Friday, September 3, 2010

Acts 7:30-46

Life na Action za MaJenerali Wa JC, Chapta ya Saba- Acts 7

30."After forty years had passed, an angel appeared to Moses in the flames of a burning bush in the desert near Mount Sinai.
After miaka forty kujikata tu hivi, angel akamtokelelea Mosee kwa nare za a burning bush ndani ya desert karibu na Mount Sinai.

31.When he saw this, he was amazed at the sight. As he went over to look more closely, he heard the Lord's voice:
Kucheki ivo, boi akashangaa niaje. So vile aliishia karibu njo acheki ile poa sasa, akaskizia sauti ya Sir Godi.

32.'I am the God of your fathers, the God of Abraham, Isaac and Jacob.' " Moses trembled with fear and did not dare to look.
Baas! "Sa mimi njo ule Sir Godi wa wahenga wenu, wa akina Abraham, na Izzo na Jacob.' "Mosee akabaki zile za kugwaya yake yote, hata hakudare kuchungulia.

33."Then the Lord said to him, 'Take off your sandals; the place where you are standing is holy ground.
Kisha Sir Godi akamshow, "Ebu n'goa sandalee, juu hii place yenye umestand ni grao holy.

34.I have indeed seen the oppression of my people in Egypt. I have heard their groaning and have come down to set them free. Now come, I will send you back to Egypt.' "
Nimesorora ile ya kabisa, live, wasee wangu wakihandwa Egypt. Nimeskizia kilio chao, so, nimeshuka down kuwagei uhuru. So ebu kam, bila kusleki, wacha nikutumanishe Egypt.' "

35"This is the same Moses whom they had rejected with the words, 'Who made you ruler and judge?' He was sent to be their ruler and deliverer by God himself, through the angel who appeared to him in the bush.
'Mesea ati huyu ni the same mosee tu mwenye walikataa wakisema aje, 'Nani alikufanya dozi juu yetu ati ukuwage Judge? Ye njo alisendiwa kuwa sa dozi sasa na deliverer wao na Sir Godi Mwenyewe, kupitia yule angel mwenye alimtokezeaga kwa kibush.

36.He led them out of Egypt and did wonders and miraculous signs in Egypt, at the Red Sea and for forty years in the desert.
Boi aliwa lead from vile wangetoka Egypt na akiendelea kufanya majamboz aajabu, ma miracles Egypt, pale tu red sea na for forty years kwa desert.

37."This is that Moses who told the Israelites, 'God will send you a prophet like me from your own people.' "
Huyu njo Mosee the same mwenye alishow israelites, 'Gods atawasendia prophet ka mimi toke from wasee wenu.'"

38.He was in the assembly in the desert, with the angel who spoke to him on Mount Sinai, and with our fathers; and he received living words to pass on to us.
Alikuwa kwa ile meeting ya na hapo ndani ya desert, tugezza na yule angel mwenye alispeak juu ya mount , na pia na wazae wetu, akapokea maneno ya life ya kutugei.

39."But our fathers refused to obey him. Instead, they rejected him and in their hearts turned back to Egypt.
"Lakini wahenga nao, wasee kichwa ngumu, walisare kum obey. Badala yake, wakamtema, hearts zao zikatamani kurudi Egypt.

40.They told Aaron, 'Make us gods who will go before us. As for this fellow Moses who led us out of Egypt—we don't know what has happened to him!' "
Wakachorea Aaron mpango ati niaje, 'Tuunganishie mpango ya tu sir godi twenye tutaishia mbele yetu. Ju huyu jamaa, ati Mosee, mwenye alituchonoa Egypt- Haiya, hata hatumesei kumeendaje na yeye!' "

41.That was the time they made an idol in the form of a calf. They brought sacrifices to it and held a celebration in honor of what their hands had made.
Sa hizo njo matime wakamake ka sir godi kana fanana calf. Wakailetea ma sacrifice aajabu. Mara iyo iyo paree ikazuka kurespect chenye bidii yao ilikuwa imemake.

42.But God turned away and gave them over to the worship of the heavenly bodies. This agrees with what is written in the book of the prophets:" 'Did you bring me sacrifices and offerings forty years in the desert, O house of Israel?
Lakini sir Godi akaboeka akawasare, akawaachilia waanze kupray kwa vitu kama ma moon na mastars. Hii, by the way, inakubaliana na stori imechorwa kwa mbuku ya ma prophets: " 'Kwani mlini bringia sadaka na mapresent miaka fortee kwa jungle, keja ya wasee wa Israel?

43.You have lifted up the shrine of Molech and the star of your god Rephan, the idols you made to worship.Therefore I will send you into exile beyond Babylon.
Msha simamisha kibanda ya kuomba kwa ka sir godi kanaitwa molech na kengine ni start ya ka sir godi kanaitwa rephan, tu sir godi tu idols mume tengeneza ku pray kwao. So juu ya hiyo stori nitawasukuma exile hadi babylon.

44"Our forefathers had the tabernacle of the Testimony with them in the desert. It had been made as God directed Moses, according to the pattern he had seen.
Mambuyuz wetu walikuwa na ile hema yenye ilikuwaga evidence ya presence ya sir Godi nao kwa desert. Ilikuwa ime make-iwa custom made for Sir Godi , vile tu Mosee alishoiwa.

45Having received the tabernacle, our fathers under Joshua brought it with them when they took the land from the nations God drove out before them. It remained in the land until the time of David,
Wakiwa wamepokea hema ya kukutana, wazae wetu wakileadiwa na Joshuu wakaibgingisha nao vile walinyakua shakee from zile country sir Godi alitoanisha mbio mbele yao. Ikabaki kwa ile land hadi madays za Davie,

46who enjoyed God's favor and asked that he might provide a dwelling place for the God of Jacob."
Alijienjoy favor ya Sir Godi hadi akauliza niaje, ka angepewa chance amuundie sir Godi mungu wa jacob angalau ka maskan.

No comments:

Post a Comment