Saturday, September 4, 2010

Acts 8:27-40

Action za The Saints, recording ya chapta 8.

27So he started out, and on his way he met an Ethiopian eunuch, an important official in charge of all the treasury of Candace, queen of the Ethiopians.
So akastart out, na on his way akakutana na mse wa Ethiopia mwenye alifanywa sterile, dozi mmoja official wa kusimamiaga mundee yote ya dem aliitwa Candace, queen sonkwo wa ma ethiopians.

This man had gone to Jerusalem to worship,
Boi alikuwa ameishia Jerusa kusali,

28and on his way home was sitting in his chariot reading the book of Isaiah the prophet.
sa akirejea kejani alikuwa amebangaiza kwa chariot yake anakula mbuku ya Izzo the prophet.

29The Spirit told Philip, "Go to that chariot and stay near it."
Holy Spirit akashow Philo izhow, "Ishia kwa ile Chariot ukaage karibu nayo."

30Then Philip ran up to the chariot and heard the man reading Isaiah the prophet. "Do you understand what you are reading?" Philip asked.
Philo akakimbilia chariot akaskia jamaa amesoma writinsg za Izzo the prophet. "Unamesea ni nini inaendelea hapo unasoma?" Philo akamu ask.

31"How can I," he said, "unless someone explains it to me?" So he invited Philip to come up and sit with him.
"Nitamesea aje," akamwuliza, "unless mse aniexplainie?" So akainvite Philo apande chariot wapolee pamoja.

32The eunuch was reading this passage of Scripture: "He was led like a sheep to the slaughter,and as a lamb before the shearer is silent,so he did not open his mouth.
Sa towashi alikuwa akisoma ile place kwa bible inadai: "Alileadiwa ka a sheep imepelekwa kuchinjwa, na tu ka kakondoo huwaga kako kimya kakinyolewa, hakuopen mouth yake.

33In his humiliation he was deprived of justice.Who can speak of his descendants? For his life was taken from the earth."
Kwa izo mateso zote alinyimwa justice. Na sasa, nani anweza bonga ati ju ya watoi wake? Ju maisha yake ilisnatchiwa from the earth."

34The eunuch asked Philip, "Tell me, please, who is the prophet talking about, himself or someone else?"
Towashi akaulizia philo,niaje, "Ebu nishow please, ni nani mwenye the prophet anabonga juu yake, yeye ama mse mwingine?"

35Then Philip began with that very passage of Scripture and told him the good news about Jesus.
So Philo akabegin na tu hiyo place alisoma kwa bible, akamshow vile good news ya Jesus ilikuwa about.

36As they traveled along the road, they came to some water and the eunuch said, "Look, here is water. Why shouldn't I be baptized?"
Vile tu walizidi na safari kwa ile baro, wakashtukia wamefikia ka wode, hadi towashi akadai, haiya, "cheki wode. Mbona na mimi nisi baptiziwe?"

38And he gave orders to stop the chariot. Then both Philip and the eunuch went down into the water and Philip baptized him.
Akageiana ma orders chap chap chariot ikakanyagiwa. Both yeye na Philo wakadondoka wakaingia kwa wode na Philo akambaptize.

39When they came up out of the water, the Spirit of the Lord suddenly took Philip away, and the eunuch did not see him again, but went on his way rejoicing.
vile tu walichoka kwa maji hivi, the Spirit wa sir Godi akambeba Philo awayz suddenly, na towashi hakumcheki again, lakini akaishia zake amejazika sana.

40Philip, however, appeared at Azotus and traveled about, preaching the gospel in all the towns until he reached Caesarea.
Philo, naye akatokelelea Azotus na kuzidi na kutembea tembea, akipreach word ya wokovu kwa tao zote hadi vile alifika Caesarea.

No comments:

Post a Comment