Wednesday, November 11, 2009

Acts 2

Chapta mbe ya Ma action za ma soja wa Jeneralli JC - Acts 2

1.When the day of Pentecost came, they were all together in one place.

Vile day ya pentecost ilikam, walikuwa wote pamoja place moja.


2.Suddenly a sound like the blowing of a violent wind came from heaven and filled the whole house where they were sitting.
Vi sudden sauti kama upepo strong ajabu ikakam toka heaven na kujaza hao mzima place walikuwa wamebangaiza.


3.They saw what seemed to be tongues of fire that separated and came to rest on each of them.

Wakacheki chenye kilikuwa kama ulimi za moto zikiachana na kukam kutulia ju ya kila mmoja wao.


4.All of them were filled with the Holy Spirit and began to speak in other tongues as the Spirit enabled them.

Wote wakajazwa na holy spirit na wakaanza kubonga na lugha zingine mbichi vile holy spirit
aliwawezesha.


5.Now there were staying in Jerusalem God-fearing Jews from every nation under heaven.

Sa walikuwa awakipoleaga ndani ya jerusa wasee fulani God fearing toka kila nchi chini ya heaven.


6.When they heard this sound, a crowd came together in bewilderment, because each one heard them speaking in his own language.

Vile waliskia hii sound, rende moja ikakam pamoja ikiwa imeshangaa,ju kila mmoja wao aliskia wale wafuasi wa JC wakibonga language yao ya home.

7.Utterly amazed, they asked: "Are not all these men who are speaking Galileans?

Wakiwa wameshangazwa vimeja wakauliza: "Si hawa wadhii wote wanabonga wanatokezea Galilee?


8.Then how is it that each of us hears them in his own native language?

Basi itakuwaje ati kila mmoja wetu anawaskia na mothertongue yake?


9.Parthians, Medes and Elamites; residents of Mesopotamia, Judea and Cappadocia, Pontus and Asia,
Ma Parthians,ma Medes ma Elamites;wase wanaishi Mesopotamia, Judea na Cappadocia, Pontus na Asia,


10.Phrygia and Pamphylia, Egypt and the parts of Libya near Cyrene; visitors from Rome

Hadi Phrygia na Pamphylia, Egypt na hadi places zingine huko ma Libya karibu na Cyrene; hata wdhii toka Rome


11.(both Jews and converts to Judaism); Cretans and Arabs-we hear them declaring the wonders of God in our own tongues!"

(Wote ma Jew na wase wameconvert hadi Judaism); Wase waCrete na waarabu - tunawaskia wakibonga zile wonders za sir Godi na mother tongue yetu!"


12.Amazed and perplexed, they asked one another, "What does this mean?"

Wakiwa wamejazzika na pia wameshangaa, wakaulizana niaje, "Hii inamaanisha what?"


13.Some, however, made fun of them and said, "They have had too much wine."

Wengine, lakini, wakawachongoa wakidai, "Hawa wadhii wamekunywa kamnyweso mob."


14.Then Peter stood up with the Eleven, raised his voice and addressed the crowd: "Fellow Jews and all of you who live in Jerusalem, let me explain this to you; listen carefully to what I say.

Kisha Peter akastand up na wale eleven, akaraise voice yake na kushow crowd niaje: "Ma jews wenzangu na wasee wote wanapoleaga Jerusa, wacha niwashow explanation ya hii situation; skizeni vi careful chenye nawashow.


15.These men are not drunk, as you suppose. It's only nine in the morning!

Hawa wasee sio drunk,ka mnavyodhani. Si ni saa tatu tu morning!


16.No, this is what was spoken by the prophet Joel:

Zi, Hi ni ile story ilibongeshwa juu yake na higher man Joel:


17." 'In the last days, God says, I will pour out my Spirit on all people. Your sons and daughters will prophesy, your young men will see visions, your old men will dream dreams.

" ' Siku za mwisho, sir Godi anadai aje, Nitapour outSpirit yangu juu ya wadhii wote. Ma sons wenu na ma daughters wenu wataprophesy, majamaa wenu wa young watacheki visions, wazae wenu wata dream dreams.


18.Even on my servants, both men and women,I will pour out my Spirit in those days,and they will prophesy.

Hadi juu ya ma servants wangu, wote majamaa na madem, nitapour out spirit yangu hizo ma days, na wataprophesy.


19.I will show wonders in the heaven above and signs on the earth below, blood and fire and billows of smoke.

Nitawashow ma wonders juu kwa heaven na ishara chini kwa earth, blood na nare na moshi heavy.


20.The sun will be turned to darkness and the moon to blood before the coming of the great and glorious day of the Lord.
jua itabadilishwa kuwa giza na mwezi itabadilishwa kuwa blood kabla ya kufika kwa ile siku bwaku na glorious ya sir Godi.


21.And everyone who calls on the name of the Lord will be saved.'

Na kila mse atacall on the name of the lord atasevika.'


22."Men of Israel, listen to this: Jesus of Nazareth was a man accredited by God to you by miracles, wonders and signs, which God did among you through him, as you yourselves know.

"Majamaa wa Israle, skizeni hapa ivi: Jesus wa Nazareth alikuwa mse amepewa marks na sir Godi kwenu kupitia ma miracles, ma wonders na ishara, zenye God ali do kati yenu, vile nyi wenyewe mnamesea.


23.This man was handed over to you by God's set purpose and foreknowledge; and you, with the help of wicked men,put him to death by nailing him to the cross.

Huyu mse alipeanwa overkwenu kupitia njaro na mpango za mapema za sir Godi njo plan yake i stand; na nyinyi, kupitia msaada ya wasee wicked, mkam mada kwa kumpigilia ma nails kwa cross.

