Friday, September 3, 2010

Acts 7:13-29

Life na Action za MaJenerali Wa JC, Chapta ya Saba- Acts 7

13.On their second visit, Joseph told his brothers who he was, and Pharaoh learned about Joseph's family.

Of course kwa ziara ya mbe, Josee aliwashow mabruzza wake his real self, na Pharaoh akajifunza stori ya famo ya man Josee.

14.After this, Joseph sent for his father Jacob and his whole family, seventy-five in all.

After hapo, Josee alitumanisha mzae wake Jacob aletwe na hadi famo yake nzima, wasee Sevente faee wote.

15.Then Jacob went down to Egypt, where he and our fathers died.

Halo njo Jacob akaishia down hadi Egypt, place ye na wahenga walidie.

16.Their bodies were brought back to Shechem and placed in the tomb that Abraham had bought from the sons of Hamor at Shechem for a certain sum of money.

Maiti zao tu njo zilirudishwa hadi Shechem na kuwekwa ndani ya grave yenye buzzenga Abraham alikuwa ameboti from mavijanaa wa Hamor pale tu Shechem, wakamkanja mundee fulani.

17."As the time drew near for God to fulfill his promise to Abraham, the number of our people in Egypt greatly increased.

Sa ikawa isVipi! Maidhaa zimeshafika za Sir Godi Ku come through na promise yake kwa Abraham, hesabu ya wadhii wetu Egypt ilikuwa juu kinyama.

18.Then another king, who knew nothing about Joseph, became ruler of Egypt.

Sonkwo fulani {politician sana} mwenye hakumesea any ju ya Man Josee akarauka kutawala Egypt.

19.He dealt treacherously with our people and oppressed our forefathers by forcing them to throw out their newborn babies so that they would die.

Akadeal kimangoto vi excess na mamtu wetu na akawa oppress wahenga by kuwa force watupe watoi wao, wenye walikuwa wamezaliwa tu ati njo wadedi.

20."At that time Moses was born, and he was no ordinary child."For three months he was cared for in his father's house.

"Mara iyo iyo Mosee akaboniwa, na ye hakuwa katoi ordinaree." Miezi tatu, walim take care kwa hao ya fadhe wake.

21.When he was placed outside, Pharaoh's daughter took him and brought him up as her own son.

Vile aliwekwa nje, dotee wa Sonkwo wa hiyo day, pharaoh akamkwachu na kulea ka mtoi wake personal.

22.Moses was educated in all the wisdom of the Egyptians and was powerful in speech and action.

Mose akaishia chuo za ki barbie za them days, akashoiwa kismat yote ya ma Egyptians.Ikabidi lugha yake ni mambo yote, na pia ma action zikakuwa juu.

23."When Moses was forty years old, he decided to visit his fellow Israelites.

"Vile Mose alidunga forty, alidecide tu siku moja kuvisit wasee wake ma Israelites.

24.He saw one of them being mistreated by an Egyptian, so he went to his defense and avenged him by killing the Egyptian.

Akacheki mmoja wao amehandwa na Mu egyptian mbaya, so ya akaishia kumwokolea na katika ile hali akamlipishia kwa kumada mu egyptian.

25. Moses thought that his own people would realize that God was using him to rescue them, but they did not.

Mose alikuwa anaunganisha ati mamtus wake wangemesea that Sir Godi alikuwa anam use kuwaokolea, lakini hawakunyita.

26.The next day Moses came upon two Israelites who were fighting. He tried to reconcile them by saying, 'Men, you are brothers; why do you want to hurt each other?'

Siku next Mose akapatana na ma israelite mbe wikifungulia war. Akatry kubring peace talks akiwashow, 'Maboy, nyi mi ma bro, niaje mmeamua kuumizana.?'

27."But the man who was mistreating the other pushed Moses aside and said, 'Who made you ruler and judge over us?

Lakini yule first bondi kati yao akapush Mosee kando akimshow,' Tangu lini. Nani alikumake dozi ju yetu ati ukuwe njo judge?

28.Do you want to kill me as you killed the Egyptian yesterday?'"

Ama umeplani kunimada ka yule mse wa jana wa egypt?"

29.When Moses heard this, he fled to Midian, where he settled as a foreigner and had two sons.

Mosee kuskia ivo, akajikata spidi hadi Midian, place alitulia ka refugee na kwa ile hali akaget watoi maboi mtu mbili.



No comments:

Post a Comment