Saturday, October 23, 2010

Acts 9:31-43

Action za MaJenerali wa JC Episode ya Kenda- Acts 9


31Then the church throughout Judea, Galilee and Samaria enjoyed a time of peace. It was strengthened; and encouraged by the Holy Spirit, it grew in numbers, living in the fear of the Lord.
Church yote places zote Judea, Galilee na Samaria walienjoy time ya amani. Ikaongezewa strength na encouragement by Holy Spirit, ikagrow namba ya mamemba, wakiishi kwa  fear na kurespect Sir Godi.


32As Peter traveled about the country, he went to visit the saints in Lydda. 
Vile Peter ali safiri hapa na pale kwa nchi, aliishia kuvisit wadhii saints huko Lydda.


33There he found a man named Aeneas, a paralytic who had been bedridden for eight years.
Hapo akaget jamaa aliitwa Aeneas, mse paralytic na alikuwaga amelazwa bed miaka nane.


34"Aeneas," Peter said to him, "Jesus Christ heals you. Get up and take care of your mat." Immediately Aeneas got up.
Peter akamshow,"Aeneas, Jesus Christ anakuheal. Rauka ushughulikie mat yako." Mara hio hio Aeneas akarauka.


35All those who lived in Lydda and Sharon saw him and turned to the Lord.
Wananchi wa Lydda na Sharon walimcheki hivi, wakaamua ni idhaa ya kuokoka na kumesea sir Godi.


36In Joppa there was a disciple named Tabitha (which, then translated, is Dorcas[b]), who was always doing good and helping the poor.
Pale Joppa kulikuwa na disciple fulani kwa jina Tabitha(Ukiitranslate, ni Dorcas), alikuwaga on the daily ana do stuff poa na akihelp wasee msoto.


37About that time she became sick and died, and her body was washed and placed in an upstairs room.
Saa iyo tu maidhaa idhaa akakuwa msick hadi akakick, body yake ikaoshwa halafu ika placeiwa kwa room fulani upstairs.


38Lydda was near Joppa; so when the disciples heard that Peter was in Lydda, they sent two men to him and urged him, "Please come at once!"
Lydda ilikuwa tu place karibu na Jopa; kwa hivo vile ma disciple waliskia ati Pitaa ako Lydda, wakamtumania teke, maboy wawili kumwuliza, "Please, ebu tokezea mara hio hio!"


 39Peter went with them, and when he arrived he was taken upstairs to the room. All the widows stood around him, crying and showing him the robes and other clothing that Dorcas had made while she was still with them.
Pitaa akachomoka nao, na vile alidondoka pale, alipelekwa upstairs kwa ile room. Widows wote walimzunguka tu na ma ngwee, wakinshow zile gowns na makladi that Dorcas alikuwa amewasukia vile alikuwa bado alive nao.


 40Peter sent them all out of the room; then he got down on his knees and prayed. Turning toward the dead woman, he said, "Tabitha, get up." She opened her eyes, and seeing Peter she sat up.
Pitaa akawafukuza kwa room, akashuka kwa magoti akapray. Akapinduka kucheki yule mathe maiti, akasema, "Tabitha, ebu rauka." Dada akafungua macho aisee! akacheki Pitaa aka sit up.


41He took her by the hand and helped her to her feet. Then he called the believers and the widows and presented her to them alive.
Akamchukua na mkono akamhelp kustand kwa miguu yake. Kisha akaita ma belivers na wajane akampresent kwao akiwa alive.


42This became known all over Joppa, and many people believed in the Lord.
Story ikasambazwa Joppa yothes kupitia duru za kuaminika mse wangu, hadi wasee umati wakaaminia sir Godi.


43Peter stayed in Joppa for some time with a tanner named Simon.
Pitaa akatuliaga Joppa for some time kwa mchuna ngozi fulani stadi alimeseka ka Simo.

No comments:

Post a Comment