Saturday, October 23, 2010

Acts 9:1-15

Action za MaJenerali wa JC Episode ya Kenda- Acts 9


 1Meanwhile, Saul was still breathing out murderous threats against the Lord's disciples. He went to the high priest
So niaje aje, Paulo alikuwa bado akispit vitisho za kumada ma disciple. Akaishia kwa kuhani mumeja


2and asked him for letters to the synagogues in Damascus, so that if he found any there who belonged to the Way, whether men or women, he might take them as prisoners to Jerusalem.
Akamshow niasaje, amgei ma letter kwa zile synagogue za majuu, huko Damascus, njo ibidi, akisaka mse any alibelong kwa wokovu, either manzi au boi, ikuwe ni jela hadi Jerusa.


 3As he neared Damascus on his journey, suddenly a light from heaven flashed around him.
Akikaribia kwa safari, akiona Damascus na far,pap! ki light kikatokea huratiti ikaflash imemsurround.


4He fell to the ground and heard a voice say to him, "Saul, Saul, why do you persecute me?"
Akadunda kwa grao na kuskia sound ya voice ikimshow, "saul, Saul, niaje unanihanda na persecution?'


 5"Who are you, Lord?" Saul asked.   "I am Jesus, whom you are persecuting," he replied.
Saul akaulizia, "Boss, we ni nani?" "Mi ni Jesus, mwenye una persecute."


6"Now get up and go into the city, and you will be told what you must do."
"Sa ebu rauka ufike tao, utashoiwa niaje uta do."


 7The men traveling with Saul stood there speechless; they heard the sound but did not see anyone.
Majamaa walikuwa msafara wakabaki speechless; wanaskia tu masauti tu, lakini hawacheki ni nani.


8Saul got up from the ground, but when he opened his eyes he could see nothing. So they led him by the hand into Damascus.
Saul akastand up toka kwa grao, lakini venye alifungua macho akaget kumezimwa taa, hacheki any. So wakampeleka hand in hand hadi Damascus.


9For three days he was blind, and did not eat or drink anything.
Siku tatu zimefuatana, jamaa alikuwa mblind, hadi hangemanga ama kudrink anything.


10In Damascus there was a disciple named Ananias. The Lord called to him in a vision, "Ananias!"   "Yes, Lord," he answered.
Akikuaga Damascua kulikuwa na disciple nifla alimeseka ka Ananias. Sir Godi akamwita niaje, kwa vision, 'Ananias!' akaitika, "Sema Bwana".


 11The Lord told him, "Go to the house of Judas on Straight Street and ask for a man from Tarsus named Saul, for he is praying.
Sir Godi akamshow, Ishia hadi kwa mbanyu ya Judee huko Straight Street uulizie boy fulani toka majuu Tarsus anameseka ka Saulo, je ako juu ya maombi.


12In a vision he has seen a man named Ananias come and place his hands on him to restore his sight."
Ndani ya vision ameshoiwa msee anaitwa Ananias akicome kuwekelea mikono juu yake njo aanze kuona tena."


13"Lord," Ananias answered, "I have heard many reports about this man and all the harm he has done to your saints in Jerusalem.
"Boss," Ananias akaanza kuteta, "Nishaget ma reports za huyo mse, na vile amewa doiya ma saints wako damage huko Jerusaa.


14And he has come here with authority from the chief priests to arrest all who call on your name."
Na ati amekam hapa na warrant toka kwa bez ya makuhani ku arrest wadhi wote wenye wanaku worship wakicall on jina yako.


15But the Lord said to Ananias, "Go! This man is my chosen instrument to carry my name before the Gentiles and their kings and before the people of Israel.
Lakini Sir Godi akainsistia Ananaina, "Ebu enda! Huyu ni mse wangu chosen kabisa, ka tool ya ku carry name yangu mbele ya ma gentiles na masonkwo wao na hadi mbele wa ma ordinaree wa Israel.

1 comment: