Thursday, November 12, 2009

Acts 3

Action zenye ziligo down za masoja wa Jeneralli JC, account ya tatu-Acts 3

1.One day Peter and John were going up to the temple at the time of prayer—at three in the afternoon.
Sa day moja, Peter na Johnie walikuwa wapipanda juu kwa temple ile matime ya maombi - masaa tisa ivi afte.

2.Now a man crippled from birth was being carried to the temple gate called Beautiful, where he was put every day to beg from those going into the temple courts.
Sa mse mmoja cripple toka kuzaliwa alikuwa akibebwa hadi kwa gate ya temple inaitwa beautiful, place alikuwa akiwekwa kila day ku omba omba toka kwa wale wadhi walikuwa wakiingia kwa temple.

3.When he saw Peter and John about to enter, he asked them for money.
Vile Peter na Johnie walikuwa karibu kuingia, akawauliza wamkanje munde kiasi.

4.Peter looked straight at him, as did John. Then Peter said, "Look at us!"
Peter akamcheki straight kama tu Johnie.Alafu Peter akadai, "Ebu tucheki!"

5.So the man gave them his attention, expecting to get something from them.
So jamaa akawagei attention yake yote,ju ali expect at least watatoboka kitu fulani.

6.Then Peter said, "Silver or gold I do not have, but what I have I give you. In the name of Jesus Christ of Nazareth, walk."
Kisha Peter akadai,"Masilver ama gold hatuna,lakini chenye niko nacho nakugei. Katika Jina la Jesus christ yule jamaa wa Nazareth, tembea."

7.Taking him by the right hand, he helped him up, and instantly the man's feet and ankles became strong.
Akimkwachu by the right hand, akamsaidia kurauka,na vi instant miguu za jamaa na ankles za jamaa zikapata nguvu.

8.He jumped to his feet and began to walk. Then he went with them into the temple courts, walking and jumping, and praising God.
Akajump kwa miguu zake na kuanza kutembea. Kisha vile aliishia nao kwa verandah za temple, akiwalk na kuruka tu na kupraise sir Godi.

9.When all the people saw him walking and praising God,
Vile wadhii wote walicheki akitembea na kupraise sir Godi,

10.they recognized him as the same man who used to sit begging at the temple gate called Beautiful, and they were filled with wonder and amazement at what had happened to him.
Wakamrecognize kama yule jamaa same tu mwenye alikuwa akipoleaga akibeg kwa mlango ya temple, hapo kwa gate iliitwaga Beautiful,na wakajazwa na kushangaa na kujazzika at chenye kilim-happenia.

11.While the beggar held on to Peter and John, all the people were astonished and came running to them in the place called Solomon's Colonnade.
Sa beggar akizidi kushikilia akina Pitaa na Johnie, wadhii wote walikuwa wameshangaa na walikam wakikimbia kwao iyo place iliitwaga porch ya Solomon.

12.When Peter saw this, he said to them: "Men of Israel, why does this surprise you? Why do you stare at us as if by our own power or godliness we had made this man walk?
Vile Pitaa alicheki hivi akawashow: "Wadhii wa-israel, mbona hii inawa surprise? Mbona mnastare at sisi ni ka kwa nguvu zetu ama ju si ni wase godly saana ati tume make huyu jamaa a walk?

13.The God of Abraham, Isaac and Jacob, the God of our fathers, has glorified his servant Jesus. You handed him over to be killed, and you disowned him before Pilate, though he had decided to let him go.
Yule God wa Abraham, Izzo na Jacob, buzzenga wa mambuyus wetu, amesha glorify servant wake JC. Mlimsare over amadwe, na mkamruka mbele ya Pilate, ingawa Pilate alikuwa ameshapanga kumwachilia a go.

14.You disowned the Holy and Righteous One and asked that a murderer be released to you.
Mlisha m-disown yule mse holy na mse righteous na kudai ati jamaa mwuwaji asareiwe kwenu.

15.You killed the author of life, but God raised him from the dead. We are witnesses of this.
Mlimada yule mwanzo wa life, lakini sir Godi alimraise toka from the dead. Si ni ma witness wa hii.

16.By faith in the name of Jesus, this man whom you see and know was made strong. It is Jesus' name and the faith that comes through him that has given this complete healing to him, as you can all see.
By faith katika jina la Yesu, this jamaa mwenye mnacheki na mwenye mnajua alimakeiwa mstrong. Ilikuwa katika jina la yesu na faith yenye inakam through yeye that aligeiwa healing complete kwake, ka vile nyi wote mnacheki.

17."Now, brothers, I know that you acted in ignorance, as did your leaders.
"sa mabro, namesea kuwa mli act kwa kuto jua, kama tu ma leaders wenu.

18.But this is how God fulfilled what he had foretold through all the prophets, saying that his Christ would suffer.
Lakini hivi tu njo sir Godi alifulfill chenye kilielezewa through ma prophets wote, akidai that
Kristo wake ange go through na kusuffer.

19.Repent, then, and turn to God, so that your sins may be wiped out, that times of refreshing may come from the Lord,
Repentini basi na m-turn kwa sir Godi, njo hata dhambi zenu zi wipe-iwe off, halafu hadi matimes za kucheki refreshing zitakam from sir Godi,

20.and that he may send the Christ, who has been appointed for you—even Jesus.
na that pia a send Christ, mwenye ali appointiwa ju yenu- yaani Jesus.

21.He must remain in heaven until the time comes for God to restore everything, as he promised long ago through his holy prophets.
Lazima tu abaki heaven hadi ile ma time inakam for sir Godi ku restorekila kitu, kama tuvile ali promise kitambo kupitia maprophets wake wa holy.

22.For Moses said, 'The Lord your God will raise up for you a prophet like me from among your own people; you must listen to everything he tells you.
Ju Mosee alidai aje, "Bwana mdosi sir Godi wenu atawa appointia prophet kama mimi toka kwa wasee wenu; na ni lazima mskize kila kitu chenye anawashow.

23.Anyone who does not listen to him will be completely cut off from among his people.'
Mse yeyote mwenye hawezi mskiza atachujwakabisa from among wadhii wake.'

24."Indeed, all the prophets from Samuel on, as many as have spoken, have foretold these days.
"Kabisa,wadhiiwote toka kwa Samuel kuelekea on, wengi kama vile tu wengi wamebonga, walisha foretell hizi siku.

25.And you are heirs of the prophets and of the covenant God made with your fathers. He said to Abraham, 'Through your offspring all peoples on earth will be blessed.'
Na nyi ni wasee wa ku inherit toka kwa ma prophets na tokakwa agreement yenye sir Godi alimake na mambuyuz wenu. Alisema to Abraham, 'Kupitia watoi wako wadhii wote earth watablessika.'

26.When God raised up his servant, he sent him first to you to bless you by turning each of you from your wicked ways."
Vile sir Godi aliinua up servant wake, alimsend kwanza kwenu kuwabless by kuwa turn kila mmoja wenu toka your wicked ways."

No comments:

Post a Comment