Wednesday, October 7, 2009

John 16

Johnie Kumi na sita - John 16

1."All this I have told you so that you will not go astray.
"Hii stori yote nimewadondolea njo msiishie astray.

2.They will put you out of the synagogue; in fact, a time is coming when anyone who kills you will think he is offering a service to God.
Watawachuja toka kwa synagogue; kwanza for real, kuna time inakam yenye mse yeyote atawamada atadhani ana doiya sir Godi janta.

3.They will do such things because they have not known the Father or me.
Watado vitu ka hizi ju hawajajua mbuyuz wangu au mimi.

4.I have told you this, so that when the time comes you will remember that I warned you. I did not tell you this at first because I was with you.
Nimewashow hivi, njo vile iyo time inakam mtakumbuka that niliwa warn. Sikuwashow this at first ju nilikuwa na nyinyi.

5."Now I am going to him who sent me, yet none of you asks me, 'Where are you going?'
"Sa naishia kwa yule mse alinisend, yet hakuna mmoja wenu ananiuliza , 'Niaje, unaishia where?'

6.Because I have said these things, you are filled with grief.
Ju nimebonga hizi vitu, mmejazwa na huzuni.

7.But I tell you the truth: It is for your good that I am going away. Unless I go away, the Counselor will not come to you; but if I go, I will send him to you.
Lakini nawashow ukweli: ni for your own good njo naishia zangu. Unless niishie, Counselor hawezi kam kwenu; lakini niki go, nitamsend kwenu.

8.When he comes, he will convict the world of guilt in regard to sin and righteousness and judgment:
Vile atakam, atahukumu dunia ju ya guilt kwa sababu ya madhambi na righteousness na judgement:

9.in regard to sin, because men do not believe in me;
Ju ya dhambi because wadhii hawaamini in mimi;

10.in regard to righteousness, because I am going to the Father, where you can see me no longer;
Ju ya righteousness kwa saabu ninaishia kwa mbuyuz, place hamwezi nicheki any longer;

11.and in regard to judgment, because the prince of this world now stands condemned.
na ju ya judgement, kwa saabu yule prince wa hii woprld ame stand condemned.

12."I have much more to say to you, more than you can now bear.
"Niko na mambo mob ya kubonga kwenu, zaidi ya venye mnaweza beba.

13.But when he, the Spirit of truth, comes, he will guide you into all truth. He will not speak on his own; he will speak only what he hears, and he will tell you what is yet to come.
Lakini venye yeye, spirit wa Ukweli, anakam, atawa guide ndani ya ukweli yote. Hata bonga kivyake; atabonga vile tu ameskia, na atawashow chenye kinaenda kukam.

14.He will bring glory to me by taking from what is mine and making it known to you.
Ataniletea the glory ju atachukua from chenye ni yangu na kuifanya known kwenu.

15.All that belongs to the Father is mine. That is why I said the Spirit will take from what is mine and make it known to you.
Kila kitu chenye kinabelong kwa mbuyu wangu ni changu. Njo maana nimesema spirit atachukua from chenye ni changu na kukifanya known kwenu.

16."In a little while you will see me no more, and then after a little while you will see me."
"Kwa muda kidogo hamtanicheki tena, alafu baada ya a while mtanicheki."

17.Some of his disciples said to one another, "What does he mean by saying, 'In a little while you will see me no more, and then after a little while you will see me,' and 'Because I am going to the Father'?"
Wengine wa wale wafuasi wakaongeleshana, "Anamaanisha what akisema, ' In a little while hamtanicheki tena, alafu after a little while mtanicheki,' na "Ju naishia kwa mbuyuz wangu'?"

18.They kept asking, "What does he mean by 'a little while'? We don't understand what he is saying."
Walizidi kuulizana, "Anamaanisha what akisema 'a little while'? Hatumesei ni what chenye anasema."

19.Jesus saw that they wanted to ask him about this, so he said to them, "Are you asking one another what I meant when I said, 'In a little while you will see me no more, and then after a little while you will see me'?
JC akacheki that wanadai kumwuliza ju ya hiyo, so akawashow, "Mnaulizana ni nini chenye nilimaanisha vile nilisema, 'In a little while hamtanicheki tena, alafu baada ya time kiasi mtanicheki'?

20.I tell you the truth, you will weep and mourn while the world rejoices. You will grieve, but your grief will turn to joy.
Nawashow ukweli, mtalia na ku mourn time world inasherehekea. Mtahuzunika, lakini huzuni yenu itaturn ikuwe joy.

21.A woman giving birth to a child has pain because her time has come; but when her baby is born she forgets the anguish because of her joy that a child is born into the world.
Manzi akizaa mtoi hukuwaga na mauchungu ju time yake imefika; lakini mtoi wake akizaliwa ye husahau ile machungu ju ya furaha that mtoi ashaborniwa ndani ya world.

22.So with you: Now is your time of grief, but I will see you again and you will rejoice, and no one will take away your joy.
Pia na nyinyi: sa njo time yako ya huzuni, lakini nitawacheki tena na mtajazika, na hakuna mse atawanyang'anya furaha yenu.

23.In that day you will no longer ask me anything. I tell you the truth, my Father will give you whatever you ask in my name.
Iyo siku hamtanidai anything. Nawashow ukweli, mbuyuz wangu atawagei whatever mnauliza in my name.

24.Until now you have not asked for anything in my name. Ask and you will receive, and your joy will be complete.
Hadi now hamjadai anything kwa jina yangu. Uliza na mtapokea, na joy yenu itakuwa full.

25."Though I have been speaking figuratively, a time is coming when I will no longer use this kind of language but will tell you plainly about my Father.
"Hata ka nimekuwa nabonga na mafumbo, time inakam vile sitatumia hizi words tena lakini
nitawabongesha viwazi wazi ju ya mbuyuz wangu.

26.In that day you will ask in my name. I am not saying that I will ask the Father on your behalf.
Iyo day mtauliza na jina yangu. Sisemi that nitauliza mbuyuz wangu kwa behalf yenu.
27.No, the Father himself loves you because you have loved me and have believed that I came from God.
Zi, mbuyuz mwenyewe anawapenda ju mmenipeda na mmeniaminiu that nilikam from sir Godi.

28.I came from the Father and entered the world; now I am leaving the world and going back to the Father."
Nilikam toka kwa mbuyuz nikadonjo kwa earth; sa naishia toka world na kurudi kwa mbuyuz."

29.Then Jesus' disciples said, "Now you are speaking clearly and without figures of speech.
Kisha wafuasi wa Jesus wakabonga, "Sa umebonga vi clear bila vitendawili.

30.Now we can see that you know all things and that you do not even need to have anyone ask you questions. This makes us believe that you came from God."
Sa tunacheki that unamesea kila kitu na that hauneed hata mse akuulize maswali. hi inatufanyakuamini that ulikam fron sir Godi."

31."You believe at last!" Jesus answered.
JC akawajibu, "Munaamini at last!"

32."But a time is coming, and has come, when you will be scattered, each to his own home. You will leave me all alone. Yet I am not alone, for my Father is with me.
"Lakini time inakam, na isha kam, vile mtatawanyika, kila mse kwa hao yake mwenyewe. Mtaniacha alone. Lakini siko solo,ju mbuyuz wangu ako na mimi.

33."I have told you these things, so that in me you may have peace. In this world you will have trouble. But take heart! I have overcome the world."
"Nimewashow hizi vitu,njo in mimi mta go through mashida. Lakini kuweni na moyo! Nisha overcome the world."

No comments:

Post a Comment