki the son wa adam akiwa in the highets position huko heaven. Atakuwa akikam kwa cloud za heaven."

65.Then the high priest tore his clothes and said, "He has spoken blasphemy! Why do we need any more witnesses? Look, now you have heard the blasphemy.
Hiyo time tu chief priest akararua cladi zake in horror akasei,'Huyu amedishonor/kufuru Jah!Mbona tuneed evidence ama witnesses wengine? Mmeskia vile amedharau/kufuru God!

66.What do you think?" "He is worthy of death," they answered.
"What ndio verdict yenu?" "anadeserve ku dedi," wakasema.

67.Then they spit in his face and struck him with their fists. Others slapped him
Wakamtemea spit kwa uso yake, wakamhit na fists zao, wengine wakamwasha slaps.

68.and said, "Prophesy to us, Christ. Who hit you?"
Wakasei hivi,"Kaa We ndio christ, yue prophet, tushow nani amekuhit."

69.Now Peter was sitting out in the courtyard, and a servant girl came to him. "You also were with Jesus of Galilee," she said.
Pitaa alikuwa ametulia kwa coutyard. Maid fulani, mboch akakam kwake akamshow,"hata wewe ulikuwa na jC yule galilean."

70.But he denied it before them all. "I don't know what you're talking about," he
said.
Pitaa akadai mbele yao,"zii, hata sijui mnaongea about wat."

71.Then he went out to the gateway, where another girl saw him and said to the
people there, "This fellow was with Jesus of Nazareth."
Wakati alikuwa akielekea kwa gate, mboch wa pili mwingine akamcheki. So akashow wale
alikuwa nao,"huyu msee alikuwa na JC wa Nazareth.

72.He denied it again, with an oath: "I don't know the man!"
Pitaa akadinda na kuswear kabisa na oath tena,"Sijui huyo boi!"

73.After a little while, those standing there went up to Peter and said, "Surely you are one of them, for your accent gives you away."
Kidogo tu wale wadhii walikuwa wamestand hapo wakamsogelea Pitaa wakamshow,"{Kubali tu} Ni obvious we ni mmoja, hata vile unashema na- kushrub isha kugive away!"

74.Then he began to call down curses on himself and he swore to them, "I don't know the man!"Immediately a rooster crowed.
Pitaa akaanza kucurse vinasty na kuswear kwa oath,"sijui huoy boi!" Hiyo githaa tu, jogoo akaanza ku wika.

75.Then Peter remembered the word Jesus had spoken: "Before the rooster crows, you will disown me three times." And he went outside and wept bitterly.
Pitaa akakumbuka chenye JC alisay,"kabla cock haijawika utanikana mara three ati
haunitambui." Pitaa akaishia outside akalia na machungu.

No comments:

Post a Comment