Friday, November 13, 2009

Acts 4

Ma-action na ma vitendo za masoja wa Jenerali JC, Flow ya nne- Acts 4

1.The priests and the captain of the temple guard and the Sadducees came up to Peter and John while they were speaking to the people.
Ma priest na hadi capi wa mabanga wa temple na ma sadducees wakakam up kwa Pitaa na Johnie vile walikuwa wakibonga na wasee.

2.They were greatly disturbed because the apostles were teaching the people and proclaiming in Jesus the resurrection of the dead.
Walikuwa wameumwa sana ati ma apostles wanabonga wakifunza wadhii na kudai kwa jina la Yesu ati kuna kurauka kwa the dead.

3.They seized Peter and John, and because it was evening, they put them in jail until the next day.
So bila kuwaweka, walishika Pitaa na Johnie na ju ilikuwa ma evening, waliwatupa jail hadi day next.

4.But many who heard the message believed, and the number of men grew to about five thousand.
Lakini wadhii wengi wenye waliskia hiyo message walibelieve, na ile number ya wadhii ma member ikagrow hadi five k.

5.The next day the rulers, elders and teachers of the law met in Jerusalem.
Day ya next masonkwo wanarule, wazae na maodijo wa sheria wakakutana Jerusa.

6.Annas the high priest was there, and so were Caiaphas, John, Alexander and the other men of the high priest's family.
Annas yule high priest alikuwaga pale, pia Caiaphashakuhata, Johnie, Alexander na wadhii wengine majamaa wa famo ya the high priest.

7.They had Peter and John brought before them and began to question them: "By what power or what name did you do this?"
Wakahave Peter aletwe pamoja na Johnie mbele yao na wakaanza kuwadunga maswali: "Na powergani ama jina gani mna do ivi?"

8.Then Peter, filled with the Holy Spirit, said to them: "Rulers and elders of the people!
Kisha Peter, akiwa amejazwa na holyspirit, akadai kwao: "Ma rulers na wazaewa wadhii!

9.If we are being called to account today for an act of kindness shown to a cripple and are asked how he was healed,
Ka tuna calliwa tutoe report leo ati niaje tulioneshana kindness kwa jamaa cripple na tunaulizwa niaje vile ali healiwa,

10.then know this, you and all the people of Israel: It is by the name of Jesus Christ of Nazareth, whom you crucified but whom God raised from the dead, that this man stands before you healed.
kisha jueni ivi, nyi na wadhii wote wasee wa israel:ni kwa jina la Yesu Kristo yule jamaawa
Nazareth,mwenyemlicrucify lakini mwenye sir Godi aliraise from the dead,that huyu jamaa anastand mbele yenu akiwa healed.

11.He is " 'the stone you builders rejected, which has become the capstone.'
Yeye njo " ' ile jiwe, ma contractor wa ku build mbanyu mlichuja, yenye sasa chenki njo jiwe ya korna, yenye inapimanisha zingine.'

12.Salvation is found in no one else, for there is no other name under heaven given to men by which we must be saved."
Wokovu haipatikani kwa mse mwingine,ju hanaku jina ingine chini yaheaven yenye imepeanwa kwawadhii by which tu ni lazima wasave-ike.

13.When they saw the courage of Peter and John and realized that they were unschooled, ordinary men, they were astonished and they took note that these men had been with Jesus.
Vile walicheki the courage ya Peter na Johnie na wakamesea ati hawa wadhii walikuwa hawajafika shule kusoma, wananchi ordinaree, walishangazwa meja hadi ikabidi wametake note ati hawa wajamaa walikuwaga wame hangout na JC.

14.But since they could see the man who had been healed standing there with them, there was nothing they could say.
Lakini ju pia walikuwa wakicheki jamaa mwenye alipona amestand pale pale nao, hanaku tuki wangebonga.

15.So they ordered them to withdraw from the Sanhedrin and then conferred together.
So waka waamrisha wakitoe from hiyo meeting iliitwa sanhedrin, njo at least wazae wado ka consultation ki siri siri.

16."What are we going to do with these men?" they asked. "Everybody living in Jerusalem knows they have done an outstanding miracle, and we cannot deny it.
Wakaulizana niaje,"Tuta do what na hawa wadhii?Kila msee mwenye anapoleaga Jerusa ashamesea kuwa hawa ma chali wame do miracle ingine tu outsnadingtumbaya, hatuwezi kwara.

17.But to stop this thing from spreading any further among the people, we must warn these men to speak no longer to anyone in this name."
Lakini njo tusiwaweke na ku prevent hii something isi spread zaidi kati ya wadhii, lazima tuwapee onyo ingine kali wasibonge kwa mse any na hii name."

18.Then they called them in again and commanded them not to speak or teach at all in the name of Jesus.
So wakawa call ndani tena na kuwa command wasibonge na hiyo jina ama ku teach kabisa na the name ya Jesus.

