Wednesday, December 16, 2009

Acts 6

Action za masoja wa Jenerali JC, Chapta ya sita-Acts 6

1.In those days when the number of disciples was increasing, the Grecian Jews among them complained against the Hebraic Jews because their widows were being overlooked in the daily distribution of food.
Sa katika hizo madays, vile namba ya mamemba ilikuwa ikiongezeka, wayahudi wenye walitokezeaga Greece wakazusha sana ju ya wayahudi mahebrew- ati ju ma widows walikuwa wakilengwa katika ile projo ya kusambaziwa dishi daily.

2.So the Twelve gathered all the disciples together and said, "It would not be right for us to neglect the ministry of the word of God in order to wait on tables.
Ju ya hiyo food scandal, wale wadhii disciples twelve wote tugezza wakagazza wakisay niaje," Haiwezi kuwa right kwetu ati tulenge huduma ya word ya Sir Godi njo tuanze kukimbizana na order za dishi kwa matebo.

3.Brothers, choose seven men from among you who are known to be full of the Spirit and wisdom. We will turn this responsibility over to them
Mabruzza, chagueni mtu saba kati yenu wenye wanameseka kuwa wamejazwa na Roho na hekima. Tutapeana hii janta na responsibility yote kwao

4.and will give our attention to prayer and the ministry of the word."
na tutaweka attention yetu kwa maombi na huduma ya word."

5.This proposal pleased the whole group. They chose Stephen, a man full of faith and of the Holy Spirit; also Philip, Procorus, Nicanor, Timon, Parmenas, and Nicolas from Antioch, a convert to Judaism.
Hii proposal ilikuwa smarta, ikafurahisha wadhii wa group yote. Wakachagua Steve, mse amejaa imani vifiti na mwenye ako na Holy Spirit; pia Phillo, Procorus, Nicanor, Timon, Parmenas na Nico toka Antioch, mse aliconvert to Judaism.

6.They presented these men to the apostles, who prayed and laid their hands on them.
Wakapresent hawa wadhii kwa ma apostles, wakawaombea na kuwawekelea mikono.

7.So the word of God spread. The number of disciples in Jerusalem increased rapidly, and a large number of priests became obedient to the faith.
So word ya Sir Godi ikasambaa. Ile namba ya wafuasi Jerusa ikazidi kujaajaa chap chap, na rende bwaku ya mapriests wakakuwa obedient kwa the faith.

8.Now Stephen, a man full of God's grace and power, did great wonders and miraculous signs among the people.
Sa Stevo, mdhii alikuwa amejawa na grace na nguvu ya sir Godi vinomient, alikuwa aki do ma signs miraculous sana kati ya wadhii.

9.Opposition arose, however, from members of the Synagogue of the Freedmen (as it was called)—Jews of Cyrene and Alexandria as well as the provinces of Cilicia and Asia. These men began to argue with Stephen,
Lakini pia opposition ikatokea toka kwa mamemba wa synagogue ya wadhii free (Ka vile ilimeseka) - wayahudi wa Cyrene na Alexandria pia tena wadhii wa Cilicia na Asia. Hawa wasee walianza kuzua arguments na Stevo,

10.but they could not stand up against his wisdom or the Spirit by whom he spoke.
lakini hawengemake kutoboa wisdom yake ama yule Roho aliongelea kupitia.

11.Then they secretly persuaded some men to say, "We have heard Stephen speak words of blasphemy against Moses and against God."
Kisha wakaconvince wadhii in secret wakam waseme, "Tumeskia Stevo akibonga maneno za blasphemy against Mose na against Sir Godi."

12.So they stirred up the people and the elders and the teachers of the law. They seized Stephen and brought him before the Sanhedrin.
So wakazua wadhii na wazae na kuwachokora, pia pamoja na mamode wa law. Wakakwachu Stevo na kumleta mbele ya Sanhedrin.

13.They produced false witnesses, who testified, "This fellow never stops speaking against this holy place and against the law.
Wakaproduce mawitness wa uwongo wenye walitestify, "Huyu Chali hawachagi kubonga against Holy spirit na against sheria.


14.For we have heard him say that this Jesus of Nazareth will destroy this place and change the customs Moses handed down to us."
Ju tumesha skia akinego ati huyu Jesus wa Nazareth atadestroy hii place nakubadilisha customs za Mose zenye aligeana down kwetu."

15.All who were sitting in the Sanhedrin looked intently at Stephen, and they saw that his face was like the face of an angel.
Wote wenye walikuwa wakipolea kwa Sanhedrin wakacheki Stevo kwa makini, na wakacheki that face yake ilikuwa ka face ya Angel.

2 comments:

  1. Hey!
    I think this is very impressive. Nichoree email, mwistar at gmail dot com. Nataka tunego kiasi.

    ReplyDelete
  2. heheheh hapo hapo!!! ... Mwistar... tuna faa ku suna hii samo kwa www.sheng.co.ke ... au sio bro?

    ReplyDelete