Saturday, October 23, 2010

Acts 9:16-30

Action za MaJenerali wa JC Episode ya Kenda- Acts 9


16I will show him how much he must suffer for my name."
Nitamshow vile ile level lazima a go through suffering ju ya jina yangu."


17Then Ananias went to the house and entered it. Placing his hands on Saul, he said, "Brother Saul, the Lord—Jesus, who appeared to you on the road as you were coming here—has sent me so that you may see again and be filled with the Holy Spirit."
BAsi ikabidi. Ananias akago hadi kwa hao yenye alishoiwa akajidunga bez. Akawekelea mikono zake juu ya Saulo, akamshow niaje, "Ndugu Saul, Bwana -Yesu Kristo, mwenye alikutokezeaga vile ulikuwa ukicome hivi hapa- asha nisend kwako that uweze kucheki tena na ufilliwe na Holy Spirit."


18Immediately, something like scales fell from Saul's eyes, and he could see again. He got up and was baptized, 
Mara hio hio, masomething ka scales zikadunda from macho za Saul, na akaanza kucheki tena. Akarauka akabaptiziwa,


19and after taking some food, he regained his strength.Saul spent several days with the disciples in Damascus.
Baada ya mango, akaget nguvu zake tena. So Saulo akaspend masiku kadhaa na majenerali wa JC pale Damascus.


20At once he began to preach in the synagogues that Jesus is the Son of God.
Mara moja akabegin ku unleash neno kwa synagogue vile that JC njo the Son wa sir Godi.


21All those who heard him were astonished and asked, "Isn't he the man who raised havoc in Jerusalem among those who call on this name? And hasn't he come here to take them as prisoners to the chief priests?"
Wadhii wote wenye walimskia walikuwa in shock hadi wakauliza, "si huyu njo dude alibring mayhem huko Jerusaa kati ya wadhii wenye wali call on the name? Na Bado. Si alikam hapa kushika wengine ka ma prisoners wa ma high priest?"


22Yet Saul grew more and more powerful and baffled the Jews living in Damascus by proving that Jesus is the Christ.
Anyway, Saulo alizidi, hadi akagrow more powerful na kushangaza wayahudi walikuwa wakipoleaga Damascus kwa kuwa provia that enyewe JC njo the Christ.


23After many days had gone by, the Jews conspired to kill him,
 Baada ya madays mingi kupita, wayahudi wakaplot kum assasinate,


24but Saul learned of their plan. Day and night they kept close watch on the city gates in order to kill him.
Lakini Saul akamesea plot yao. Usiku na mchana walimsurvey gate za jiji njo wapate kum murder.


25But his followers took him by night and lowered him in a basket through an opening in the wall.
Lakini mafans wakamsafirisha usiku wakamshusha ki clandestine ndani ya kikapu kupitia kampenyo kwa wall.


26When he came to Jerusalem, he tried to join the disciples, but they were all afraid of him, not believing that he really was a disciple.
Vile ali arrive Jerusa, alitry kujoin ma disciple wengine kikaumana, walikuwa bado wamegwaya juu yake na historia yake, hawangeamini ati saa alikuwa disciple cha ukwela.


27But Barnabas took him and brought him to the apostles. He told them how Saul on his journey had seen the Lord and that the Lord had spoken to him, and how in Damascus he had preached fearlessly in the name of Jesus.
Lakini Barnabas akamchukua akampeleka hadi kwa wale mapapa wa church. Akawashow life story ya Saul, vile kwa msafara kuishia Damascusalikuwa amecheki Bwana Yesu na hadi vile Jesus alimbongesha, alafu vile akiwa Damascus alikuwa amedunga injili na mioto bila fear in the name of Jesus.


28So Saul stayed with them and moved about freely in Jerusalem, speaking boldly in the name of the Lord.
So Saulo akapoleaga nao wakiishia maziara bila stress Jerusa wakipreach ki harden  kwa ile jina ya Jesus.


29He talked and debated with the Grecian Jews, but they tried to kill him.
Alibonga na kuletana kwa debate na wayahudi wa origin ya greece, lakini majamaa wakatry kum mada.


30When the brothers learned of this, they took him down to Caesarea and sent him off to Tarsus.
Vile ma bruzza walimesea iyo plot, walimkwachu na kumpeleka hadi Caesarea hadi wakamtuma off majuu hadi Tarsus.

No comments:

Post a Comment