Friday, September 3, 2010

Acts 7:1-12

Life na Action za MaJenerali Wa JC, Chapta ya Saba- Acts 7

1Then the high priest asked him, "Are these charges true?"
Kuhani kibuda akasaka jibu," Sasa, hizi ma words ziko true kweli?"

2To this he replied: "Brothers and fathers, listen to me! The God of glory appeared to our father Abraham while he was still in Mesopotamia, before he lived in Haran.
'Stevo akajibu, "Maboy na mambuyuz, niskizie! Sir Godi, muglorious sana, alitokezea mbuyu Abraham vile tu alikuwa akipoleaga Mesopotamia, kabla haja move keja hadi Haran.

3'Leave your country and your people,' God said, 'and go to the land I will show you.' Sir Godi akamshow,
'Sare country yako na wadhii wa yours, na uishie kupolea ile shakee nitakushow.'

4."So he left the land of the Chaldeans and settled in Haran. After the death of his father, God sent him to this land where you are now living.
Ikatokea ati Abraham akajikata from land wa waChaldeans na akabangaiziaga Haran. After kifo ya mbuyuz wake, Sir Godi akamsend hadi hii land mnaishigi sasa.

5. He gave him no inheritance here, not even a foot of ground. But God promised him that he and his descendants after him would possess the land, even though at that time Abraham had no child.
Hakumwachia any urithi ile place, hata sio futi moja ya grao. Lakini sir Godi alimpromise aje aje, angemgei yeye na tutoi tule after him kuchukua hiyo land, hata ingawa mbuyuz Abraham, watoi walikuwaga zero.

6.God spoke to him in this way: 'Your descendants will be strangers in a country not their own, and they will be enslaved and mistreated four hundred years.
Sir Godi alimbongesha na hii style: "Tutoi twako after wewe tutakuwaga [ka wasudi-] ma stranger kwa country si yao, na watatumika ka maslave wakimistreatiwa mia soo nne.

7.But I will punish the nation they serve as slaves,' God said, 'and afterward they will come out of that country and worship me in this place.'"
Lakini nita pano ile country watadoia forced labor ka ma slave,' Sir Godi akasay,' kisha ma laterz wata chuck out ya hiyo country na kunisaka in worship asapa, hii place.'"

8.Then he gave Abraham the covenant of circumcision. And Abraham became the father of Isaac and circumcised him eight days after his birth. Later Isaac became the father of Jacob, and Jacob became the father of the twelve patriarchs.
So Sir Godi akamwachia Abraham ile MOU ya kutaee. Na fadhe Abraham akafanyika kibuda wa Izzo na akamtaee siku nane after azaliwe. Mabahaadayes Izzo akaget father status, akaget mkidi Jacob, na Jacob akafanyika kibuda wa wazae twelve wa tribe za Israel.

9."Because the patriarchs were jealous of Joseph, they sold him as a slave into Egypt. But God was with him
Ju wazae walikuwa na mawivu kibao ju ya Josee, walimkinda ka slave Misri. Lakini Sir Godi alibaki kuwaga nayeye bumper.

10.and rescued him from all his troubles. He gave Joseph wisdom and enabled him to gain the goodwill of Pharaoh king of Egypt; so he made him ruler over Egypt and all his palace.
hadi akamwokolea toka kwa mashida na majamboz kibao. Tayari akamsukumia Josee wisdom[unacheki] na akamwezesha kusaka ile kibali, akalaikiwa na Pharaoh, sonkwo wa Egypt muzima; so akam make Jose akuwe ndio kusema Misri muzima hadi pamoja na kwa keja ya pharaoh.[aajabu kizee]

11."Then a famine struck all Egypt and Canaan, bringing great suffering, and our fathers could not find food.
"After hapo njaa meja ikahanda Egypt yote hadi Canaan, wasee wakabaki zile za mateso moss moss bila chuki, hadi wazae wetu hawangesaka dishi.

12.When Jacob heard that there was grain in Egypt, he sent our fathers on their first visit.
Vile Jacob aliget sms ati kulikuwa na ma mahindi na ma ngano misri,[ hakungojea kizee,] alitumania wazae waishia ziara ya fao.

No comments:

Post a Comment