24.But God raised him from the dead, freeing him from the agony of death, because it was impossible for death to keep its hold on him.
Lakini sir Godi aka mraise up toka the dead, akamfree toka the agony of death, ju ilikuwa impossible for death kubaki imemshikilia.


25.David said about him: " 'I saw the Lord always before me. Because he is at my right hand,I will not be shaken.
Davie alisema kumhusu: " 'Nilicheki thelord kila saa mbele yangu. Ju ye ako at mkono yangu ya right, sitajawahi shakeiwa.


26.Therefore my heart is glad and my tongue rejoices; my body also will live in hope,

Kwa hivo heart yangu iko glad na ulimi yangu inawika mawimbo; mwili wangu pia itaishi na hope,


27.because you will not abandon me to the grave,nor will you let your Holy One see decay.

ju hautani abandon kwa grave, wala hautakubalia mse wako mholy acheki decay.


28.You have made known to me the paths of life; you will fill me with joy in your presence.'

Umefanya nimesee njia za life; utanijaza na furaha kwa presence yako.'


29."Brothers, I can tell you confidently that the patriarch David died and was buried, and his tomb is here to this day.
"Ma bro,nawashow vi confidently kuwa yule mbuyuz mkuu Davie alidedi akazikwa, na kaburi yake iko hapo hadi today.

30.But he was a prophet and knew that God had promised him on oath that he would place one of his descendants on his throne.

Lakini alikuwa prophet na alimesea chenye sir Godi alikuwa ame promise kwa kiapo that ange wekelea mmoja wa wajukuu wake kwa throne yake.


31.Seeing what was ahead, he spoke of the resurrection of the Christ, that he was not abandoned to the grave, nor did his body see decay.
Akicheki chhenye kilikuwa mbele, alibonga ju ya resurrection ya christ, vile hakuwa abandoned kwa grave,wala vile body yake haingeoza.


32.God has raised this Jesus to life, and we are all witnesses of the fact.

Sir Godi amerausha huyu Jc tyo life, na si wote ni ma witnesse wa hizi fact.


33.Exalted to the right hand of God, he has received from the Father the promised Holy Spirit and has poured out what you now see and hear.
Ameinuliwa hadi mkono wa right wa sir Godi, asha receive toka kwa the father ile holy spirit ili promisiwa na asha pour out chenye sa mnacheki na kuskia.


34.For David did not ascend to heaven, and yet he said," 'The Lord said to my Lord: "Sit at my right hand
Ju Davie hakupanda juu hadi heaven, na bado alisema," 'The lordalisema tomy lord: "polea at my right hand

35.until I make your enemies a footstool for your feet." '

hadi vile nita make ma haters wako wakuwe stool ya kukanyagia ya miguu zako." '


36."Therefore let all Israel be assured of this: God has made this Jesus, whom you crucified, both Lord and Christ."
"Kwa hivyo wacha Israel yote ikuwe sure juu ya hii: sir Godi asha make Jesus,mwenye mlicrucify, akuwe both bwana mdosi na kristo."


37.When the people heard this, they were cut to the heart and said to Peter and the other apostles, "Brothers, what shall we do?"
Vile wadhiiwaliskia hii story,walifeel wamekatwa hadi kwa heart wakamshow Pitaa na wadhii wale wengine mitume, "Mabros, sa ninini tutado?"

38.Peter replied, "Repent and be baptized, every one of you, in the name of Jesus Christ for the forgiveness of your sins. And you will receive the gift of the Holy Spirit.

peter akawajibu niaje, "Repent na mubaptiziwe,kila mmoja wenu, kwa jina la Yesu Kristo njo mupate kusamehewa madhambi zenu. amtapokea ile gift ya holy spirit.


39.The promise is for you and your children and for all who are far off—for all whom the Lord our God will call."
Hii promise ni yenu na watoi wenu na wadhii wote wako karibu na far-ya wote wenye sirGodi mungu wetu atacall."


40.With many other words he warned them; and he pleaded with them, "Save yourselves from this corrupt generation."

Na maword zingine mob akawa warn; na akaplead nao, "Jiokoeni from hii generation corrupt."


41.Those who accepted his message were baptized, and about three thousand were added to their number that day.
Wale wote waliaccept message yake walibaptisiwa, na karibu wadhii three k wakaongezwa kwa number yao kama member iyo day.


42.They devoted themselves to the apostles' teaching and to the fellowship, to the breaking of bread and to prayer.
Wakajitolea kabisa kwa ma teachings za aposltes na kwa fello, kwa kuhave holy communion na kwa kupray.

43.Everyone was filled with awe, and many wonders and miraculous signs were done by the apostles.
Kila mse alibaki amejazika sana namshangao, na ma ishara zingine mob miraculous zili doiwa na ma apostles.


44.All the believers were together and had everything in common.

Ma believers wote walikuwa pamoja na walikuwaga na kila kitu pamoja.


45.Selling their possessions and goods, they gave to anyone as he had need.

Walikinda mali zao na vitu zenye walikuwa nazo, wakageiana kwa kila mse kulingana na vile alineed.


46.Every day they continued to meet together in the temple courts. They broke bread in their homes and ate together with glad and sincere hearts,
Kila day walizidi kukutana pamoja ndani ya verandah za temple.Walikula holy communion kwama hao zao pamoja wakiwa na heart honest na zimejazzika.


47.praising God and enjoying the favor of all the people. And the Lord added to their number daily those who were being saved.
wakipraise sir Godi na kuenjoy ile acceptance ya wadhii wote. Na bwanamdosi alizidi kuongeza kwa namba yao daily wale wadhii walikuwa wakisevika.

1 comment: