Monday, June 29, 2009

Matthew 28

Mathayo Mbao na Kujazilia nane -Matthew 28

1.After the Sabbath, at dawn on the first day of the week, Mary Magdalene and the other Mary went to look at the tomb.
Baada ya sabbath, kimangware, siku ya fao ya the week. Mary Magdalene na yule mary mwingine wakaishia kucheck check hiyo grave.

2.There was a violent earthquake, for an angel of the Lord came down from heaven and, going to the tomb, rolled back the stone and sat on it.
Kulikuwa na kishindo kikubwa, alafu malaika wa sir Godi akshuka down kutoka heaven na akiishia kwa grave, akaroll away hiyo mlango ya stone akabangaiza juu akiwa ameikalia.

3.His appearance was like lightning, and his clothes were white as snow.
Alilook kaa lighting, na lebo zake zilikuwa white viajabu kama snow ama ice.

4.The guards were so afraid of him that they shook and became like dead men.
Kwanza jua hapo masonyi wakakuwa kama wasee wamededi ju ya vile waligwaya na kushake.

5.The angel said to the women, "Do not be afraid, for I know that you are looking for Jesus, who was crucified.
Huyo angel akashow wale washii,"Msigwaye, Najua mnasaka Jesus, mwenye alikuwa crucified.

6.He is not here; he has risen, just as he said. Come and see the place where he lay.
Lakini hayuko hapa; aishafufuka, infact vile tu alisema.Kamuni mcheki place alikuwa amewekwa alale.

7.Then go quickly and tell his disciples: 'He has risen from the dead and is going ahead of you into Galilee. There you will see him.' Now I have told you."
Sa ishieni na maspeedi mshow maboiz wake wale disciples:'ahafufuka from the dead na ameenda ahead yenu into galilaya.Huko mtamcheki. Haya sasa nimewashow.

8.So the women hurried away from the tomb, afraid yet filled with joy, and ran to tell his disciples.
Ju ya hiyo stori,mamanzi wakaishia wamejazika meja wakaepa mbio kushow madisciples.

9.Suddenly Jesus met them. "Greetings," he said. They came to him, clasped his feet and worshiped him.
Visudden, JC akawakuta. "Niaje," JC akawapea masalams. Wakamfikia, wakamwangukia kwa feet zake wakamworship.

10.Then Jesus said to them, "Do not be afraid. Go and tell my brothers to go to Galilee; there they will see me."
Alafu JC akawashow,"Msiogope, ishieni mkawashow mabro wangu waishie galilee, hapo JC mtanicheki."

11.While the women were on their way, some of the guards went into the city and reported to the chief priests everything that had happened.
So wakati wale mamanzi walikuwa njiani wakiishia, wale masoja wakaingia kwa jiji na wakawaambia wale ma pasii stori yote yenye ilikuwa imehappen wakati mapasii walikutana na wazae wakapanga mpango, wakagei masoja doo mob.

12.When the chief priests had met with the elders and devised a plan, they gave the soldiers a large sum of money,

13.telling them, "You are to say, 'His disciples came during the night and stole him away while we were asleep.'
Wakawashow waseme" madisciples wake walikam usiku wakamuiba tukiwa tumedoro.

14.If this report gets to the governor, we will satisfy him and keep you out of trouble."
so wakati hiyo report ingefikia govana, angetosheka alafu angesare kuwahanda.

15.So the soldiers took the money and did as they were instructed. And this story has been widely circulated among the Jews to this very day.
Kwa hivo masoja wakachukua zile do wakadu vile walishoiwa. Na hiyo stori imedumu kama stori legit ikisambazwa kwa ma jews hadi wa leo.

16.Then the eleven disciples went to Galilee, to the mountain where Jesus had told them to go.
Kisha wale maboiz wa jC disciple eleven wakaisia galilaa kwa zile milima mahali JC aliwashow waishie.

17.When they saw him, they worshiped him; but some doubted.
Wakati walimcheki wakamworship; lakini wengine hawakubelieve.

18.Then Jesus came to them and said, "All authority in heaven and on earth has been given to me.
Kisha Jesus akacome kwao akawashow hivi,'Say yote na power heaven na earth nimepewa.

19.Therefore go and make disciples of all nations, baptizing them in the name of the Father and of the Son and of the Holy Spirit,
Nendeni sasa mrecruit maboiz wengine wakuwe disciples wa mataifa zote, muwabaptize kwa name ya mbuyu, ya son na ya holy spirit.

20.and teaching them to obey everything I have commanded you. And surely I am with you always, to the very end of the age."
Muwateach kudu na kutii kila something nimewaamuru kutii.
Na for sure niko na nyinyi kila mara, kila time, na hata hadi {hii world igo} mwisho wa kizazi.

1 comment:

  1. Hi, this is great stuff. I was wondering wether you could have any translations of the books of Psalms and Proverbs?

    Thanks for the good job

    ReplyDelete