19.But Peter and John replied, "Judge for yourselves whether it is right in God's sight to obey you rather than God.
Lakini Peter na Johnie wakashow kitu iko,"Kuweni ma judge nyi wenyewekama nipoa kwa macho ya sir Godi tukiwaobey kuliko sir Godi.

20.For we cannot help speaking about what we have seen and heard."
Ju si hatuwezi jizuia kubonga ju ya zile drama tumecheki na kuskia."

21.After further threats they let them go. They could not decide how to punish them, because all the people were praising God for what had happened.
Sa baada ya vitisho wakawaachilia ku go. Hawange decide vile ya kuwapunish,ju wadhii wote walikuwa wakipraise sir Godi ju ya chenye kilikuwa kimehappen.

22.For the man who was miraculously healed was over forty years old.
Ju yule boy mwenye aliponywa vi miraculously alikuwa over miaka forty.

23.On their release, Peter and John went back to their own people and reported all that the chief priests and elders had said to them.
Vile waliget release yao hivi, Peter na Johnie waliishia back kwa wadhii wao na kureport kila kitu chenye priest masonkwo na wazae walikuwa wamewashow.

24.When they heard this, they raised their voices together in prayer to God. "Sovereign Lord," they said, "you made the heaven and the earth and the sea, and everything in them.
Vile waliskia ivi, wakapaza sauti zao tugezza wakipray sir Godi.Wakasema niaje,"Mtukufu bwana, ume make heaven na earth na sea, na kila kitu in them.

25.You spoke by the Holy Spirit through the mouth of your servant, our father David: " 'Why do the nations rage and the peoples plot in vain?
Ulispeak na the holy spirit kupitia mdomo ya servant wako,mbuyuz wetu Davie:" 'Mbona ma nations zinaleta hasira na wadhii wanapanga mipango empty?

26.The kings of the earth take their stand and the rulers gather together against the Lord and against his Anointed One.'
Kings masonkwo wa the earth washa take stand zao na ma leaders washa gather tugezza against bwana mdosi na against yule annointed wake.'

27.Indeed Herod and Pontius Pilate met together with the Gentiles and the people of Israel in this city to conspire against your holy servant Jesus, whom you anointed.
Cha ukweli Hero na Pontius Pilate walimeet pamoja na ma nations zingine pamoja na wadhii wa Israel kwa hiijiji kuchora mradi against servant wakomholy, JC, mwenye uli annoint.

28.They did what your power and will had decided beforehand should happen.
Walido chenye power yako na will yako ilidecide kabla that i happen.

29.Now, Lord, consider their threats and enable your servants to speak your word with great boldness.
Sa bwana mdos, consider vitisho zao na u make ma servants wako wa speak word yako kimangoto.

30.Stretch out your hand to heal and perform miraculous signs and wonders through the name of your holy servant Jesus."
Stretch outmkono yako kuheal na ku perform ishara miraculous pamoja na ma wonders kupitia jina ya servant wako JC."

31.After they prayed, the place where they were meeting was shaken. And they were all filled with the Holy Spirit and spoke the word of God boldly.
Bahada yao kupray, place yenye walikuwa wakidunga meeting ika shakeiwa.Na wakajazwa wote na the holy spirit wakanego word ya sir Godi na boldness.

32.All the believers were one in heart and mind. No one claimed that any of his possessions was his own, but they shared everything they had.
Wote believers wenye walikuwa hapo walikuwa in one mind na heart moja. Hanakumse alileta kujua ati chochote chake kilikuwa chake pekee, lakini wote walishare kila kitu chenye walikuwa nacho.

33.With great power the apostles continued to testify to the resurrection of the Lord Jesus, and much grace was upon them all.
Sa na nguvu zingine meja ma apostles walizidi ku testify ju ya kuraushwa kwa bwanamdos Jc from the dead, na grace inginetumassoive ilikuwa juu yao wote.

34.There were no needy persons among them. For from time to time those who owned lands or houses sold them, brought the money from the sales
Hakukuwa na mse yeyote msoto kati yao. Ju kila time wale wadhii walikuwa na ma shakee ama makeja walizikinda,waka gazza munde ya toka kwa izo ma property

35.and put it at the apostles' feet, and it was distributed to anyone as he had need.
wakaziwekelea kwa miguu za ma apostles,na ikadistibutiwa kwa kila mse kulingana na vile alikuwa amesota.

36.Joseph, a Levite from Cyprus, whom the apostles called Barnabas (which means Son of Encouragement),
Jose, mse mmoja levite kutoka cyprus, mwenye ma apostle waliitaga Barnabas (yenye inamaanishaga jamaa wa kuencourage wasee),

37.sold a field he owned and brought the money and put it at the apostles' feet.
alisell shakee yake personal na akaleta iyo munde akaiwekeleakwa miguu ya ma apostles.

No comments:

Post a Comment